Amen, what a blessing, comforting and encouraging song!🙏, ●Usivunjike moyo ●Ushindi ni halali yako ●Yesu yupo kutupigania Mungu akubaliki - Ufike mbinguni
This song is absolutely lovely! It touched my heart and made me feel blessed despite all the challenges I'm facing. It makes me feel incredibly strong.❤
Hizi Ndizo nyimbo za injili.
Ujumbe Mzuri wa kuwatoa watu dhambini
Ubarikiwe sana🙏
Wimbo wa dada Namsifu unatia moyo sana kwa wote ambao bado tunapambana na dhambi... Vita kweli ni kali ila Yesu ni mwaminifu hatatuacha kamwe!
Wimbo mtamu sana huu, una ujumbe, nyimbo zake huyu dada ni za rohoni❤😊
Huu wimbo sichokagi kuusikiliza ,Yesu ni mwaminifu hawezi kutuacha kamwe.
Ubarikiwe sana magic voice
Nice work To God be the Glory
only God knows what we passing through with
but the victory is our rightness😢😢
Kiukweli nimejifunza Jambo kubwa ndani ya wimbo huu nikiwa main character....
Songa mbele dada NAMSIFU na Mungu akupiganie katika uimbaji wako
Nabarikiwa sana na wimbo huu
What a blessing song❤❤
Ushindi ni halali yangu,......amen
Mungu azidi kukubariki kupitia karama hii kufanya kazi yake. Wimbo mzuri unaturejesha kumtafakari Mungu.❤🔥🔥
I love this song ni wimbo wangu wa ushindi barikiwa dada
Barikiwa my twin
Amen, what a blessing, comforting and encouraging song!🙏,
●Usivunjike moyo
●Ushindi ni halali yako
●Yesu yupo kutupigania
Mungu akubaliki - Ufike mbinguni
Umenisogeza karibu na Kristo barikiwa dada wa yesu
This song is absolutely lovely! It touched my heart and made me feel blessed despite all the challenges I'm facing. It makes me feel incredibly strong.❤
Amen 🙏
Mungu akubariki sana dada angu
Barikiwa sana Dada wangu mzuri MUNGU akubariki sana unanibariki sana
Great song
Wimbo Mzuri sana 😢😢😢
Barikiwa dada hakika nyimbo zako zinatusogeza miguuni pa Yesu
Barikiwa wimbo mzur
Dada Namsifu, Ubarikiwe kwa wimbo huu. Kila ninapousikiliza nasogea miguuni pa Yesu❤
Hallelujah now❤❤❤
Nabarikiwa.❤
Mungu akuinue zaidi dada Namsifu
Hongera kwa ujumbe mzur sana
barikiwa mtumishi
Amina
Wimbo unanibariki Sana huu
Barikiwa sana Namsifu kwa utumishi huu. Ameen
Am blessed with the song.
May God Bless You Singer Sister Namsifu
Ubarikiwe
Dada siku Hizi bana uko kimyaa na nyimbo zako nazimiss
Nyimbo ziko humu tangu November nimekuwa naweka. Nyimbo Mya ingia andika NAMSIFU ELISA utaona nyimbo zangu mpya
@@namsifuelisa nakupenda Dada angu Mungu akutumie
Mungu akubariki dada wimbo mzur usonge mbele
This incredible melody will stand as a powerful reminder and a symbol of hope and happiness on our journey to eternal life.❤❤
Great Item!
With a solemn message 🎉
Usivunjike moyo.. wheeu! What a message!
Yes my sister unanibariki mnoo
Mungu akubariki Sana madam
Maana wimbo mzuri sana na unatia moyo sana
sina ata cha kusema, ila huu wimbo una mguso wa pekee🙏😢
Wonderful 👍
Barikiwa sana kwa wimbo mzuri
My sister be blessed accordingly 🙏 I remember one day you came at duce tucasa and you performed this song I liked it from the moment I heard ❤❤❤❤
God bless ya gal
Jaman unanibariki sana Naomba utuwekee na instrumental Yako basi
Barikiwa dada angu unatubariki sana
Barikiwa Sana
Ohh what a beautiful song😊
Amen
Baraka Tele ❤
Hii ni karama toka juu
I really love this song ,,ts ma heart song!!! Blsd c*
Amen 🙏
Huu wimbo unanibariki
Asante dear
❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu ndo Namsifu Makacha au
@@MsigwaFesto ndio
@@MsigwaFesto ndio
Kutoka NAMSIFU MAKACHA hadi NAMSIFU ELISA
Ubarikiwe sana magic voice
Amen 🙏
❤❤