Mwimbaji aliye na Roho wa Mungu utamuona katika tunzi za nyimbo zake zilizojawa na uelewa wa Maandiko, hakuna bla bla katika mlingano wa sauti, pia mbwembwe za kujionyesha... Kwake agenda kuu ni kumuinua Yesu. Sister Namsifu, umekidhi vigezo vyote, MWENYEZI MUNGU akubariki sana tena sana. Unanibariki sana sana sana.
Huu wimbo ni wa kipekee sana dada Namsifu, kwakweli sio wewe bali ni Roho Mtakatifu aliyekuongoza kuandika wimno wenye maneno mazito na yaliyojaa mguso wa hali ya kipekee sana. Ubarikiwe mno, Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia ktk uinjilisti huu kwa njia ya nyimbo.
I can't wait to listen it a whole to express my feelings that this song is for sure a heart touching one. It has brought me a hundred steps more close to Jesus. Let's for sure miss not the heaven. It sounds better here, how about IN heaven! Amen
Ubarikiwe Chombo kinachotumiwa naMungu kuteka na kuhifadhi Kundi kubwa la Matunda Yenye Ladha Muziki ni ibada kama ukitumiwa chini ya uongozi wa Mungu Aliekuita Akusimamie na kukufikisha mbali💚
Wimbo mzuri sana, melody, maneno saut ziko vzr sana, zinainua hali ya kumtafuta Bwana ili kwenye sauti za ushindi zitakazosikika na zetu ziwemo, Ubarikiwe sana dada Namsifu
Nampenda sana huyu dada, Mungu akubariki sana unanibadiki mno
Mwimbaji aliye na Roho wa Mungu utamuona katika tunzi za nyimbo zake zilizojawa na uelewa wa Maandiko, hakuna bla bla katika mlingano wa sauti, pia mbwembwe za kujionyesha... Kwake agenda kuu ni kumuinua Yesu.
Sister Namsifu, umekidhi vigezo vyote, MWENYEZI MUNGU akubariki sana tena sana. Unanibariki sana sana sana.
Amen doctor Magufwa katika ratiba zako usisahau kuniombea
Huu wimbo ni wa kipekee sana dada Namsifu, kwakweli sio wewe bali ni Roho Mtakatifu aliyekuongoza kuandika wimno wenye maneno mazito na yaliyojaa mguso wa hali ya kipekee sana. Ubarikiwe mno, Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia ktk uinjilisti huu kwa njia ya nyimbo.
Ameen tuombeane ili kazi ya Baba iendelee
I love u alot dada namsifu❤❤
Haleluyaaaa
I can't wait to listen it a whole to express my feelings that this song is for sure a heart touching one. It has brought me a hundred steps more close to Jesus.
Let's for sure miss not the heaven. It sounds better here, how about IN heaven!
Amen
Amina
Be Blessed Beloved Sister Namsifu....
Amen Amen Amen Amen Amen
Barikiwa mnoo Mpenzi dada Namsifu... Huu ni wimbo wangu pendwa sanaa ❤
Bwana akubariki mnoo...
Akazidi kukuinuia zaidi.
Amen
On that day ..ooh on that day ..I want to be there in heaven
Amen
Hongera saaana dada yangu Mungu akujalie saaaana ufke mbali❤️ur my role model kipenz❤️❤️❤️❤️
Amen
Mungu akubariki dada Namsifu
Mungu wetu atukuzwe sana wokovu mkuu aliyotutendea
Ubarikiwe mno Dada Namsifu, tafadhali uweke tena Nyimbo za Album ya Jerusalem hazipo😢
Aminaaa
Usijali naziweka
Nabarikiwa na uimbaji wako dada angu
Sifa kwa Mungu aliekupa uwezo, na maarifa kuandika wimbo huu mzuri sana sanaaa
Amen
Live performance ya Makambi kimara2024 umefanya vizuri sister huu wimbo uishi sana
Nabarikiwa zaidi na uimbaji wako Mungu azidi kukutumia❤
Barikiwa sana wajina❤
Dada huu wimbooo kwakweli daaaaaah nabarikiwa sana
Asante kwa nyimbo zenye mguso ktk mioyo ya watu,Mungu azidi kukuinua
Mungu wambinguni akubariki wimbo mzuri mziki mzuri sna
Nabarikiwa sana na nyimbo nzuri kama huu
Amina kubwa. Sabato njema
Ubarikiwe Chombo kinachotumiwa naMungu kuteka na kuhifadhi Kundi kubwa la Matunda Yenye Ladha
Muziki ni ibada kama ukitumiwa chini ya uongozi wa Mungu Aliekuita Akusimamie na kukufikisha mbali💚
Amen my dear
Amen 🙏
Amina kubwa dada mdogo barikiwa🙏
Hadithi za ajabu kweli, Asante sana
Ubarikiwe sana Dada Namsifu
Thanks for the nice and courageous song namsifu
This is Nice song
Am finding you On spotify but unsuccessful
Help meb
Barikiwa sana dada Namsifu
Hongera mwalimu wangu nakuona unakitumia vyema kinanda, barikiwa namsifu kwa wimbo wenye mguso songa mbele.
Amen
Uko vzr namsifu Mungu akuinue juu zaidi ,wimbo umenigusa😊
Barikiwa Sana Namsifu Bwana akuinue zaidi na zaidi kwa huduma yako hii njema 🙏🙌🙏 Nimebarikiwa na wimbo wa Hadithi za ushindi.
Amen
Wimbo mzuri sana, melody, maneno saut ziko vzr sana, zinainua hali ya kumtafuta Bwana ili kwenye sauti za ushindi zitakazosikika na zetu ziwemo, Ubarikiwe sana dada Namsifu
Amen🙏
Daaa maadam ❤❤❤ mependa huu wimbo
Hakika nimebarikiwa na nyimbo zote.Hasa hadithi za ushindi.Bwana Yesu awe nawe.
Amina barikiwa sana🙏🙏
Amen. Wimbo mzuri sana
wimbo mzuri.
Barikiwa sana my lovely pacha❤
Karibu pacha
Wooww, from Congo tunakupenda sana mjakazi wa Bwana. Hongera kwa kazi njema
Amen salimia Congo inji li Family
Barikiwa sana Dada wangu mzuri
Mungu ni mwema. Barikiwa Kwa kila njia Kwa kutumika katika kueneza injili.
Amen
very nice
stay blessed
Barikiwa sana kwa wimbo mzuri
Aminā
huu wimbo ni mtamu mno
Ubarikiw
Chukua mau yako... wimbo mzuri sana🎉🎉🎉
Thank you dear
Barikiwa sana namsifu 🙏
Amen
Keep that fire burning Namsifu! You have my prayers
Amen
Jaman jaman jaman so blessed
Hadithi za ushindi❤
My favorite song ever God bless you
Wimbo mzuri ajabu .
Amen
Nice
Namsifu wewe ni hazina
Ameen
Dada ubalikiwe natamani nitoe naw wimbo ata mmoja tu
Anointed ❤
God blees you
Goood song
What a master piece 🔥 🔥
Amen
Hadithi za ushindi
Hellow naweza pata namba Yako tafadhali
Hadithi za Ushindii❤
Amen
Amina