Baraka George Baraka George Baraka George Nimekuta mara tatu Mungu akubariki Mimi nimfuatiliaji kazi nzuri kama hiii una mchango wako brother mungu akutumie zaidi nimeelewa maaan halisi ya wimbo ule wa UJANA WAKO UWE KIELELEZO Called to serve hiiii ni mmbaraka sana mungu awatumie kila Kona ya dunia ujumbe huu ukafike NITAKWENDA
wenye tumefuata sound kutoka tiktok gather here😅😅
😅😅😅😅
Tulokuwa tunasubr wimbo huu like hapa😅
Barikiwa sana👏🏽👏🏽🔥
God bless you
The composer of the chorus is something else,big ups...the chorus keep ringing in my mind,utakwenda utakwenda
me..Fallen for n into arrangements..Mixing
My new ringtone hapo
Me ni muislam lkn wimbo huuu unakuza imani 🎉🎉🎉
Aminaaaaaa familia ya nyumbani mbarikiwe mnooo muende viwango vya juu zaidi mkimtukuza Mungu 🙏🙏🙏
Baraka George
Baraka George
Baraka George
Nimekuta mara tatu Mungu akubariki Mimi nimfuatiliaji kazi nzuri kama hiii una mchango wako brother mungu akutumie zaidi nimeelewa maaan halisi ya wimbo ule wa UJANA WAKO UWE KIELELEZO
Called to serve hiiii ni mmbaraka sana mungu awatumie kila Kona ya dunia ujumbe huu ukafike
NITAKWENDA
Amina, na amina tena
Salama katika moto na gharika
Uko wapi uchungu wako ee mateso nawe mauti..!?
Kama unajua utakwenda piga like ukienda ..😊
Hii mbogi ya majuu imekam na ubad...Thumbs up...Good stuff!
Injili isambae kote kote
Kibao cha ajabu. Mbarikiwe sana kwa baraka hili mloangusha.
SISI TUTAKWENDA.
Amina TUNAKWENDA 👏🏽👏🏽👏🏽
I’m in hospital bed n this song keeps me going on..
Kwanza mmependeza sana na wimbo ni mzuri,mbarikiwe sana AIC(agape international choir)
Wimbo mzuri kuanzia ujumbe mpaka melodies.. Kazi nzuri
Nitakwenda nitakwenda wimbo mzuri sana unatufundisha twende tuifanye kazi
Jaman nawapendaaa sana Called to serve ministry duuuh melodykaliiii🎉
Mungu awabariki sana mpo vzuri. Nawakubi sana
Mungu aendelee kuwalinda saana mzidi kutubariki
Msije kengeuka,
Mimi nitakwenda na familia yangu.... oooooooh what a nice song of the year ❤️💚💕♥️♥️♥️ thumbs up 👍
Nice song of the year jmn nabarkiwa xana
Watu wa maana kabisa ninyi, mbarikie ana
Thanks brother be blessed
Wao! I like!!! Nitakwenda! Amina!!
Aminaaa!!❤❤
Good song 🎉
Amen🎉
Nimependa na nimeamua NITAKWENDA kwl
Ameen..shikamoo mtunzi
Mziki mtamu🎉
Hata kwenye Moto utapita, wala hautakuteketeza!!! 🔥🔥🔥#utakwenda
Mimi na familia yangu tutakwenda Bwana anapotutuma🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
*Composer, Waimbaji, na Roho Mtakatifu, bond yenu ni mbaraka Kila kukicha👏👏👏👏🙏🙏🙏*
Hujadanganya kitu...this is it
@@roseatieno1253*Amen 🙏🙏🙏*
Therapeutic indeed.Amen
Wonderful song great message and beautiful melodies 🫡🫡🫡🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Great music! Keep up the amazing work! Mungu awabariki
Nitwakenda...🙏🙏
Nitakwenda....... Awesome 💯
Amen and Amen! 👏🏽👏🏽👏🏽
Asante sana kwa kutukumbusha ahadi ya Mungu kwetu. Mbarikiwe sana. Wimbo mzuri sana.
Nitakwenda ❤. Mbarikiwe sana wana Called to Serve.
Amina na ubarikiwe pia! 👏🏽👏🏽👏🏽
Amen!! What a blessing! God bless you Called to Serve! #Nitakwenda!
Amazing bwana nifukishe Salama amen
Huu ni wimbo wangu pendwa sana kila siku na kila wakat nausikiliza, Mungu awabariki sana leteni zingine nzuri kama huu
Wow beautiful piece
Wimbo huu ni moto Kama pasi ❤… Mimi na familia yangu , Nitakwenda 🙏🏾
Aaaaaaaaaaaamen!!
Indeed i have never seen the faithfuls begging for bread.
Amen.
Creativity at its peak 👌👌👌
beautiful song
Good job
Amazing ❤❤,Love it
🎉🎉🎉 MI NITAKWENDA❤❤
Jamoon message nzur huu ndo utume wet
Amina na ubarikiwe! 👏🏽👏🏽👏🏽
Called to serve 🔥🔥 God Bless you 🙏🙏
Amen, be blessed more!
Amen amen 🙌🙌
Called To Serve!!! Mungu awabariki 🙏🏾🔥🔥🔥 WEWE JE,UTAKWENDA? Happy Sabbath🔥🔥🙏🏾
Mbarikiwe sana Na zaidi ❤❤❤
May God continue blessing you abundantly
Woow! What a beautiful song! Amen My Friends!! Bwana asifiwe sana kwa wimbo mtamu huu! ❤
Barikiwa sister
These are the giants “called to serve “.
Be blessed! 👏🏽👏🏽👏🏽
Kwangu mimi ni kiitikio kilichonileta hapa kupitia tiktok🎉🎉 Lakini ninagundua kuwa wimbo wote ni jambo la kushangaza ❤
Hongereni kwa utume huko mliko
Binafsi nabarikiwa maana popote mlipo kazi ya Mungu inaendelea
Best song 🎉🎉
What a song🙌🏾🙌🏾
Just from being rescued from a very dangerous situation.. I can't stop tears of joy as I play this song in a loop mode ❤
Woow❤...it's more than marvellous, blessed be you guys❤🙏
Wimbo mzuri sana.. Mola awabariki na awaweke pamoja. Mkitangaza neno lake.. Charlotte nakuona keep going.
The waiting is over..be blessed
Amen and Amen 👏🏽👏🏽👏🏽
Good song with sweet harmony
The Almighty God may bless you @called to serve
Wimbo Nzuri sana
Amina, ubarikiwe sana! 👏🏽👏🏽👏🏽
On fire 🔥🔥😘😘
This song is so fantastic..God bless you all
Wimbo mzuri sanaa
Amina na ubarikiwe sana! 👏🏽👏🏽👏🏽
Nawapenda sana from🇧🇮
Blesssed
Nita kwenda ❤
Amina na ubarikiwe! 👏🏽👏🏽👏🏽
Amen Amen! What an encouraging song!
thank you sister
skia mziki sasa
Sinlikua na washow 😂😂😂😂❤
This song🙌🏾 it’s like mmeimba maisha yangu😌 be blessed..mwende mbali na msipotee❤️
Frida tuliaaa binti😂
Nitakwenda. Charlotte Apondi😁🎶
I will go with my family
I’m playing it Non stop😊 God bless your ministry … much love from Rwanda🇷🇼
Best song😍😍
Kazi Safi 👍🏾
Beautiful piece. GOD bless you "called to serve".Mimi nitakwenda!
❤❤Amen 🙏🙏🙏
👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏼🙏🏼
Utakwenda utakwenda 🥳🥳to the world be blessed 🙏
Holo, Mungu awabariki sana
Nikiwa Tanzania, nawatazama nikiwa ndani ya gari jioni ya pekee ya kufunguwa SABATO.Barikiwa
Amina na ubarikiwe pia.
Aminaaaa❤
Amina 🎉❤
NITAKWENDA KWA KWELI.
Wwwoooww beautiful I love this so sweet 😋 💗
Thank you so much 😊
Beautiful song ❤❤
Amen, be blessed! ❤
Keep serving"called to serve", wonderful message
❤beautiful
Thank you! 😊 To God be the glory. 👏🏽👏🏽🙏🏼
Ameen 🙏Wooow ❤❤
Lovely
Be blesses! 🙏🏼🙏🏼👏🏽
Absolutely beautiful 😍 🎉🎉🎉🎉
May God bless y'all.nitakwenda .nitakwenda nitakwenda 🙏🙏🙏
Amen, be blessed more! 👏🏽👏🏽👏🏽
@@calledtoserveministries Amen 🙏
be blessed my favorite choir 🙏🙏🇨🇩
Amen, be blessed more.
Baraka tele❤
Amiina
Barikiwa sana
Amina
Amen Amen nitakwenda
Amen ...its a wonderful song...
Nitakwenda Amen and Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏🏿 ❤
Utakwenda. Amazing singing.
Amen.
Bwana awabariki Kwa wimbo wenye unumbe muhimu