God as we start another year i just pray for yuor protection guidance and good health upon my family 🙏🙏 i can't get enough of this song its my favourite @jamila.thanks for this song
Barikiwa san jamil mungu akupe maisha marefu tuzidi kubarikiwa na nyimbo zako.Mwenye unaesoma comment hii mungu akuvushe mwaka salama pamoja na family yenu🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hey. Loved you. ... Nimeskia nyimbo yako kwa daladala ..... nika ushazam ... hongera kwa kazi nzuri. Hongera kwa kumtumikia MUNGU. KRISTO AKUONGOZE ZAIDI.
EEh BINTI ZAYUNI MWIMBIE BWANA NA KUMTUKUZA MWINUENI MFALME WENU ALIEWAFIA NA KUWAOKOA, MUIMBAPO NYIMBO ZENU MSIIMBE KWA FAIDA ZENU WENYEWE WALA MPATE UTUKUFU KWA DUNIA MAANA KWA ANDIKO MOJA LA SHAIRI YAWEZA KULETA HATIMA YA UZIMA AU MAUTI.
Kweli Mungu amefanya tena dada yetu Jamila Dotto ❤ Ila ushauri wangu ni kwamba usiweke vipotozi sio vizuri kwetu sisi waamini na wasabati asante naomba Roho Mtakatifu anisaidie unisikie ❤❤❤❤
wakenya hoyeee,😊😊😊😊😊 wenye tulikuwa tunangoja hii video ya dada yetu tulike hapa👍👍tukisubiri kufunga mwaka
Hoyeee
Mwaka 2025 Mungu akafanye na kwako unaesoma hii comment
Ameeen🙏
Ameen
Amen 🙏
Aminaa
Amen
Kawimbo kazury saan tumpe like zake Madamu Jamila DOTTO.❤❤🎉
Tanzania Tuliosubiri video like hapa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤naupendo huu Wimbo hua unanipa nguvu wakati niko chini
Duh MUNGU atusaidie sana, nyimbo zimekuwa na ujumbe mmoja, kila anayetoa ujumbe ni ulele, hamna nyimbo za kukemea Dhambi wala kuonya inaumiza sana.
Tunga wako uimbe utuonye mtumishi😂😂
Mambo ya dhambi yako kwa wale wanaowaza dhambi kama wewe..
Ni kweli nyimbo zimekuwa burudani mtu anaimba kama biashara
Let's rejoice in the Lord. Ndio season
Siutoe. Wewe. Izozakukemea Dhambi unakosoa vyawenginewakati nawewe nimndhambi ufahamuwakobadomdogosana
Kama unapenda hii nyimbo Gonga like Yako hapaa! Hongera saana Jamila Kwa Wimbo mzury Mungu Akuinue Katika viwango zaidi uwe juu!
This was my play to see these guys start gloryfing God they have nice voice ❤
Hallelujah 🔊🔊🔊🔊🔊🔊 Mungu amefanya tena, kati ya waliokumbukwa, na mimi,amenikumbuka tena
Amazing 2025 on my playlist thank you God
Mungu amefanya na ataendelea kufanya kwa imani itakuwa 🙏🙏
Huu wimbo umenibadilisha nafsini na moyoni mwangu. Mungu afanye tenaaaaa.
Mungu amefanya tena kweli.Shabiki wa japhet Toka Congo.nakupenda pia jamilla Dotto
Mungu awalinde kabisa Huwa nikisikia nyimbozeno nafalijikà
Kutoka Kenya 🇰🇪,Twakupenda @Jamila ❤❤
Amina 🙏 🙏 🙏 🙏
MUNGU amefanya tena hongera dear MUNGU azidi kukuinua zaidi 🎉👏👏
Mungu amefanya tena. Kweli Mungu ananipigania. Praise be unto His Holy Name. God keep using you for His Holy Name's sake.
Hallelujah wakenya mpo🇰🇪🇦🇪
Wakenya wameingiaje hapa wakati but ni msukuma wa Tanzania. Mnajitoaga hakili
Amen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God as we start another year i just pray for yuor protection guidance and good health upon my family 🙏🙏 i can't get enough of this song its my favourite @jamila.thanks for this song
Amefanya amen 🙏🙏
❤❤🎉wimbo mzuri sana huu wa kufungia mwaka
zawadi nzuri kutok mbinguni hiy
RAHA ZA DUNIA NI TAMU SANA NA MALI ZAKE HUPOTOSHA NA KUMPOFUSHA MWANADAM RAKINI YESU ANATUITA KWA UPOLE TUMRUDIE
Nikweli
I can't hold back, Best gospel to usher in New Year.
❤❤❤❤❤❤to these song 🎉
Powerful song. May the Almighty God continue to protect you and your family and moreso your mentors. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Beautiful song, thanks for the translation to English. 😍
Mungu azidi kufanya Tena natena wimbo umenibaliki Sana mungu akubaliki
Mmh sio kwa vibe hilii ila hatari ipo kwa watu wa Mungu halafu hakuna kishituka .
Kila kitu hongera Wakenya! Wakati huyu ni Mtanzania kabisa ameimba vizuri.
fanbase yake kubwa iko huko pia
sio vbya
Watching from Germany as a Zambian I discovered this song last week and Am enjoying ❤
Wow! may God bless you abundantly
Waliotoka TikTok gonga like Yako hapa tujuane 👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖nifollow, na mm jaman nimeachia kawimbo kapya subscribe channel yang.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana kazi nzuri Mungu aendelee kukutumia 🙏
You are blessed Doto, I'll love your songs forever.
❤wimbo mtamu huyu barikiwa sana jamila
Wambieni wale walionicheka Mungu Ananipigani halali Wala kusinziaaa 🙏🙏🙏🙏Nimebarikiwa kupitia huu wimbooo
Maneno ya wimbo ni mazuri melody ametumia ya kidunia
I praise God for you! May He keep using you❤🎉 Way to go!
Kazi nzuri sana,na ujumbe mzuri sana,asante tumeupokea❤❤❤
Barikiwa san jamil mungu akupe maisha marefu tuzidi kubarikiwa na nyimbo zako.Mwenye unaesoma comment hii mungu akuvushe mwaka salama pamoja na family yenu🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina. Akatushike mkono wote tufike huko pamoja 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mungu amefanya tena 🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
The long awaited video,,,my fav song currently,,,nicely dressed❤🔥..To many more songs Jamila ❤️..We love you from Kenya🇰🇪❤️🇰🇪
Hey. Loved you. ...
Nimeskia nyimbo yako kwa daladala ..... nika ushazam ... hongera kwa kazi nzuri. Hongera kwa kumtumikia MUNGU.
KRISTO AKUONGOZE ZAIDI.
Hongera dada
Mungu akuinue sana kipenz tunakupenda mwimbo wa muujiza wa mwaka kbsa huu
Nice song,
Mungu nifanyie na mimi mwaka huu wa 2025
Mumeamua kuwa wasanii KABISA daahhhh
Wasanii wa nyimbo za injili
My comforter be blessed
Wimbo mzuri sana.mungu wetu ni mwema ametenda na bado atatenda ❤❤❤❤
Thank you sister Jamila...Mozambiq tunakusubir
Mungu amenya tena, ni wimbo wangu wa mwaka, imenigusa sana maisha yangu! MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI!
Niliskia hii nyimbo kwa mtoto wa 2 years akiimba na nikatafuta hii nyimbo, Asante Yesu umetenda tena tukaona 2025
I know I will be back here with a testimony 😊🙏
Mungu akutuze sana akuinue
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mungu amefanya tenaa❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉 Mungu atafanya Tena 2025🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇲🇺🇲🇺🇬🇺🇬🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
You are blessed baby girl
Here we are ❤❤❤❤❤Mungu amefanya tena
❤❤❤❤ sana it's blessings me
This song is ❤❤❤❤ mungu halali ,,, mungu amefanya tena
❤❤❤❤❤Mungu amefanya tena...
MUNGU amefanya Tena wimbo wabaraka kabsa❤
Ameeeeeeeeeniii mtumishi wa Mungu❤
Ni kweli mungu amefanya tena wema wake ❤❤❤
Mungu afanya tena Sifa na Shukurani zimurudie Mwenyezi Mungu. He has done it for Spectrum Film School
Mungu ni mwema
EEh BINTI ZAYUNI MWIMBIE BWANA NA KUMTUKUZA MWINUENI MFALME WENU ALIEWAFIA NA KUWAOKOA, MUIMBAPO NYIMBO ZENU MSIIMBE KWA FAIDA ZENU WENYEWE WALA MPATE UTUKUFU KWA DUNIA MAANA KWA ANDIKO MOJA LA SHAIRI YAWEZA KULETA HATIMA YA UZIMA AU MAUTI.
Unajua kuigiza Matha.unaomba maombi.unatuonyesha hiyo picha.kaombe msamaha kwa mama
Video kubwa wimbo mkubwa ujumbe mkubwa much love🎉🎉
Ee Mungu 🤲 utukumbuke
Honger san tupo pamoja dada
Dotto hongera wimbo mzuri sana
Hakika mwaka huu unaisha ametenda na pia mwaka unaokuja atatenda. Mungu apewe sifa❤
Kweli Mungu Amefanya Tena 🙏🙏
Kenyans where are you tumpe Jamila likes🎉🎉🎉🎉🎉🎉good job Jamila Keep it up ❤❤❤❤❤❤❤
Shida yao ni wa Kenya tukisha wainua hivi, wakija kwetu wanataka kutukalia
Mungu amefanya Tena na atazidi kufanya 🙌🏽🙌🏽🔥🔥❤️💯
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Jamila dotto❤❤❤
The newest gospel star in town🎉 🔥
wimbo mzur san huu pia naomb nikushaur kitu jamila nguo ndef ndo zinakuoendeza sana ❤❤
Kweli Mungu amefanya tena dada yetu Jamila Dotto ❤ Ila ushauri wangu ni kwamba usiweke vipotozi sio vizuri kwetu sisi waamini na wasabati asante naomba Roho Mtakatifu anisaidie unisikie ❤❤❤❤
Na Uganda tumekujja ❤❤❤
Go go go girl ❤❤❤❤
Blessings
2025 Mungu amefanya tena kwangu
I like u,n I like it your songs❤❤
Woooowwww ameeen
❤ wimbo wako endea kutunga nyimbo zaidi
I can't get enough of this iko 🔥 on repeat every day..... Big song
Pungunza mbwembwe zisizo na maanaaa
Na kurukaruka.
Mwaka huu ni wa jamila dotto wakukosolewa na kuinuliwa wala usiumie kwa wale wa kukosoa utainuliwa mpaka washangae😂😂😂
Asante kwa kazi nzuri mungu akubariki dada
Amen, ubarikiwe pia
Na azidi kufanya🙏
Amen
Muh!!!! Haya nadhani wote tutakua matajili ila mbinguni 0%
Daaaaah Pole saana bro
Mungu amefanya tena barikiwa dad ❤❤❤
🎉❤❤❤Amen Mungu amefanya tena
Kazi Nzuri 🎺⛪️🎼
Jamila nakuona 2025.......upo juu
Wow wow wow,Baraka tuuuu ndo nashuhudia hapaaa, Ubarikiwe sana Jamila❤❤❤❤
Wakenya hoyeee❤🇰🇪
Blessings 🙌 🙌 🙌 ❤️ ❤️ 🇺🇸