Continue Resting in peace Steven Kanumba. You were East Africa's icon in bongo movies. It's ur body that rested but ur spirit still falls in our hearts
Rest in Peace Steven Kanumba (Kaka yetu wa Tasnia ya Bongo Movie) tunakupenda sn... tunaendelea kufuata nyayo zako bro....Ss Wadogo zako tunaendelea Kupambana na Bongo Movie
kama ulitambua kazi ya kanumba gonga likes hapa jameni usiwe hivyo
kula jambo Lima wakati wake na kazi ya Mungu haina makosa
Daa kanumba kaka tumekumiss
Tunakukumbuka sana kwa hii nyakati hatujuwe tungepoya filamu kibao Kanumba we love more 🇨🇩 🇨🇩🇨🇩😭
Handsome WETU kanumba umeondoka na bongo movie yako endelea kupumzika kipenzi 🙏😰miaka 9 dah
True Legend wa Bongo Movies
Daaaaaa
The greatest STEVEN😭
Continue Resting in peace Steven Kanumba. You were East Africa's icon in bongo movies. It's ur body that rested but ur spirit still falls in our hearts
Forever will remember you kanumba RIP 🕊🕊😭😭
Rip kanumba....we loved you so much
😭😭😭😭😭😭😭ulienda na Bongo movie lala salama the Great Kanumba we shall meet on that beautiful shaw😭😭😭😭tutakuenzi mileli... THE POINT OF NO RETURN 😭😭😭🙏🙏
Forever in our hearts
Tunaishi nae mpka Leo mm najifundisha mengi sanaaa kwa Marehemu
Umeodoka na bogo muvi yote Allah akupe khery na barack akulide na azabu zakabury Amii Amiii leoo ni wewe kesho sisi tuonane paradizo
😭😭😭Kaka we kifo chako sintokusahau kama kifo cha baba magufuli mungu awalehemu kwakweli
Nitabaki kumuenzi kanumba! Continue resting in Peace! Tuna miss filamu zake.
Kanumba will be remembered
Greatest always lives in our hearts ! And no matter how far they go ! Souls will remain on Earth's paths . R.I.P Steven kanumba
Tunakuhitaji kwenye storry book bro!
Daaaaa KANUMBA paka leo nikitizama movie zake na kuwaga na umiya 😥
Uyu ndo alkua kichwa wa bongo movie kafa n bongo movie yake💔
Absolutely true
May his soul continue resting easy
Rest in peace Kanumba ,watanzania hawatakusahau.
Duh asee mwamba wa movie aseee alikua anakipaji cha juu zaidi
Majembe yangu yote nitayakumbuka daima magufuli na kanumba wasukuma wezangu
We acha to mwaya 😭😭
Keep resting in eternal peace legend you made me fall in love with bongo movies ..and after your demise I lost taste completely
Rest in Peace Steven Kanumba (Kaka yetu wa Tasnia ya Bongo Movie) tunakupenda sn... tunaendelea kufuata nyayo zako bro....Ss Wadogo zako tunaendelea Kupambana na Bongo Movie
Bongo movie is no longer the same without him.
I still love marehemu kanumba continue resting well
nlimpenda sana Kanumba.
Rest in paradise king🙏...you are still my king
Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi na akukumbe Katk pepo yake amen
Rip legend 👑
Rest In Peace kanumba umeondoka na bongo movie yako
Keep resting in peace ✌️
R.I.P LEGENDARY@STEVEN KANUMBA-AMENI😥😥😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kafa na bongo movie yake na kipaji chake,R.I.P Steven Kanumba
RIP kanumba the Great
Bro tuleteanga the storybook...plizzzz
Steven❤️❤️
Indeed miss u mi favourite actor
Forever remembering you, I'll never forget you were the greatest actor may your soul continue resting in peace but missing you so much 😭😭😭😭
napenda Sana wasafi tv
Irreplaceable legend ,RIP kanumba.😭😭😭😭😭😭😭😭....Kanumba we need your return.lets hit 1million views on this post
You left a big gap in the movie industry things are nt the same
continue to sleep you'll forever be remembered
Exactly
Kanumba dream will exist in my mind
Daaaa hajawahi kutokea muigizaji kama huyu 😭😭😭 kafa na bongo muvi
REST IN PEACE THE GREAT STEVEN KANUMBA 😭😭😭😭
Mbona ni fupi mkuu, these a legend naah
Nakupeda sana nimekumiss nitakukubuka sana
Reace in peace kaka kanumba
Dah 😭😭
My hero
You'll still unforgettable kanumba
R I P SHUJAA NAKUPENDA XANA MUBUNIFU NATAMAN KUWA KAMA WW
May you continue resting with the angels 😇 our angel❤
Hii ndoitakuja kuwa kwa daimond 🙏🙏
Usiseme ivo bwana
@@drfrankfaustine5469 ndohilivo safi watu awaoni kama daimond ana ipeperusha🇹🇿ame ufanya mziki kuwa naeshima na biashara ila AKIFA ndowata juwa
steven kanumba rest in power bro always love you
Jamani wapi the story book
We loved you too much but God knows y tha happened bro
R. I. P Kanumba ilajamani Vijana tujifunze tamaa mbaya
May his soul continue resting In peace 😭😭🇰🇪
Tuna kukumbuka kanumba
Huyu kaka alikuwa talent continue rest in peace
Rest in peace kanumba💔💔😭
ivi jamal huwa unasimulia kwa kutuma katika whatsapp
Jamaa aliondoka na Bongo movie yake saiv hakuna kitu kwenye hiyo tasnia
Kweli
BONGO MOVIE WANAKELA KISENGE SAIV ANGALIA HUBA YAAAN KAZ KUNENEPEANA TYU TAMTHILIA HAIISHI AFU STORI MBOVU DAAAAAA
Gone too soon. RIP Kanumba
Inasikitisha jinzi illuminati wanapoteza maisha ya watu wengi,,,,,😭😭😭
Laaaaah nimekumbuka mbali mpaka 😭😱😱
Wajina kabisa
Kamwe atakumbukwa daima😥😥
Unasimulia atukuelewe hunaenda mbele unaludi mala mwaka 2009 mala mwaka 2011 tunaelewa nin???
iv kun muigizaj tena atatokea wakuunganisha na waigizaji wa nigeria kweli
Rest Easy🙏,,, forever in my heart
Rip Legend
Lala salama Kaka
Yes
The story book inakuita bana njooo jamali ajui chochote njooo bana
Perfect
Mbona hatuoni the story book?... Imeishia wapi?
Hakuna muigizaji mzuri ambae atakuja kuwa kama kanumba
Mim nakuja usijali mamaaa
Ivi unamjua Gabo zigamba au
@@safiaimran7339 wote awamfiki kanumba.. Walio bakia awajielwi Saii i like watching Nigeria movies they are the best 😘
Gabo hakuna kitu bora hata JB
Bora mtu uwangalie wa nchi nyingne huko sio tz hapa
Jason more like to me
Duuu😢
Babalao
Rest in peace kanumba
Kila mtu ni mzuri kwa wakati wake
Wasafi imevamiwa iih sio ile ya story book
Dunia ni mapito pumzika kw Aman shujaaa wa filamu am happy kuzaliwa tarehe Sawa n ww tarehe 8 January but ww 1984 mm tarehe 8 January 1994
Nkbl san mpagaze
Amina
Hakika wewe ulikuwa kipenzi cha watu hatutaacha kukumbuka ..r.i.p Steven kanumba
Apumzike kwa Amani
Msimuliaji Rudi shule, ama umuachie Ananias Edgar
Tunaomba mwandike historia ya Diamond japo najua itachukua zaid ya Dakika 30 maana Mambo aliyoyafanya n idadi sawa na nyota 🌟 za juu mbinguni
Daimond Nani Sasa
@@hadijamagufuli2661 n mme na baba wa wasanii wote EA
Ajabu ni kwamba Kaka yake amekufa kwa kukosa Mchago wa Kwenda India.😢😢😢😢😢😢😢
Ohhh acha to uchungu wake hauwelezeki 😭
Pumzika kwa amani kanumba
Lala salama
King off bongo move R.i.p
Why kanumba???why did u have to go brother
Goood
Siangaliagi tena Bongo movie
Rip kanumba