SHAH RUKH KHAN "Hadithi Ya Mfalme wa Mapenzi Tokea India"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @hitstory7103
    @hitstory7103 4 года назад +8

    Jamal mm ni shabiki sana wa the story book mzee baba kuanzia sasa nakubali simulizi hili la sharukan mtiga hana na fasi tena km wewe unamkubali Jamali kuanzia leo gonga like hapa twende sawa

  • @allankimaro4327
    @allankimaro4327 Год назад +3

    I really like his movies. He made me Fall in love with Indian movies

  • @fatmarubea9384
    @fatmarubea9384 4 года назад +9

    Napenda kuangalia the story book Mimi nikitia mb naangalia the story book😎😎😎😎😎

  • @Yunusjuma200
    @Yunusjuma200 2 года назад +2

    sharhu khan the king of love story hakuna mfano wake 👍👍brown boi from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AlissonJB_77
    @AlissonJB_77 4 года назад +26

    Bro umeweza sana achana na maneno ya watu yanayo kutatisha tamaa , good storry and good job kaka

  • @denathakagaruki7839
    @denathakagaruki7839 4 года назад +12

    Dah bro unajua history nzuri imefanya uonekani uko vizur appreciate bro umetisha sharhk is my best actor in the world

    • @loqciousmayai6307
      @loqciousmayai6307 3 года назад +1

      Ndugu mbona umetupoteza maana mara baba ake alkuwa nsomi mwanasheria mara alkuwa mtu wa kawaida alkuwa muuza mgahawa mbona hatukuelew

  • @faridamrema7627
    @faridamrema7627 4 года назад +3

    wasafi tv mnajua kutufurahisha nyoyo zetu kwa taarifa nzuri sana. wasafi tv big up kazi nzuri

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 года назад +53

    kama umegundua uyu jamaa ni mbunifu anaeka picha za vitendo vya simulizi gusa like kwake.

  • @ufudhcjxc1359
    @ufudhcjxc1359 3 года назад +4

    Mashaallah kumbe Shalkani ni Muclm💕

  • @cookinglist1004
    @cookinglist1004 4 года назад +2

    Asante sana kaka kwa kutuonyesha story ya sharo khan basi hukutaja film inayoitwaa chenai Express

  • @firstladysuleiman4134
    @firstladysuleiman4134 3 года назад +4

    Nampenda shalukhan love you so much

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 года назад +1

    Asante sana my brother from another mother

  • @mwamiathegreat8239
    @mwamiathegreat8239 4 года назад +10

    hawa ndio mastaaa sasa. sio mnatupkgia kelsle kil Siku mara mond,mara kiba mara sijui mdudu gani.
    nyoooo!!!
    love u SRK

  • @ramamanyama2944
    @ramamanyama2944 4 года назад +85

    Wangapi tumerud tena Kuangalia the story book ya mfalme wa mapenz Sharukh khan

  • @selinafundi72
    @selinafundi72 2 года назад +4

    Great idea to bring his story, it is my dream to meet this man, he is my fellow dimple.🥰😍🤩😄😃😀

  • @rugaeval6426
    @rugaeval6426 4 года назад +2

    Aah mgeni njoo mwenyeji apone ..sauti nzuri na pia viimbo vya maneno nimeridhika.ingawa nimempeza Mtigwa pia nawe una talanta kweli .hongera kaka.

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 4 года назад +24

    🍁Hongera sana umenivutia kwa jinsi ulivyo kuwa unahadidhia safi sana.
    Big up kwa Mtiga Abdalah kwa kukuruhusu tukusikie na wew muandaaji pendwa wa the story book🍁

    • @JAMAL-zd3jr
      @JAMAL-zd3jr 4 года назад +1

      Asanteee

    • @AbuuMmwingwa
      @AbuuMmwingwa 3 месяца назад

      Always I. Iove❤. Tosee. King of. Love❤😊

  • @ndayikezafranck1612
    @ndayikezafranck1612 4 года назад +15

    Dhuu, the man has truly been tremendously blessed!

  • @williamalex4792
    @williamalex4792 4 года назад +4

    Dah Mungu akawainuwe na waigizaji wetu wakafike level ya kimataifa kama kina sharuk

  • @andersonkimanzi5479
    @andersonkimanzi5479 2 года назад +2

    Jamal, you inspire me a lot

  • @tunielly1610
    @tunielly1610 4 года назад +39

    Hapa mmenikamata wallah kwa huyu jamaa sichomoki ng'oo

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 4 года назад

    Dah! Noma sana haiseee...hii imenifanya niote ndoto kubwa na kutokukubari kukata tamaa kwa kuangalia hali yako ya kimaisha,Mungu nibariki na mm pia

  • @amoremimik5270
    @amoremimik5270 4 года назад +20

    Jamal I salute you. All the way in America I can’t wait for more stories from you. Never mind what people would say to discourage you because in life we can never please everybody. Keep up what you are doing best coz when given a chance to work we have to make it work despite the challenges. The colossal fallacy is those who don’t know the good of one can rant nonsense yet when given your position they can’t be productive as you.Focus and always come back gigantic with new stories.
    You are going places my friend !

  • @shamomar629
    @shamomar629 3 года назад +2

    Darr is among my favorite, movie nzuri sana

  • @reganallen9943
    @reganallen9943 4 года назад +15

    Respect sana mtangazaji✌️👏🏾🙅🏿‍♂️

  • @aloyceakello4186
    @aloyceakello4186 4 года назад +36

    I love the storybook I'm from Kenya...🙌🇰🇪🇰🇪

    • @dullybess7383
      @dullybess7383 4 года назад

      🗻

    • @AbuuMmwingwa
      @AbuuMmwingwa 3 месяца назад

      I love him so. Much. Sharkhan❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @abduljuma9785
    @abduljuma9785 4 года назад +14

    Asante sana kwa kutuletea story ya mfalme uyu wa muda wote wa muvi .nakuelewa sana kaka.big up

  • @mshambaflan
    @mshambaflan 4 года назад

    Kazi nzuri Jamal. Acha wapuuzi na walimbukeni wapige kelele Ooh Mtiga ooh Nani sijui

  • @mzulunatal2659
    @mzulunatal2659 4 года назад +10

    SRK KING OF LOVE ❤❤❤👑👑👑

  • @naise1503
    @naise1503 2 года назад

    I really appreciate you Jamal,ningeomba iwepo pia ya sunny deo

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 4 года назад +5

    Binaaadam hatuna Haya ata kidgo mwenzenu anatafuta risk mnatoa maneno machafu
    Ya allah tuondolee kibri katika nyonyo zetu kwan yey hastahiki kufanya kazi jamni msiwe hvo

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 года назад

    Hongera Jamal,Jamal apriltunakupata vizuri

  • @hadijatambwe9194
    @hadijatambwe9194 4 года назад +9

    Wow amazing voice and he explains deeply to my understanding. Not some of us have time for history, but through Jamal's historical experience I have picked atleast more than I knew. Am happy i landed on this channel

  • @officialsalmazayn9720
    @officialsalmazayn9720 4 года назад +2

    Hatukutaki weweee tunamtakaaaa mtigwa abdallah weweeee katafuteeee kaziiii zingineeee maanaaa hii story bukeee haikustahiliiii kbsaaaaa tunakushukuruuuu 🙌🙌🙌

  • @bobramatheking6526
    @bobramatheking6526 4 года назад +4

    You so good kwa mambo yakuandaa hizi story lakini upande wa kusimulia muachieni tu Mtiga Abdallah.....

  • @athumanirajabu2289
    @athumanirajabu2289 3 года назад

    Respect kaka jamal unasimulia story vzr xn RESPECT

  • @farajastanley3480
    @farajastanley3480 4 года назад +106

    kama kuna feelings nimezipata hivii noma sana kama jamal unakujaaaa halafu unakataa but mara mbili tatu tutakuzoea.. keep it up

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 4 года назад +2

    Safi sana kwa story kama hizi za wasanii wa Bollwood

  • @jamaliahmadi5015
    @jamaliahmadi5015 4 года назад +6

    King of love in the world

  • @shadyaamri7829
    @shadyaamri7829 3 года назад +2

    I love you Sharkany

  • @hassansaid2614
    @hassansaid2614 3 года назад +4

    Mashallah kaka Jamal, Upo very talented n very blessed mungu akujaze nuru na mafanikio tele kwny kazi zako...
    Much love 💙🙏

  • @makshabmkb8058
    @makshabmkb8058 4 года назад

    noma sana broo achan nahaoo we piga kaz watakuelewa ty, shah rukh khan the one of the best actor in world,namkubal san huy mwambw

  • @hassaniallenajal5178
    @hassaniallenajal5178 3 года назад +4

    Always you have nice stories books much respect bro

  • @leowin42
    @leowin42 4 года назад +1

    Upo vizur sana ukikaza utafika pale unapopahitaji

  • @josephgirbelt7532
    @josephgirbelt7532 4 года назад +5

    Yeah am good voice good story yeah perfect

  • @mnyamwezitv382
    @mnyamwezitv382 4 года назад +2

    Like zote za Watanzania kama mm ambao ndo tumejua Shah rhuk khan ndo inaandikwa hivyoooooo

  • @hamzambopote8931
    @hamzambopote8931 4 года назад +16

    Brother unafanya vizuri sana maana nusu ya watanzania wengi atupendi kusoma story ivyo basi kupitia story book tunajua mengi unatishaaaaaaa

  • @katotopesaofficial
    @katotopesaofficial 4 года назад +2

    Kazi hii huiwezi mzee baba Unakiharibu Kipindi

  • @johnsilima6789
    @johnsilima6789 4 года назад +8

    Huyu huyu ndo tunakwenda naye yule mtiga ni mvuta bange tukimpenda sana mwishowe atatufundisha na sisi kuvuta bangi BIG UP KWA STORY

  • @nabilarashid4405
    @nabilarashid4405 4 года назад +2

    Sauti nzuri sana kaka usivunjike moyo unaweza na utakubalika tu

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 4 года назад +4

    I like it Asante

  • @yassersahin6639
    @yassersahin6639 4 года назад

    Jamaa kajitahidi. ILA mtiga Bado namba 1

  • @yunusjum494
    @yunusjum494 4 года назад +6

    never give up broo watakukubali 2

  • @stevenchenga1978
    @stevenchenga1978 3 года назад +3

    Ingependeza siku moja kuona watu wa Tz kuwa na heshima na upendo wa hivi juu ya *Diamond Platnumz* maaana ndo #tunu tuliyobakiwa nayo Tanzania🙏

  • @doglassgerald9663
    @doglassgerald9663 4 года назад +1

    Upo vizuri kaka sikupigi kwa hilo

  • @farajastanley3480
    @farajastanley3480 4 года назад +40

    you are such an amaizing story writer asee more than genius

  • @suleimanbakar3376
    @suleimanbakar3376 4 года назад +2

    Nimependa hii story sanaa

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 4 года назад +65

    Dah...story ni nzur ata mtangazaj yupo vzur....ila shida ni mazoea...2meshamzoea Mtiga....ladha tofaut,,itatuwia vigumu kukuzoea ila keep up the good work bro...🚶‍♀️🤝

  • @husnasalum9700
    @husnasalum9700 4 года назад +2

    Binadamu wallah hatulidhiki Jamal uko vizuri kuliko mtiga unatumia akili nyingi Na umeendana Na nafasi yako go boy

  • @yolamshaban4387
    @yolamshaban4387 4 года назад +10

    King of love king of Bollywood......heshima kwake.🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗...

  • @eliaskashimba7884
    @eliaskashimba7884 4 года назад

    Duh ii story waga nai check Mara kumi kumi nasichoki coz naipenda sana

  • @niccolomachiavelli6057
    @niccolomachiavelli6057 4 года назад +32

    Big up sana Mtangazaji upo vizuri sauti nzuri na unatamka vizuri maneno ya kiswahili. 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 keep it up mzee. Binafsi naona hata mtiga hakuvifikii

  • @sikukuugudeh6327
    @sikukuugudeh6327 4 года назад

    Uko vzur jamal big up na nyinyi mnaolalamika kama sio mashabiki wa story book sio lazma msikilize ikumbukwe huyu ndio alikuamuandishi mtiga alikua wakusimulia

  • @alexsandrinerphilip972
    @alexsandrinerphilip972 4 года назад +4

    Kaka keep it up......... Umeweza maneno ya watu yasikuchanganye maana binadamu hatujuagi kutia moyo tunajua kuponda na wengine wanaongea kutokana na mazoea ya mtiga ila upo vzr mm nimeelewa mno

  • @akshaydavid159
    @akshaydavid159 4 года назад +1

    Umesahau movie moja nzuri sana inaitwa Devidas.

  • @mwajumaabdallah5252
    @mwajumaabdallah5252 4 года назад +85

    Mtiga knows how to tell the story... Bring him back, sauti yake inafanya story iwe nzuri

  • @kingcripper7342
    @kingcripper7342 3 года назад

    Nakubali xana sharkan w unajua

  • @silvanomajani8055
    @silvanomajani8055 4 года назад +6

    Ahhh mmefeli pakubwa xana wasfi

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim 6 месяцев назад

    Kama unapenda Uchambuzi Wa Kina Kutoka Kwa Professor Jamal April Gonga Nyundo Ya Like ❤

  • @brendaderick1965
    @brendaderick1965 4 года назад +4

    My fav actor❤

  • @_angelstormy
    @_angelstormy 2 года назад +2

    He is the best # king khan❤

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 4 года назад +6

    Yaan hadi nimeichukia the story book... tuludishien mtiga abdala bhana

  • @peterjdaniel3849
    @peterjdaniel3849 4 года назад

    Asante wasafi the story book

  • @bilalybarisesa5206
    @bilalybarisesa5206 4 года назад +8

    Twamtaka Mtiga Abdallah sie🙌🙌🙌

  • @allymahmudi2928
    @allymahmudi2928 3 года назад +2

    This is a example of all peoples

  • @slimdadybaishe8948
    @slimdadybaishe8948 4 года назад +4

    Jamali mdomdg ndo mwendo una kwiva broo uko vzr"

  • @hildamasonda3243
    @hildamasonda3243 4 года назад +1

    Jamal unajua sanaaaaaa professor 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🔥🔥🔥

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 4 года назад +7

    @14:41
    The Idol becomes rival💪💪💪💪

  • @annalisejacksonmapessa381
    @annalisejacksonmapessa381 4 года назад +2

    Asante we Kaka

  • @nehemiakiswaga1819
    @nehemiakiswaga1819 4 года назад +12

    Kama unasikiliza na kusoma coment huku hii Sauti haikuvutiii gonga like

    • @Mad1netv
      @Mad1netv 3 года назад +2

      Umepata likes ngap had sasa?

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 3 года назад

      Sauti hiii imekua mtihani

  • @sundayjonki7689
    @sundayjonki7689 4 года назад +1

    Jamar mtiga uko vizur Sana broo tumpe sapot wadau

  • @ruqaiyamusty4877
    @ruqaiyamusty4877 4 года назад +36

    Unajua Sana broo wee piga kazi nimependa Sana unavyo simulia ila watakuzoeatu maana sisi wabongo atunaga dago

  • @ligikuutv5309
    @ligikuutv5309 4 года назад +2

    Hii ni moja heavy leat Sana Jamal April

  • @tawaloharuna4885
    @tawaloharuna4885 4 года назад +6

    Amazing story bro,,,,,keep it up

  • @jumannemaziku9434
    @jumannemaziku9434 3 года назад

    Dah! Uko vzr sana

  • @officialmawn307
    @officialmawn307 4 года назад +6

    Jamani msilalame sasa kumbukeni huyu jamal April ndo huwa mwandaaji wa kipindi cha the story book. Inamaana yeye ndo anaandaa story na hata sauti ya ntiga yeye ndo anaipangilia vyema. Ndo maana vionjo vinaendana maana yeye ndo anaujua msuko mzima wa story na sauti. Pia hakuna ubaya yeye kupata airtime kufanya kipindi maana hakuna mtangazaji aliepangiwa kukaa sehemu 1 daima. So yuko poa ktk pande zote maana anaandaa story na anajua kuisimulia.

  • @beatricechami1404
    @beatricechami1404 4 года назад +2

    Mafanikio na kufeli vyote in sehemu ya maisha

  • @victorkafyulilo7919
    @victorkafyulilo7919 4 года назад +4

    Waaaah 5

  • @emanuelrichard3902
    @emanuelrichard3902 4 года назад +1

    Jamal yuko vizr tu wabongo ndio maana hatuendelei kila wakati mmekazana mtiga mtiga basi mfateni aliko. acheni mambo yenu bana kama unaona story za jamal si nzuri acha kuangalia wengine tupo tutaangalia na kufatilia story zake. Mwenyezi Mungu ndie anae toa riziki watu mmejaa nafsi yeusi zaidi ya mkaa mtiga kaondoka kwenye kipindi mnaanza kumsema vibaya jamal kua hajui mnaboa sn

  • @hilalijafari7405
    @hilalijafari7405 4 года назад +17

    Mtuwekee story ya sunny deol

  • @shabanishila3961
    @shabanishila3961 3 года назад

    Nakukubali sana Jamali mustapha

  • @julietjotham8812
    @julietjotham8812 4 года назад +10

    Love for King Khan💓💓💓

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 4 года назад +1

    Bro umeelezea uzuri keep it up hao wamezoea kukariri

  • @jalvashrrydejunior5943
    @jalvashrrydejunior5943 4 года назад +16

    Mtiga anajua jamani lakini huyu jamaa kajitahidi sana kiukweli nimependa usimuliaji wakee

  • @selemanidugilo1542
    @selemanidugilo1542 4 года назад

    Mtiga ndo noma sana anajua kusimulia

  • @winniekinasa2672
    @winniekinasa2672 3 года назад +4

    Amazing!

  • @REGISGUNNER001
    @REGISGUNNER001 4 года назад

    Asante sn wasafi tunaweza pata historia ya ally Arjun

  • @willygraphics360
    @willygraphics360 4 года назад +14

    TUSISIKILIZE TU STORY, TUJIFUNZE PIA, DAH! 😭😭 *MBALI NA MAFANIKIO ALIYONAYO, KAANZA VIBAYA MNO. ANGEKATA TAMAA TUSINGEPATA HATA STORY YAKE. TUSIKATE TAMAA HATA CHEMBE KWA KILE/ TUYATAKAYO MAISHANI*

  • @maulidiisihaka3877
    @maulidiisihaka3877 4 года назад +2

    Kulala ni masaa 4 masaa 20 yote kazi duh noma tufanye kazi asee💪

  • @ceo9784
    @ceo9784 4 года назад +3

    First 🔥❤️