Jamani vidole juu kama unaangalia 26/8/2020 tujuane ila jamani enzi zinaenda nazinapita wema alicheza vizuri sana halafu kalikuwa karembo ranging nzuri, Kanumba jamani alikuwa anacheza muv eti dah ardhi imetubebea wapendwa wetu wengi mnooo R.I.P kanumba dahhh
Wema, kwanza mimi ni big fn from Nairobi Kenya, i love your movies kwanza (Sent from heaven ) that's was very nice, kuna wamama wengine wana hizo tapia..... Alafu, mimi ni Somali kenya nina talent ya ku act... unenipa nafasi ningeshukuru pia
Still watching ,. 2023 Jan 21st , may Kanumba the great rest in peace,,,,, may our sweet God bless wema sepetu with a child,,,,, Ooooh Lord of Nazareth here her cry 😭.
Digito hapaaaaa nafanyaa sanaa rakini sijamfikia uh yuu .love brad love bradz .akuraze maharapema baba wa mbinguni kama kuna sehemu ulikosaa aone kama ujakosa
Kama move siko nice jamani Nawaomba tanzania yoote kila mtu Anaye Penda kanumba kama act wa moves zuri Ebu jalibu kuambia mungu jabo ziku zimeisha kanumba kukaa kusimu maombi tu pekee watu wa mungu plllls oba
Wema usiwe mnyonge ALLAH atakupa mtoto mwenye kheri na wewe. Mie niko znz umri wangu nina uwezo wa kukuzaa kabisa. Nimekuona kwenye uono wangu. Mie ni Mzanzibari mwenzio ni Mama kwako. Nifatilie kupitia hii filamu
Aisee hii movie naipenda sana kanumba alicheza muv jamani na Wema amecheza halafu wema alikuwa nzuri ranging nzuri jamani ardhi imebeba wapendwa wetu mpaka naogopa dah! R.I.P Kanumba
Ivi patawai patikana.muigizaji aliyezaliwa na kipawa cha uigizaji Kama Kanumba?bado movies za kila aina zipo ila sijakutana na lama Kanumba, we miss you! May you continue resting in peace
Endlea kupumzika kwa Aman Steven Charles kanumba tutakukkmba daima uliitangaza Nchi yetu.sichoki kutizama move zako......haswa kwenye msimu..wa Valentine.. Hkika ulikua nakipaj..
I senk rait kama angekuwepo kaka yangu ndugu ya ngu kipenzi changu rafiki yangu yote yangu mungu amraze maharaa pema ndugu yetu kipenzi cha wa tanzania kwakweli akuna wakumfikia uyuu ja maa hapaa love bestr ....r.i.p.akuna kama wewe
Wanao TAZAMA movie hii 2024 naomba tujuwane
Mmi hapa kutoka kenya
Mm hapa mambow
Mimi hapa
Mimi hapa
Hello
Tunaojikumbushia movie ya kanumba & wema sepetu 2024❤
Tupo
Mimi hapa
Mimi hapa
tupo wengi sanaaaa jmn 2024 natamani kila siku niwe naangaria
Mim hapa
Now 2024 Bongo movie haijapata kama wewe Rip Kanumba😢 bado upo katka mioyo ya watanzania kibao nkiwepo mimi hpa❤
hata hapa Kenya twamkumbuka bado
Tunamkumbuka sana
Bukuku fundi 58:08
Ambao wanaangalia huku❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ wanasomaa koment
Nakumis Sana kanumba nimejikuta nairudia hii movie kuiangalia wema umecheza vzr Sana kasaut kako duuuu natamani uamuke hapo ulipo lala dah
2024 still watching,keep resting in peace kanumba
for real🥲🥲🥲
Tupo
Sawa tuko pamoja@@franciscalewa-u8m
Jambo
Jamani vidole juu kama unaangalia 26/8/2020 tujuane ila jamani enzi zinaenda nazinapita wema alicheza vizuri sana halafu kalikuwa karembo ranging nzuri, Kanumba jamani alikuwa anacheza muv eti dah ardhi imetubebea wapendwa wetu wengi mnooo R.I.P kanumba dahhh
Mm hapa 26.8.2021
2024🎉
Kuna mtamazaji kwa mwaka wa 2024?
Yeah nipo 30-4-2024 Saa 12:32 mchana
Nipo
Nipo rada mbaya
Tupo
Kama wote
Steven kanumba umeacha kazi nzuri Hatutakusahau daima😢😢😢
No one like you kanumba
R.i.p.kanumba.tunaoangalia 2021tugonge like jmn kanumba love and miss
2024 still watching 😢😢😢 rest in peace 🪦 steven
Rest in peas
Tuko hapa
❤😂
Tuko hap❤
Sijawahi kuchoka jamn hiz move za uyu legend kanumba ,,,,,wema unajua mama kuuvaa huusika 🙏
Tuliyo iangalia 2020 mikono juu mm kwangu naiona kama imetoka leo nawe kama unaiona nimpya naomba like hapo ili twende sawa
Pamoja sana
Tupooooooo
Tupo pamoja
Ario tanguriza ndio yatakayo msaidia
Umezaa wewe????
Wema Sepetu. Ni maigizo ila katika hali halisia nakuombea Mungu akujalie upate mtoto.
Mtegemee Mola Inshallah akupe mtoto
Amini
Kabisa!
Rip kanumba na paka leo wema anatamani mtoto😢😢i fell this penny
Duh my comment 😢😢
Nani anawatch 2023,rest in peace,,twakupenda tu sana❤️
Tuko wengi dear haiishi utam wallah ❤❤❤
Mimi huwa siichoki
Mini apa
Mimi
Mimi
🤗🤗🤗alie muona kabumba kamgeukia dada wa kazi 🤗🤗🤗🤗kumpa kichambo
Wema, kwanza mimi ni big fn from Nairobi Kenya, i love your movies kwanza (Sent from heaven ) that's was very nice, kuna wamama wengine wana hizo tapia.....
Alafu, mimi ni Somali kenya nina talent ya ku act... unenipa nafasi ningeshukuru pia
Picha hii imenifundisha mambo mengi sana, big up sana kanumba👏👏👏👏
Kanumba kiukweli umenijenga sana kimaisha ya mapenzi continue resting easy
Kanumba anajua kuigiza sana yaani mpaka huezi kuondoka juu movie n tamu sana
Tulio angalia enz za uhai wake sasa hv tunarudia gonga like apa twnde sawa
Jisjdndl
Siitaji chakula naitaji mtoto, RIP legendary kanumba
2024 Kanumba still a legend
Nani anawatch 2024❤
Kuna ya 2024
Mimi hapa🎉
Mim pia
Mm hapa
Nıko hapa
😂😂😂😂waalim wamevaa km daktari ila nmerud 2024 kuiangalia tn
Still watching ,. 2023 Jan 21st , may Kanumba the great rest in peace,,,,, may our sweet God bless wema sepetu with a child,,,,, Ooooh Lord of Nazareth here her cry 😭.
2023
Go
kabisa
Kanumba2023
Tanzania has lost 2 greatest men. Mr Kanumba and H. E magufuli. May your souls continue resting in peace
9ìp
Huyu nimusaniimkubwa wa AFRICA tumempoteza kaabisaa kweli mungu ampokeye tutamukumbukadaima
Ambao wanaangalia huku wanasomaa koment tujuaneee
Hey
Heeey
Pamoja cn wapenzi mpendao movie za kanumba lkn dua zenu jmn juu ya wema apatee mtt
Anna Mungure ee
@@annamungure5284 kweli
Wema roho yako nzuri Sana yaani hata in real life🥰🥰
Bdo naiangali Leo 10/12/2023 kanumba we miss u aky mungu akulaze pema 😢wema mama ulikuwa mrembo hpa mama pipi pia she is so cute
Kusema ukweli wema ana roho nzuri sana na inaonyesha sio kwenye muvi tu
Kabisa sijui amekwama wapi
Digito hapaaaaa nafanyaa sanaa rakini sijamfikia uh yuu .love brad love bradz .akuraze maharapema baba wa mbinguni kama kuna sehemu ulikosaa aone kama ujakosa
😭😭😭 mungu ailaze roho yako mahali pema peponi
Amiin
Badoo naangalia hii 2021 dah kanumba angekuwepo adi leo duuh. Continue rest in peace. Man
Jamani enzi hizi nilikuwa napenda sana bongo movies
Yaani hii filam kama imetoka jana tuu
Who's here waiting for the valentine's day 2021?........ continue resting easy Kanumba.
Me ✋🏿
n nuriii mnooo
King ginimb
This man is legend he will continue to be best in bongo movie and rest in peace Kanumba
Wema sepetu hapa alikua mzuri kuliko sahii kwa mbaya na shepu limeshuka
Tutakukumbuk daima milele guys team 2020 tujuane wadau wangu.
Nan mwingine anaiangalia 2024
Kaniba
Ni tarehe ya kifo chako leo 7 Apr, endelea kupumzika kwa Amani Amina
Jamani tuliomss kanumba like hapo haki kanumba naangalia move huku nalia
Kama move siko nice jamani Nawaomba tanzania yoote kila mtu Anaye Penda kanumba kama act wa moves zuri Ebu jalibu kuambia mungu jabo ziku zimeisha kanumba kukaa kusimu maombi tu pekee watu wa mungu plllls oba
kanumba your work will keep fiering forever.my mentor in acting
Wema km aliact reality yake humu mwanamke asiye zaa na ndo tatizo linalomsumbua adi sasa!but one day God will bless her
Wema c tasa ni mimba za kanumba alitoa kuishi maisha ya kujilaumu ndio sababu
Mdomo huumba usijitabilie mabaya
those watching from kenya and America drop your likes and comments here
Who is watching second December 2024❤ kanumba remain alive by his movie
You will remain a king of bongo movies kanumba! !!
2024 nani? Movie hii ni number one kati ya wa movie zake zingine. Kanumba pumuzika na amani.
Nime Miss kanumba arudi tena😭😭
Hakika...ulifaaa kuitangaza TANZANIA.... Endlea kupumzika kwa A man Steven kanumba..Tutakukmbka sana
Jamaa kweli pengo tena sana mungu amulaze ndg yetu,kipenz chetu mhhhhhhhh
Mmmh aise ntamkumbuk daima move Tam San hii......duu
Wema usiwe mnyonge ALLAH atakupa mtoto mwenye kheri na wewe. Mie niko znz umri wangu nina uwezo wa kukuzaa kabisa. Nimekuona kwenye uono wangu. Mie ni Mzanzibari mwenzio ni Mama kwako. Nifatilie kupitia hii filamu
No one like you Kanumba😘,,,and no one to be like you,,,,Mungu akulaze mahali pema Peponi,,,,
Amiin🙏🙏🙏🙏,
R I p
Wema sepetu is so talented
Bado naitizam 2024 ❤❤❤
Am still watching one of the best actor , we miss you kanumba
Yule anayeitazama kuanzia Agosti 11, 2020 bonyeza kidude au ujumbe...💪🏿❤️💪🏿
Aisee hii movie naipenda sana kanumba alicheza muv jamani na Wema amecheza halafu wema alikuwa nzuri ranging nzuri jamani ardhi imebeba wapendwa wetu mpaka naogopa dah! R.I.P Kanumba
Justina Pedro victorino
Your the best bongo movie acter rip Steven kanumba we will always remember you
X
Video
Mungu ailaze roho yko mahali pema pponi kanumba....movies zko aky nilizpenda cna
mung amraze mahar pema pepun
We all still love u our legend kanumba...R.I.P
Ni kweli hatuko nae lakin movie zake zinaish daima mic sana kanumba where are you kanumba??????
Kaunmba the legend, rest in peace. Wema Sepetu, may the Lord fulfill your prayers and the desires of your heart.
King of bongo movie rip kanumba
Exactly two legend Dr maghufuli and kanumba they used to be great pple , may God help Tz pple
8 years gone. Mungu akuweke pema mkuu. 🇰🇪
u are till alive kanumba,bongo movie ya sasa ni ubabaishaji mtu
Kanumba broo RIP broo wema sepetu ,Lulu wote sai zzzzzzz
Ni,ngumu sana,kumsahau,kanumba
Nmemix kanumba joman bongo movie bila kanumba haiwezekani nmeamini
Umesahau madebe lidai
Hii move ni nzuri sana haijawahi kuwa ya zamani naiona ndo ya Jana kwa ukweli naifulahiya sana!
Still watching from Nakuru Kenya..a legend once existed.
Kanumba King of Bongo movie continue resting in peace
Kanumba your histories will not end.
Napenda anavyo Sonya😘kanumba our legend jamanii
2020 na Kama umekutana na hii kitu ukiwa Karantini tujuane.
Waoooo!! Happy to see u Broh by Bellah
Yes
Kumbe wema aliañza mda kujitabilia kutozaa duh Mungu amsaidie jamañ R.I.P Kanumba
Siamibi naitzama movie nahisi kanumba kama ameenda kutembea ataludi pumzika kwa Amani Steven kanumba.
Mic u kanumba
Wema katka ubora wake mashaallah 🥰🥰🥰🥰
Nan anawatch 2022 bado....rest easy Kanumba🥺🥺🥺
tupoooooo
Niko hapa
Xxxxxxxxx
Mimi hapa
So sad aki mungu tu airudishe uyu legend uhai manze tunamiss vbaya sana akii.. rest in peace africa legend😟🤨
Ivi patawai patikana.muigizaji aliyezaliwa na kipawa cha uigizaji Kama Kanumba?bado movies za kila aina zipo ila sijakutana na lama Kanumba, we miss you! May you continue resting in peace
Haitatokea hata cku moja ndo imeisha tu tunamuombea kanumba kwa mwenyez mungu aiweke roho ya kanumba mahar pema pepon amen
Gonga kama unawatch sai
Labda kidogo nabii mswahili au madebe lidai
Still watching your movier,legend kanumba ,continue resting in peace
Uliacha legacy nyuma marehemu stive naipenda sana movie zako
When i watch kanumba movie i fell my heartbreaking in hakuna kama yye tutakuenzi daima kenya ulifanya vjana wengi wapenda kuingiza
Siri Yangu nitumie no
Sijawahi angalia hii movie 🥹I got a chance today #2024
2021. Tujuane tena jaman turio ingia hku. I like bongo mv😘
Tuko wengi kumbe
@@evaevy3313 sana
R. I. P kanumba utakumbukwa daima
Endlea kupumzika kwa Aman Steven Charles kanumba tutakukkmba daima uliitangaza Nchi yetu.sichoki kutizama move zako......haswa kwenye msimu..wa Valentine.. Hkika ulikua nakipaj..
Wema and Kanumba they made the best couple ever ❤
Yani bado naitazam ingawa amefariki❤❤
I'll not tired to watch this,, wema congrats good talent🥰,,,,,.. n kanumba just rest well
Jamani tunajikumbushia movie ya kanumba na wema sepetu
R.I,P One of the best TZ actors died young
We rem him in universal
Kama Kanumba angekua hai, basi Afrika ingekua ya kwanza kwenye movie
My heart bleeds moment l see Stephen Kanumba ,one of the greatest actors ever
Hey guys
Kipindi ichi cha Valentine nimekumbuka move hii ya marehem kaka yetu kanumba
Daaaaaa wema umejua kuniumiza ulikua mvumilivu kwenye ndoa mpk raha
I senk rait kama angekuwepo kaka yangu ndugu ya ngu kipenzi changu rafiki yangu yote yangu mungu amraze maharaa pema ndugu yetu kipenzi cha wa tanzania kwakweli akuna wakumfikia uyuu ja maa hapaa love bestr ....r.i.p.akuna kama wewe
Niko nayiona rewo tarehe 12/mwezi wa 12/2020 yani inanivutiya🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sitaki chakula nataka mtoto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣RIP Steve kanumba