Peninah Jezebel's Daughter - Steven Kanumba & Jenifer Raymond (Official Bongo Movie)

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 696

  • @GEORGECHILAGANE-r6u
    @GEORGECHILAGANE-r6u 10 месяцев назад +107

    kama tupo pamoja 2024 gonga like Rest in peace kanumba😥😭

  • @fridahmiruka2562
    @fridahmiruka2562 4 года назад +35

    Rip...mr kanumba..niwangapi tunawatch hii move huu mwaka 2021

  • @ramahmedy6302
    @ramahmedy6302 10 месяцев назад +24

    Kila movie ambayo kanumba alikuwa akitoa ilikuwa na mafundisho kwa mtazamaji ndio maana mpaka Leo movie za Steven kanumba zinaishi REST EASY LEGEND 🙏🙏🙏

  • @pablosaimable6969
    @pablosaimable6969 10 месяцев назад +18

    2024 still watching Kanumba's Moves

  • @dalali_unique
    @dalali_unique 10 месяцев назад +5

    Still am watching u a movies legend r.i.p kanumba ulitufundisha mengi sana kupitia sanaa kupitia maudhui tofauti tofauti dah I wsh ungekuwepo mambo mengi tunayakosa kwakweli 😢

  • @I_CAN_LOVE_AGAIN
    @I_CAN_LOVE_AGAIN Месяц назад +2

    7 DEC 2024 NIPO HAPA, NAELEWA NINI ANAZUNGUMZIA.......YOUNG BOYS AND GIRLS NEVER ABORT

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Год назад +31

    2023 bado tunanaangalia move za kanumba gongen like hapa.. rest in peace broo🙏

  • @AnitaDengwa
    @AnitaDengwa 10 месяцев назад +3

    I'm still watching kanumba movies 2024. we missed our legend

  • @meshackmuema3266
    @meshackmuema3266 Год назад +6

    Steve .. you deed your part ... we all say thank you ...
    For the legends in the streets and your work has not been delivered to many ... May God grant us favour to give what we have for the community and the whole world as general..watching 2023 from 🇰🇪 kenya

  • @apollinairenguz4039
    @apollinairenguz4039 Год назад +7

    Depuis la RDCongo,en effet j'ai beaucoup d'admiration à l'égard de Monsieur KANUMBA c'est un acteur que la cinematographie Tanzanienne ai jamais connu,met un j'aime👍 si ce vrai

  • @ryansawee3952
    @ryansawee3952 6 месяцев назад +15

    Leo tarehe 19/07/2024 Nakulaaaa chuma hapaaaaaa like kwa pamoja

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 4 года назад +76

    Kama unaangalia hii na kusoma koment 2021 like hapa

  • @boniphacemachage406
    @boniphacemachage406 4 года назад +15

    Nakumbuka mbali sana nikiangalia movie za kanumba niwangap tunaiangalia kipindi hii cha janga la corona naomba ugonge like

  • @isaackkipkirui7385
    @isaackkipkirui7385 8 месяцев назад +21

    Kama una Amini utafika 2030 ukiwa salama pika like

  • @samueltumaini3396
    @samueltumaini3396 3 года назад +9

    The Great Kanumba,,, Mbele yako nyuma yetu,,, Mungu azidi kuwa pamoja nawe mahali pemapeponi,,, 2021 I'm still watching..

  • @ladymunahmunah5153
    @ladymunahmunah5153 3 года назад +4

    Nimecheka sana mwishoni duuh bonge la movie tamu hatar🥳
    R.I.P Mfalme wa maigizo tz , we love you forever 😍♥❤ TUNAKUKUMBUKA.
    16.12.2021

  • @SarahTeana
    @SarahTeana 2 месяца назад +2

    Wenye tunatazama 2024 gonga like ya kumukumbuka shujaa wetu kanumba ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SyliviahMosomi-er2oh
    @SyliviahMosomi-er2oh Год назад +1

    Asanti kanumba ,ingawa ulikufa bado tunakupenda bro na movie zako kila siku tunaziona mpya kabisa.in peace may God have mercy on our bro steeph.

  • @shanizkanini1693
    @shanizkanini1693 3 года назад +4

    Nakupenda sanaa pastor Emanuel myamba 💖💖 kanumba pumzika kwa Aman🥺🥺mungu akupe mwanga wa milele🙏🙏🙏🙏

  • @lydiahboyani2275
    @lydiahboyani2275 6 месяцев назад +3

    Movie ya 2007 lkn mmh nawatch 2024 July 😂😊😊😊😊..... continue rip kanumba 🙏🙏

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 3 года назад +7

    Daaah ktambo Sanaaa bongo movie ilkuwa zamani bhn
    R.i.p kanumba umeondoka na bongo movie yote

  • @faithimani2329
    @faithimani2329 4 года назад +6

    Nampenda sana Pastor Right he always act like a pastor in the most movies..hakika ni mucha Mungu..he has good advise and i have learnt more verses from him God bless him🙏 Kanumba may your soul continue resting in peace..you did a great job..you didn't die but resited

  • @piscasassa2915
    @piscasassa2915 8 месяцев назад +9

    Le /28/05/2024 bado tupo wazee like zenu please wazee.

  • @emmanuelshaibu6403
    @emmanuelshaibu6403 Год назад +4

    He was the LEGENDARY, Kanumba Continue Rest In Paradise

  • @qambayt
    @qambayt 5 лет назад +20

    Ooh! Kanumba ww mbele yetu ss nyuma yako tulikupenda sana pa1 na filum zakoo

  • @wilberforceosore3182
    @wilberforceosore3182 9 месяцев назад

    Kanumba Mungu mwenye huruma na upendo apende kukueka pamoja na watakatifu wake. Amen

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 3 года назад +5

    Nakumc mnoo kanumbaa daaah😭😭😭😭😭😭😭

  • @rajabusungi5050
    @rajabusungi5050 5 лет назад +100

    Kama ulikuwa unamkubali kanumba gonga like hapo

  • @nintunzeloic9990
    @nintunzeloic9990 5 лет назад +41

    OMG!!!I can't believe this guy is gone forever!!!very young he left the world and the nation of Tanzania especially bongo movies lovers within me!!RIP bro Kanumba

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 4 года назад +4

    Kanumba ulikuwa jabali la film nchini hakuna wa kufananishwa nae miaka 1000

  • @kelvinpius-ue5hf
    @kelvinpius-ue5hf 2 месяца назад

    "Wewe eeeh! Agness,! Agness!, Angess!". Endelea kupumzika kwa amani Mr. Bongo movie❤❤❤!

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 5 лет назад +11

    😥😥😥😥Lala mahala unapostahili Kanumba wetu daima hatutokusahau ,na Mungu akusamehe dhambi zako

  • @lilimoswambu9934
    @lilimoswambu9934 Год назад +7

    2023 still watching from 🇸🇦 Saudi Arabia

  • @MbeshiKulwa
    @MbeshiKulwa Год назад +2

    Ata mm nakumbuka mbali sana

  • @YusuphMartin-ve5py
    @YusuphMartin-ve5py Год назад

    Bado tunazipenda muvu za kanumba mungu amuweke mahari pema peponi AMINA

  • @ernestialexander2640
    @ernestialexander2640 6 лет назад +11

    Hakuna kama Kanumba bongo move tz haina radha kabisa rip brother Kanumba the great amen

  • @imnickflavour2548
    @imnickflavour2548 3 года назад +2

    waah peninah sure umekosea mungu sana kwl Aah ata umeniboo sana

  • @frankcostantine306
    @frankcostantine306 Год назад +4

    Kanumba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu akuondolee adhabu ya kaburi kaka yang kanumba brother 😢😢😢😢

    • @RehemaIsrael
      @RehemaIsrael 10 месяцев назад

      😀😄😀😄😀😆😆😀

  • @channellechacha4177
    @channellechacha4177 2 года назад +14

    Bado naangalia movie zako 2022 R.I.P Kanumba 😭😭

  • @VeroUronu
    @VeroUronu 3 месяца назад +2

    Kama unaaangali hii leo tarehe 25/10/2024 gonga like hapa

  • @AlamnyakMosari
    @AlamnyakMosari 9 месяцев назад

    U never forget Kanumba in my life Mungu akutangulie mbele

  • @festoangolile5363
    @festoangolile5363 6 лет назад +18

    Tumekumiss xna big brother utadum daima mioyon mwetu tunakupenda Sanaa,,mwenyez mungu akusamehe upumzike kw Aman r.i.p Kaka yet😥😥😢😢

  • @amanimichael2047
    @amanimichael2047 4 года назад +8

    Mchungaji umejua kuunganisha maana hapo kama si neema na hekima ya mtumishi penina basi alikua hana chake pongezi nyingi kwa #KANUMBA maana alikuwa na kipaji haswa

  • @evansmurunga9483
    @evansmurunga9483 2 года назад +1

    Pastor right MUNGU akubariki Kwa hekima ulionayo katika filamu hii

  • @jescamundo7794
    @jescamundo7794 5 лет назад +14

    Mic u sana kanumba huwa sichoki kuangaliya mov zako jmn pumzika salama

  • @mkovzrmuscat7110
    @mkovzrmuscat7110 4 года назад +9

    Mwenyezi Mungu akulaze Mahal pema peponi jaman mungu angekuwa anaweza kukurudisha ungerudi lkn kila nafisi itaonja mauti mbele yetu nyuma yako pumzika kwa aman .Ameen

  • @merrymeenah8539
    @merrymeenah8539 4 месяца назад

    Kanumba alikuwa anapenda sana uchi mshenzi huyu 😅😅 Kila move analala tu na wadada 😅 ila tunakukumbuka sana 😢😢❤

  • @SherineShahrukh
    @SherineShahrukh 10 месяцев назад

    Femii nina hamu mwenzio ila kanumba haya bhana ulijua kutukonga nyoyo zetu ww🎉🎉❤

  • @RodgersSifuna-e4u
    @RodgersSifuna-e4u Год назад +2

    Rip kanumba tulikupenda sana 😢

  • @douglasetyang5023
    @douglasetyang5023 Год назад +5

    2023 I'm watching,this man was fully blessing

  • @edwinogutu9499
    @edwinogutu9499 4 года назад +16

    Rip kanumba you are the best bongo actor

  • @hamicmayai852
    @hamicmayai852 3 года назад +1

    Endelea kupumzika kwa Aman kanumba the greatest of all time in Tanzania 😭😭😭😭

  • @zawadimwaikuju
    @zawadimwaikuju 6 месяцев назад

    Kanumba kacha pengo kubwa sana kwenye bongo moves R, I p mwamba

  • @annastaziamarco5952
    @annastaziamarco5952 4 года назад +36

    Jama tujuane anae angalia 2021 .30..👍👍👍. Like hapo juu

  • @imanimallogo7163
    @imanimallogo7163 4 года назад +7

    Tutakukumbka daima my brother Kana kwamba uko hai
    R.I.P Kanumba

  • @NeemaStephen-oe4ww
    @NeemaStephen-oe4ww 9 месяцев назад +7

    Wenye tumetoka fb 13/4/2024 tujuane priiiiiiz 🤣🤣

  • @jasmineedamu6089
    @jasmineedamu6089 3 года назад +5

    Pumzka kwa Amani legend mungu akupunguzie adhabu ya kaburi inshaallah 2021✌️

  • @leahmax4908
    @leahmax4908 5 лет назад +7

    Kanumba. Tutakukumbuka saina I wish ungekuwa Hai bongo movie tamu Sana Enzi hizo

    • @josphinejebichii6882
      @josphinejebichii6882 4 года назад

      Kanumba angekuwa uhai bongo movies ingekuwa katika hatua nyingi e mbali sana

  • @juhudikihongosi3904
    @juhudikihongosi3904 4 года назад +10

    Baba mchungaji u mwingi wa hekima MUNGU akubariki sana 🙏

  • @paullnikolas5336
    @paullnikolas5336 5 лет назад +6

    Kanumba broo mungu akusamehe makosa yako yote ulikua head master wa kufundisha jamii mambo mema dah inauma jaman

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 3 года назад +2

    Unaposali "baba yangu na mungu wangu yesu kristo mwana wa Mungu unamaanisha nin pastor "

  • @veronicawambua2391
    @veronicawambua2391 6 лет назад +10

    Nitakukumba kanumba tuu xana filamu zako zatufunza mengi.rip our bro wee mixx u,god willing we shall mit again.

  • @edinahogeti7548
    @edinahogeti7548 2 года назад +9

    We can't find another legend like you kanumba RIP until we meet again

  • @MagidoMustafa
    @MagidoMustafa 4 месяца назад

    Always I watch kanumba movies ❤

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 3 года назад +2

    Asanteni saana 👏👏👏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @selemanmsangi6371
    @selemanmsangi6371 6 лет назад +7

    Daah! Hiii movie kitambo sana Enzo hizo kijijini kwetu kuna wanaomiliki TV wawili tuu, kipindi hicho kaore wako fireee

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 4 года назад +19

    Jamani hii movie ndo naangalia mwaka huu toka itoke like zenu jaman 2021

  • @jonathankitili6904
    @jonathankitili6904 6 лет назад +12

    Shujaa kweli napenda movie zake tu sana zina mawaidha mazuri, R.I.P dear brother kanumba

    • @arafahafid7684
      @arafahafid7684 3 года назад +1

      Heee mashalla umetisha sana kanumba pumzika kwa amni kanumba

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 Год назад

    Allah akurehem kaka yangu mpenzi 😭😭😭😭 mbele yako nyuma yetu🤗🤗💔🙏🏿

  • @berthabahati7329
    @berthabahati7329 2 года назад +1

    Waooooo mchungaj mungu akubarik sn kuirudisha ndoa

  • @yohanamorisi9027
    @yohanamorisi9027 Год назад +1

    Hakika Kanumba alikua anajua sana

  • @greklauryn6277
    @greklauryn6277 6 лет назад +18

    Jamani Wastara alikuwa mdogo na alikuwa bado hajapata ajali enzi hizo kweli hii movie ina a lot of memories

  • @ibkasofficiel438
    @ibkasofficiel438 2 года назад +1

    Rip Kanumba, niko hapa 2023

  • @Hadija-o5b
    @Hadija-o5b 9 месяцев назад

    2024 tuna angalia move za kanumba ,

  • @jamespeter6880
    @jamespeter6880 Год назад +2

    Wapi likes za pastor

  • @aminamfaume8992
    @aminamfaume8992 3 года назад +4

    Rest in peace Kanumba tulikupenda sanaa

  • @davido-scooper9471
    @davido-scooper9471 4 года назад +1

    Acha tuludie tu move hz maan hakun kazi nzr San Kam za kanumba#BONGO

  • @masoud-fk7982
    @masoud-fk7982 5 лет назад +6

    Movie mzur zimeisha sasa mana toka kufariki kwa bro wetu knmb. Bas imekua nitatizo kubwa ktk kupata movie sahihi,,

  • @magretnyadzua2281
    @magretnyadzua2281 4 года назад +8

    Lakini penina alivyoanguka ilikua really 🤣🤣🤣😹pole sana

    • @lechoignas261
      @lechoignas261 3 года назад +1

      pumzika kwa amani tulikupenda zaidirakini mwezi mungukakupenda 🙏

  • @AntonyStarboyOfficial
    @AntonyStarboyOfficial 2 года назад +1

    Bado napenda kazi alizofanya Marehemu Steven Charles Kanumba. Rip legend

  • @thiithurea5666
    @thiithurea5666 4 года назад +46

    *Wangapi Wamemuona Wastara Amevalia Pink Tugonge Like*

  • @MaryOuma-lv8xb
    @MaryOuma-lv8xb 9 месяцев назад

    Any kanumba c God angemasha😊

  • @samwelirobert2576
    @samwelirobert2576 3 года назад +15

    Rest in Peace Steve Kanumba

  • @valmocandy6818
    @valmocandy6818 4 года назад +11

    Mtaka yote hukosa vyote😂😂😂😂

  • @chrisking119
    @chrisking119 Год назад +1

    I real like Steve Kanumba's movies and I still watch them, R.I.P Kanumba. Ninahitaji jina la hiyo kwaya inayo imba, kwa anaejuwa jina la wimbo au kwaya ninaomba anitajiye.

    • @kyalomutinda4238
      @kyalomutinda4238 Год назад

      Hata Mimi ilinivutia sana tupate mtu atupee jina lake. By the way watu hawaja wahi fahamu pamoja na ubora wa uigizaji Siri za mvuto wa movie nyingi za Kanumba pia ilikuwa ni hizi sweet melodies.

  • @kighomajonathan
    @kighomajonathan 7 месяцев назад

    Mungu njoanajuwa

  • @LawrenceOnditi-xx4qe
    @LawrenceOnditi-xx4qe Год назад

    I apreciet the way Steven kanumba create me through his movies

  • @salumsitabasitaba2310
    @salumsitabasitaba2310 3 года назад

    Kanumba tulikupenda ira mungu alikupenda of zaid

  • @hoseastephen08
    @hoseastephen08 8 месяцев назад +2

    Rest in peace kanumba

  • @sirkomba
    @sirkomba 10 месяцев назад +1

    Favorite pastor actor

  • @SolomonMasibo-f3z
    @SolomonMasibo-f3z 4 дня назад +1

    Kweli hii ni Kali rip

  • @psmarty8719
    @psmarty8719 4 года назад +12

    2020....💥 gonga like 💥🌍R.I.P kanumba

  • @joelmuhindotaylor8465
    @joelmuhindotaylor8465 4 года назад +3

    Mungu aku laze pahali pema🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @mwajumaathumaniAlly-kd3qw
    @mwajumaathumaniAlly-kd3qw Год назад +1

    Nmkubli sana knumba

  • @macmuuo3737
    @macmuuo3737 2 года назад +3

    I loved him so much

  • @paulmayunga2006
    @paulmayunga2006 2 года назад +8

    Continues to R.I.P Steven Kanumba,my actor of all the Time!!

  • @stephenjulius984
    @stephenjulius984 4 года назад +5

    Umesababisha wengine hatuangalii tena bongo movi

  • @christinawillson8368
    @christinawillson8368 4 года назад +10

    Kanumba siamin kila napotazama muvi zako kama kweli umetutoka naumia kiukweli mpka leo

    • @abasissa7577
      @abasissa7577 4 года назад +2

      Nikweli

    • @lukasmabula3494
      @lukasmabula3494 4 года назад +1

      kanumba Hakika umefanyakazi kumbwa sana duniani mungu akusimamie popote uripo god bless you

  • @JohnnfusedjasualShoes-vc7so
    @JohnnfusedjasualShoes-vc7so 8 дней назад

    Bado tunazipenda move zenu

  • @SpencerJebril
    @SpencerJebril 5 месяцев назад +1

    Ivi awa wadada bado wapo ama pia walifuata The great huko kusikojulikana