White Maria Part 1B - Wema Sepetu, Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 516

  • @Sharmy_02
    @Sharmy_02 8 месяцев назад +23

    Who is here with me 2024,rest in peace kanumba

  • @AlanKimaro
    @AlanKimaro 4 дня назад +1

    Hakutokuja kutokea kama kanumba. Alikua mbunifu sana kwenye movies zake. Yaani alibuni, alitengeneza na aliweza kuendana na soko vzr. Angekuepo leo yaani sijui ingekuaje. Rip kanumba. Hatotokea kama wewe

  • @wkjshsxbbsbs6392
    @wkjshsxbbsbs6392 2 года назад +13

    Kanumba wangu Mungu atulize roho yako palipo pema pake2022 not tired of watching

  • @kuruthummaurid2080
    @kuruthummaurid2080 2 года назад +7

    nimejikuta nalia peke yangu nilipokumbuka ajali ya basi la shule mtwara wale wazazi waliozika watoto wawili inaumiza sana sana 😭😭

  • @gladysnjeri5271
    @gladysnjeri5271 3 года назад +13

    I loved the movie soo much mr kanumba if you didn't go that earlier I guess tz would be the best in bongo movies but we will never judge almighty for he has the final say Rip legend #Kenyan gal watching from saud

  • @DiviahDhemarley
    @DiviahDhemarley 10 месяцев назад +26

    2024 still watching kanumba najulinzanga je upekuwepo ungekuwa wapi maana ww nilikupenda sanaaa punzika kww amani

  • @uwimanaberthyna3086
    @uwimanaberthyna3086 4 года назад +18

    Kanumba na wema wangependeza sana kuwa mke na Mme hadi leo hiyi ingekuwa couple moja nzuri bala 🙈RIP kanumba 😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @muzungumpangile5979
      @muzungumpangile5979 4 года назад

      Tutabakitu tunaangariya maludio2

    • @frenkjohn1738
      @frenkjohn1738 3 года назад +1

      Mungu aiweke roho yaksnumbs malipema kanumba by

    • @frenkjohn1738
      @frenkjohn1738 3 года назад

      💚💙🤎💝💞💓💗💖♥️🧡🇹🇿

  • @rakiticadams5352
    @rakiticadams5352 Год назад +12

    This movie was so funny, I’m laughing every time I see Kanumba is running away of devils 😂 RIP legend

  • @Griffine-xw7ld
    @Griffine-xw7ld Год назад +4

    RIP legend kanumba I will never get tired of watching his movies

  • @davido-scooper9471
    @davido-scooper9471 3 года назад +31

    Jamaa huyu alikua genius San yaan una angalia move huku Moyo unadunda bado sijamuon wa kugusa hapa

  • @francemwanawesa5966
    @francemwanawesa5966 7 лет назад +36

    noma sana mweshmiwa kanumba miaka 100 yote utazidi kukumbukwa2 na hatakizaz kijacho kitakuja kuangalia movie zako kamwe kitakupenda pia

  • @SarahMsa
    @SarahMsa 3 месяца назад +3

    Bado naitazama 2024 rest in peace kanumba

  • @ZawadiAthumani-t5l
    @ZawadiAthumani-t5l 11 месяцев назад +16

    Nipo naitazama 2024 hainiish hamu

  • @zaitunihamidu5451
    @zaitunihamidu5451 3 года назад +24

    2021 mv Kali snaa sichoki kuangaliaa mv za kanumbaaaa🔥

  • @philipmutunga2719
    @philipmutunga2719 Год назад +2

    Napenda sana movie za kanumba na sijui kama nitawahi kosa kuziangalia forevar

  • @rashnassor1772
    @rashnassor1772 3 года назад +51

    2021 bado IPO juu white maria Allah akuepushie adhabu za kabri afanye kabur lako liwe na nuru yake inshaallah tupia like 2021

  • @blendeassan1852
    @blendeassan1852 3 года назад +4

    Pumzika kaka yetu tulikupenda. Hila mungu kakupenda Zaid I kila ya bwan libalikiwe Amina tuta kuku mbuka daima

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 года назад +20

    I can't tired of watching this movie, continue resting in peace kanumba 😭😭😭, you were so good with your actions

  • @BonifaceKitoo-sw5xy
    @BonifaceKitoo-sw5xy 3 месяца назад +3

    I believe you the most bongo movie artist

  • @muradazizi5359
    @muradazizi5359 2 года назад +7

    KDB from Moro Leo ni 2019 natumai mpaka 2039 pia watamkumbuka na kuicheki hii movie rest in piece naucheki hii movie nikiwa nipo zenj😓😓😓

    • @nancymilan7194
      @nancymilan7194 2 года назад

      Rip 😭😭 still remains in my soul,😭😭

  • @samwelpaul2874
    @samwelpaul2874 5 лет назад +6

    kaka kanumba mungu ailaze roho yako mahala pema peponi kiukweli pengo ambalo umetuachia upande uigizaji daah halizibiki nikiona movie zako hadi chozi linanitoka

  • @tashliny2178
    @tashliny2178 Год назад +28

    2023 still watching,Rest in peace kanumba😭

  • @consolatamakonjo3271
    @consolatamakonjo3271 Год назад +1

    Kanumba was a might legend really love your movies

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Год назад +3

    Wema sepetu bonge la demu❤❤

  • @mangalejnr2949
    @mangalejnr2949 3 года назад +6

    Anyone watching this legend....God you took a soul that was innocent...RIP kanumba..gongeni like

  • @davido-scooper9471
    @davido-scooper9471 3 года назад +62

    Kwa wale wanaochek hii 2021

  • @festokome5867
    @festokome5867 3 года назад +9

    I love this guy Kanumba . Let his soul rest in peace . Festo kome from Uganda

    • @dennissimiyu3495
      @dennissimiyu3495 Год назад

      Hello festoon it's simiyu from Jamhuri High school

  • @veryboyplatnumz3506
    @veryboyplatnumz3506 3 месяца назад +3

    19-8-2024 still watching Reist in 🕊️ kanumba😢

  • @reylamalambo7810
    @reylamalambo7810 Год назад +2

    Jaman kanumba mwee,😭 ntakukumbuka mpk mwisho wa dunia

  • @beaverboy9877
    @beaverboy9877 Год назад +3

    Kanumba still legend forever I like his movies❤

  • @zawadiomary997
    @zawadiomary997 4 года назад +15

    RIP kanumba Leo talehe 7,4,2020, kumbukumbu ya kifo chako MW MUNGU akufanyie wepesi 🙏🙏🙏

  • @abigailkimanzi4655
    @abigailkimanzi4655 Год назад +6

    2023 stii watching again and again kanumba the great RIP bro

  • @shredor9986
    @shredor9986 3 года назад +10

    Nani tuko pamoja 2021 INNALILAH WÀINALILAH RAJUN rest in peace kanumba 😔 😟 🙁 😥

  • @naimahussen3252
    @naimahussen3252 4 года назад +100

    Anae angalia hii 2020 gonga lice

  • @NasikyeZaina
    @NasikyeZaina Год назад +3

    I love his movie so much but God loves u more than us continue rest in peace

  • @AbdullahSimumba
    @AbdullahSimumba Год назад +3

    Is movie is my favorite kanumba I always remember you bro rest in peace

  • @redemtamukabi9560
    @redemtamukabi9560 2 года назад +1

    Waah kanumba kuact nayo ilikuwa umepewa kipawa na Mungu,I hope umeenda kuactia huko mbinguni,R.i.p

  • @salmaissa6217
    @salmaissa6217 2 года назад +13

    2022 still here napend hii movie hasa napomuona madam wema(Tanzania sweetheart) ...RIP Steven kanumba

  • @Gulftoto
    @Gulftoto 4 месяца назад

    I really miss this guy he was talented. May your soul continue rest in peace. Can't stop watching your movies they teach me some lessons

  • @wkjshsxbbsbs6392
    @wkjshsxbbsbs6392 3 года назад +4

    How talented you were about acting😭😭😭😭 kanumba still watching

  • @Young_boys24609
    @Young_boys24609 3 месяца назад +2

    Very good 👍❤❤

  • @ChristineNabwile-o5t
    @ChristineNabwile-o5t 3 месяца назад +1

    Tuko pamoja 2024 Bado nakumbuka kanumba rest in peace tumekumiss sanaa

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 года назад +29

    ee mungu mmpe dada yetu wema aizack sepetu mtoto ndio kilio changu Cha kila sikuu kwangu mungu wangu

    • @leysmajohn6850
      @leysmajohn6850 3 года назад

      Kwel

    • @vickieeddie2230
      @vickieeddie2230 2 года назад

      Hata mi natamani apate mtoto maadui zake wabaki mdomo wazi eeh Mwenyezi Mungu washangaze wajue

  • @LatifaLazaro
    @LatifaLazaro Год назад +7

    NILIKUWa naogopa nyie movie hii nisitumwe ndani nisikie keee natoka mbio kurud nje 😂😂😂😂😂😂

  • @amukelanimabasa1799
    @amukelanimabasa1799 4 года назад +26

    RIP STEVEN THE GREAT... WE ALL LOVE YOU, ASANTE SANA FROM SOUTH AFRICA.

  • @PhionaNabirwe
    @PhionaNabirwe 3 месяца назад +2

    Good for watching

  • @millyfifi8223
    @millyfifi8223 2 года назад +3

    Our légende Steven kanumba endelea kupumuzika salama

  • @veronicaesau7873
    @veronicaesau7873 Год назад +2

    Wema bila make up ànapendeza sana ❤️❤️

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 года назад +13

    Rest in peace kanumba 🙏

  • @lucywetete3160
    @lucywetete3160 3 года назад +1

    Mwanga wa milele akuangazie eee bwana na raha ya ya milele akupe roho yako ipokee radhi mbele za haki ... Steve Kanumba....tangu uondoke uigizaji wa Wema hujawahi kuwa vizuri kama kipindi kile mkiwa pamoja

  • @richykims3382
    @richykims3382 2 года назад +3

    Love this movie so much

  • @lucaspaul2728
    @lucaspaul2728 3 года назад +6

    Daima twakukumbuka mfalme wa bongo movie

  • @nasratanzania1690
    @nasratanzania1690 3 года назад +9

    Naogopa 😂😂naangalia usiku ndo shida

  • @benardmp.6977
    @benardmp.6977 2 года назад +8

    Can't believe the situation, rest in peace legend 😰💔

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 года назад +9

    I mic you my brother jmn dah 😭😭😭😭
    Uliitambulixha Tanzania kwenye mataifa na nchi mbali mbali kanumba mungu akupunguzie azab ya kaburi star wetuu hakika tutakukumbuka milele yotee 😭😭 RIP jasiri wetuu 😭😭😭😭

  • @lilbrezzy-qz4pu
    @lilbrezzy-qz4pu 9 месяцев назад +9

    Kama umekubuka kanumba like hapa 😢😢😢

  • @peninaotieno19
    @peninaotieno19 6 лет назад +26

    we love you kanumba but God love you more your memories are still fresh in our mind when I look at your movie
    rest in peace

  • @zaituniAli-b4i
    @zaituniAli-b4i Год назад +1

    nime mukumbuka sana kanumba

  • @AgustaMyinga
    @AgustaMyinga 6 месяцев назад +4

    Natazama 2024 yaani hii movie UKiangalia Hadi raha

    • @AlyaKahindo
      @AlyaKahindo 9 дней назад

      Mimi naichi kwacongo naifurahiya movie hiyi sana halafu huyu muchezaji alipatua nanini ili afariki??

  • @deodatuskessy6643
    @deodatuskessy6643 2 года назад +5

    Thus man was a magnificent actor i don't get image how far he could if he didn't die god rest him

  • @erienamichael8533
    @erienamichael8533 Год назад +3

    2023 still watching this movie 😭😭Rip kanumba😭😭😭

  • @superalfu7667
    @superalfu7667 4 года назад +23

    Tunaomba na magic house

  • @adelinaadoloph5311
    @adelinaadoloph5311 4 года назад +7

    Duuuuuu tunatakiwa kusimama na Mungu uchawi upo

  • @monicahsadera6828
    @monicahsadera6828 3 года назад +19

    2021and I am still watching this movie,,we love you but God love you more,,, kunumba your memories are still fresh in our mind may your soul rest in peace,,

  • @careenhasheem3182
    @careenhasheem3182 6 лет назад +15

    mganga amedamshi na lipstick😂😂😂😂. buh bro akee na sisi rest in peace.. we love you

  • @japhetkazungu291
    @japhetkazungu291 2 года назад +5

    Rip kanumba forever in our heart

  • @gdsneema1875
    @gdsneema1875 3 года назад +3

    Bos kaikimbia ofsi😀😁😀😀😁😁😁😁😂😂
    Na gari tena 😂😁😀🙂
    Kaikimbia

  • @marrybernadio4774
    @marrybernadio4774 2 года назад +28

    2022 am still watching this Movie😍 Rip Legend 🙏

  • @johnmwema5350
    @johnmwema5350 3 года назад +7

    Rip I peace kanumba, your legacy remains

  • @marykisengese3200
    @marykisengese3200 2 года назад +35

    2022 tuko wa gapi sasa like apa, 🙏🙏🙏🙏

  • @stevenkomba4621
    @stevenkomba4621 6 месяцев назад +4

    Naangalia sahiz hapa 2024

  • @sweetienadia837
    @sweetienadia837 4 года назад +18

    Rest in peace kanumba we still loved you so much brother

  • @merrymeenah8539
    @merrymeenah8539 3 месяца назад

    Kweli kizur hakidumu jamoon 😭🥺 yaan Hadi moyo unauma kwakwel 😔 pia alikuwa na saut nzur sana kanumb mungu ampe kaul thabiti inshaallha 😢❤❤

  • @talibali8664
    @talibali8664 3 года назад +4

    R.I.P Steven Kanumba umevimba katika kipindi chako cha filam Allah akujalie kila la kheri katika makazi yako ya Kaburini Ameen

  • @hamunajuto7123
    @hamunajuto7123 4 года назад +6

    Cjawahiii kumpinga uyo mtu

  • @maureenmakau9586
    @maureenmakau9586 Год назад +1

    Happy new month
    R.i.p kanumba
    01.12 .2023

  • @sebastianmutindasebajunior9137
    @sebastianmutindasebajunior9137 11 месяцев назад +1

    Nilimpenda sana kanumba rest in peace

  • @khairathjuma8174
    @khairathjuma8174 4 года назад +17

    Kanumba umenchekesha wallah ulvotoka mbio baada ya kumuona whte maria,,,😹😹😹R.I.P kanumb

  • @kennedyinonga3261
    @kennedyinonga3261 2 года назад +2

    Kanumba I use to love ur movies from kenya

  • @angelaernesti7324
    @angelaernesti7324 4 года назад +1

    Kanumba ulikuwa ni kioo cha bongo muvi mungu akulaze mahali pema peponi amina

  • @bathromeobalisimula7166
    @bathromeobalisimula7166 4 года назад +5

    Asante kwa kutumia jina zito CONRAD👏👏👏

  • @editeur9166
    @editeur9166 3 месяца назад +1

    2024 Niko apa ❤

  • @sayunimayage8283
    @sayunimayage8283 7 месяцев назад

    Daah kanumba kwakwel sidhan kama pengo lako linaweza kuzibwa na m2 yetite rest in peace

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 лет назад +4

    R.I.P Kanumba pengo lako halizibik 😢😢😢😢 umeondoka na bongo movie yako

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina Год назад +1

    Yaaann ni.tamu sana walahii mm upenda movies zake sana❤

  • @ShakaDavid
    @ShakaDavid Год назад +4

    Tunaofuatilia movie hii 2023 embu gonga like apo

  • @salomeezekiel5373
    @salomeezekiel5373 3 года назад +2

    Kuangalia hii movie muda wa kulala nitatizo kwakwel 😊😊

  • @Euniceroch
    @Euniceroch 10 месяцев назад

    Tu n'es plus, mais tes actions nous consoles. Kanumba Paix à ton âme.

  • @florenceakinyi9885
    @florenceakinyi9885 4 года назад +6

    We missing you kaka kanumba

  • @judyjudy2758
    @judyjudy2758 3 года назад +3

    This man was very talented,mey her sol continue rip😭😭😭😭😭

  • @aieshaborland8131
    @aieshaborland8131 2 года назад +1

    Steven kanumba Miss you

  • @makambomtambalasafari7607
    @makambomtambalasafari7607 4 года назад +9

    Rest in peace mu hero 🙏 Steven kanumba

  • @MwanahamisiHussein-w6n
    @MwanahamisiHussein-w6n 8 месяцев назад

    Kanumba we nimzuli upumzik Salam brother ❤

  • @irankundayeremia1563
    @irankundayeremia1563 6 лет назад +22

    Kanumba rest in peace we missing kanumba

  • @channellechacha4177
    @channellechacha4177 2 года назад +4

    2022 nimemkumbuka 🙆R.I.P Steven Kanumba

  • @JecentaEwoton
    @JecentaEwoton Год назад +1

    You the great rip kanumba

  • @mwanapekee-
    @mwanapekee- 7 месяцев назад +1

    Nipo naitazama 2024

  • @magdalinejuma2028
    @magdalinejuma2028 Год назад +2

    Still watching you 2023 kanumb rip tulikupend sana

  • @AddyTandika-t2o
    @AddyTandika-t2o 8 месяцев назад +2

    Wengine 2024

  • @RaymondJohn-zc1ny
    @RaymondJohn-zc1ny 6 дней назад

    Tujuane 2024 still watching
    RIP the greatest of all time