Safiiiii sana mtumishi wa Mungu!! Martha anaumia sana msaidieni kunyamaza kwake Kwa upande wa Joan anaogopa na upande wa mama yake Kuna kitu pia anaficha
Tupate wapi watu kama huyu. Kweli kabisa bora maumivu makubwa ila ukipona ni umepona kuliko vimaumivu vidogovidogo vya kila siku mwisho ni kuangamia tuuu kheri tiba tibu ili moyo wako ukiwa na amani utakuwa na amani ya milele
Kanisa lipigwe kwa mtu mmoja? Kanisa ni la Mungu wewe Na kanisa liko hai hakuna mkubwa zaidi ya Neno la Mungu neno la Mungu linanyoosha mtu yeyote uwe maarufu au usiwe maarufu Neno la Mungu ni moto 🔥 linanyoosha tu❤❤
Umesema vizuri Mtumishi wa Mungu Mwakipesile 🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻
Asante sana mtumishi wa Mungu, neno lako ufunuo tosha Kwa mficha maovu hapo baadaye. Nisaidie NAMI niwe mtu kutubu.
@@fridayignas kabisa Mungu atupe moyo wa nyama
God bless you kwa kazi unayofanya baba Mtakatifu anasema ukweli kabisa ❤❤❤❤❤❤
Nimemupenda upendo nkone anahekima sana
Amen en amen....Be blessed man of God...
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa kweli Christina shusho kakosea sana ndiyo maana kasemwa sana kwenye mitandao na yeye ni yule yule.
UBARIKIWE Baba yangu
Mtu wa graphics leo kafanya vizur sanaa hongera kamanda
kama ni upendo wa Mungu kwa matha basi ni ushauri huu, ubarikiwe baba kwa upendo mkuu namna hii, huu ni ushujaa kabisa
Safiiiii sana mtumishi wa Mungu!! Martha anaumia sana msaidieni kunyamaza kwake Kwa upande wa Joan anaogopa na upande wa mama yake Kuna kitu pia anaficha
Sawa kabisa mtumishi wa Mungu huu ni msaada mkubwa kwa Martha kama ana masikio achukue hatua mara moja
Na kwambia sijui tunaelekea wap watumish wa mungu kwa sasa wamekua wa hovyo sana mbalikiwa umesema kweli
Naomb like za Wa Tz wanaondelea kubarikiwa Na Huu wimbo
Nakuamini mwamba ! Haulembi haubembelezi
Kabsa asiogope jambo likae waz maisha yaanze upya ..
Nikweli baba martha kubali aibu ila uwe sawa na Mungu
asante mtumishi dawa ya mkosa nikwenda chini ya msalaba na kutubu na kuacha dhambi
Hii ni kweli martha ameshambuliwa na shetani akiungama atakuwa huru hakika
Mchungajii hapa nakuunga mkono umesema kweli ,ila kama vile umepoa ,nimekuzoea ukikemea sauti ya ukali
AMINA
Naipenda sana mitazamo yako
Anaweza hata kujinyonga bola aweke wazi yaishe
Matha mwambie awekewazi huyu mtoto
AMINAAA
Bora aweka wazi, ili usiwe mtumwa wa mtu martha. Tutakusamehe.
MARTHA ANAHITAJI KUPEWA UJASIRI WA KUWEKA WAZI.
Hapo pastor umesema kama mimi,matha anaogopa kumkemea joan asilopoke,but eri aroboke awe huru
Si ndio wale wale Mchungaji huyo aliye mtetea na huyo mtetewa baba mmoja mama mmoja hakuna cha ajabu wala hakuna la kushangaza
❤
Tupate wapi watu kama huyu. Kweli kabisa bora maumivu makubwa ila ukipona ni umepona kuliko vimaumivu vidogovidogo vya kila siku mwisho ni kuangamia tuuu kheri tiba tibu ili moyo wako ukiwa na amani utakuwa na amani ya milele
Mmja alitaka kulaumu wazee eti eamenyamaza eti atetewe matha. Inakaa uyu dgo n ndege wamoja wanaruka
Awekw wazi kwani niyeye wakwanza,
Nimeelewa sana dawa ya tatizo ni kulikabili
Kikolo ulikanunu fijo kyala akwimile
Kanisa inapgwa Dunia nzima jamani.Ombea kanisa
Kanisa lipigwe kwa mtu mmoja?
Kanisa ni la Mungu wewe
Na kanisa liko hai hakuna mkubwa zaidi ya Neno la Mungu neno la Mungu linanyoosha mtu yeyote uwe maarufu au usiwe maarufu Neno la Mungu ni moto 🔥 linanyoosha tu❤❤
Mithali 28 imeingia kichwani hiyo mpaka Mauti; mficha maradhi kifo kitamuumbua f. 13.
17:15 na Isaya 5:20 inakataza unafiki!
Kwwl Martha kakoseaa
ruclips.net/video/2dKbMW9BFz0/видео.htmlsi=5RE0sOjBY1qxXT7L
ONGEA MAMBO YOTE USIMUGUSE YESU YANGU WEWE MLEVI
Mwanzo ulionekana kumtetea matha kwa sababu na wewe mama yako humpendi nilijisikia vibaya
Tena???
Kwani mahubiri yamekua tu martha wa Tanzania.
Ndio maana akina Martha ni wengi
Kwan huna mahubili mbona
Ya Matha yamekubana sana nyie Dio mnayakuza
Kimekuleta nn kama hutaki kusikia
Martha ni mtumishi ww Mungu so lazima asemwe hadi atubu na kukubali kweli. Sasa tangu haya yalivyotokea kuna sehemu Martha amekiri na kuomba radhi?
@@furahachuma9039ataomba radhi ngoja atafute nguvu maana hili ni pigo na aibu kwake
Atupu tu
Bora aweka wazi, ili usiwe mtumwa wa mtu martha. Tutakusamehe.