Mbarikiwa atoa taarifa ya dharura kwa mch Magembe na wafuasi wake. CHONDE CHONDE.....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии •

  • @zawadimwaibako4065
    @zawadimwaibako4065 2 часа назад

    Mimi naomba ushauri huu usikilizwe na mzee Magembe kama kuna mtu atamfikishia. Amen

  • @nkanabodastan7887
    @nkanabodastan7887 14 часов назад +3

    Nawapenda sana Mbarikiwa, Magembe pamoja ipindueni Tanzania.
    Najua ipo neema kubwa ya kuwawezesha, NIPO UPANDE WENU.

  • @EricTrillz
    @EricTrillz Час назад +1

    INJILI YA MZEE MAGEMBE NDIO NILIYOKUWA NAISIKIA MIAKA YA 80 KTK KANISA LA MWANZO KABISA LA PENTEKOSTI BUGANDO LA MOSES KULOLA.

  • @milkajm4762
    @milkajm4762 12 часов назад +1

    Ushauri mzuri sana Mchungaji. Umegusa maeneo muhimu sana

  • @joelking3692
    @joelking3692 5 часов назад

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, unajua mara ya kwanza ulivosema ahame TAG sikuelewa ila sasa nimekuelewa vizuri

  • @richeljamesmosses9685
    @richeljamesmosses9685 13 часов назад

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu wanao ipenda dunia kawaida yao kukuponga lakini sisi wana wa maangano tunasema neno labwana ndio taa yetu mungu na akulipe kwa kazi alio kupa

  • @adventinandyanabo1615
    @adventinandyanabo1615 13 часов назад +1

    Mungu akubariki mbariwa, nimekusikia kwa makini mpaka nimelengwa na machozi

  • @B-S-S-P
    @B-S-S-P 5 часов назад +1

    Mahubiri na Nyaraka na Mafundisho ya Mbarikiwa ni mafumbo kama ya Paulo,Mtu wa mwilini ni vigumu kutambua badala yake utapotoka na kupotosha na kupotea(1Wakorintho 2:6-15).Muombe Mungu kwanza ,Akufungue masikio na macho ya rohoni kwa unyenyekevu ktk kujifunza utamwelewa sanaa

  • @HelbethMlelwa
    @HelbethMlelwa 3 часа назад +1

    Ushauri huu ni ukweli mchungu. Kuna baadhi ya mambo unayaongea humu ni vigumu kuyatimiza, ila nimejifunza mengi.

  • @krispinmalekela7848
    @krispinmalekela7848 Час назад

    Mungu hasta Muacha ndugu yetu. Tutachangia huduma yake kadri Mungu atakavyo tujalia

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 15 часов назад +2

    Ushauri mzuri sana sana.

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 14 часов назад

      Huu ushauri ni mzuri sana Kwa matengenezo ya kanisa ila vinginevyo?Ila Mungu anasababu na Maghembe

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 15 часов назад +1

    Kwa kweli umewatengeneza kweli kweli 🎉🎉

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 4 часа назад +1

    Chenga tupu kumbe kuna vitimbwi kama vile vilivyomo cdm

  • @TukaeSanga-z8q
    @TukaeSanga-z8q 15 часов назад +1

    Ushauri mzuri

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 12 часов назад +1

    Ushauri mzuri sana, lakini pia asisahau kuweka vazi la stara kwa mwanamke na mwanaume. Kwa kuwa wewe tayari umelifanya nashauri achukue tu kutoka kwako. Asipozingatia suala la mavazi itakuwa rahisi sana kanisa kuharibiwa.
    Binafsi namtakia kila la kheri katika kazi ya Mungu .

  • @RonaldOkulo-g6m
    @RonaldOkulo-g6m 3 часа назад

    Yap, also i perceived that

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 15 часов назад +1

    Sahihi baba

  • @hurumajosephat6333
    @hurumajosephat6333 14 часов назад +1

    Uko sahihi Baba

  • @ANDREA-k9p8u
    @ANDREA-k9p8u 5 часов назад +1

    Wanaoichukia TAG sasa wamepata mlango wa kuonesha yaliyokuwepo mioyoni mwao. Sasa mnachofanya ni kuipaisha zaidi!

    • @tutengenezemuziki
      @tutengenezemuziki 49 минут назад

      Mungu hulitizama Neno Lake alitimize,Sio kundi la Watu au Mtu
      Mungu anapoliangalia Kanisa Tanzania haangalii Dhehebu_

  • @MichaelAbel-m5y
    @MichaelAbel-m5y 8 часов назад

    Kwanini umeacha lnjili na kuongelea watu kung'aa na mengine mengine,au kuhubiri lnjili kama nia ya Kristo unayo; kusema sema watu badala ya Neno! Amen

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 часов назад +1

      Wewe hapa umesema miti au panya? Hakuna mtu aliyewahi kuhubiri bila kusema mema au makosa ya watu.

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 Час назад

      Amekuachia wewe ndiyo uhubiRI na sisi kazi yetu kukurekebisha kwenye makosa yako.

  • @ABELSIMON-z7w
    @ABELSIMON-z7w 13 часов назад +1

    UMEUPIGA MWINGI MTUMISHI ushauri mzuri sana NAMI NAKUSHAURI IKIKUPENDEZA TAFUTA MUDA UONANE NAE KWA SASA WEWE NI MSAADA MKUBWA KWAKE KIHUDUMA

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 4 часа назад

    Mungu huwezi kumpambania Mungu atajipambania Mwenyewe.Tujifunze kuheshimu maongozi kama tutajenga tabia ya kudharau maongozi ipo siku tutavuna tunayopanda na watakuja wenye mitazamo tofauti na wewe watakuasi mwisho minyukano.Dhambi ya uasi haitamweka mtumishi yoyote salama.Tukubali kuongozwa

    • @barakangogo31
      @barakangogo31 2 часа назад

      Kwahiyo hata Kama Ni uongozi mbovu uloharibika, unafaa uendelee kutii uongozi?? Fikiri Tena ndugu

    • @EricTrillz
      @EricTrillz Час назад

      Kwani ni sisa au serikali mpaka kuchaguana.Mambo ya dini ni ya kiroho.

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 10 часов назад +1

    KILICHO MTOA PALE NI MUNGU MWENYEWE NA NDIYE ATAKAYE SIMAMA NAYE KTK KAZI YAKE NA KWA UIMARA ZAIDI

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 9 часов назад +1

    Mpaka hapo amesha ng'aaaa, amefuata nyayo za Yesu amekua na hasila kama za Yesu alipo kuta wamegeuza nyumba ya Baba yake kuwa pango la walanguzi..

  • @eliudmwakaghali
    @eliudmwakaghali 14 часов назад +2

    Mch . Naomba kama itampendeza Mungu naomba utuandalie fundisho la kuhusu krismass je kimaandiko ikoje?

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 12 часов назад +1

    🎉

  • @jeremiakalekezi2301
    @jeremiakalekezi2301 4 часа назад

    Mtumishi Naheshimu Maoni Yako Lakini Ungekuwa Karibu Ningekupa Maini Yangu Juu Ya Hili Najuwa Ungenielewa Ila Kwa Kifupi Mzee Kashauriwa Vibaya

  • @meshackzegezege9893
    @meshackzegezege9893 13 часов назад +1

    Hilo tatizo la elimu,na fedha ni ugonjonjwa kbs upo sahih mchungaj, yaan mtu akiwa na pesa anapewa uzee wa kanisa au kitengo Cha maombi Kisa pesa ndipo tunapotea hpo upo sahih mchungaj hpo

  • @BraviusBenedicto-l7o
    @BraviusBenedicto-l7o 11 часов назад

    Keeling kabisa

  • @EricTrillz
    @EricTrillz Час назад

    HUYU NI MTUMISHI WA KWELI,YESU ATASIMAMA MWENYEWE JUU YAKE.KAMA KWELI WOOOTE WANAMTUMIKIA MUNGU MMOJA MASHINDANO NA KUBEZANA KUNATOKA WAPI???WENGI WAKO MWILINI WANAWAZA SADAKA TU.

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 3 часа назад

    Nenda ukawe katibu

  • @PeterSogoseye
    @PeterSogoseye 10 часов назад

    Kunyamanza nako nihekima mtumishi wa Mungu ushauri wako ungekuwa namaana sana kama ungeonana nae baba yako huwezi kumshauri kwenye mtandao

    • @JuliethMshiu
      @JuliethMshiu 10 часов назад

      Exactly

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 10 часов назад +1

      Hekima ya mashetani wote ni kunyamaza ili ushetani uendelee. Wewe hapa unamshauri kunyamaza Mch. Mbarikiwa mtandaoni kwanini hukwenda kuonana naye?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 часов назад +1

      Zaidi ya hayo Tambua kuwa tunashauri hadharani ili wote wenye moyo kama wa mtajwa wafikie. Zaidi sana hii ni kwa vizazi vyote. Walioonya na kushauri ndani ya Biblia tungeyapata wapi yasingekuwa hadharani?

  • @JuliasKaristo
    @JuliasKaristo 11 часов назад

    Ukosasahh mtumishi lakn Mungu hapendi mtengano bila sababu kama magembe angejitenga kwasababu ya mafundisho ingekuwa ni sawa lakn yeye anasema kanisa limepoa hiyo siyo sababu yamuhimu kwa babu yeye amuhubili ilitakiwa awashe moto ili kanisa ililud kwenye haliake

    • @PGM20179
      @PGM20179 10 часов назад

      point

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 часов назад +1

      Anapouwasha huo moto mnasema kuwa anawachafua au amewageuka, au anawatukana. Ikifika hatua hiyo Mungu hupenda matengano soma Ezekieli 12:1-4

  • @jacksonmkuye7739
    @jacksonmkuye7739 5 часов назад

    icon wa AKILI ya mbinguni Duniani

  • @LabanSimwinga-o7p
    @LabanSimwinga-o7p 9 часов назад

    Wako wapi akina eliya,danieli,yohana,Paulo, wako wapi waioogopa mapanga kwasababu ya kweli

  • @shillahmbogo5556
    @shillahmbogo5556 8 часов назад

    Mzee huyu Hana Dharau hata kidogo@Mbarikiwa

  • @gidionileonardi4959
    @gidionileonardi4959 5 часов назад

    Mch Magembe aling'aa tangu akiwa TAG na ndiyo maana TAG wameshiindwa kustahimili mnga'o wake maana Magembe alitaka kurudisha nuru TAG lakini wamekataa hivyo alivyotoka atazidi kung'aa kwa habari kutengeneza watu wakufanana nae hata wewe Mbarikiwa ukiwa tayari roho iliyo ndani ya Magembe iinakuja juu yako ukitamani na ukiwa tayari kulipa garama nk

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 10 часов назад

    unashauri vizuri.ila unaposema wazee inabidi wawe wanaenda na tune yake pa kucheka wacheke pa kulia walie.hapo. unakuwa kama unatengeneza marobot.hiyo sio nzuri sio lazima mtu akuoneshe ishara uson kuwa tuko pamoja

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 10 часов назад

    NA HASA HICHO UNACHO SEMA NDICHO AMBACHO AMEKUWA AKILIA NA VIJANA WARITHI WA KAZI YA MUNGU

  • @salomemgaya1244
    @salomemgaya1244 12 часов назад

    Wataka kutuambia Mzee Magembe kwa wakati wote amefanya kazi ya Mungu bila kuwa na watu wenye harakati kama zake ? Bila shaka anao wa kutosha .
    Kingine ni kwamba wewe ndo ulitakiwa kushauriwa na Mzee Magembe , Magembe injili yake inaeleweka ana busara sana .

  • @MathiasKunnanga
    @MathiasKunnanga 11 часов назад

    Samahani mchungaji hili andiko maana yake nn kama uchaguzi haufai Mithali 18:18
    [18]Kura hukomesha mashindano;
    Hukata maneno ya wakuu.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 часов назад

      Ni waovu. Yaani waovu ndio hukomesha mashindano kwa njia ya kura. Ila kwa Mungu ni uteuzi

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 9 часов назад

    Acha ujinga viti vya mbele ndo nini huo ni mtazamo wa ukomo wa kufikili kwako Yesu aliposema viti vya mbele hakuwa na maana ya kupiga marufuku kukaa viti vya mbele

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 часов назад +1

      Ila Mafarisayo kama wewe ndio hupenda viti vya mbele. Kwani ukikaa pamoja na wengine kawaida unapungukiwa nini?

    • @JibeMwaijibe-p1z
      @JibeMwaijibe-p1z 5 часов назад

      @Mbarikiwa_Mwakipesile wewe ni wa kupuuzwa tu utaratibu wa kikundi chenu hauwezi kuwa wa kanisa la Mungu duniani kote

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  3 часа назад

      @JibeMwaijibe-p1z kama ni wa kupuuza mbona unaamfuatilia uliyempuuza? Ujue wewe ndie mpuuzi

    • @RobertSilington
      @RobertSilington Час назад

      ​Nakuomba Sana mtumishi wa BWANA ujiepushe kuwajibu watu koment zao maan sio wote Wana Nia njema@@Mbarikiwa_Mwakipesile

  • @EmmanuelMbunda-m2e
    @EmmanuelMbunda-m2e 11 часов назад

    Magembe hilokanisa amesajili yeye?

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 4 часа назад

    Baba mchungaji Mwakipesile hubiri injili achana na Siasa mtandaoni naomba utufundishe njia Mungu tusaidie tufanyeje ili tufike mbinguni.Pia kwa maoni yangu kama unaona mtu anakosea mwonye hata kwa kumtaja na utaje kosa lake ambalo amekosea kulingana na neno la Mungu na umsaidie namna ya kurekebisha ili amwone Mungu sio kumchamba au mambo ya mitazamo hapo hapana sio lazima mitazamo yangu ifanane na mitizamo yako.Muhimu tufanane kwenye mitizamo ya Kibiblia vinginevyo tutakuwa tunafundishana kuwa uasi ni kitu sahihi

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 4 часа назад

    Hakuna jipya na wewe walewale tulishawasoma wote

  • @Fessie28
    @Fessie28 15 часов назад

    Mimi kama mwana TAG nina mengi ya kusema ila nashukuru Mungu amenisaidia kunyamaza 🙏🙏🙏 😁😁😁😁 sawa bwana mbarikiwa, kheri wewe uliyebarikiwa kuliko wengine😅

    • @beatricepaul1442
      @beatricepaul1442 14 часов назад

      Mtumishi wa MUNGU Mbarikiwa MUNGU Kama amekutuma kuonya kusema Sema kwa sauti kuu bila Hofu . Atakayesikia asikie. KRISTO ANARUDI. na tutashuhudia zaidi ya haya.

    • @Fessie28
      @Fessie28 14 часов назад

      @beatricepaul1442 😂😂😂😂😂😂

  • @paschalvenance1833
    @paschalvenance1833 10 часов назад

    Heri tumbo lililokuzaa wewe mtu wa haki.

  • @Officialjoel85
    @Officialjoel85 13 часов назад +5

    Huyu jamaa nampenda but the problem is : kwa nn amebezi sana kuongelea stories na maisha ya wengine … ivi ana mda wa kujenga kanisa lake au kulisha kundi lake ? There must be something wrong with him… kwa nn haonekani sana kuimarisha kituo chake … he’s a talkative person na angetakiwa kuwekeza sana kujenga kwake ili hao anaowakosoa wajifunze kwake but it looks like he’s busy with politics and gossiping

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  12 часов назад +1

      Sema wewe ndio unapenda Akiongelea wengine ila ukiingia kwenye live ya chanel hii utaona kuwa kila siku anahubiria waumini wake kwa masaa mengi. Zaidi sana hizo picha ndogo unazoziona juu kulia kwako ndio hatua na mfano wa kanisa lake lilivyo.

    • @PGM20179
      @PGM20179 10 часов назад

      Sidhani kama ana kanisa ni wakala wa shetani anamsaidia shetani kuua watumishi, kupandisha viburi vya watumishi ili wainue mabega kisha wafe

    • @mikbete
      @mikbete 10 часов назад

      You don' know him, you 're a mere person who know nothing about the man, you have no findings at all. Let him continue preaching the gospel of the kingdom.

    • @patrickmathiasnsalanga3401
      @patrickmathiasnsalanga3401 8 часов назад

      You complain on this man of God but you know nothing about him, he is a good person Yes, Mr mbarikiwa has full information of the kingdom of God. I have been following this man for five years now and dont regret. I want to advice you to continue following him to learn more about God. I have categorically changed since i knew him trust me.

    • @elibarikinzoggi5274
      @elibarikinzoggi5274 8 часов назад

      Ndugu hongera kwa kukoment, lakini nataka ujue jambo moja kwamba, kuna watu wana muda mfupi sana wa kupumzika, mufa mwingi wapo kushauri na kugundisha wengine!! Ni pamoja na huyu jamaa. So dont be quick kuongelea negativities with no clue.

  • @enocklugwe513
    @enocklugwe513 12 часов назад

    Hata Mimi nampenda Magembe. Lakini wewe unashida. Jitahidi sana kuongozwa na Mungu kwa Kila unachotaka kuongea. Maana wenye akili nzuri hawakuelewi, maana si kwakujipendekeza huko. Kwani amekuomba umsemee?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  12 часов назад

      Wenye akili nzuri ndio wewe? Mko wangapi mpaka sasa? Kwani wewe unapendwa na kueleweka na watu wote? Yesu, Mungu, shetani hapendwi na kueleweka na watu wote nani wewe unapendwa na kueleweka na watu wote? Hatusemi kwa aliyetuomba tuseme bali tunasema tupotakiwa kusema.

    • @mikbete
      @mikbete 10 часов назад

      Kwani amekwambia anaongea ili aelewwke? Yesu mwenyewe hakueleweka sembuse mtu wa Mungu Mbarikiwa. Kaeni kimya aongee, Mtu wa ZAMU katika zamu yake.

    • @endrewmwasomola6506
      @endrewmwasomola6506 7 часов назад

      Huna akili wewe,

  • @PGM20179
    @PGM20179 9 часов назад

    Ni waambie kitu Yeyote analisema vibaya kanisa la TAG, na huku mnafahamu fika kuwa ni kanisa ninalopinga na kukemea dhambi kwa washirika na watumishi jueni mnafanya kazi ya SHETANI. Shetani anawatumia bila kujua

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 часов назад

      Linapinga dhambi kwa maneno au kwa matendo? Kwa hiyo ni takatifu?

    • @danielshimora5315
      @danielshimora5315 6 часов назад

      Wanapinga kwa maneno ​@@Mbarikiwa_Mwakipesile

    • @michaelkibiki3309
      @michaelkibiki3309 5 часов назад

      Tatizo kubwa ni mitizamo tu wala sijaona kama Kanisa la TAG limeruhusu dhambi kanisani watenda dhambi kanisani wamekuwa wakishughulikiwa ila madhehebu mengi yamedhalishwa kwaajili ya mitazamo tu.Wewe aendelea kuwafundisha watu njia ya kweli ya Mungu.Achana na kujikita mtandaoni kuwasema vibaya watumish Wa Mungu kwaajili ya mitazamo yako sio Mungu mara utaje huyu na wakati ungeulizwa sema TAG wapi wamemkosea Mungu ili warekebishe utatuleletea mitazamo yako na wala siyo bibliai​@@Mbarikiwa_Mwakipesile

  • @isayakiyeyeu6295
    @isayakiyeyeu6295 11 часов назад

    Umeombwa kumshauri?

  • @VincentyohanaYohana
    @VincentyohanaYohana 15 часов назад +2

    Mch. Mbarikiwa. Wewe Ni mtoa Ushauri kwa wengine hila wewe sijajua Ni kwanini ahutaki Ushauri najiuliza hilo Sana Sana

    • @modestapeter2997
      @modestapeter2997 15 часов назад +1

      @Vincentyohanayohana LINI ULIMSHAULI AKAKATAA USHAULI WAKO? MLIKUTANA NAE WAPI? na ukikuta ushauri wako haujasikilizwa ujue umeongea Pumba

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  15 часов назад +1

      Kunyea mdomo sio ushauri. Hakuna mwanadamu mwenye kujimudu ambaye SI ZAO LA KUSHAULIWA. Kujua tu kusoma na kuandika ni zao la kukubali KUSHAULIWA.

  • @isayakiyeyeu6295
    @isayakiyeyeu6295 11 часов назад

    Ushauri wa mitandaoni si uende mkae uongee hayo?

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  7 часов назад

      Wewe mbona umeandika mtandaoni? Kwa nini haujaja kushauri kwa siri. Zaidi ya hayo Tambua kuwa tunashauri hadharani ili wote wenye moyo kama wa mtajwa wafikiwe. Zaidi sana huwekwa hadharani kwa ajili ya vizazi vyote. Walioonya na kushauri ndani ya Biblia tungeyapata wapi yasingekuwa hadharani?

  • @NABSONLAMECK
    @NABSONLAMECK 14 часов назад

    Mjinga wewe acha kufuatiliaa ya wenzio Fanya yako pia neno la mungu unasomea saaa ngapi muda wote kuongelea wenzako

    • @eliudmwakaghali
      @eliudmwakaghali 14 часов назад

      Mpendwa vp mbona unakuwa hivyo? Mbona katoa ushauri mzuri tu.

    • @gotafostv7305
      @gotafostv7305 14 часов назад +2

      Sasa wewe mwerevu unamsikilizaje mjinga ,block channel yake pita hivi ,na umejuaje na umemuonaje akiwafuatilia wengine kama siyo wewe pia kutumia muda wako kumfuatilia?? Nani aliyekuleta hapa?

    • @ABELSIMON-z7w
      @ABELSIMON-z7w 14 часов назад

      Nahisi WEWE ni TAG PIGA MOYO KONDE HUO NDIO UHALISIA

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb 13 часов назад

      Sasa amekosea wapi!? Mbona una chuki isiyo na 7bu?

    • @jacksoncharles5411
      @jacksoncharles5411 13 часов назад

      @NABSONLAMECK,naona kama una vinasaba na Beatrice Mwaipaja coz roho uliyenaye ni wa-kishetani kupitia coment yako.

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 12 часов назад

    🎉