BEATRICE amkataa CHRISTINA SHUSHO, amuomba MARTHA arudi kwa mama yake wayamalize

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии •

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 18 дней назад +5

    Asante sana dada Bitrice kwa kumuonya Martha huo ni upendo,lakini baada ta hapo huyu Martha aachwe ameambiwa sana sana na public lakini kanyamaza ina maana hataki kabisa,bas aachwe,wazazi wao wanuache tu,Mungu atawafungulia milango kwa namna nyingine ,maana huyu Martha sio yeye,huu ukimya sio wa kawaida mimi binafsi naona hii vita ni ya kiroho kwani martha ufaham wake umefungwa dhidi ya wazazi wake na ukute huyo anaemng'ang'ania Joan ni amemloga ukute ndo mana dada haskii,hajali,anadharau na kiburi ndo mana hajibu,wamiache na wamuombee ili afungiliwe akifungul8qa atarudi mwenyewe tu,vinginevyo anatafuta laana mwenyewe

  • @vincej9275
    @vincej9275 18 дней назад +5

    Mama ni mama. Wangu hayupo nasi. Gospel singers na wakristo kwa jumla ni lazima tuishi katika misimamo ya Mungu na ukweli. Lets love and take care of our parents.

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani 17 дней назад

      ruclips.net/video/AmU18P-n9_w/видео.htmlsi=RWJKjelGg-gwZM1c

    • @Mari89wx
      @Mari89wx 15 дней назад

      @@vincej9275 umesema vizuri sana, tusiwasahau wazazi na ndugu zetu

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 18 дней назад +10

    inawezekana wamemshauri private lakini hawasikilizi ndo maana wanakuja social media

    • @tumainichanya3268
      @tumainichanya3268 17 дней назад +1

      Ni kweli wameeleza wamesema tumekaa vikao vingi vya family lakini Martha amezidi kuwa mbali nasi na amezidi kusema sijaja kwenye mitandao Bure Ila naitafuta roho yako mwanangu uko wapi sijakuzoea kuwa kama ulivyo Sasa na sijakufundisha kuwa hivyo kasema roho yako haiko kwangu Mimi mama yako nani kachukua nafasi yangu kwako??ukweli naumia sana

    • @tumainichanya3268
      @tumainichanya3268 17 дней назад +1

      Huko private imeshindikana jaman wamemshindwa na bite kaona hana msaada mwingine zaidi

    • @linarchristian4960
      @linarchristian4960 17 дней назад

      Ndio social media iwasaidie nini sasa...

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 18 дней назад +26

    Wapendwa tumeongea sana kuhusu Martha Mwaipaja. Ni vizuri tungeacha kumuongelea ili apate muda ya kutafakari yote tuliyosema. Kuna watu hawapende kufanya kitu under pressure. Mpeni nafasi . Kikubwa Joan aondoke kwa martha.. SMS kazi yenu nzuri sana.

    • @Sarah-g9v4w
      @Sarah-g9v4w 18 дней назад

      Amesema Upendo, huwezi kuwazuia watu kusema mpenzi.

    • @Shaniatwain06
      @Shaniatwain06 18 дней назад +1

      Wamechambua wanayoyaona mitandaoni acha waongee hd awe kichaa kwa maneno ya watu😂

    • @ShedrackFaustin
      @ShedrackFaustin 18 дней назад +4

      Kwann watu wanyamanze ili ushoga undelee et,, acha ujinga

    • @salomemtwale5370
      @salomemtwale5370 18 дней назад

      Kabisa tumuache sasa kama hataki tutaongea hadi lini,watu tu wafanye tathmini, hvi kuna binti anaweza kumkataa mama?ma kutomjali?akajali mtu mwingine asiye ndugu?hii sio hali ya kawaida jmn,huyu dada sio yeye bali amefungwa huyu huyo Joan kamloga kabisa,na ili matha arudi ktk hali yake na kumrudia mama yanahitajika maombi sana ili afunguliwe,na pia maombi sana ya kumtenganisha na Joan, nje ya hapo hakuna utatuzi,matha akiwa na Joan hawezi kurudi kwa mama maana Joan anamloga na kuukamata ufaham wake,Maombi tu,na sasa wamuache tu wamuimbee,akifunguliwa atarudi kwa mama na akigoma anatafuta laana mwenyewe

    • @Mari89wx
      @Mari89wx 18 дней назад

      @ ni ajabu sana, mimi naipenda sana familia yangu na ndugu zani, miaka yote naka nje ya nchi ila nawatumia pesa kila mara kwani ukifanikiwa kwa lolote t usisahau ndugu , kusomesha watoto wa ndugu zetu ni jukumu letu sote kusaidiana wakati wote kwa lolote. Kama hataki muacheni kizuri dada yangu tumemsaidia kimawazo, anaonekana hajari kitu. Yakimkuta ndugu ndio wa kwanza kukusaidia

  • @JanuariTadeo
    @JanuariTadeo 18 дней назад +2

    Umeongea Vzriii sanaa dada

  • @JullyCosta-tf1te
    @JullyCosta-tf1te 17 дней назад +1

    😢😢👏Asante beatres na wote.

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 18 дней назад +4

    Hakuna kama mama

  • @dlmofficialtv6492
    @dlmofficialtv6492 18 дней назад +1

    Hili tatizo la Martha siyo ndogo
    Joan inavyo onekana ana picha mbaya zautupu pia duka limeankwa kwajina lake pia inaonekana kila kitu pale yeye ndiye Mumiliki sasa Martha anaogopa kuumbuka juu inaonekana kutokana na Msemo wa Joan Martha akimukana au akikiuka Masharit Joan ataweka wazi kila kitu
    MARTHA AWEMAKINI SANA KWA HILI:
    Jana kanisani ilionekana watu hawamwamini juu alifosi watu kusema Amen
    Iposiku Moja asipo yamaliza atapigwa mawe akiwa Madhabahuni au dukani nivema akalimalize aachane nahao waliyo shindwa asijifunze kwao.

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 18 дней назад +1

    Ila Martha nakwambia ukweri usipoenda Kwa mamayako sizani kama utakuwa na amani na uimbaji nenda Kwa mamayako kwajina la yesu

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 18 дней назад +4

    Hakuna kama mama ❤hata mm nimekaa upande wa mama yao bet na martha ustar una mwisho na unaisha lakini mama hata akifa bado wanaishi na sisi mioyoni mwetu

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani 17 дней назад

      ruclips.net/video/AmU18P-n9_w/видео.htmlsi=RWJKjelGg-gwZM1c

  • @adonis9664
    @adonis9664 18 дней назад +2

    Yan familia inabishana mtandaoni. Huji kusamehewa hata iweje, unajizibia ridhiki Manake nani atakupa kazi mropokaji, siku utauza Siri za kampuni. Yan sijui kukusamehe maisha

  • @MartinLawi-i7y
    @MartinLawi-i7y 18 дней назад +1

    Bitric ni mtoto kama martha
    Ivi kweli yeye niwakuweka nduguyake kwenye mitandao azalilike bitric tafuta maisha umusaidiye mama Mungu ndiye anajuwa ukweli apo

  • @paccyluck7581
    @paccyluck7581 18 дней назад +2

    I think, you guys are judging her a lot without knowing her side of story. And you already took a sides just for hearing other people talks before knowing what’s really going on.
    Obviously there is a problem within the family but the question is why they both decided to take their problems to the media before involving their pastors? Cause in the Bible there is a procedure on how to handle that kind of situation but it doesn’t seem to be followed.
    It’s like they are enjoying bringing her down instead of praying for her and seek guidance from people who are close to them. If you have listened to Matha Mwaipaji song you can definitely figure out that there is a lot things she has gone through and it has been her inspiration to sing those songs.
    Since we all don’t know the root cause of the problems they have. We shouldn’t judge or take sides. We should observe first and try to get the understanding of the situation.
    Helping her mom or not helping her mom that’s the decision for her to make, like it or not and she may have her reasons.
    The question to ask ourselves what’s the problem.

  • @byamungurashidi85
    @byamungurashidi85 18 дней назад +1

    Ivi niwaulize istory ya diamond na ule mze nasibu biliishiya wapi Kama mama dangote hasinge litowa jibu kamili ya baba muzazi wa diamond ingekuwaje ?ebu acheni dada wa watu ajitumikiye kazi ya mungu. Dada yangu Martha mungu akupe ekima dada yangu endeleya kuikala kimya walisemaka ivi uwe mwepesi wakusikiya ila usiwe mwepesi wakujibu watachoka watanyamanza siyo wa Tanzanie tu jo wanao tizama kazi zako

  • @juliethfrancis7799
    @juliethfrancis7799 18 дней назад +10

    Binafsi nakaa upande wa mama Martha, maana kwa respond za Joan Kuna red flag kibao. Mungu aingilie kati wayamalize vizuri hizi nira zishindwe kwenye family yao

    • @Mari89wx
      @Mari89wx 18 дней назад +1

      @@juliethfrancis7799 uko sawa kabisa, hata mimi nakaa upande wa mama.

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 18 дней назад +1

    Kama unashindwa kuwapenda wazazi wako waliokuuzaa utampenda Mungu kweli hata vitabu vya divi vyote vinasisitiza wazazi kwanza

  • @alumetili3669
    @alumetili3669 18 дней назад +2

    Sikio la kufa halisikii dawa ebu mwacheni sasa tuongelee mambo mengine

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 18 дней назад +2

    Mama ni mama kila siku kama kuna mikataba uko amefanya hamna faida yoyote ya ku mtenga mama

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 17 дней назад +1

    Hakuna nafasi ya mama duniani lakini mama zetu wengi wa Kiafrika upendo hawana na huwa wanadhani ukishazaa ni lazima mtoto akutunze na chochote mama unachosema mtoto aseme ndio bila kufikiri na kukubali. Thats is wrong.
    Ni vyema apatane na mama yake lakini mama tafadhali jitafakari.

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 18 дней назад +5

    Mama ni mmoja tu ila baba unaweza kuwa nao hata 10

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 18 дней назад

      @@RehemaMasunga-ml7kt Una baba wangapi ndugu yangu wewe?

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 18 дней назад +2

    Nyie mmesikiliza upande wa Martha, Martha ameongea wapi? joan akiongea ndo Martha? ushabiki maandazi, nyinyi ni wana habari hamtakiwi kuchagua pande yoyote mpaka pale pande zote zikitoa maelezo, journalism yenu ya chini ya mkorosho. ohoooo.

  • @terrence9477
    @terrence9477 17 дней назад +2

    Niseme ukweli, ninao aibu kwa namna watanzania wanavyochambua na kutafakari mambo, yaani ni aibu. Uchambuzi hauna weledi hata kidogo, sio waandishi, watu wa kawaida hadi wachungaji, aibu kubwa sana hii. Kukurupuka mmh!

  • @NeemaDotto-d1b
    @NeemaDotto-d1b 18 дней назад +2

    Mama ako ana kupenda dada marth ndo maana mama ameomba msaada kwa watu iliufunguliwe na utambuwe uyo ni mama auwezi mama ukamnunua popote mama ni mama

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 17 дней назад

    Mimi pia nipo upande wa Mama❤😢

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 17 дней назад +1

    Nendazako weye njo muanzilishi wa uchochezi kwenye mitandao!tatizo la familiya sio kutiya mitandawoni!!Unafikiri akuna sababu?

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 18 дней назад +1

    Kabla kanisani nenda nyumbani Kwa mama

  • @billian1914
    @billian1914 17 дней назад

    Merry, merry Christmas to you all be blessed in the year 2025. Thank You for your Gossip Videos + co.

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 18 дней назад +1

    Private wapi,, vibinti vya sikuizi ni vishetani sasa icho kinashauri nn

  • @terrence9477
    @terrence9477 17 дней назад +1

    Dada una akili sana, hao wengine ni watrendishaji

  • @royappy3826
    @royappy3826 17 дней назад +1

    Mama ni mama

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 17 дней назад +1

    Weeeh mumeona video baby mlezi wa Martha maisha yao alisi wale watu nimatajiri hii yote ni kutaka tu kumuaribia Martha I'm telling guys go and watch the videos myself i have just finished watching

  • @salumntulo1589
    @salumntulo1589 14 дней назад

    Huyo bahati yupo hapo kkn uelewa mdogo

  • @peteragustino3450
    @peteragustino3450 17 дней назад

    Anaongelewa kwa sababu nikioo cha jamii

  • @YusufuMwandano
    @YusufuMwandano 18 дней назад +1

    Matha aende kwa mama yake akaombe msamaha wa kumkana mama yake.tayari hivyo ametenda dhambi

  • @noorrajpar3928
    @noorrajpar3928 17 дней назад +1

    Watakuwa na mahusiano ya kimapenzi sio bure wakubwa wataelewa

  • @STACY_KENYA
    @STACY_KENYA 18 дней назад +5

    Msitupe mawe!!!what Beatrice did is wrong it was her graduation not about Kumchamba dadake kwani brand si can buy those cars for Martha etc? She waited for an opportunity to expose her sister…

    • @ShedrackFaustin
      @ShedrackFaustin 18 дней назад

      Umalaya tu,, bite katuongoa wengi

    • @Mari89wx
      @Mari89wx 18 дней назад

      @@STACY_KENYA I agreed with you, she could talk about her graduation not to humiliate her sister public like that, she meant well, but her approach was completely wrong.

    • @veronicankhwazi7954
      @veronicankhwazi7954 17 дней назад

      Bit hakumchamba Martha

  • @FadhiliKato
    @FadhiliKato 15 дней назад

    Wanaume wazima munakaa kuongelea mambo ya familia Achen ufala kuna mambo mengi ya kufanya huyo mama apambane kivyake

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 18 дней назад +1

    Yawezekana ameambiwa sana ikashindikana so wakaamua iwe public

    • @terrence9477
      @terrence9477 17 дней назад

      Hajaambiwa ndio maana yule baba yao mlezi alisema ataitisha kikao cha familia, kumbe hakuwa hata kaonywa ila mdogo mtu alikuwa anaota tu gari ya mil 100 ya dada yake. Shame on her (beatrice)

  • @vincentjameskinogo3405
    @vincentjameskinogo3405 17 дней назад

    Ninyi SIMULIZI NA SAUTI mtafuteni Martha private kama kweli mnataka kuwekaka amani ndani ya familia hiyo.

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 17 дней назад +1

    Kiukweli upendo wa wazazi haupimiki kabsa,,,nimekuwa nikipga stor na vijana wenzangu Kwa ukaribu utasikia wanawasifu vizur wazazi wao hali yakuwa sisi tukiamini hao wazazi ni wachawi lakini wao waliwasema vizur Sana,,,,nilishangaa Sana na kuzidi kujifunza umuhimu wa wazazi KWENYE Dunia hii

  • @shanizuberi7984
    @shanizuberi7984 17 дней назад +1

    Uyo mwanamke nae anaongea utumbo Gani hapo mtoeni huyo

  • @terrence9477
    @terrence9477 17 дней назад +1

    Nyinyi hamjielewi nyie nanyi ndio hao hao. Hata mama yake amesema Martha amefungwa, anatakiwa kusaidiwa. Sasa mbona mnasema eti ajirekebishe,atajirekebisha vipi wakati anatakiwa kusaidiwa? Wachungaji jitambueni, kama kweli mnamjua Yesu, mlitakiwa kufunga na kumwombea.
    Martha hafanyi makusudi, kafungwa na ibilisi. Yaani sasa naanza kuona watumishi wengi ni wababaishaji tu, hata neno hawalijui. Yesu alipelekewa yule mzinzi,Yesu alifanya nini?Maandiko yapi nyie huwa mnayasoma? Mnajua kutoa pepo tu?

  • @okutebettina2509
    @okutebettina2509 17 дней назад

    Lakini ninapo angalia vile familiar ya matha inaishi kuna uwezekano matha amewaachilia vibaya

  • @michellekiilu621
    @michellekiilu621 18 дней назад +1

    Plz watazania mmuache Martha plz,mungu ndiye wa kuukumu pekee

  • @Theunitedeastafrica
    @Theunitedeastafrica 17 дней назад

    SNS mnachukua upande wa Mama kwasababu ni Mama. Ila ukweli hamuhujui. Kila binadamu anakosea. Me sichukui upande kwasababu sijui ukweli. Ni bora kusema wakae wayaongee ila msichukue upande wowote.

  • @Purity-zn9np
    @Purity-zn9np 18 дней назад +1

    Huyu anatumika na pepo kwani huwezi kumupigia simu ama ukatumia watu wengine kumpigia simu mpaka uje mitandaoni kwenda huko bure kabisa wewe😏😏 wewe ndiwe wajiona uko sawa kila wakati matha matha huna hekima kabisa

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 18 дней назад +3

    Mbona shusho ndio kakahaba kalikochangamka na kanamtumikia shetan

    • @Mari89wx
      @Mari89wx 18 дней назад

      @@Ibrahim-ne3in 😂😂🤣🤣😅, umeona alivyo jibiwa na wengi? Hatarudia kusema lolote, watu hawana haja nae kabisa

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 18 дней назад

      Kama alivo kahaba bibi yako

  • @SuzyMukhawana
    @SuzyMukhawana 18 дней назад +2

    Nakubaliana n Beatrice anavyosema👍

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani 17 дней назад

      ruclips.net/video/AmU18P-n9_w/видео.htmlsi=RWJKjelGg-gwZM1c

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 17 дней назад

    Huyo dada bahati kwema?

  • @pendothomas7885
    @pendothomas7885 17 дней назад

    Betreece timiza majukumu ww wote mmezaliwa.

  • @DorianeManirakiza
    @DorianeManirakiza 18 дней назад +4

    Sasa Martha mbona hasikiyi kwer uku rwanda tunaumiya sana 😢😢😢😢😢

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani 17 дней назад

      ruclips.net/video/AmU18P-n9_w/видео.htmlsi=RWJKjelGg-gwZM1c

  • @vincentjameskinogo3405
    @vincentjameskinogo3405 17 дней назад

    Bahati wewe unamjali mama yako.? Ninyi social media mpo kibiashara zaidi,mnataka kuuza habari

  • @DorianeManirakiza
    @DorianeManirakiza 18 дней назад +2

    Chouchou anamudanganya sana kwer rudi Martha 😢😢😢

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 18 дней назад

    Wewe dada hiyo plavet jet washajaribu imeshindikana mpaka imefikia huku ujue huko imeshindikana huko kwrnye kanisa Lao wameshindwa wee vp

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 18 дней назад +1

    Asante beatrice mungu akulinde achana na wale wajinga

  • @Josephine-ln5er
    @Josephine-ln5er 18 дней назад

    Wewe mdada inamaana haujasikia babakemkezi kaongea? Baba yao mkubwa kaongea, nmama mdogo wao kaongea wewe ulitaka uprivet ipi? Au wewe ndo wale eskujipendekeza kwa Martha?

  • @adonis9664
    @adonis9664 18 дней назад

    Hizo biashara za hakuna kama mama ni siasa. Wapo wamama wanachoma, wanaua watoto wao na wanafanya mambo ya ajabu kwa watoto wao. Kikubwa upande wa pili inabidi uusikue

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 18 дней назад

      Wewe ni matako hata iweje mama Hana mbadala

    • @PendoMarco-x3u
      @PendoMarco-x3u 18 дней назад

      Hakuna kama mama inamaana kubwa sana, amekubeba miezi 9 ata kama aweje mwanaume hawezi kubeba

  • @terrence9477
    @terrence9477 17 дней назад

    Wote nyie hiyo story inawezekana hamuielewi au mnataka tu iendlee kutrend. Martha anatakiwa kusaidiwa sio kumwambia arudi, anarudi vipi wakati amefungwa?

  • @byamungurashidi85
    @byamungurashidi85 18 дней назад +1

    Jaman ndungu zangu kwanini musimuache dada wa watu apate muda wakujichukuliya maamuzi, kwanza wa Tanzanie kwa nini munapenda kufatiliya maisha ya watu binafsi ,hata uyo hayo mashauri siyo yakuweka mutandaoni kwanini musimufate,chengine nyinyi munasema eti ule mutoto jo anamu control Martha kweli nyinyi watangazaji muache kusapoti ujinga apo kwani uyo mama alikuwa wapi wakati anatowa project zake zakwanza kufikiya apa alipo Léo?swali je johny kipindi icho alikuwa nimukubwa wakati anatowa ile wimbo yake inasema kuna wakati wakulia na wakati wakuomboleza mama alikuwa wapi ? Wakati mungu ana mufuta machozi eti unakuwa najililisha mudandaoni eti mimi mimi.🤔🤔🤔nawachukiya nyinyi

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 18 дней назад

    YA NGOSWE TUMWACHIE NGOSWE.KWA NINI HAMZUNGUMZII YULE MAMA WA TLP MAMA YAO ALIPOWAPELEKA??

  • @musamagulu2023
    @musamagulu2023 18 дней назад +1

    Hicho kidemu chenu hapo studio ni kijinga pia.
    Yaan mpaka hapo manake walishaanza nyumban private kumuomba lakin ikashindikana so kuja public ni drama tena?
    Kaoshe K yako mjinga wewe ulale

    • @AmaniModeste
      @AmaniModeste 18 дней назад

      🤣🤣🤣kidemu tena nachaka saana kbs

    • @musamagulu2023
      @musamagulu2023 18 дней назад

      @AmaniModeste hivi kweli alichosema Beatrice chenyewe kinasema ni drama au kinataka nacho kiki kifatiliwe

  • @Salmabah333
    @Salmabah333 18 дней назад

    People should stop ghosting Martha! The world would not hate Martha you know why? Martha has touched lives all over the World with her Angelic voice. Social media doesn’t fix families they shatter families. Let God be the judge! Leave this woman of God alone! She’s not on anyone’s payroll. We did not call her but God. She should have used her voice to do circular music but chose to use her voice to boost the kingdom of God, let’s respect that please. I read comments using translator. Please guys stop the gaslighting, let her be. Let her concentrate to deliver good songs. We are all sinners and have fallen short of His glory but ONLY by His grace we are made whole. If Tanzanians doesn’t like Martha, The world likes her and we want her. We cannot hate Martha! Every family have their own problems

    • @zeinababdi4757
      @zeinababdi4757 18 дней назад +2

      I don't care what lives Matha touched, if She neglected her own mother, She is nothing

    • @Elector-qt7xf
      @Elector-qt7xf 18 дней назад

      ​@@zeinababdi4757we don't care what you think,go fix your home and let Martha be

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 17 дней назад

      Your crazy

    • @Salmabah333
      @Salmabah333 17 дней назад

      @@zeinababdi4757 hellooooo! Leave Martha and face your own salvation. You are equally a human being like Martha that will stand one day before The Creator. What Martha does with her life is totally her business and not yours so I honestly encourage you to go get a life and stop hating on Martha. Martha did not tell you she was perfect. God Almighty is not looking for perfect people but the imperfect. If you haven’t sin then cast the first stone on Martha. We all do have our family problems that stinks more than Martha’s but so long as she’s an important figure in society, they’ll prefer to castigate her. That’s called hypocrisy. You guys are bitter souls, face your salvation and leave this peaceful woman of God the hell alone! Whether you like it or not Martha will continue to shine and reign. You did not call her to ministry Jehovah God did and God will back her up, true talk!

    • @Salmabah333
      @Salmabah333 17 дней назад

      @@lulanjamd3886 rather whose the crazy one here? You hating on someone you can never be. This lady has done you guys nothing. If y’all so desire in interfering into her family business, the least you could do is pray for her if you think she’s not doing the right thing. Different strokes for different folks! We all treat stuff differently that’s to show that, we are all humans and not Angels. Pray for her family and stop throwing stones pleasssseeeee

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 18 дней назад +1

    Acha umbeya dada. Mtegemea cha nduguye hufa maskini. Kitendo cha kuwa mnamtaja yesu huyu huyu mwana wa mungu. Ndo kinacho wapa shida mana hammanishi mnae mtaja kenge nyinyi. mmejificha kwenye jina la yesu?

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 18 дней назад

      Umeambiwa kuwa anataka amtegemee ndigu yake familia hawaelewan sasa kuna utumishi gan kama waliozaliwa wote hawaelewan acha kukimbilia kwenye mali iko wapi Msamaha kti ya ndugu au unapenda kuwaona wakitengema au hizo hela unazosemea ndio ukubalie kuwepo kwa mtengano kisa wanataka hela na hata hivo mama yake ni mama yake aliemzaa wala sio yile Joana hata akizitaka ni haki yake kanisa kwan joana anagomabnia familia kwa lipi kama sio macho y9te yanamtoka kwenye mali na fedha za matha angekuwa masikin angekubali kukaa kwa mrtha huyo joana

    • @Khalidniya380
      @Khalidniya380 18 дней назад +3

      Na yule Joan anaemtegemea asiekua nduguye tuseme aje?

    • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
      @EmmanuelNyinyigwa-m1o 18 дней назад

      @@Khalidniya380 wote hao wako Kwa jina la shetani?

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 18 дней назад +3

      Ndugu kwenye familia yameshashindikana ndani ya Miaka 6 ndomaana akayatoa adharani kusudi wasaidiwe na ulimwengu, uchungu wa ndugu aujuae ndugu, uchungu wa mwana aujuae mzazi ( uchungu wa mzazi aujuae mwana)

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 18 дней назад +1

      @@EmmanuelNyinyigwa-m1o acha roho mbaya nduvu yake mmoja anamlilia si kma wewe umezaliwa wengi na mama yake kawalea mkiwa hata hamuwajui lazma amlilie mawanae

  • @alexandrucarmen3185
    @alexandrucarmen3185 18 дней назад

    Watumishi wa mungu tena,mbona anaongea kama roboti😅😅😅😅😅😅

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 18 дней назад

    Heeeh beatrice mind your business leave martha on your mouth you don't who is go none because marth is know that shes doing betrice bad name betrayal name stop forcing her forgiveness is not buy force

  • @DICKSONTimoth-xk7rj
    @DICKSONTimoth-xk7rj 18 дней назад

    Hebu focus na maisha ya familia zenu acheni kubwabwaja maneno yasiyowahusu