Ndo nani hyu mbona mimi simjuwi...kwakweli CCM wanaupiga mwingi yaani wanashirikiana na serikali ya ruto kutupiga nyundo.sisi wananchi....sisi vijana wa kitanzania ....hatuna muhamko hata chembe hizo vitu tuwaachie wa bangladesh na kenya
sns now days miyeyusho xn..habar imeshatoka mda na huyo m2 amaeshaonekan tayr saiv mnakuja na info kuwa katekwa..niltegemea mngekuja na may b ishu ya kuonekan..you out of time..back n de days mlkuwa mnatoa news mapema bt cjui cku hz mmekwama wap?
Kwa Sababu Chadema Tundu Lisu ni Maria Sarungi ni sapota wake wache kufatilia uchaguzi iwe Story ya Maria Sarungi kula mitandao Maria Sarungi hana lolote nchini Tanzania watanzania wanamuona mdangaji tu
@@paulinewangila-cs6ys ni kweli. my dear, sie watanzania tuna upuuzi sana. dont even mind us at times. we dont even know what we are thinking. kazi kuandika vitu tusivoelewa. i hate such nonsence coming form us. its just childish. Tanzania hebu tukueni jmni khaaaa!!!
Utekaji upo kila mahali cha muhimu tujuwe marafiki wa kweli na mahali tunapokanyaga❤
It has shown that East Africa is working well watumwa wa wazungu waishe
Mbona asifanye harakati zake Tanzania... Aweke juhudi zake za kiharakati kumupigania Tundu lisu asipigwe risasi msimu huu...
Kiukweli ni mtu anaeipambania haki haijalishi nani anaeonewa hata ccm anawaonea
Watekaji wameonekana kwenye CCTV cameras.
Kenya utekaji ndo unaongoza kwa asilimi90😢😢😢😢
Alikuja kufanya nn kenya?
Kitu Kiki tokea kenya wametuzidi mumeitwa manake nyie wasafi sana eti
Your Tz government is responsible. Kenya has nothing to do with it coz there's no mutual interest.
@@salmabahati407government yenu ndo iko responsible 😂😂😂😂sisi sasa tumshike tumfanyie nini nasi mtetezi wetu😂😂😂aki tz mko na ufala
Mbona hizi habari kuchelewa hivi huyu msichana yuko nje
Twaitaji kiongozi kama Traore
Ndo nani hyu mbona mimi simjuwi...kwakweli CCM wanaupiga mwingi yaani wanashirikiana na serikali ya ruto kutupiga nyundo.sisi wananchi....sisi vijana wa kitanzania ....hatuna muhamko hata chembe hizo vitu tuwaachie wa bangladesh na kenya
Good
sns now days miyeyusho xn..habar imeshatoka mda na huyo m2 amaeshaonekan tayr saiv mnakuja na info kuwa katekwa..niltegemea mngekuja na may b ishu ya kuonekan..you out of time..back n de days mlkuwa mnatoa news mapema bt cjui cku hz mmekwama wap?
Kadada kazuri jamani jikalie kimya wng
Hao ndo wala midollar ya wazungu 😂😂 waache watekwe watetea mashoga hao
We unakula dola za nani
@FahadAbubakari-y3f Twende kenya ntakupa majibu kudadeq huu mwaka vibaraka wa wazungu Afrika sio chaka lenu tenaaa 🤣🤣🤣
@@StrongbowArrow2004 ooooh ok
kesha patikana tayari kaka
Kapatikana wapi?
Kumbe ni mtu mnzima tuuu kiumri.... Maana nimejaribu kuchek post zake tweeter unaweza sema 24 years old
Ni Kiki tu hizo watekaji wa kutengenezwa tu
Kwa Sababu Chadema Tundu Lisu ni Maria Sarungi ni sapota wake wache kufatilia uchaguzi iwe Story ya Maria Sarungi kula mitandao Maria Sarungi hana lolote nchini Tanzania watanzania wanamuona mdangaji tu
Watanzania tuacheni hasira za kipuuzi, sasa tunawalaumu nini Kenya? Hata kama walimteka but waliotaka atekwe ni Tanzania.
ni kweli, tunaupuzi wakijinga kweli...sijui ni ushamba? mpaka jirani wanatushangaa wanaona sie wapuuzi kweli..shida kweli yaani mmmmmhh!!!!
Hii michezo kwa ss tulosoma zamani tunaijua hi michezo.hata magufuli walimchafua hawa watu
Huyu mwanaharakati anatetea kina nani haswa?
Duh
Kiki
Kenya hawezi kupeleka ujinga uo hawa wote wanatetea ushoga
Hakuna cha kutetea ushoga,tunapinga vikali