Kajala amchana Stan Bakora kwa kusema amerudiana na Harmonize, aporomosha tusi zito

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 19

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 14 дней назад +8

    Safi sana kajala achane na ilo jilevi halijitambui kwanza litamuaibisha kila cku ilo jimakonde tapeli tu fyuu

  • @kamalkhamistz9172
    @kamalkhamistz9172 14 дней назад +9

    Alishtuka kama stan bakora anataka kurud mjin kupitia upepo wa kajala tujuwane😂😂😅

  • @MaryamOmarAbdalla-i8z
    @MaryamOmarAbdalla-i8z 14 дней назад +4

    Mi naic Abby wanataka kutoa nyimbo hamna lolote😂

  • @johnthesimba4764
    @johnthesimba4764 13 дней назад

    Duh dar kugumu😂😂😂

  • @Lewinglovbi6699
    @Lewinglovbi6699 13 дней назад

    Wanataka kiki ao😂😂

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 14 дней назад

    🤣🤣🤣🤣🤣 hawa machawa wa harmonize wanachekesha kweli

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 14 дней назад

    Jamani Mungu adhihakiwiiii tusije tukapataaa majangaaaa kama marekani los angeles waliyoyapataaa eti wanaomba Mungu kajala arudi kwa harmonize Eeh Mungu baba wa mbinguni wasameheee mwijaku na stanbakora hawajui walitendaloooo kesho tusije tukashangaaa nwijakuuu kawa mwanamke matako yake yameongezekaaa yamekuwa kama ya malaikaaaaa na matiti kaotaaaaa na stanbakoraaaa kichwa na domo lake likaongezeka zaidi

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz 14 дней назад +1

    Kajala ametukana kwasababu ya wivu kuona konde analishwa chakula na mwanamke mwengine

  • @OliverGodwinzakaria
    @OliverGodwinzakaria 14 дней назад

    😂😂😂😂Ila mwijaku jmn

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 14 дней назад +1

    Huyu stan bakora na mwijaku nazani walishapagawa sijui ni vichaa au njaa zitawauwa

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 14 дней назад

    Kitendo cha kumjib si tayar hapi kamuweka mjini, kwan Stan na hao machawa ukiwatukana wanajali bas

  • @FinleyFixedmatchesinTanzania
    @FinleyFixedmatchesinTanzania 14 дней назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 14 дней назад

    Aibu😂😂😂😂

  • @jonesbaraka7506
    @jonesbaraka7506 14 дней назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣

  • @riosingingandmore8224
    @riosingingandmore8224 14 дней назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂