Na Mungu awabariki na kuzidi kuwatumia Mbarikiwa, Cassian na wote wanaokemea hadharani Ili wote tujifunze KUTOKANA na makosa ya wenzetu,kwa Mungu hakuna ukubwa...atakayekubali kuwa mdogo(kwa kupenda maonyo pia)utakuwa mkubwa ktk UFALME WA Mungu...ni Bora ukosolewe hadharani kuliko kuikosa mbingu,binafsi nimejifunza pia Kutokana na haya yanayofunuka sasa...Mungu awape maisha marefu watumishi wa Mungu aliye hai.
Nakuombea magembe mungu akuongeze hata yesu alitukanwa wasamehe songa mbele niko naww onya na ukemee makatazo yote yaliokataliwa ndan ya mandiko simama imara.
Kama kuna mambo yameniumiza sana ni kuondoka kwa pastor Magembe, kama kuna mtu anabisha kwamba kanisa halihitaji uamusho basi ajitazame pia. Mungu hatishwi na vyeo. Magembe Mungu aendelee kukutunza simama na neno baba.
Roho ya babayenu Razaro dhidi ya Moses k.imeinuka tena kwa Mtokambali dhidi ya Moses M.kabla ya uwalibif lazima mtu Awe Mungu dhidi ya Mungu.Maonyo yatahesabiwa uwovu na uwofu utakuwa sheria na kanuni!.Yesu Anarud
Injili ya matengenezo ndio inatakiwa kwa sasa,watu wafue mavazi Yao kujiweka tayari kwa HARUSI ya MWANAKONDOO..TAG mmepoteza kwa tendo hili la kumuondoa mch.Magembe...Nampenda na Mungu azidi kumtumia popote atakapokua.
Kaka Mbarikiwa, umeeleza vizuri sana sana sana! Mtu ambaye anajiita mtumishi lakini hataki kusema/kusemwa, kukosoa/kukosolewa, kuonya/kuonywa basi huyo atkuwa yuko hapo mahali kwa maslahi yake na SI kumtumikia Mungu aliye hai. Mchungaji Magembe ni moja kati ya watumishi wachache (kama siyo pekee) aliyekuwa amebakia TAG baada y Askofu Kulola kuondoka. Mungu wa mbinguni amtunze sana ili azidi kuihubiri kweli ya Kristo kwa mataifa
Magembe was anointed elder with special calling there. His going must be prophetic big grieve to the Holy Spirit in tag. remaining elders there be careful am from Kenya. Am grieved too bt sijui n Kwa Nini the remaining leaders there be careful that anointed man Moses magembe is both anointed & apostalic figure even Kwa dunia na kanisa nzima
Nknaepastor mmoja tu ancar HANANJA.....Huyu busara n mafundisho yake yalinifanya nijue Mungu naishi nae natembea nae naamka nae nalala nae wachungaji niwatu tu wanabadrika wanaumiza wanakatisha tamaa Sihtaj tn kuhangaika n makanisa kama zaman Najitaidi kulijua NENO Nimekubali Kufundishwq n Mungu hyo inatosha ❤
Asante Mungu amakusadia umefunuliwa ngoja twendelee kusikikilisa Mungu ata mwaka wa mia Tano bk ilitokea matengenezo lazima Mungu awezi kupoteza watu wote masalia yapo kwaajiri ya kuitetea kweli
HUYU NDO MBARIKIWA NINAE MJUA MIMI. Mchungaji kwa mwendo huu wa utulivu katika kuelimisha hakuna atakae kosa hamu ya kusikiliza kila neno lako MUNGU AKUENDELEZE kwa mfumo huu ... MUNGU AJUAYE SIRINI ALIONGOZE KANISA LAKE ✅✅✅
Lakini Mungu aibariki sana TAG kwa utoaji wa sadaka... Maana inawezekana ndio kanisa pekeee duniani lenye orodha ya matoleo mengi,,, Wakati mwingine unaweza kurudia kwenye kikapu mpaka mara 8.
Mimi Ni mkatoriki lakini Huyu Mzee Magembe Nilikua Na mfatilia Kwa ukaribu Ushauli Msiyapuuze maneno Yake Ana macho Ya Rohoni Nihayo tu MUNGU Awabariki.
Viongoz ao ilo neno limewachoma na ndo chanzo cha kulivunja kanisa neno la Mungu ni upanga limewachoma wametahayari wanatetea brand badala ya kujiweka kwenye njia sahihi
Jambo la muhimu ni mtu kama mtu kusimama vizuri katika imani...ukiweka moyo wako zaidi kwa wachungaji na watumishi hawa unaweza kuacha imani,zaidi mtazame Yesu tu.
Shetani anataka kuutawala ulimwengu,anatumia nguvu kubwa kulivunja kanisa,ana wanunua wachungaji pamoja na maaskofu,shetani alimwambia yesu kama atamuabudu nakumsujudia atampa Mali zote zaulimwengu,je, naninyi wachungaji mmenasa kwenye mtego huo,magembe wewe nichombo chabwana yesu atakupa ujasili wakukabiliana na hii vita,utashinda
Mtumishi wa Mungu, Mbarikiwa hata kama nilikusikia ukizungumza huko nyuma lakini hapa umeongea pointi saaaaana,. Mimi nipo T A G, kiukweli tunateseka sana niombe viongozi wangu wakubali kushauriwa na wabadilike, kiukweli iko ICU
Yan leo hii mtu kukemea dhambi anaondolewa kanisani? Neno la Mungu ni kali na linakata sana,mmeikataa neema iliyo ndan ya magembe bas wataipokea wengine Magembe baba Mungu akupe nguvu zaidi ukazidi kuzikemea dhambi kwa uponyaji wa mioyo yetu
Sawa Mtumishi nimekuelewa, hata demokrasia sio mpango wa Mungu ni wa shetani kupitia freemason ndo maana Kanisa linakufa kwasababu viongozi wa Kanisa wanawekwa kwa kivuli cha watawala wa kisiasa
Hivi watu wanaoongea humu wameokoka kweli.. maana maneno yanayoongelewa mengi hayaonyeshi kama ni mabalozi wa Yesu wanaowahurumia wengine ili. Ulimwengu wote tumwone Mungu... Nyakati ni za mwisho sote tunamuhitaji Mungu kuliko tunavyodhani.... Inatupasa kuomba kwaajili ya kanisa aliloliacha yesu yaani mimi na wewe tulioukubali wokovu tusonge mbele tuwe na mwisho mwema....
Hapa viongozi wa kitaifa wa T. A. G wamepya much. Magembe amekosea wapi, je, ni kukemea mavazi ya aibu yanayo valiwa makanisani, kukemea matumizi ya mabonanza na salakasi ili kupata watu kwenye mikutano?
Maelezo kuhusu Mbarikiwa kusema Yohana mwanamke....Tunaosoma Biblia ( Mathayo 11 : 11 ) YESU KRISTO ALISEMA...Hajaondoka kuwepo aliye mkubwa ktk uzao wa wanawake kuliko Yohana mbatizaji.....Sasa hpa ulimi umeteleza km mtu yyote ulimi unavoweza kuteleza. Ndiyo maana mumeshindwa kumuelewa hasa km hamsomi Biblia!
Mtumishi Magembe. Kama2 kuna kosa lolote mimi naungoja na Magembe kuomba toba kwa Mungu wetu atusamehe ns atatusamehe tu .ila Tag baadhi ya viongozi .hawajafahamu maana ya kuliongoza kanisa.lawatu waliookoka. Yaani hawa watu wana Roho wa Mungu.. japo si viongozi ni washirika tu oooooooo! Tumuogope Mungu.
Jamani jamani jamani nawashauli magugu yote mbaki hapo mfe salama na baba magembe ubalikiwe umenisaidia sana mungu amenipa hatua kubwa sana maana masomo yake ni msaada mkubwa kwa watu wengi
Aisee, Ubarikiwe MBARIKIWA!!! Umewaambia Ukweli, Magembe ni Mashine Kubwa sana, iliyokaa katika Msingi wa Neno la Mungu👏👏👏
Mungu ambariki moses magembe mafundisho mengi ametufundisha na yataishi mpaka siku ya mwisho😢😢
Na Mungu awabariki na kuzidi kuwatumia Mbarikiwa, Cassian na wote wanaokemea hadharani Ili wote tujifunze KUTOKANA na makosa ya wenzetu,kwa Mungu hakuna ukubwa...atakayekubali kuwa mdogo(kwa kupenda maonyo pia)utakuwa mkubwa ktk UFALME WA Mungu...ni Bora ukosolewe hadharani kuliko kuikosa mbingu,binafsi nimejifunza pia Kutokana na haya yanayofunuka sasa...Mungu awape maisha marefu watumishi wa Mungu aliye hai.
Nilikua nakusubiria Mwakipesile utoe neno 🎉🎉 Karibu Sana Zanzibar
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Mbarikiwa umenena kweli.
Kaka yangu mbarikiwa, umeongea kwa Hekima. MUNGU akubariki. Mch. MAGEMBE MUNGU WETU AMTUNZE.
Mzungu yupi tena
@dechardavid2555 MUNGU
Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa,,umenena Kwa Hekima ya kimbingu,,,, ubarikiwe sana
MUNGU akubariki Mchungaji Mwakipesile unajua wachungaji walio sahihi be blessed
Haaaaareluyaaa,
Yesu ni
Bwana tena ni mwema siku zote za maisha ya uliojitoa kwa kweli yake!!!!
Mbarikiwa hongera sana
Nakuombea magembe mungu akuongeze hata yesu alitukanwa wasamehe songa mbele niko naww onya na ukemee makatazo yote yaliokataliwa ndan ya mandiko simama imara.
Kama kuna mambo yameniumiza sana ni kuondoka kwa pastor Magembe, kama kuna mtu anabisha kwamba kanisa halihitaji uamusho basi ajitazame pia. Mungu hatishwi na vyeo. Magembe Mungu aendelee kukutunza simama na neno baba.
Huyu magembe ndie aliniombea sara ya toba mwaka 1998 Mungu akutunze baba yangu
Brother mbarikiwa excellent!
Ashindwe shetani lwa jina la yesu taa haitazima T.A.G
Roho ya babayenu Razaro dhidi ya Moses k.imeinuka tena kwa Mtokambali dhidi ya Moses M.kabla ya uwalibif lazima mtu Awe Mungu dhidi ya Mungu.Maonyo yatahesabiwa uwovu na uwofu utakuwa sheria na kanuni!.Yesu Anarud
Ahsante sana baba Kwa hekima kubwa
Nimeamini Mungu bado ana watu duniani Mbarikiwa na Magembe Mtazamo wenu Ni Mungu yupo nyuma yenu Natamani cku moja mfanye kazi pamoja!
Ubarikiwe na yehova.
Barikiwa mtumishi
Injili ya matengenezo ndio inatakiwa kwa sasa,watu wafue mavazi Yao kujiweka tayari kwa HARUSI ya MWANAKONDOO..TAG mmepoteza kwa tendo hili la kumuondoa mch.Magembe...Nampenda na Mungu azidi kumtumia popote atakapokua.
Kaka Mbarikiwa, umeeleza vizuri sana sana sana!
Mtu ambaye anajiita mtumishi lakini hataki kusema/kusemwa, kukosoa/kukosolewa, kuonya/kuonywa basi huyo atkuwa yuko hapo mahali kwa maslahi yake na SI kumtumikia Mungu aliye hai.
Mchungaji Magembe ni moja kati ya watumishi wachache (kama siyo pekee) aliyekuwa amebakia TAG baada y Askofu Kulola kuondoka.
Mungu wa mbinguni amtunze sana ili azidi kuihubiri kweli ya Kristo kwa mataifa
Amebaki mmoja nasikia yupo kyela
Magembe was anointed elder with special calling there. His going must be prophetic big grieve to the Holy Spirit in tag. remaining elders there be careful am from Kenya. Am grieved too bt sijui n Kwa Nini the remaining leaders there be careful that anointed man Moses magembe is both anointed & apostalic figure even Kwa dunia na kanisa nzima
Mbarikiwa umeongea vzr Sana
moses magembe hakika Mungu amtunze, ubarikiwe pia mtumishi wa Mungu mbarikiwa
Mungu umkumbuke magembee
MUNGU akubariki mtumishi,
Hakika MUNGU atusaidie kutambua neema zilizo ndani ya watumishi wenzetu ili neema iyo iongezeke kwetu pia.
Nknaepastor mmoja tu ancar HANANJA.....Huyu busara n mafundisho yake yalinifanya nijue Mungu naishi nae natembea nae naamka nae nalala nae wachungaji niwatu tu wanabadrika wanaumiza wanakatisha tamaa
Sihtaj tn kuhangaika n makanisa kama zaman
Najitaidi kulijua NENO
Nimekubali Kufundishwq n Mungu hyo inatosha ❤
Nakukubali sana Mtu wa wa Mungu Mbarikiwa
Daah Magembe Mungu akuinue
Mbona wahubiri pia hawapendi ukweli jamani,, mchungaji Magembe azidi kubarikiwa na Mungu maanake anasimama kwa ukweli na kukemea dhambi hadharani
Naomba mbarikiwa na magembe muungane kuanzisha kanisa.Itakuwa bonge moja la kanisa la kiroho
Mzee wa utakufa vibaya😂 nampenda sana Mzee wangu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Unaongea kwa hekima Sana mchungaj mbarikiwa kinywa chako kinanena cyo yako tambua tumepata ujumbe pia ushaur wako kwa TAG Ukwel Mungu atusaidie sana
Unasema kwe kabisa mtumishi wa Mungu
Nasikia kulia juu ya Baba yangu Mch.Maghembe nenda baba tupo nyuma yako.
Asante Mungu amakusadia umefunuliwa ngoja twendelee kusikikilisa Mungu ata mwaka wa mia Tano bk ilitokea matengenezo lazima Mungu awezi kupoteza watu wote masalia yapo kwaajiri ya kuitetea kweli
Hekima ya pekee. Bwana Yesu apewe sifa!
Umeongea kwa hekima sana mbarikiwa
Hekma iliyoje ya maneno mazuri uliyoongea umenifnya nikupende sana neno la Mungu haliitaji wingi wa watu wenye dhambi nmekuelewa vzr.
Pole sana wivu vita had .makanisa asei tag hai
Amen,Amen Magembe to the wolrd
HUYU NDO MBARIKIWA NINAE MJUA MIMI. Mchungaji kwa mwendo huu wa utulivu katika kuelimisha hakuna atakae kosa hamu ya kusikiliza kila neno lako MUNGU AKUENDELEZE kwa mfumo huu ...
MUNGU AJUAYE SIRINI ALIONGOZE KANISA LAKE ✅✅✅
Lakini Mungu aibariki sana TAG kwa utoaji wa sadaka... Maana inawezekana ndio kanisa pekeee duniani lenye orodha ya matoleo mengi,,, Wakati mwingine unaweza kurudia kwenye kikapu mpaka mara 8.
Walokole, wale tunaowajua wa enzi za ulokole, sio Sasa, Mkubali kukosolewa na kubadilika
Hawa viongozi ndio mnao haribu kanisa letu mnatuangusha sana
Asante baba mimi mchungaji alinikabizi kwa chetani lakini hataleo ninaendelea katika imani aonavyo MUNGU siokama aonavyo mwanadam
Mbarikiwa Shikamoo
Kwamba Taa ya Mungu imezima TAG, hatariiiiiiii
Mimi Ni mkatoriki lakini Huyu Mzee Magembe Nilikua Na mfatilia Kwa ukaribu
Ushauli Msiyapuuze maneno Yake Ana macho Ya Rohoni
Nihayo tu
MUNGU Awabariki.
Mithali 6:19 : Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
TAG i mekuwa Chadema no2😢
Viongoz ao ilo neno limewachoma na ndo chanzo cha kulivunja kanisa neno la Mungu ni upanga limewachoma wametahayari wanatetea brand badala ya kujiweka kwenye njia sahihi
Uyo mzee magembe namkubali
SAFII MBARIKIWAAA
Maandiki yanasema kila mtu na aseme kweli na jirani yake hizi ni zama za ukweli na uwazi
Mm nilitengwa na kwaajili ya kukataa kuandika bahasha ya 10% jina langu na kukataa kupokea Risiti ya Malipo ya Fungu la kumi.Nikatengwa miezi6
😮
Ulitengwa na magembe kisa pesa ? Au ni nini?
Kwani kafukuzwa?ameondoka mwenyewe na kazi ya Mungu inasonga mbelee
ubarikiwe
Taa ya MUNGU imezimika
hili neno limenishitua😥😥
Umetuliaa sana mtumishi na unapendezaa
Amen
Jambo la muhimu ni mtu kama mtu kusimama vizuri katika imani...ukiweka moyo wako zaidi kwa wachungaji na watumishi hawa unaweza kuacha imani,zaidi mtazame Yesu tu.
Kumbuka Taa KUZIMA
Magembe ninamwelewa hata mahubili yake niyakiuamsho na matengenezo hivyo huko aendako moto utawaka ,tuko pamoja mtumishi magembe
Dah Mungu anisamehe lakini yaliyomkuta sauli sijui yatatukuta na sisi!
katiba ya TAG ni ya kishetani magembe kajitoa miaka mingi mna mnyanganya mali zake magembe mtumishi wa Mungu
Uyo so mchungaji ila nimpigaji
Shetani anataka kuutawala ulimwengu,anatumia nguvu kubwa kulivunja kanisa,ana wanunua wachungaji pamoja na maaskofu,shetani alimwambia yesu kama atamuabudu nakumsujudia atampa Mali zote zaulimwengu,je, naninyi wachungaji mmenasa kwenye mtego huo,magembe wewe nichombo chabwana yesu atakupa ujasili wakukabiliana na hii vita,utashinda
Usiogope baba piga inji kwa Mungu siku moja ni sawa na miaka elfu mimi mjuku wako nakutakia injili njema
Mtumishi wa Mungu, Mbarikiwa hata kama nilikusikia ukizungumza huko nyuma lakini hapa umeongea pointi saaaaana,. Mimi nipo T A G, kiukweli tunateseka sana niombe viongozi wangu wakubali kushauriwa na wabadilike, kiukweli iko ICU
Hamia kwa mbalikiwa. Au wafuasi wake kiwara, Simanjiro, kahama na geita wahamie huko kwa Mch Yohana.
Yan leo hii mtu kukemea dhambi anaondolewa kanisani? Neno la Mungu ni kali na linakata sana,mmeikataa neema iliyo ndan ya magembe bas wataipokea wengine Magembe baba Mungu akupe nguvu zaidi ukazidi kuzikemea dhambi kwa uponyaji wa mioyo yetu
Sawa Mtumishi nimekuelewa, hata demokrasia sio mpango wa Mungu ni wa shetani kupitia freemason ndo maana Kanisa linakufa kwasababu viongozi wa Kanisa wanawekwa kwa kivuli cha watawala wa kisiasa
Hivi watu wanaoongea humu wameokoka kweli.. maana maneno yanayoongelewa mengi hayaonyeshi kama ni mabalozi wa Yesu wanaowahurumia wengine ili. Ulimwengu wote tumwone Mungu... Nyakati ni za mwisho sote tunamuhitaji Mungu kuliko tunavyodhani.... Inatupasa kuomba kwaajili ya kanisa aliloliacha yesu yaani mimi na wewe tulioukubali wokovu tusonge mbele tuwe na mwisho mwema....
Na huyu Mhiche nitatizo kubwa sana ndani ya TAG ameweka matabaka makubwa ya ukabila ndani ya TAG
Hapa viongozi wa kitaifa wa T. A. G wamepya much. Magembe amekosea wapi, je, ni kukemea mavazi ya aibu yanayo valiwa makanisani, kukemea matumizi ya mabonanza na salakasi ili kupata watu kwenye mikutano?
Barikiwa sanaa kamanda wa Mungu
hahahahahaha, nimependa unavyomuangalia kwa pembeni, i like it
From #EconomicallyGrowthMusicians acheni kuchanganya imani na Siasa aiseee, maslahi binafsi ni tatizo ktk Kanisa😢
barikiwa sana
mim nasali TAG lakin uyo mchungaji naisi anavuta bangi atakama ni TAG mwenzangu
Kwangu mimi nadhani Mungu atuhurumie sisi sio wahukumu wa mwanadamu yeyote
Mbaeikiwa umeonges mambo mazito sana!!!!¡
Nimekuelewa vizuri mtumishi
Maelezo kuhusu Mbarikiwa kusema Yohana mwanamke....Tunaosoma Biblia ( Mathayo 11 : 11 ) YESU KRISTO ALISEMA...Hajaondoka kuwepo aliye mkubwa ktk uzao wa wanawake kuliko Yohana mbatizaji.....Sasa hpa ulimi umeteleza km mtu yyote ulimi unavoweza kuteleza. Ndiyo maana mumeshindwa kumuelewa hasa km hamsomi Biblia!
Kweli
Atakayemchokoza magembe kwa kumsingizia ,kufa na afe
Kaka Leo umeongea kwa hekima mno. Ni kwel tupu
Kwahiyo unabii mbaya tunafuarahia ukitokea kumbe
Mim ni tag lkn magembe yuko sahihi
Mtumishi
Magembe. Kama2 kuna kosa lolote mimi naungoja na
Magembe kuomba toba kwa
Mungu wetu atusamehe ns atatusamehe tu .ila
Tag baadhi ya viongozi .hawajafahamu maana ya kuliongoza kanisa.lawatu waliookoka. Yaani hawa watu wana
Roho wa
Mungu.. japo si viongozi ni washirika tu oooooooo! Tumuogope
Mungu.
Jiulize kwanini kwenye ucĥaguzi wa uongozi ulisimamiwa na wazungu
Magembe haja wahi kuwa Mungu wa TAG ya kwamba ameondoka itakufa TAG inawachungaji kuliko magembe ambao Mungu anawatumia sana yeye ameondoka sio Mungu.
Basi utaona
😢😢😢😢Yesu tuhurumie tusaidie kweli yako inazuiwa hukuu babaaa
Wahubiri ni wengi
Makamoasikofu,,tatizoweweuntamanaunarochafu,,hufaiiii
TAG dude kubwa, Mt. Moses Maghembe dude kubw
Yohana 10:11-12
Jamani jamani jamani nawashauli magugu yote mbaki hapo mfe salama na baba magembe ubalikiwe umenisaidia sana mungu amenipa hatua kubwa sana maana masomo yake ni msaada mkubwa kwa watu wengi
Niuongo wote mnasema vibaya kanisa letu la T.A.G MUNGU AKUSAIDIE SANA UNAESEMA VIBAYA KANISA LETU ZURI
Eti kusomesha watoto kwa sadaka,nimeshangaa sanaaa mzazi kuhukumiwa kwa ajili ya mtoto.TAG haijawahi kuwa sawa kiimani toka enzi za mzee kolola
Mtumishi Magembe ameona amalize mwendo vizuri, ingemsaidia nini kutumika kooote amalize mwendo vibaya