Amen and Amen, wewe Casian unawito mkubwa wa kufungua funiko wale wanataka kusikia na kuona watasikua, wenye kukupinga watapitwa ,nungu akulinde na akutie Nguvu usimame kwenye nafasi yako vizuri
the power is in the watchman...has been prepared by the Almighty father himself the most high Jah...be cool children's and lets keep on praying to the father and ask for change because the world is on crisis knows so we have to make the change or it will be no change #watchman
Bwana yesu kristo akuwezeshe na neema yke ikutoshe ,,,Bwana Yesu kristo na. akulinde akufunike kwa damu yke takatifu mchungaji mie nakufuatila unahubili ukweli wale ambayo nivipofu macho kuelewa nivigumu muno but mungu azidii kutupa nguvu Ameni
Ameeni MUNGU akutunze mtumishi MUNGU ni MUNGU haja wahi kushindwa lazima atushindie pia MUNGU ni mwema amekuponya kipindi ulikuwa una umwa pia MUNGU awakumbuke woote walio toa sadaka zao ukaenda kutibiwa.
Mungu wetu ni wa neema sana.Yeye hutuwazia mema kila wakati na hii ndiyo maana anamficha mtumishi wake katika kikundi cha maadui ili amfunulie uovu uliopo mle ndani na kisha kumpa ufahamu wa kutasimlia watakatifu wote ili isije hata siku moja wakakosa kubambanua ishara na uongo wa muovu huyo ambaye ni shetani kiongozi wa uasi wote duniani. Asante sana mtumishi wake Mungu kwa ujasiri wako na kwa kutuokoa sisi ambao hatuna uelewa wa hayo yote yaliyokusibu na kutusaidia ili tuepuke moto jehanamu kwa kutafuta umarufu duniani.🙏🙏🙏🇰🇪
Licha ya kumchangia tafadhari aombewe sana wapo walio na habari hizi lakini hawathubutu kufungua midomo yao kwa kuwa hawako sawa na Mungu na hawaja chukuwa hatua za kumumfanya Yesu Kristo na kufanya kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yao , wengine wanadhani muda bado wakusema hayo mambo.
AMEN AMEN 🙏 🙌 LAKINI BROTHER KUA MAAKINI NA HAWA WATU WA MEDIA KWA SABABU NDO WAMEANZA KUKUTAFUTA KWA WINGI HAO MAADUI WAKO WATATUMA WAO SASA KUA MAAKINI TAFADHALI
Daaahhhhhh...!!! Nimeipenda hii habari inawafaa Sana waliopotea..,,,,!! Endelea mbele,walimpinga Musa,Elia,Yoshua,Paulo na wengine wengi,kwako isikusumbue hubiri tupone Mchg!!!!!
@@rowenalilie993 sija soma nimeishià lapili kwaiyo utaelewa ivyo ivyo mpaka hapo nimejitahidi saana wengine hawajui kabisa ivyo nashukulu MUNGU kwa yoote kwani neno lasema tushukulu kwa Kila jambo
Kweli tuliozaliwa familia za huko usukani elimu zagiza tunakuwa tukizijuwa natutakuwa tulikuwa nikaisha ya kawaida ila unapokuja kukutana na kikristo ndipo utajuwa kwamba elimu hiyo si sahihi na Mungu anapenda kutumia wafu wanaomba hiyo kwamba wanakuwa kweli yagiza kubwa niuwongo hakuna kweli hata moja ila Mungu pekee anaetusaidia nakubaki salama
Ndugu haya simahubili mbona yesu hakuhubili maneno kama haya kwani unausiyano na mabo yakishetani juu unayaongelelea sana hubili ijili inayo tuwezesha kukaa imala katika Imani jameni Giza na Nuru zinakujia wapi uta zihubili zote kua na msimamo
Tlnisiongee sana ila ukweli ana ujua aliye umba mbingu na nchi , ambaye ukisoma Mwanzo 1. 1 hapo mwanzo kulikuwa na mungu amvae mungu aliumbabingu na nchi na vitu vyote vina vyoonekana na visivyooneka , Kwa hiyo yeye ndiye aonae sirini mwa wanadamu coz aliumba Kila kitu 🙏🙏🏿
Nimeitwa na Mungu mwaka 2000, 1,1.tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka elfu mbili.hapo ni mwisho wa utawala wa shetani duniani,na mwanzo wa ufalme wa mbinguni hapa duniani,yaani habari njema ya ufalme,na Mjumbe wa agano duniani John Isaya Igumi nipo Tanga Handeni ninakuomba unipe nafasi ya kufundisha Neno la wakati huu, Malaki3:1-6. Isaya 41:1------.
Ninakuelewa sana ila jua kuwa Mungu hawezi kufanya jambo lolote bila kuwajulisha watumishi wake, na hii ni saa ya mjumbe wa agano duniani nikaribisheni basi msikie alicho sema Mungu juu ya dunia.
I love free mason💙💙💙💙akuna Alie wai kuwa mwanachama akatoka maana anapata manufaa makubwa sana yaakili naakili nimafanikio nahuwa awajitangazi kama uyu jamaa anatafuta ela za RUclips
Naikumbuka sana bss 2009 stagen Michael Jackson wa bongo aliimba mpaka akachana fulana, lakin ulipopanda uliimba ukamficha na ulitunzwa sana pale stagen na ule wimbo wako wa shebeleza ulioukopi ktoka kwa marhem joe mafela, leo Mungu aliemgeza sauli muuaji kuwa paulo mtume amekugeuza na wewe, usrudi hko tena kama unavyoimba sku zote Mungu akushike mkono.
What is Paschal talking about? Will someone translate the entire interview in English, please. Is Paschal, a member of the free mason and a preacher of the Gospel, at the same time, LORD helps us. I have listened to his songs for years now.
He was a member of a freemason but now he is saved by the blood of Jesus, and he sings gospel songs, so he gives the secrets of the freemason (he gives a testimony).
MTANZANIA ALIYEOLEWA NIGERIA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI HUKO.! ruclips.net/video/9bXTiw6Qklc/видео.html. MSICHANA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA TED JOHN ALIYEKUWA AMEOLEWA NCHINI NIGERIA NA TAJIRI MKUBWA. AELEZA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YAJUMBA LAO LA KIFAHARI LILIPO NCHINI HUMO KISHA KUKIMBIA NA WANAE. UBALOZI WA TANZANI WAMUOKOA NA KIFO KWA KUMTOROSHA USIKU NA KUREJEA TANZANIA NA WANAE WATATU, AMUOMBA RAISI SAMIA. WATANZANIA WOTE NA DIASPORA KUMSAIDIA KUHUSU WANAE AMBAO HAWAJUI KISHWAHILI HATA. CHEMBE. AONGEA NA MKOI TV, VIDEO HII HAPA, SHARE KWA KILA MTANZANIA DUNIANI KOTE ILI WAMSAIDIE DADA HUYU. COMMENT NA SUBSCRIBE MKOI TV ONILI AU KAMA UNA MAONI TUTAFUTE WHATSAPP NO +255713575718. KARIBUNI SANA
Mh!! Mpemdwa MUNGU akusaidie sana siri nzito hii unachoonge ni kweli kuna vitu navionaga mimi yaan ila namshukuru MUNGU anaetulinda nimewahi kuona jicho kama mara mbili nikaona mara nyingine mtu anashuka kutoka juu ya nyumba anatumia kamba na ni nyumba ya kifahari ananiambia nyumba ya kwako hii nikamkemea dah sasa napata kitu hapa shetani ni mjinga sana
Ubarikiwe sana mwenye mungu akulinde na kukuepusha nawatuwabaya
Amen and Amen, wewe Casian unawito mkubwa wa kufungua funiko wale wanataka kusikia na kuona watasikua, wenye kukupinga watapitwa ,nungu akulinde na akutie Nguvu usimame kwenye nafasi yako vizuri
Asante sana kwa ukweli Mungu akubariki sana ktk kristo Yesu asante Yesu kristo kwa kumpa roho ya ujasiri kuokoa Dunia
Daaah Mungu a2saidie akina sisi 2nayopitia kwenye maisha magumu mpaka 2naangaika mpaka kwa wachungaji ambawo upako wawo ni wa shetan
Amina, ni ufunguo tosha kwa mawaka mbalimbali katika sekita m alimbali
We need power of JESUS to push to our destiny in everything
the power is in the watchman...has been prepared by the Almighty father himself the most high Jah...be cool children's and lets keep on praying to the father and ask for change because the world is on crisis knows so we have to make the change or it will be no change #watchman
Mmh mtumishi unaonyesha unauchungu na watu wapotosha Imani ya kwel barikiwa
God akujalie kaka akupe ulinzi wa kutosha. Tuna barikiwa sanaa!!.
Bwana yesu kristo akuwezeshe na neema yke ikutoshe ,,,Bwana Yesu kristo na. akulinde akufunike kwa damu yke takatifu mchungaji mie nakufuatila unahubili ukweli wale ambayo nivipofu macho kuelewa nivigumu muno but mungu azidii kutupa nguvu Ameni
Ameeni MUNGU akutunze mtumishi MUNGU ni MUNGU haja wahi kushindwa lazima atushindie pia MUNGU ni mwema amekuponya kipindi ulikuwa una umwa pia MUNGU awakumbuke woote walio toa sadaka zao ukaenda kutibiwa.
Mungu wetu ni wa neema sana.Yeye hutuwazia mema kila wakati na hii ndiyo maana anamficha mtumishi wake katika kikundi cha maadui ili amfunulie uovu uliopo mle ndani na kisha kumpa ufahamu wa kutasimlia watakatifu wote ili isije hata siku moja wakakosa kubambanua ishara na uongo wa muovu huyo ambaye ni shetani kiongozi wa uasi wote duniani.
Asante sana mtumishi wake Mungu kwa ujasiri wako na kwa kutuokoa sisi ambao hatuna uelewa wa hayo yote yaliyokusibu na kutusaidia ili tuepuke moto jehanamu kwa kutafuta umarufu duniani.🙏🙏🙏🇰🇪
Licha ya kumchangia tafadhari aombewe sana wapo walio na habari hizi lakini hawathubutu kufungua midomo yao kwa kuwa hawako sawa na Mungu na hawaja chukuwa hatua za kumumfanya Yesu Kristo na kufanya kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yao , wengine wanadhani muda bado wakusema hayo mambo.
Mungu akusaidie ktk maisha yako
AMEN AMEN 🙏 🙌 LAKINI BROTHER KUA MAAKINI NA HAWA WATU WA MEDIA KWA SABABU NDO WAMEANZA KUKUTAFUTA KWA WINGI HAO MAADUI WAKO WATATUMA WAO SASA KUA MAAKINI TAFADHALI
Umeongea ya mana ndugu
000⁰⁰⁰⁰
Kama walishindwa kumuua kipindi kile bc hawawezi
Mungu tu amtetee
Amelindwa na damu ya Yesu kwa hivo atawatambua na hawatampata
Amen pia nakuomba ukuje kenya ubirihi huu ujumbe
Barikiwa sana mtumishi wa mungu Kwa kutuelezea ukweli uliopo,mungu ndiye njia pekee ya ukweli...
Mwenyezi Mungu azidi kutuimarisha kwa kweli dunia ina mambo mengi mno hakika!
Amen nimebarikiwa sana kwa ushuhuda kamanda wa Yesu,tunaomba mwendelezo.
Kama unashangalia stori za Freemason wewe ni chizi
Nikushukulu Sana kwa kutoa sili za adui yetu maana umetaka kusaidia wengi. Mwenye sikio na asikie neno hili ambalo roho ayaambia makanisa
Daaahhhhhh...!!! Nimeipenda hii habari inawafaa Sana waliopotea..,,,,!! Endelea mbele,walimpinga Musa,Elia,Yoshua,Paulo na wengine wengi,kwako isikusumbue hubiri tupone Mchg!!!!!
Yesu kriston skyline sana nanguvuyamungo idhidi kuwa pamoja nawewe amen
amen!!! kwa Mungu Kila kitu kitakuwa wazi .
Amen 🙏 barikiwa Sana mimi sina mali lakinitu niombee nipate mtumishi wamungu niko hali ngumu
Bwana Yesu aendelee kukulinda na kukupigania.Watapigana nawe lakini hawatashinda.
Safi mtumishi wamung usiogope Mungu yu nawe ata kulinda
Mungu akulinde Mtumishi
Hongera sana kaka Mungu baba ktk kristo amekuokoa kweli
Nakukubali sana Kaka Paschal Mungu akutunze na kukuepusha dhidi ya muovu shetani
Hongera Kaka kwakumpokea yesu
Mungu akubariki kwa kuwa thabit kwenye maamuzi yako, you are so strong! Stay connected always.
Asante nimejifunza japo siwez kuerezea nilicho jifunza, usiache kusema endelea mungu akutumie zaid mana saut Yako Niyamungu , na mungu amekutumia wewe uje utufundishe
Hao wAtu wame nisumbua saana katika maisha yangu kamà kujiunga ningesha jiunga muda lakini atukuzwe yesu wambinguni Kwa kuniokoa 😢🙏🙏
Ni YESU. SIO yesu
@@rowenalilie993 sija soma nimeishià lapili kwaiyo utaelewa ivyo ivyo mpaka hapo nimejitahidi saana wengine hawajui kabisa ivyo nashukulu MUNGU kwa yoote kwani neno lasema tushukulu kwa Kila jambo
Say YESU Bro ✍️
Na we uliwavutia na nn?
jee ulisaidik vip nina ndugu yangu wana mtisha sn kwa kumwambia wata muwan man yy aliwapigia cm na kupewa maelekezo yao lkn imekuwa ndo chanzo icho
Ubariwe sana atadhibitika katika haki atakuwa mbali y kuonewa
Mungu akufunike na mukono wake🇨🇩👏🇨🇩.
Ubarikiwe sana mtumishi. Nakusikiliza kwa makini nikiwa apa bondeni Johannesburg 🇿🇦🇨🇩
🎉
Uyasemayo ni ya kweli kabisa 👏👏,wale wanaotembea katika ulimwengu wa Roho wanaufahamu hiyo kabisa
Mm naogopa
Mambo mazito kweli Asante kwa elimu
Amiiina nachukuru
Mutumichi. Wamungu.
Barikiwa Sana napenda Sana watu wanaochana ukweli
Mimi nakuombea Mungu akulinde uzidi kulitangaza neno lake
Sio wote watakuelew baba amen ❤
Mungu akutiye nguvu mtumishi wa mungu
Asante kwanifumbua mim ninamadeni mengi sana nikua nataka kujiunga 26:21
Amina pamoja munguatuokoe
Amen, Yesu tumain langu
In the might name of Jesus amen
Mungu akusaidie mtumishi ni wachache wanaoijua siri mungu aturehem
Kweli tuliozaliwa familia za huko usukani elimu zagiza tunakuwa tukizijuwa natutakuwa tulikuwa nikaisha ya kawaida ila unapokuja kukutana na kikristo ndipo utajuwa kwamba elimu hiyo si sahihi na Mungu anapenda kutumia wafu wanaomba hiyo kwamba wanakuwa kweli yagiza kubwa niuwongo hakuna kweli hata moja ila Mungu pekee anaetusaidia nakubaki salama
Mungu akupe nguvu zaidi pasta.sio raisi kabisa
Umetisha brother kama movie naisubiri party 6
Ndugu haya simahubili mbona yesu hakuhubili maneno kama haya kwani unausiyano na mabo yakishetani juu unayaongelelea sana hubili ijili inayo tuwezesha kukaa imala katika Imani jameni Giza na Nuru zinakujia wapi uta zihubili zote kua na msimamo
Good afternoon master please ayuta mid-day Freemasons please.
Eu Só Bernardo Filipe Tudo bem 🤲🤲
Mtangaze Yesu itoshe
Mungu akutunze
Mungu tusaidie
Mimi nataka kujiunga na chama cha freemason
Tlnisiongee sana ila ukweli ana ujua aliye umba mbingu na nchi , ambaye ukisoma Mwanzo 1. 1 hapo mwanzo kulikuwa na mungu amvae mungu aliumbabingu na nchi na vitu vyote vina vyoonekana na visivyooneka , Kwa hiyo yeye ndiye aonae sirini mwa wanadamu coz aliumba Kila kitu 🙏🙏🏿
Nimeitwa na Mungu mwaka 2000, 1,1.tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka elfu mbili.hapo ni mwisho wa utawala wa shetani duniani,na mwanzo wa ufalme wa mbinguni hapa duniani,yaani habari njema ya ufalme,na Mjumbe wa agano duniani John Isaya Igumi nipo Tanga Handeni ninakuomba unipe nafasi ya kufundisha Neno la wakati huu, Malaki3:1-6. Isaya 41:1------.
Ninakuelewa sana ila jua kuwa Mungu hawezi kufanya jambo lolote bila kuwajulisha watumishi wake, na hii ni saa ya mjumbe wa agano duniani nikaribisheni basi msikie alicho sema Mungu juu ya dunia.
Kaka NAKUPATA vizuri Sana ni kiwa hapa mjini Arusha I love the kind of your gospel❤
Master j alikuwa hakupenda ushinde
Arusha sehemu gani
Asante sana
Kazana kumuomba Mungu maana dunia ipo mwishoni
Cassiani barikiwa sana
Salve Luz.
Dear Nice
Nakuamini sana mtumishi wa Mungu ila natamani sana nionge na wewe
Amen 🙏 apo sasa
Huyu bado hajatoka huko kama kweli wapo maana mimi sijui lakini kama ametoka angehubiri hari za ufalme wa mungu
Kujua adui alivo inakupa kujua namna gan unaweza umdhibiti
Hakuna siku mtu ambaye bado anabudu shetani atowe siri za huko never ever ukiona mtu ameanza kutowa siri za shetani juwa ashatoka huko
Mwenyez Mungu awe nawe
Yesu tuokolee maisha yetu
Ubarikiwe sana casim
Mungu ni wa ushuhuda,,
Félicitations
Mungu akubariki na akurinde
Ok
Bwana yesu aendelee kukulinda
love you Jesus for the other two
Chunga pia hizi Juice zao
Hili jamaa jiongo vibaya sana
Wonderful story
Wahibihe nyota angel alfredy nombo na Julie na martini sasahivi leho
Yesu akutetee
I love free mason💙💙💙💙akuna Alie wai kuwa mwanachama akatoka maana anapata manufaa makubwa sana yaakili naakili nimafanikio nahuwa awajitangazi kama uyu jamaa anatafuta ela za RUclips
Hujui usemalo MUNGU akusamehe VP na wewe umeshindwa Nini kutafuta hela RUclips
Aukusaidie ww ambae huna akili unapinga ukwel
Te encontro no meio de Moçambique e África do Sul
Jamani mwendelezo bav
Naikumbuka sana bss 2009 stagen Michael Jackson wa bongo aliimba mpaka akachana fulana, lakin ulipopanda uliimba ukamficha na ulitunzwa sana pale stagen na ule wimbo wako wa shebeleza ulioukopi ktoka kwa marhem joe mafela, leo Mungu aliemgeza sauli muuaji kuwa paulo mtume amekugeuza na wewe, usrudi hko tena kama unavyoimba sku zote Mungu akushike mkono.
What is Paschal talking about?
Will someone translate the entire interview in English, please.
Is Paschal, a member of the free mason and a preacher of the Gospel, at the same time, LORD helps us.
I have listened to his songs for years now.
No he's now a gospel singer.he was a member of the freemason but now he is in Jesus.
His explaining how dark world is, he was there, first nobody is elected they have conditions, right now he's saved
He was a member of a freemason but now he is saved by the blood of Jesus, and he sings gospel songs, so he gives the secrets of the freemason (he gives a testimony).
He used to be a member but no longer a member. This is his testimony and now he's a preacher
MTANZANIA ALIYEOLEWA NIGERIA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YA JUMBA LAO LA KIFAHARI HUKO.!
ruclips.net/video/9bXTiw6Qklc/видео.html.
MSICHANA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA TED JOHN ALIYEKUWA AMEOLEWA NCHINI NIGERIA NA TAJIRI MKUBWA.
AELEZA ALIVYOMZIKA MAREHEMU MUMEWE NDANI YAJUMBA LAO LA KIFAHARI LILIPO NCHINI HUMO KISHA KUKIMBIA NA WANAE.
UBALOZI WA TANZANI WAMUOKOA NA KIFO KWA KUMTOROSHA USIKU NA KUREJEA TANZANIA NA WANAE WATATU, AMUOMBA RAISI SAMIA.
WATANZANIA WOTE NA DIASPORA KUMSAIDIA KUHUSU WANAE AMBAO HAWAJUI KISHWAHILI HATA. CHEMBE.
AONGEA NA MKOI TV, VIDEO HII HAPA, SHARE KWA KILA MTANZANIA DUNIANI KOTE ILI WAMSAIDIE DADA HUYU.
COMMENT NA SUBSCRIBE MKOI TV ONILI AU KAMA UNA MAONI TUTAFUTE WHATSAPP NO +255713575718.
KARIBUNI SANA
Sura ni Cassian mikono ya mzungu
Huna lolote nyooo, wala sio mtumishi wa Mungu, bado Freemason😂😂
Kabisa
Ata mm nawasiwasi nae uyu😂😂😂😂
Fanyinzie angel alfredy nombo na Julie wotetewawili sasahivi damu kafara leho hihi chana
Mh!! Mpemdwa MUNGU akusaidie sana siri nzito hii unachoonge ni kweli kuna vitu navionaga mimi yaan ila namshukuru MUNGU anaetulinda nimewahi kuona jicho kama mara mbili nikaona mara nyingine mtu anashuka kutoka juu ya nyumba anatumia kamba na ni nyumba ya kifahari ananiambia nyumba ya kwako hii nikamkemea dah sasa napata kitu hapa shetani ni mjinga sana
Elimu kubwa sana hii
Weee watanzania hamtaki ukweli njoo Kenya cassian
Ukweli gani wa Kenya wataka kushinda waTZ?
Katika ku katiliwa na Freemason ni kuna watu wanayo chapa ya MUNGU awa awakubaliwe,Wengine ni hawana Bahati,Wengine awana shuguli
Chapa ya mungu
Hayo mafundisho yako inanipendeza papa yangu
Freemasonry ni watu ambao sio watu wazuri tuepukenao ndugu zang
Kazi ipo kweli kweli 😂😂
Inakuaje jina la yesu lina tumika kwa msisitizo ivyo
Ulitaka amsisitize stetani
@@annaspalika4771😂😂😂😂😂😂Agent nini huyu mwenzetu
Once you enter the rabbit hole there's no way back,acha uongo
Kweli mtumish mi mwenyewe niliifatilia sana BSS mpaka fainali
Daaaaaah hiii balaaa