Kuhani Musa kumtetea Martha ni ndege wafananao huruka pamoja? Mit 28:4 waiachao sheria huwasifu waov

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 92

  • @NeemaDavid-r4o
    @NeemaDavid-r4o День назад +4

    Hawezi kuelewa Kuhani WA YESU KRITO yaani tunatakiwa tuwe rohoni mnooo Sana

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 10 часов назад +2

    Sawa kabisa, waache family imalize matatizo yao!
    Martha Mwenye Enzi Mungu asimame na kukutetea 😢😢😢😢

  • @DanielJamesNgulo
    @DanielJamesNgulo 8 часов назад +1

    Hongera mchungaji kwa kukosa aibu na kutetea uovu ungekua unania njema na. Martha ungemsaidia awe jirani na mungu kwa kutubu hata kama anaona ni dogo

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 3 часа назад +1

    Barikiwa

  • @PerisMuthoni-h1f
    @PerisMuthoni-h1f День назад +3

    Yes this is good, sioni vile watu wandunia wanapiga wenzetu nasisi tunaanza kumpiga apana, but kuwe na baba wa kiroho aongee na Martha juu tunaumiza mtu ndio amekosa lakini atufai kumuua, aongeleshwe nawale wazazi wakiroho sio tumpige vita tumuue,

  • @NeemaDavid-r4o
    @NeemaDavid-r4o День назад +3

    Yes Christina yote hayo ni wapinga KRITO Tumlilie Mungu Aliye hai ajitwalie Utukufu

  • @NeemaDavid-r4o
    @NeemaDavid-r4o День назад +3

    Your very Good Dad ❤️❤️❤️ hiyo ni kweliiiii but hatujui ni Adui wanaona ni kawaida your very Clever

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani День назад

      Nihuruma sana kuona uyu muhubiri pia muimbaji Christina shusho wana geuza mambo.
      Haiko kanisa ndio imepigwa apana. Ni dada Martha ndio relation yake na misichana Joan ina giza.
      Kuhubiri ama ku imbia Mungu ni vizuri ila katika hali gani? (Amos 5: 23)
      Ina omba waimbaji wa nyimbo za injili wakue na mwenendo safi.

  • @NicholausDennis
    @NicholausDennis 23 часа назад +1

    Amen amen baba 🙏🙏🤚

  • @jardineshighadiE4
    @jardineshighadiE4 День назад +3

    N kweli mchungaji

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani День назад

      Siye kweli,
      Nihuruma sana kuona uyu muhubiri pia muimbaji Christina shusho wana geuza mambo.
      Haiko kanisa ndio imepigwa apana. Ni dada Martha ndio relation yake na misichana Joan ina giza.
      Kuhubiri ama ku imbia Mungu ni vizuri ila katika hali gani? (Amos 5: 23)
      Ina omba waimbaji wa nyimbo za injili wakue na mwenendo safi.

  • @NeemaDavid-r4o
    @NeemaDavid-r4o День назад +2

    Love you Upendo Nkone❤❤❤

  • @DomitilaMtua
    @DomitilaMtua День назад +3

    Nyakati za mwisho,tutaona na kusikia mengi,Mungu tusaidie tumalize mwendo salama

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani День назад

      Nihuruma sana kuona uyu muhubiri pia muimbaji Christina shusho wana geuza mambo.
      Haiko kanisa ndio imepigwa apana. Ni dada Martha ndio relation yake na misichana Joan ina giza.
      Kuhubiri ama ku imbia Mungu ni vizuri ila katika hali gani? (Amos 5: 23)
      Ina omba waimbaji wa nyimbo za injili wakue na mwenendo safi.

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 День назад +2

    Anaesema Amina duh 😁😁😁😁

  • @DorotheaChami
    @DorotheaChami День назад +2

    Nyie mnajiona wakamilivu sana au .wakristo hatupendani sana

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani День назад

      Nihuruma sana kuona uyu muhubiri pia muimbaji Christina shusho wana geuza mambo.
      Haiko kanisa ndio imepigwa apana. Ni dada Martha ndio relation yake na misichana Joan ina giza.
      Kuhubiri ama ku imbia Mungu ni vizuri ila katika hali gani? (Amos 5: 23)
      Ina omba waimbaji wa nyimbo za injili wakue na mwenendo safi.

  • @ChristopheAmani-t1o
    @ChristopheAmani-t1o День назад +2

    Nimesima sana mambo watu wanaandika nilizungumuza sana kuhusu Jamii nyingi Duniani ni Jamii Gani yenye Haina tatizo? Nina mupenda sana Yesu wakati wanamupinga mama kahamba mawe aliinama chini nakuandika yeyote ambaye hajawai kufanya zambi amupinge huyu mama alipo inuka wote walikuwa wamekombia yesu akajikuta mwenyewe Jana nilisoma kitabu Cha osea kweli nilimuongopa Mungu sana nafikiri ni sura ya kwanza yote ya kitabu Cha osea na Mwalimu wetu Léo amesema wengi wanatazama zambi ni kwa wale walio p 6:54 anana talaka ijapohiyo ukimusikilia ndungu Yako wivu umefanya zambi kubwa sana Nina kumbuka yesu akasema ukimufiolea dungu Yako umefanya zambi kubwa wasingizaji wote ni katika tanuru ya moto

  • @DorotheaChami
    @DorotheaChami День назад +5

    Baba wewe nakuamini sana ni unaendaga kwenye chanzo cha tatizo

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 День назад +6

    UJITAMBUE TATIZO SIYOVKANISA WALA UKRISTO TATIZO MATHA KUTOKUMUHESHIMU MAMA YAKE NA NDUGU ZAKE SASA KWA UJINGA WAKO UNAMTETEA HUYUMJINGA POLE

    • @Madina-uw6ce
      @Madina-uw6ce День назад

      Nakwami huyo dadake nikiwete mbona asimusaidie huyo mama juu uyo mama mwenyewe kasema
      Martha ameninunulia kiwanja viti na vitu vingi tu ajataja uyo mwenye kupayuka kwa internet?

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani День назад

      Nihuruma sana kuona uyu muhubiri pia muimbaji Christina shusho wana geuza mambo.
      Haiko kanisa ndio imepigwa apana. Ni dada Martha ndio relation yake na misichana Joan ina giza.
      Kuhubiri ama ku imbia Mungu ni vizuri ila katika hali gani? (Amos 5: 23)
      Ina omba waimbaji wa nyimbo za injili wakue na mwenendo safi.

  • @AsaOp-l5z
    @AsaOp-l5z День назад +2

    Nkweli paster

  • @SaraRobert-io8xv
    @SaraRobert-io8xv День назад +2

    Mtu yoyote anayemsapot martha najua so mchamungu kama akiwa mcha mungu anashauli waungane

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani День назад

      Nihuruma sana kuona uyu muhubiri pia muimbaji Christina shusho wana geuza mambo.
      Haiko kanisa ndio imepigwa apana. Ni dada Martha ndio relation yake na misichana Joan ina giza.
      Kuhubiri ama ku imbia Mungu ni vizuri ila katika hali gani? (Amos 5: 23)
      Ina omba waimbaji wa nyimbo za injili wakue na mwenendo safi.

  • @Faraja-j2z
    @Faraja-j2z День назад +4

    Yesu akawambia wale waliompeleka yule aliye fumaniwa kama kuna asiye na dhambi miongoni mwenu awe wà kwanza kumpiga mawe wale jamaa kilicho wasaidia walkuwa wazima katika dhamili zao lakini kizazi usishangae mwovu kukushambalia

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani День назад

      No, no, no....
      Waimbaji wa Mungu wana pashwa kua na mwenendo nzuri please. Muke na muke, mume na mume inakatazwa na Mungu

  • @ChristopheAmani-t1o
    @ChristopheAmani-t1o День назад +2

    Kweli kabisa Nina jiunga Na huyu mchungaji
    Kilio yangu ni hii ni Watu Wa ngapi shetani anatupiya bwana wetu Yesu kristo? Uzini yangu ni kwamba kanisa Iko inataka itupia shetani watumishi wake Nina mshukuru Mungu kwa sambambu watu wa Mungu Wana Anza funguliwa macho ya kwamba hii vita tunayo ipitia ni kanisa la kristo ndilo linalengwa ni mepata Neema kubwa yakujuwa kwamba kuchinda kanisa la kweli litashinda Musichoke kuomba Mungu m1kusundi chauri ilio fanyinziwa Ku muangucha Huyu mama lishindwe kwa nguvu ya yesu kristo wa nazarethi Ninacho Amini Kuna wale wameokolewa kupitia mahubiri Ao mafundisho ya Mungu na Kuna wale Wana okolewa kupitia Nyimbo za Mungu hâta nikiwa katika hatari ya namna Gani Ninapo Sikia Nyimbo za Mungu wetu Nina sahau maumivu dungu zangu biblia inasema dani ya nyumba ya Mungu Muna vyombo Bali Bali Na vyote vinasamani yake mbele za Mungu.leo nilijitahindi kuingia kanisani Na Mwalimu aliye hundumia ibanda amenibariki sana Mungu amemufunulia mengi sana ni Mutumishi Wa Mungu kutoka pale Tanzania
    Mumebarikiwa sana biblia inasema chika sana ulicho nacho asije Mutu akakichukuwa kwali kabisa Muna watu wengi ambao Mungu ametumia Mungu awabariki tena amulinde rahisi wenu mama Samia amupe ujasiri mukubwa wa kukemea uzushi Mungu abariki na kulinda maskofu wote Mungu alinde Wana inchi wote Ili wawe mufano mzuri kwa bara la Africa zaindi muwe baraka Pia kwetu congo na kutuombea
    Niombe musamaha sana Nina ongea sana kuhusu hili janga lililo mupata mama yetu Martha kawainda yangi mimi sizungumuzake katika mitandao ya kijami niliomba Mungu anifunulie nitakalo lizungumuza sambambu ni liteswa nilipo Ona mwezetu mukristo anapata matatizo ilimbindi nikesho Na kuomba Mungu Nina Amini atakapo vuka katika janga hili ataalikwa sana na kufundicha watu Ili wasimame katika Imani Martha hatabaki kwa kuimba tu,hâta kuhubiri atahubiri sababu Mungu amemupeleka katika shule kubwa

    • @sonnyshabani
      @sonnyshabani День назад

      Nihuruma sana kuona uyu muhubiri pia muimbaji Christina shusho wana geuza mambo.
      Haiko kanisa ndio imepigwa apana. Ni dada Martha ndio relation yake na misichana Joan ina giza.
      Kuhubiri ama ku imbia Mungu ni vizuri ila katika hali gani? (Amos 5: 23)
      Ina omba waimbaji wa nyimbo za injili wakue na mwenendo safi.

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 День назад +3

    Yesuuuuu

  • @MeddyMashanda
    @MeddyMashanda 17 часов назад +1

    Asante sana mutumishi wamungu kumuteteya Martha mwaipaja mungu akutiye nguvu baba 🎉🎉🎉

  • @deobenedictakyoo3140
    @deobenedictakyoo3140 День назад +4

    Mmmmh?? hkn anaempiga Martha ni tabia zake ndo zinampiga😂😂😂😂

    • @Steshusteshu
      @Steshusteshu День назад

      Una ushahidi mbona nawewe ni muhuni tu

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 10 часов назад

    Angalia Joan anavyokucheka wenzio wanasagana wanacheka usinazungumza usicho kujua hayo ni maisha Yao shida kwa nn anahutenga na ndugu zake na ww ni popo mwenzie ndege wafananao huluka pamoja

  • @Hemedabdallah-kb4xd
    @Hemedabdallah-kb4xd День назад +1

    Amina sana

  • @emmanuelmanga3478
    @emmanuelmanga3478 День назад +2

    Hao ndio wanaoharibu injili na pia watu kama Kuhani muda ndio wataamua maono

  • @sonnyshabani
    @sonnyshabani День назад +1

    Nihuruma sana kuona uyu muhubiri pia muimbaji Christina shusho wana geuza mambo.
    Haiko kanisa ndio imepigwa apana. Ni dada Martha ndio relation yake na misichana Joan ina giza.
    Kuhubiri ama ku imbia Mungu ni vizuri ila katika hali gani? (Amos 5: 23)
    Ina omba waimbaji wa nyimbo za injili wakue na mwenendo safi.

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 День назад +1

    Hawa watumishi wa shetani ni tatizo sana Mchungaji mpumbavu kama huyu badala ya kukemea anatetea upuuzi

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce День назад +3

    Mbona unaweka video za Joan apo she's just entertaing.business clothes ama ndio tuone ubaya wa Martha?? Mm ningekuwa Martha mungeishia jela sio kutumia jina lngu hivio us kenyan we love Martha no matter what she's our favorite zt mnamchavua wakwenu😅😅

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 День назад

      Huyo si ndiyo mtoto wa matha malezi yake matha ndiyo hayo

    • @Madina-uw6ce
      @Madina-uw6ce День назад

      @zebedayokatamaduni9676 kwanza uyu muhuni awezi fikia martha ata kwa dawa kiki zakutaka views naata hana

  • @AdamPeter-s8v
    @AdamPeter-s8v День назад +3

    Nyie wote ni wahuni tuu

    • @Steshusteshu
      @Steshusteshu День назад

      Muhuni niwewe na ndg zako wooote

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 2 часа назад

    🇹🇿 WATU WA MUNGU HAWATETEWI MTETEZI YU HAI AYUBU 19:25, VITA SI VYA DAMU NA NYAMA NI VYA ROHO WAEFESO 6:12, VITA NI VYA BWANA 2 MAMBO YA NYAKATI 20:15, MUNGU ANAJITETEA MWENYEWE NA KUPIGANIA WATU WAKE "BWANA ATAWAPIGANIA NANYI MTANYAMAZA KIMYA",KUTOKA 14:14, UKIONA WATU WANA ENGAGE MWILI KWENYE MAMBO YA KIROHO UJUE KUNA SHIDA. Iykyk

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 10 часов назад

    Kuhani musa huna Yesu nakwambia hujui bible pamoja na kusema we kuhani hebu kasome 1 timothea 5: 8 mtu asiyetunza wa nyumbani kwao huyo ni mbaya kuliko asiyeamini, haya waheshimu baba na mama yako acheni UNAFIKI SEMENI KWELI mtoeni kwenye kifungo

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 17 часов назад

    Tena kuhan Musa tubu na kupata uelewa matha inatakiwa atubu arudi kwenye msingi wa iman

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 13 часов назад

    Mtumishi sijakupenda badala ya kurekebisha unatetea ujinga wa mathar ,joani kalewa analopoka Bado unamsaidia

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 8 часов назад

    Yesu ni mtaji wa matapeli kupiga pesa za wakristo ambao wachovu wa kufikiri wataendelea kupigwa kwa kuwa ni wajinga. Wewe ongea na Mungu wako acha kudanganywa na hao makanjanja waliojipa majina makubwa makubwa eti Mitume,Makuhani, Manabii wote hawa ni majambazi wanaotumia silaha ya Biblia badala ya bunduki kujinufaisha kimaisha Mungu anawaona.

  • @deogratiashaule8958
    @deogratiashaule8958 14 часов назад

    Hivi unamsaidia Martha au unamwangamiza?

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 3 часа назад

    Kumbe aliwah kubeba mwili wa kristo lkn sasa hajabeba kwann hasaidii wazazi

  • @Amina-o7x1h
    @Amina-o7x1h День назад +1

    Nasikia kuliaa huyu Baba nikmahaaaaaaba.ikiwa ametetewa nahuyu basiii.sina lakusema 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @DennisAnthony-j5y
    @DennisAnthony-j5y 14 часов назад

    Hovyoooo kama kweli ni msagaji wasisemeee ?

  • @wuodkokelobingo4855
    @wuodkokelobingo4855 18 часов назад

    Wapaa pamoja na Martha wewe

  • @DanielJamesNgulo
    @DanielJamesNgulo 7 часов назад

    Mchungaji unatumia vibaya maandiko jaribu kungalia kosa liko wapi na chanzo cha kosa inaonekana nawewe u mmoja wao endeleeni kutenda dhambi Kwa Siri halafu mnalalama kwenye madhabahu acheni kujipendekeza kwa watu wenye Hela

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad День назад +1

    Kuan mussa wewe na Mather katika hii Dunia ni walewale

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 День назад +1

    Kwaiyo anamtetea martha sio😂😂
    Kweli kichaa anachekeshaga kama hatukei kwenu, laiti yule mama Martha angekuwa ni mama ake na huyu kuhani musa na martha angekuwa nduguye sizani kama huyu kuhani musa angeongea ivyo.

  • @PeterFrank-c8f
    @PeterFrank-c8f 9 часов назад

    Tunaendelea kujua walio muacha Kristo na ambao wako na Kristo
    Mungu hadhihakiwi baada mumuambie amrudie Mungu nyie mnataka kumpa kichwa aendelee nahuo upumbavu nyie ni kampuni mojatuu
    Mbona upendo amewa nyooshea mstari jins inavyo paswa kufanya nisimpo tuu Haina haja ya kutufokea wapendwa

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad День назад +1

    Mather na wewe wote mataper kupitia siasa na Joan ni mtan wako lazima utie neno

  • @LucasEzekiel-fw5yz
    @LucasEzekiel-fw5yz День назад

    Kuhani musa ni msenge tu,,huna lolote,,

  • @TeddyMwakaniemba
    @TeddyMwakaniemba 7 часов назад

    Sasa kuhani hapo sjakuelewa mwanzo mwisho

  • @patiencekalondji8091
    @patiencekalondji8091 8 часов назад

    Lucifeur alikua malaika wa nuru ila alianguka

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad День назад +1

    Wew mwanamke mwenyewe ni Malaya tu siinasemekane ulikumbia mwanaume kwa umalaya wako Leo hii et tutamtea

    • @Steshusteshu
      @Steshusteshu День назад

      Mbona nawewe ni muhuni tu

    • @RehemaMtono
      @RehemaMtono День назад

      @@Steshusteshu hata wewe nimsagaji kama hao wenzio

  • @ShukranKaristo
    @ShukranKaristo День назад +1

    Wew ni mpumbavu tu, mpumbavu hufanya kosa kwakulijua acha ujinga lazima aambiwe ukweli mungu hayupo hivyo

  • @Isack-b9k
    @Isack-b9k День назад

    Mchungaji wa tembon uongo Nina ushahidi amegombanisha familia ili atoe ushahidi wa uongo kanisa lake la mchongo lionekane Lina miujiza uongo uongo

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 День назад

    Yaan huyu ndo hakuna kitu kabisa

  • @boazmsechu6134
    @boazmsechu6134 День назад

    kwani huyu mtumishi yeye haoni au hasikii...?

  • @jafaridaudi8679
    @jafaridaudi8679 День назад

    😣😣😣😣😣😣😣😣

  • @LucasEzekiel-fw5yz
    @LucasEzekiel-fw5yz День назад

    Tapeli mkubwa ww

  • @WilbertNkiligi
    @WilbertNkiligi День назад

    Huyu naye ni walewale, kafie huku, mshamba ww

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono День назад +1

    Huyu kuhani naye niwakuzimu tuuu huna lolote

    • @Steshusteshu
      @Steshusteshu День назад

      Mbona nawewe niwa kuzimu tu

    • @RehemaMtono
      @RehemaMtono День назад

      @Steshusteshu hata wewe wazimu kama huyo kuhani wako mpiga lamuli chonanishi yeye kanisani kwake wamejaa wachawi tuu ndo maana unamtetea

  • @Amina-o7x1h
    @Amina-o7x1h День назад +2

    Huyu nikahaba kutoka kuzimu huyo Baba.wala maths hukustahili kutetewa nahuyu Baba 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 День назад +1

    Kanisa gani linapigwa wewe yaani kisa matha eti kanisa linapigwa, uchawa huo

  • @barakabusima
    @barakabusima День назад

    Hili jamaa ni liongo😁 alivyo serious sasa

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono День назад +1

    Unatetea wasagaji toka wewe huna lolote

  • @WilbertNkiligi
    @WilbertNkiligi День назад

    Mashetani wakubwa nyie, mmefika mwisho

  • @yohanesschawinga8475
    @yohanesschawinga8475 День назад

    Huyu nae mjinga tu kama wajinga wengine.hapo hakuna kitu chama kimoja hao

  • @Muro-p9i
    @Muro-p9i День назад

    Wewe ni Malaya