MARTHA MWAPAJA APOKEA BINT AMBAYE NI AGENT WA KUZIMU NA AGENT HUYU AMEFUNGA KWELI KWENYE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 90

  • @IpyanaPaul-r1w
    @IpyanaPaul-r1w 4 часа назад

    Hallelujah mtumishi ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU Alie hai. Kwa neno zuri sana na ushauli juu ya Martha mwaipaja🙏

  • @natashadaniel5099
    @natashadaniel5099 День назад +4

    Amina Baba barikiwa sana mtumishi wa Mungu 😢😢😢😢😢 naskia uzuni sana juu ya hii familia inavyo sambaratishwa na huyu binti Johan tena atokomee mbali ktk jina la yesu 🙏🙏🙏🙏😢😢😢

  • @upendojoel2891
    @upendojoel2891 12 часов назад +1

    Hongera Beatrice Mwaipaja!! Ulifanya vyema na Mungu alikutumia.

  • @BeatriceNgeleza
    @BeatriceNgeleza День назад +3

    Ashukuliwe mungu wa mbinguni asngemwacha mtumishi Matha aliyeimba tukabalikiwa tukafalijika mungu ni lazima angepitia njia yoyote kumukomboa mwimbaji wetu tunaempenda sana tunakushukulu mungu wetu kwakumtumia mdogo wake kumurejesha upya

  • @TabbytheeJournalist
    @TabbytheeJournalist День назад +5

    Asante Mtumishi. Martha arudi msalabani jamani atubu. Bado Mungu anampenda ila tu amwachilie Joan pepo aende zake, yeye arudi kwa familia yake. Nakupenda Beatrice💖💖

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 День назад +17

    Kweli Joan ni agent wa kuzimu swali ni kama Martha ni mtumishi wa Mungu hajajua hizo mwaka ameishi na joan kwamba Joan ni agent wa kuzimu?? Wanaishi nyumba mmoja wanalala pamoja WANAIMBA pamoja wanakula pamoja Yani Martha ni kipufu wa roho kiasi Gani hata Martha wako pamoja siami Martha ni innocent kama anavyotaka watu waamini Martha na joan Wana Kila kutoka chungu kimoja

    • @steriaphiri3478
      @steriaphiri3478 День назад +1

      She can’t know if she is not spiritual aware because the agent of devil they attack people who are not fully devoted first they destroy you that everything you, you do for them so for the girl she destroy her what ever you said to her it’s negative she need deliverance with a powerful man of God.

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 18 часов назад

      Msagano

    • @FadhilaNdongolo
      @FadhilaNdongolo 10 часов назад

      Joan hamjui Mungu ,alafu kumbuka Mungu haziakiwi Joan mrudie Mungu unapona

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 День назад +3

    Asante Mtumishi wa Mungu umezungumza ukweli Martha anahitaji maombi amefungwa na maagano ya Joan

  • @CyprianNyakundi-m8d
    @CyprianNyakundi-m8d День назад +3

    Kwa kweli mimi naomba watumishi wa Mungu mwombee huyo Joan chatu mkubwa wa kuzimu

  • @JanetNafula-k2k
    @JanetNafula-k2k День назад +2

    Kila kilio n mwanzo kina mwisho,, Mungu anatenda,in Jesus Name

  • @PatriciaSidi-c4w
    @PatriciaSidi-c4w День назад

    Amen,Amen and Amen mungu ajibu hayo maombi yako Mtumishi,tunaomba Martha mwaipaja awena amani kama vile alivyo kua zamani,Amen

  • @DamarisGichana
    @DamarisGichana День назад

    Be blessed so much servant of most high God the truth will set us free Amen and Amen

  • @BeibeiSong-u2y
    @BeibeiSong-u2y День назад +2

    Inaonekana MUNGU Ana mpango mkubwa sana maishani mwake martha pambania hiyo lulu Ambayo MUNGU ameiweka juu yako wewe ni mteule wa MUNGU na wateule wa MUNGU mambo kama haya huwawinda usiku na mchana usivunjike moyo Mtegemee MUNGU kwa kila mapito yako kwa macho ya nyama hakuna mtu anaweza kuelewa jambo macho ya roho ndo unaweza elewa

  • @kissabrown4349
    @kissabrown4349 День назад

    Asante mtumishi wa Mungu ubarikiwe

  • @ElizabethMakong-en3nq
    @ElizabethMakong-en3nq День назад

    Martha tunalilia roho yako sana rudi watumishi wa Mungu wamkusihi kwa upendo rudi yesu anakuita kwa sauti mblimbali Amina barikiwa mtumishi wa Mungu Amina Mungu

  • @beatricejones521
    @beatricejones521 День назад

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu🎉🎉🎉

  • @JermeneMujinikire
    @JermeneMujinikire День назад

    Ubarikiwe mtumishi sanaaaa

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 12 часов назад

    Ubarikiwe pia

  • @KizalouisaYeremia
    @KizalouisaYeremia День назад

    Mungu
    Akubariki mtumishi al
    Arudi kwayesu

  • @MonicaRaila-tn5rb
    @MonicaRaila-tn5rb 18 часов назад

    Amina mungu onekana Kwa familia hii 😂😂😂😂😂😂😂

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya 9 часов назад

    Mmm watumishi hawa

  • @endichetv6162
    @endichetv6162 День назад +1

    Very true bishop

  • @lupamwakabenga1716
    @lupamwakabenga1716 День назад

    Asante mtumishi wa Mungu

  • @DotoS12
    @DotoS12 14 часов назад

    Ubarikiwe

  • @gracendaki4515
    @gracendaki4515 День назад

    Asante sana Mtumishi 🙏🙏

  • @alicenjoki3765
    @alicenjoki3765 День назад

    Asante unasema ukweli mtupu

  • @RahelyJulius
    @RahelyJulius День назад

    Asante
    Mungu

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu День назад +2

    Jina lake halali ni Leah
    Tunaweza kuwa tunaombea Joan hatoki tuchanganye majina yote, Leah au Joan ili hili pepo liachilie maisha ya matha

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn День назад

    Amen🙏 MUNGU akawatie nguvu na kusema na MUNGU katika hii family ukweli shetani zalilika 😢

  • @MathayoMagavilo
    @MathayoMagavilo День назад

    Safi sana mtu wa mungu

  • @charles-lc4pp
    @charles-lc4pp 19 часов назад

    UBARIKIWE SANA MTUMISHI MANENOYAKO HAKIKA MUNGU YUMWEMA ARUDI KWAMAMA AKATUBU MAMANIMAMATU

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 День назад +1

    Heee mungu watumishi wa mungu sambaratisha jini Hilo joani ,liiachie familia ya mwaipaja ,wazazi wake Wako wapi wachukue kiumbe wao watu watulie ,mathar anapotea jamani

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi 18 часов назад

    Amen🙏🙏🙏❤

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 День назад

    Amina Mtumishi

  • @BenjaminWakhungu-oo7ug
    @BenjaminWakhungu-oo7ug День назад +1

    Martha please please release Joan and start afresh, our God gives us u-turn please achana na huyu jini

  • @sikitugeorgette
    @sikitugeorgette День назад

    Amen Amen 🙏❤️❤️❤️❤️

  • @upendolema3323
    @upendolema3323 23 часа назад

    🙏🙏🙏

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas День назад

    🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion День назад

    Toka kwa jina la Yesu kirsto

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 День назад +1

    Atoke🇰🇪🇰🇪

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 День назад

    Ameeni barikiwa kaka,betrusi,ametumiwa na Mungu ,Mather hii Dunia ,angaria dada zako wakubwa ,aim aji,wanafaa mazi ya heshi wewe unava vitaiti kanisani arafu uko kuimba makalio, kubana visketi vifupi,hii laana yamama na huyo joani,Kuna sili nzito,hapo,

  • @kelvinmanyeki4065
    @kelvinmanyeki4065 День назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mungu asaidie sana

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 День назад

    Watu wengi hatumuelewi YESU KRISTO

  • @JudithOdero-u1n
    @JudithOdero-u1n День назад

    ee Mungu msaidie dada yetu

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p День назад +1

    Kweri kabisa mchungaji

  • @MeryKasoki
    @MeryKasoki Час назад

    Joan ndiye ana haribu iyii Martha. Martha naye hakili Hana kabisa

  • @RebeccaMagoko
    @RebeccaMagoko День назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ansilakumburu5256
    @ansilakumburu5256 14 часов назад

    Martha nyimbo zako nilizikubali zimenijenga na kuniinua sana lakini kwa hili naomba urudi msalabani vinginevya kwa kumng'ang'ania huyo mtoto ,Yesu ataondoka utabakia na huyo mtoto utapata Nini? Mtolee mbali huyo binti mkumbatie Yesu Rudi pia kwa mama yako

  • @rashidchenelo202
    @rashidchenelo202 День назад

    Harafu kumbukeni Yesu alikuja kuokoa waliopotea mi naona wote tumepotea mno katika kumhukumu Joan

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m День назад

    Maombi kbx

  • @Steshusteshu
    @Steshusteshu 13 часов назад

    Nikweri mtumishi

  • @KobusingeNoel-v7e
    @KobusingeNoel-v7e 11 часов назад

    Unaongeya maneno mazuri

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt День назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @kizitokalumunacharles
    @kizitokalumunacharles День назад

    Kwa kila aliye mkristo ktk roho na kweli akipata shida yoyote ya kiroho hata ya kimwili .TOBA ya kweli ni muhim sana ya kutusaidia kuondoa matokeo ya shida zinazotupata. TOBA NI MLANGO WA DHARULA WA KUTOKEA KWA MATATIZO YETU hamna kingine hata ukijaribu kujitetea haisaidii toba kwa Mungu aliye hai ndo mlango wa kutokea wa matatizo yetu

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely День назад +2

    Serikali iingilie kati wachunguze kama kweli wanashiriki usagaji ili wapone na waolewe sio wanakaa wanawake TU ndio Nini

  • @rebekamwimi1394
    @rebekamwimi1394 День назад

    Amen

  • @daudiassa
    @daudiassa День назад

    Martha akamwone mama

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe День назад +1

    Matha nenda kwa mama yule ni mama na huwez kununua mama wala kukopa mama wala kubadilishana na mtu yoyote ludi kwa mama najua yawezekana unamini yule mama haendani nawe pole sana kwa hilo mama ni mama

  • @GodfreyMolel
    @GodfreyMolel День назад

    Tuache kutazama matamshi na makelele za na mbwembwe za watu , ila tujue shetani yupo kazini tuache Dunia litazame wanavyotazama lakini cc kama watumishi wa mungu tuwe na mtazamo tofauti, tuwaombee na kubeba mzigo kama wapendwa mbrikiwe

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas День назад +1

    Nikweli ninamashaka namaltha huwenda niwakala washetani kuanzia leo sinto sikiliza nyimbo zake tena haiwezekani mtumishi wamwenyezi mungu aishi nabinti kama huyo tena anazalilisha hadi ukristo ila yeye ameka kimya ninamasha namahusiano yao.

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 День назад

    Huyo Joan apokonywe simu asije akaachia connection

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j День назад +1

    Anyaganywe mali yote ya Martha, gari ichukuliwe,hio Biashara irudishiwe Martha mwaipaji. Serikali ingililie kati.anyaganywe.

  • @violetmakokha5683
    @violetmakokha5683 День назад

    Ama Joan alitumiwa kumwangusha Martha mwaipaja

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 День назад

    Mziki wa injili kwakweli umekuwa wa freemason

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz День назад

    Sio hivyo 😅😅😅 bwana ACHA

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 День назад +1

      funga kinywa na unyamaze kwa JINA la YESU

    • @mutiembingi-le6kz
      @mutiembingi-le6kz День назад

      @femidayahaya9293 sikia waimbaji asilimia 99.9 ni wanachama wa kuzimu WEWE kama angekua anamwimbia mungu ageyajua yote wengine walianza na mungu lakini wakageuka Kwa shetani.wewe ni mwana wa mungu SIKIA yesu unayemtaja asiwe yesu wa msalaba kuwekwa makanisani uyo yesu ambaye anatumia misalaba mpaka Sasa ni takataka asiwe pia wa ubatiso wa kikombe kisima baharini Hawa mayesu wa misalaba ni magasia SAWA

  • @rashidchenelo202
    @rashidchenelo202 День назад

    Mbona mimi nawashangaaa ninyi wakristo jamani daah kwanini tusifunge na kuwaombea wote kwani hata joan ni mwanadamu na ni dhambi gani kubwa aliyofanya joan ambayo Mungu hawazi kumsamehe jaman wakristo na wanadamu kwa kweli tunahukumu kuliko mwenyezi Mungu daaa

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini День назад +1

    Siyo binadam huyo ni jini kabisa

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz День назад

    Mardha unamtuka YUSU kwamambo hayo nikweli au wewe ndiye unaejua yesu unamludisha msalabani alamazamisumali zanamusu yesu Tena

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 День назад

    UNA MAANA HUO USAGAJI NDIO MPANGO MAALUM WA MUNGU JUU YA HUYO MSAGAJI MWIMBA KWAYA!!

  • @AnethMasaki-c5f
    @AnethMasaki-c5f День назад +1

    Martha usiogope,kutii ni mlango wa baraka..baraka ni nini?..nenda dear kwa mama..usiogope nenda !!😢

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 День назад

      Kama sharti la.mnyama.la.chama la.kushoto.haitawezekana ma'ana ndo kafara.yake kutomtunza mama yake hela.za mkuu wa.giza.daa alikuja kwao kama nuru watu wakapenda.giza kuliko giza na hii ndio hukumu

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 День назад

    Ajent kabsaaa ndiyo maana anasema hataki wakristo ndiyo tuishi vzuri na watu wote ss kusema hatutaki wakristo lazma kuna kasoro kuu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 День назад

    Ni kweli kabisa malaya joani ni agent,ametumwa na lusfer,fukuxeni hilo mke wa lusfer.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz День назад

    Mwachie joani aondoke tune mardha kumbuka mungu alikutendea mangapi ludi kwa yesu kama umeenda mbali ludi

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz День назад

    Kweli anayelitia jinalabwa lazi acheuovu wake

  • @dorcasbyobala4698
    @dorcasbyobala4698 День назад

    Amen amen!!!!

  • @JanetteJanette-g5l
    @JanetteJanette-g5l День назад

    Mna uhakika mbona mnajipendekeza

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 День назад

    Martha yeye mwenyewe aseme ni business gani anafanya nauyo binti

  • @JanetteJanette-g5l
    @JanetteJanette-g5l День назад

    Sio joan nikukosa hekima kwa mdogo yake

  • @ZaitunJuma-l5p
    @ZaitunJuma-l5p День назад

    Msimlaum matha sijui kafanyiw nini

  • @four320
    @four320 День назад

    Martha usiogope kutubu rudi kwa Mungu uko naangaika itakuaje kama kweli nyinyi sio wagiza wewe na joan mufukuze tuone

  • @KobusingeNoel-v7e
    @KobusingeNoel-v7e 11 часов назад

    Ubarikiwe

  • @TatooTatoo-t6o
    @TatooTatoo-t6o 13 часов назад

    Amen