MARTHA MWAIPAJA AOMBWA NA MSANII WA KENYA ALI MUKHWANA AZUNGUMZE UKWELI ILI WATU WANYAMAZE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 57

  • @PreciousMepu
    @PreciousMepu 8 дней назад +2

    Ali, your worship is in another dimension, glory to God Almighty.

  • @anithakanshambu7851
    @anithakanshambu7851 8 дней назад +2

    ALI MUKHWANA, you are right .. May God bless you ❤

  • @amkeni
    @amkeni 9 дней назад +4

    Alli mimi nabarikiwa sana na wimbo wa Zaidi zaidi kwakweli kama sijasikia wimbo huu kutwa itakuwa sija barikiwa bado.
    God bless you and add more inspiration in Jesus might name 🙏 😊

  • @JacklineWawire
    @JacklineWawire 7 дней назад

    Barikiwa sana Ali, mawaidha yako mazuri sana

  • @peninahnyakwaka
    @peninahnyakwaka 5 дней назад

    Whenever my daughter was listening to your music the owner of the house was ever disturbed she was working as a house maid

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 8 дней назад +4

    Ally ninazipenda nyimbo zako huwa nakufuatilia sana , naipenda Ile nyimbo Bwana naomba unitakase Mungu mwenye nguvu .....

  • @gloriaamase9764
    @gloriaamase9764 9 дней назад +7

    Ali unafanana na Annoint amani wa Rose muhando😊

  • @camillangowi
    @camillangowi 8 дней назад +1

    tumwombee Martha atoke kwa vifungo vya Lusifer hongereni ndugu zetu wa Nairobi kwa kupaza sauti Mungu ahimidiwe Injili isonge mbele

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 8 дней назад +2

    Let not the kingdom of darkness rule you please please trust in God Through Jesus Christ,s Blood kila kitu kitawezekana..m❤❤❤❤❤Amen..oye from Austria 😊

  • @Kaylyn-z6y
    @Kaylyn-z6y 8 дней назад +1

    God bless you servant of God

  • @SaraM-m1d
    @SaraM-m1d 9 дней назад +2

    Mungu hazihakiwe huyo mtoto wakike mungu ata mjibu

  • @richissimeselevage
    @richissimeselevage 9 дней назад +4

    Martha ana masharti mengi sana, ila Mungu ni Mungu wa myungu nani Bwana wa Ma bwana...
    Acha Shetani amu mwage, Shetani hanaga Rafiki

    • @svt3
      @svt3 9 дней назад +2

      Kwa kweli shetani ni mubaya saana

  • @bukusumediatv8499
    @bukusumediatv8499 9 дней назад +2

    Good job Eddy

  • @jamesmagwisha9634
    @jamesmagwisha9634 9 дней назад +2

    Mtumishi huyu @Ali Mukhwana,anafanana na mchekeshaji wa Tanzania,anaitwa Ringo

  • @neemafataelkaaya1186
    @neemafataelkaaya1186 8 дней назад

    Katika hili kweli ya Mungu isimame na mapenzi ya Mungu yatimie

  • @JAMSMDOE
    @JAMSMDOE 8 дней назад +5

    Akimuondoa huyo binti kitakachotokea anaweza akajiuwa hako kabint kana picha za hatareee kakiziachia!!!! Dunia itakuwa ndogo kama kijiko matha atakosa pa kujificha ndio maana matha amekuwa mpoke na muoga na haka kadada kanaongea kama mwanaume kabisa wala sio dada wa kazi

    • @TABBYHEAVEN-kg1qo
      @TABBYHEAVEN-kg1qo 8 дней назад

      Kweli Joan anamkalia Martha. Joan ana siri za Martha tena nyingi sana. Martha anaogopa kabisa Joan atamwanika

    • @SalhaAlly-x8q
      @SalhaAlly-x8q 8 дней назад +1

      Jaman ikiwa hivyo huyu binti amsamehe tu matha kwa yote maana hakuna mkamilif kila mtu anamadudu yake vile tu yamesitiriwa

  • @JujuGurugu04
    @JujuGurugu04 9 дней назад +1

    It's sad she needs deliverance 😢

  • @LeahWanjala-w9f
    @LeahWanjala-w9f 8 дней назад +2

    Why don't you farm make arrangements and visit that mother for once,,mmfanyie shopping mchange mmbuyie kashamba mmjengee na mpokee hizo baraka it's just my opinion❤

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 8 дней назад +1

    Na wewe Martha mlindecmamako wewe Martha bila Baraka za mama you are falling ...what does the Bible tells you about the Ten commandments Honor your parents and any parent is your parent wewe Joan respect mother Martha ...jingacwewe.
    Be careful Martha ...signs someone is send by the evil wicked devil umesahau you tube ..vile ukisema mtu anatemper nayo...basi hudumacwako unakuja tempted go fasting ..trust in God not gods😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 8 дней назад +1

    Kupe kaka

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 8 дней назад +2

    Kwanini wasimwite matha nawachungaji wakamuonya kuliko mwanika kwenyemitandao nakuanzakulia mamayake kulia mitandaoni nakusema laisi amsaidie laisi amsaidie nn auamfunge je nitoto wake kweli anamwaibisha wachungaji wanakazi ngani

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 8 дней назад +1

    Umesema ukweli aepukane na huyo Joan😮

  • @SimoniMbamba
    @SimoniMbamba 9 дней назад

    Mungu uu

  • @gadisanga-ee2il
    @gadisanga-ee2il 9 дней назад +4

    Dada rekebisha kauri niliskiriza mchungaji arivosema hakutaja mhusika mbona unamsingizia yeye alisema MUIMBAJI

    • @Kaylyn-z6y
      @Kaylyn-z6y 8 дней назад

      Lakini Joan mwenye ashajikiri kwa kulaani huyo mchungaji

    • @ezebiakayingi6576
      @ezebiakayingi6576 8 дней назад +1

      wenyewe wameshajijua ni wao, kwa nini dada arekebishe kauli?

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 8 дней назад

    Kila mwanaadamu ni mkosefu na kila mkosefu anasamehewa akimuomba Mungu alomuumba ,hakuna mwanaadamu mkamilifu ktk hii Ardh ,kila mtu anamadudu yako ya makosa,na aliyekamilika ni mungu peke yake ,Huyo matha na sisi wote tunamatatizo yetu vile tu mungu hajaweka hadharan,akitaka ataweka .Tusimseme vibaya matha tumpe nasaha tu kuwa awe karibu na mama na ndugu zake .hayo mauchafu mnayoyaongea mnamkosea mungu mnaeneza picha si nzur kwa jamii alafu udhahid hakuna ,na hata ukiwanao hutakiwi kuuanika.muogopeni mungu someni vitabu vya mungu na kuvifuata mtaona haya si sahihi

  • @gloriaamase9764
    @gloriaamase9764 9 дней назад +2

    Martha ndio anyamazishe watu na mitandao arudi kwa mama yake

  • @ZabibuKinoni-tj4jt
    @ZabibuKinoni-tj4jt 8 дней назад +1

    Ni kweli dada hao waimbaji wakike walio wengi wameachana na waume zao sasa wanaishi vipi kama sio wazinzi?

  • @jacobjb4515
    @jacobjb4515 8 дней назад

    Sikilizeni nyinyi Martha hawezi kujitokeza wala hawezi kumfukuza Joan hayo ni maagano uwezi kumuacha mama yako hata kama sio wa kukuzaa au mama mdogo ndio umtelekeze wewe utakuwa ni mwendawazimu unajua thamani ya mama wewe hakuna kama mama, acha huyo huyo Martha amtelekeze mama yake lkn watu wanajua nini thamani ya mama.

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 8 дней назад +1

    Kupe wa kwenye ng,ombe

  • @charitynyclin4086
    @charitynyclin4086 9 дней назад +4

    Ak mm nimewatch story yao hadi Sina la kusema

  • @SechelelaMnyangwila
    @SechelelaMnyangwila 8 дней назад +1

    Hakuna wa kulimaliza zaidi ya Martha kumwangukia Mama,pia Beatrice hongera Kwa ujasiri ukisikia kukomboa watu ni umekomboa Familia mtakaa sawa tu.
    Mama hongera Nguvu ya Mungu IPO barikiwa ni mapito tu na Mzee pole Busara Yako itamaliza kwani wewe ni mtu wa Mungu.
    Ila Binti yetu Joan Ungelipisha kwanza huenda age au nidhamu mbona Matendo Niya kichokolaa wakati una wazazi kwanini Wazazi wasimchukuwe Binti nyao Familia ya Mwaipaja ipumuwe!!!?
    Ila mwimbaji umeongeza Kwa Busara bigup!

  • @marykyley836
    @marykyley836 8 дней назад

    Sema Ni mashoga😢😅weee

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 9 дней назад +2

    Tena shetani yure mtoto

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 9 дней назад

    Hii mijitu ni mimalaya wanatafuta jinsi yakupandisha Bei ya Kuma .kupelekwa dubai

  • @marykyley836
    @marykyley836 8 дней назад

    Sio wazazi Ni mzazi wake ...mamake

  • @charitynyclin4086
    @charitynyclin4086 9 дней назад +1

    Kwani Joan c mtoto wa Martha

    • @ChristinaAsukile-n2v
      @ChristinaAsukile-n2v 9 дней назад

      Leo ndo unaweka bado

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 7 дней назад

      @@ChristinaAsukile-n2v unahis kila mtu hutumia bando zake kwa rubbish km hizi? sio lazma kila post uifungue unapokua na bando

  • @pasisimwinchumu1906
    @pasisimwinchumu1906 8 дней назад

    Kwa mujibu wa rafiki wa mama yake anasema huyo Joani anasema hampendi Mungu sasa inakuwaje Martha yuko nae kwenye kazi zake za kumuimbia Mungu?

  • @charitynyclin4086
    @charitynyclin4086 9 дней назад +1

    Waimbi wa gospel tumefikiwa😅

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema 8 дней назад

      Ending the year with a bang watu wanashikwa huu mwaka huu mwaka ndio tulitambua baby oil si ya toto tu hmm mungu atusaidie

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 8 дней назад

    Nashauri tusisikilize nyimbo za injili za waimbaji binafisi maana inawezekana zingine zikawa na maagano ya kishetani ndo maana kanisa katoliki lilikataza nyimbo binafsi na ikiwa utatu ga wimbo utahakikiwa na sharti uimbwe kikwaya na sio mtu mmjoja

  • @danielnyimbo2210
    @danielnyimbo2210 8 дней назад

    Huyo mdudu wa kwa ng'ombe anaitwa kupe

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 8 дней назад

    Ww wacha zako

  • @ZabibuKinoni-tj4jt
    @ZabibuKinoni-tj4jt 8 дней назад

    Mama matha kama umemuelewa au hujamwelewa? Maana naona kuna watu mnaongea bila kusikiliza mama matha kaonga nini yeye kasema wameitsha vikao vingi bila mafanikio sasa wewe ulitaka afanyeje ama ingekua ni wewe? wameitsha v

  • @odiliakaloli4433
    @odiliakaloli4433 9 дней назад +1

    Apana.ayo mapenzi yalikuwa na makelele mpaka nnje?akuna iyo ni kiki ya kuchafua tu.wachugaji mnatuchanganya

    • @saraoloo9251
      @saraoloo9251 7 дней назад

      Nashangaa how sweet was the act until they started mourning , hii nayo malebo aseme tuu ako na shida na Martha.