HAKIKA MARTHA MWAIPAJA NI KAHABA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 85

  • @damarisogoti2248
    @damarisogoti2248 9 часов назад +1

    No matter how much you'll tarnish her name, will still listen to her inspiring music.We love her music......

  • @lilyabel2320
    @lilyabel2320 12 часов назад +1

    KAHABA MKUBWA NI WEWE MBONA HUJISEMI WEWE AU DADA YAKO,ACHA KUTAFUTA KIKI. WEWE HUMJUI MARTHA. YESU KRISTO ANAMJUA MARTHA. NENDA KAHUBIRI INJILI USIMUHUBIRI MTUMISHI WA MUNGU. NIKIKUANGALIA WEWE NDIO NAKUONA KUWA Ni KAHABA MKUBWA TENA M ZOEFU USIYE NA AIBU

  • @FabianLutobeka-b6c
    @FabianLutobeka-b6c 9 часов назад +1

    We mzee unasumbuliwa na wivu kwanza nahisi kwanza ulimtogoza kakukataa😁😁😁😁

  • @TatuShabani-z4s
    @TatuShabani-z4s 14 часов назад +1

    Mhubiri Mungu msikae kutuhubiria matendo ya martha je ningekuwa mim mngenihubiri

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 16 часов назад +2

    Duniani binadamu tunapenda kuwajaji wenzetu mungu atupupe mwisho mwema

  • @mamab674
    @mamab674 8 часов назад +1

    Loo! Tena hawezi kuwa wenu Labda atakuwa wa Mungu, nina wasiwasi ndo maana wake wanwachungaji wengi wanachepuka kisa mnawanunulia magauni tuu na vitenge wanalala navyo hadi usiku nanyi mnalala na suluali zenunza mishosho hamjui hata mavazi ya kulalia au hata kuendana na mazingira, Martha anajitahid kuwaelemisha kwamba hata wake zenu mnaweza kuwanunulia nyie mnaita ukahaba, tumeona wangap wakuvalia hayo magwanda yenu lakini wafeficha uchafu mtupu, tafadhali kuweni makini katika hili, tukahukumiwe kwa mengine ila sio kuwajaji wengine hata vitu vya kupuuzi

  • @TatuShabani-z4s
    @TatuShabani-z4s 14 часов назад +1

    Wanadamu acheni kutuhum mtu pasina uhakika na hata kama unauhakika sio vyema kumwanika hadharani badala ya kumtafuta na kumfari na kumwombea nyie ndo wauaji je unafikiri yeye anajisikiaje hapo alipo badala ya kutangaA injili njema mnakaa kumwongelea mwenzenu, je ni nani kati yenu aliyemtakatifu yaani hajawahi kutenda dhambi mnafurahia kujadili mapoto ya mwenzenu tu Mungu mwenyewe ndiye mhukumu wa kweli

  • @TatuShabani-z4s
    @TatuShabani-z4s 14 часов назад +1

    Mbona hayo mavazi ni ya kawaida tu au kisa ni suluali?

  • @Polycarpmathias-r2j
    @Polycarpmathias-r2j 13 часов назад +1

    Huyo dada ni mzuri tena kavaa tu kawaida, we baba wewe nawe una shida yako, mbona ww umefunga vifungo vya shati mpaka mwisho kama unafunga tai je tukuite mhuni? Wacha hizo bana ww.

  • @ChristopheAmani-t1o
    @ChristopheAmani-t1o 17 часов назад +2

    Faida Gani Martha awe miongoni mwenu lakiki anapo tazamwa na Mungu wake akutwe Aiko miongoni mwa Mungu afazali asiwe miongoni mwenu awe miongoni mwa Mungu wake ya mutocha awe miongoni mwa Mungu
    Ni Mechi inayo chezewa Na timu yangu itapata ushindi goli
    Ni 2-1

  • @rmusundi5
    @rmusundi5 13 часов назад +1

    Enyi watanzania hamna kazi ya kufanya Ila udaku kuhusu Maisha ya huyu Martha .

  • @Polycarpmathias-r2j
    @Polycarpmathias-r2j 13 часов назад +1

    Mdogo wapi bana mbona dada mtu mzima, we mzee wacha kisebengo bana.

  • @SteveMmbongo
    @SteveMmbongo 15 часов назад +1

    Mm sizan martha ni kahaba na kama amekosea mungu wa rehema tumpe muda mtamjua vzuri ni mwana wa mungu tena naye ni mwana damu anazo hisia jaman

  • @DorcasOjiro
    @DorcasOjiro 18 часов назад +2

    Let God b the judge.

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu 3 часа назад

    Martha kama ni kahaba hatuhusu Wala nyinyi halikuhusuni,nyinyi mnauzuri gani kwa Mungu mpaka mfikiye kumfuatafuata Martha,mwacheni sasa mmejaa uovu na mmejificha Kwanza jielezeni uovu wewe hadharani Kisha Mrudi kwa Martha mnahuzunisha sana kweli nyinyi siyo watu waMungu nyinyi ni wanafiki wasaliti wa neno la Mungu,nyinyi ni wapiga siku katika neno la Mungu,.muwacheni abaki na Mungu wake siyo nyinyi .

  • @TatuShabani-z4s
    @TatuShabani-z4s 14 часов назад +1

    Nguo kubwa ndefu na haijambana tafuta sababu nyingine sijaona shida hapo kwakewli toka hapo na wew unazan unachokipenda wew wote wakipende hakuna shida hapo kabisa

  • @wuodkokelobingo4855
    @wuodkokelobingo4855 13 часов назад +1

    Hata kama martha ana makosa yake, huezi mhubiri, hubiri injili, injili ndio itamfumgua,

  • @KhadijaMhanga
    @KhadijaMhanga 12 часов назад +1

    Atawewe nikahaba ujioni umelisi kwa mama yako mwanaume wa ovyo

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 17 часов назад +3

    Mbona watoto wenu dada zenu vijana wenu hamuwaiti makahaba.mnagaji wawenzenu

  • @damarisogoti2248
    @damarisogoti2248 10 часов назад +1

    Kindly stop judging this lady....No issue with her dressing code at all!!!!!!!! Say something else,maybe we can concur with you.And again as the servant,what have you been called to do??????.

  • @HAGAIMPOKIGWA-r9z
    @HAGAIMPOKIGWA-r9z 16 часов назад +1

    Anapo fanya ukahaba unamshikiaga miguu ivi hajui muhukumu was mwisho Ni Mungu .je unapomuhukumu mtu. Ya kwako .umeyaona.wopo na wewe wameona mapungu yako na mke wako naye anaonaga mapungufu yako

  • @schniderlivin
    @schniderlivin 15 часов назад +1

    Tujichunguze sana kabla hatujasema wengine bana...martha anaduka la nguo hapo yupo kwenye biashara yake anatangaza biashara yake.

  • @ChristopheAmani-t1o
    @ChristopheAmani-t1o 17 часов назад +1

    Ninataka nikujibu tena dungu yangu elewa kwaba kunawale wameokolewa kupita mahuri
    Kuna wale wameokolewa kunitia pia Nyimbo za Mungu kutoka kwa waimbaji
    Mimi nimefuatilia Pia vizi lapili unaonyecha kwaba ni laukahaba ni vazi zuri sana hâta mimi Niko na soma biblia Sahii Nina ona dani ya kitabu Cha waefeso 6:4 inayo sema nanyi,akina baba,musiwachokoze wa toto wenu
    Niwapi ushauri kidongo ni mepata watumishi Wa Mungu
    Muachane Na huyu mama Martha ni Mukristo muwazavyo sivyo
    Nina ongopa sana kwa Nini Nina ongopa wa mama wote wakifunguka mecho watambuwe kwamba mwezao anateswa na wanao itwa watumishi wa madini Nina waakikichia kutatokea shinda kubwa akuna makanisa bila wa mama
    Kweli kabisa mimi simutaki Wa kumuchokoza mwanamuke
    Akifanya kosa Nina omba Mungu wangu anipe ujasiri wa kumuonya asipo onyeka bingu inapambamba naye

  • @winfredkimeu5991
    @winfredkimeu5991 16 часов назад +2

    Wacha kutumia neno kuita mwengine kahaba,,,ata wengine uvaa kiheshima ila ni kahaba.sisi wote ni wana wa Mungu yeye tu ndio ndiye anajua mioyo yetu....wacha kujifanya wee ndiye mwema.

    • @marympochela7903
      @marympochela7903 12 часов назад

      Jamani, Huyu Martha amekulia kwenye maisha ya taabu na shida nyingi, hivyo amejitafuta ina amejipata, kutokana na maisha aliyo kulia , hivi sasa anazuzuka/anachofanya ni ulimbukeni tu umemjaa, hayo ni maisha aliyokuwa akiyatamani maishani mwake,na wala hakuwa ameokoka kivile ila alipenda kuimba na kwa mazingira yake, eneo alilokubalika ni kanisani.kwa hiyo anaonyesha uhalisia wa moyo wake ulivyo, hakuwa mtulivu bali,hakuwa na uwezo wa kuishi kistaa kama anavyoishi sasa.
      Kikubwa, tumuombee MUNGU amfungue.

  • @dukemogaka6269
    @dukemogaka6269 14 часов назад +2

    Ata kuhukumu ni dhambi ndugu zangu.
    Ebu soma mhubiri 7:20

    • @dukemogaka6269
      @dukemogaka6269 7 часов назад

      I believe the public has nothing to do with Martha's personal mess(weaknesses) nor her family surely does.
      Am not defending her but let's not judge her pray for her on that...upunguvu ni ukawaida wa binadamu kuwa star haimfanyi kutokosea

  • @JackSikolia
    @JackSikolia 15 часов назад +1

    do not judge... labda wewe ndie kahaba

  • @charlesmugondi-zo6zv
    @charlesmugondi-zo6zv 7 часов назад

    Kwani akivalia trousers ni kahaba?!

  • @samwa9496
    @samwa9496 16 часов назад +1

    Hapo mmepata chanzo yote haya mdogo wake ndio amemtafutia adui sasa yametimia

  • @stevenmahinda657
    @stevenmahinda657 15 часов назад +1

    Watumishi wa siku hizi changamoto...mnakosa hekima....

  • @JohnKaliagi
    @JohnKaliagi 16 часов назад +1

    Acheni hizo wanafiki nyie wanafiki wakubwa nyie hamna dambi,hapa dunia hakuna mkaminifu,wewe mnafiki mkubwa .

  • @JohnKaliagi
    @JohnKaliagi 16 часов назад +1

    Wewe mnafiki mkubwa huyo sio malaika ,hata mimi namjua mungu.ila nakosea acha unafiki shettani mkubwa

  • @revocatusbusia
    @revocatusbusia 16 часов назад +1

    Amina mtumishi

  • @GODFREYKIPALILE
    @GODFREYKIPALILE 17 часов назад +1

    watu walimhukumu ayubu kumbe hajatenda dhambi,acha kumhukumu,ajidhanie amesimama na aangalie,acha kuhukumu muombee,funga kwaajili yake kama ww ni mtumishi kama mimi,

  • @mosseskalimbu4629
    @mosseskalimbu4629 14 часов назад +1

    Hapo anauza nguo wewe mwongo

  • @PeterPaul-yf6ut
    @PeterPaul-yf6ut 16 часов назад +1

    Acha kuwa mtumwa wa shetani picha hiyo inadaliligani za kikahaba wewe mbona macho yako ni ya kikahaba?Matha tulia na Mungu wako aliye kuita Mungu anaangalia moyo wala si mavazi.

  • @VioletOmandi
    @VioletOmandi 16 часов назад +1

    Toa kipanzi ndani ya jicho lako kabla hujamutoa mwezako hujasema naoungufu Yako ama wewe umekamilika

  • @zephanialuangwaeliatosha9723
    @zephanialuangwaeliatosha9723 16 часов назад +2

    Sasa ukahaba wake ukowapi hapo au mm nimeona tofauti😮

    • @mamab674
      @mamab674 8 часов назад

      Halafu wamesahau kama huyo ninmfanya biashara anatangaza nguo zake ujue ndo maana Kuna wakati tunambiwa sisi ni washamba, halafu usitukane mamba hujavuka mto, kama una kizazi tuliza kooo tuendlee kumuombea dada Martha, utajiwazaje siku unafika kuzimu humkuti Martha kumbe Yuko mbinguni

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 16 часов назад +1

    Acha uongo hayonimavazi tu wewe baba hayosiyomavazi yakikahaba chauogo baba wewe

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 16 часов назад +1

    Mimi nasema la mwisho yoyote ataeinuka kumuataki matha tumeshataayalisha mwana sheria mtashitakiwa na mtaleta ushahidi vingevyo itabidi mumlipe hiyo abuse

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 17 часов назад +2

    Neno la Mungu linatuonya tusihukumu, tusijetukahukumiwa. Hakuna mkamilifu hata mmoja: Yatupasa tuombeane! Ajuaye siri ya mioyo yetu ni Mungu Baba yetu wa Mbinguni pekee.

    • @melamombwa8148
      @melamombwa8148 17 часов назад

      Neno la Mungu ndilo linalohukumu mpendwa.

    • @AmosJoakim
      @AmosJoakim 16 часов назад

      ​@@melamombwa8148Sasa huyo mbaba ndo neno la Mungu au, heri yao wapatanishi wataitwa wana wa Mungu, huyo hapo hana tofauti na mpagani maana amehukumu

    • @gertrudejohn9039
      @gertrudejohn9039 14 часов назад

      Kuhukumu na kuonya ni vitu viwili tofauti, biblia inasema msiache kuonyana

    • @TatuShabani-z4s
      @TatuShabani-z4s 14 часов назад

      Kama mnatafuta kiki sisi hatutaki hata kujua majina yenu wala hatutawafuatilia ng'ooo😮

    • @jsabood
      @jsabood 10 часов назад

      Maneno ya huyu jamaa anamshtumu mtu bila ushahidi. Nigekuwa Martha ningemfungululiya kesi mimi. Maneno yote anayosema ni upuuzi. Anaingiza dini kumshutumu mtu. Je anajuwa sheria.

  • @JermeneMujinikire
    @JermeneMujinikire 12 часов назад

    Waimbaji wa Tanzania si Marta tu hata kujikirimu. Nizam bi wanavisavingi

  • @kamenyeroruganzaetinne6141
    @kamenyeroruganzaetinne6141 18 часов назад

    Jambo mwalim,hiimavaliyo haimaanishekwamba ni mbaraga apana,juuhaoneshe mwiliwake Kwa vazi❤

    • @melamombwa8148
      @melamombwa8148 17 часов назад

      Unajua kwanini aonyeshe makalio?
      Asomaye na afahamu

  • @HMan-p7l
    @HMan-p7l 16 часов назад +1

    JICHO LAKO NDIO LIMEMTAZAMA KWA UKAHABA. PALE ALIKUWA ANAONESHA NAMA MAVAZI YALIVYOMPENDEZA. WALA HAKUWA NA NIA KWAMBA WEWE UMTAMANI. ILA WEWE ULIEMTIZAMA NDIO ULIMTAMANI UKAINGIA KWENYE UKAHABA.

    • @Mussaphanuel-p1q
      @Mussaphanuel-p1q 16 часов назад

      Wewe hanaelimu ya Dini.ndo maana unamkosoa anaedai kuwa Mather ni kahaba.kwani unabisha nini? Toa maandiko kwenye Bibilia yanayo elekeza kuvaa mavazi kama hayo ya Mather

    • @HMan-p7l
      @HMan-p7l 7 часов назад

      @@Mussaphanuel-p1q MAVAZI hutokana na tamaduni mbalimbali. Kuvaa kanzu ni utamaduni wa waarabu waliowateka babu zetu enzi hizo. Hata sisi watanzania tunazo tamaduni mbalimbali za kimavazi. Ukienda kuhubiri Kwa Wtaturu huwezi kuwaambia waache kuvaa MAVAZI waliyozoea kulingana na tamaduni zao. Na wao hawaoni shida yoyote. Kwahiyo shida ipo kwako wewe unaewatizama na kuhisi na kuwaka tamaa. Nenda kasome vizuri Maandiko. Utanielewa ninachomaanisha.

  • @JermeneMujinikire
    @JermeneMujinikire 12 часов назад

    Kuimba. Kwaoni biashara hawaimbie. Mungu

  • @rusimackems9820
    @rusimackems9820 20 часов назад

    Ubarikiwe mtumishi

  • @samwa9496
    @samwa9496 16 часов назад +1

    Yeye ni muimbaji wa injili si mlokole tofautisheni

    • @BintiDanford
      @BintiDanford 16 часов назад

      Nikweli

    • @Mussaphanuel-p1q
      @Mussaphanuel-p1q 15 часов назад +1

      Unamanisha walokole ndo wanaefaa kufanya ukahaba? Mavazi ni kitambulisho tosha.mavazi yanakutambulisha unafanya KAZI gani na unaimani gani.acheni kutetea ujinga.kama watoto wenu wako kama Mather.ebu wafundishen Bibilia.la sivyo mnapoteza taswila ya ukristo

    • @samwa9496
      @samwa9496 14 часов назад

      @@Mussaphanuel-p1q avae Dera tuu basi jamani mbona mmemsakama hivyo imetosha sasa hata wewe umefika kiwango kama ni mwanao hutokubali tena na huyo mama na Betric nadhani wanajutia namwambia awe na moyo mkuu asijidhuru

    • @Kambale8
      @Kambale8 14 часов назад

      Wewe ni muongo

  • @HMan-p7l
    @HMan-p7l 7 часов назад

    KUNA BAADHI YA TAMADUNI HAURUHUSIWI KUVAA SUTI BADALA YAKE UVAE KANZU NA UFUNGE KITAMBAA KICHWANI AMA KOFIA. KWAHIYO HATA HIZI SUTI ZETU KWA WENGINE NI VAZI LA UKAHABA

  • @LameckMwakilembwe
    @LameckMwakilembwe 2 часа назад

    Kutaja kosa la mtu sio hukumu ni sawa ili kama ikiwezekana ajirekebishe asije akaingia hukumuni

  • @ChristopheAmani-t1o
    @ChristopheAmani-t1o 17 часов назад

    Nikingali na usingizi nilitaka andika kusema kwamba Kuna
    Wale wanaokolewa kupitia mahubiri Kuna wale wanaokolewa kupitia Nyimbo za Mg kupitia Wa ibaji pia

  • @NjitiMohamedmzee
    @NjitiMohamedmzee 15 часов назад

    Kweli kabisa tena kahaba mkubwa sana

  • @HMan-p7l
    @HMan-p7l 7 часов назад

    Hapo ningemuona Matha yupo nusu uchi kama walivyo makahaba ningesema ni kweli. Lakini alikuwa anabadili nguo na kuonesha namna ilivyompendeza kama fasheni show. Ila sijauona utupu wake wala kiashiria cha kwamba anajiuza. Tuleeteeni picha zake akiwa uchi ama akiwa faragha na watu tofautitofauti hapo tutawaelewa.

  • @ChristopheAmani-t1o
    @ChristopheAmani-t1o 18 часов назад

    Mimi nimepata neema ya kukusikiliza dungu yangu
    Kweli kabisa nimetazama
    Muzuri sana hiyo Siyo mavazi
    Ya ukahaba Jana nimebarikiwa
    Sana kanisani tulipata ujumbe
    Kutoka kwa Mutumishi was Mungu kutoka pale Tanzania
    Ni dani ya kitabu ya Luka sura 6:46-49
    Na alifunuliwa mengi sana watu
    Wengi wanatazamia zambi kwa kwa mambo Moja Moja
    Ila ujuwe unapo singizia mwezako mukristo umetenda zambi usipo samehe baba Yetu wa Binguni hatakusamehe pia

    • @OttoChiduo
      @OttoChiduo 16 часов назад

      Tofautisheni night dress+resture time at home,na mtu anayeenda zurura mitaani+kuogelea, fashion style lazima ziwe tofauti,mitindo ipo ya kisasa+Iliypopitwa+wakati

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 15 часов назад +1

    Mjinga wewe ukahaba uko wapi sasa

  • @RebeccaAmisi-l7z
    @RebeccaAmisi-l7z 3 часа назад

    Wejo kahaba wewe mwenye we

  • @JohnKaliagi
    @JohnKaliagi 16 часов назад

    Huyo mwimbaji tu,mnafiki

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 16 часов назад

    Kanisa limeoza kwa kauli ya magembe

  • @RebeccaAmisi-l7z
    @RebeccaAmisi-l7z 2 часа назад

    Kabila baya Muna sengenya paka kwa mitadawo???Kisha Muna sema wanjakazi mbele yakutosha uchafu wa mwezako kwenye jicholake tosha kwaza uchafu Dani yajicholako kwaza . Nikiliyo kwako na jamaa yako

  • @DelAdry
    @DelAdry 3 часа назад

    Mavazi humtambulisha mtu

  • @HadijaKilagule
    @HadijaKilagule 15 часов назад

    Yupo dukani Kwa mume wake Joan anatangaza biashara

  • @Mussaphanuel-p1q
    @Mussaphanuel-p1q 15 часов назад

    Hiki unachosema kinaukwel ndani yake.watumishi wa Mungu kama hawa ndo wanaofaa.kuna wajinga wanao kukosoa.

  • @RebeccaAmisi-l7z
    @RebeccaAmisi-l7z 3 часа назад

    Uko na wazimu kichwa wewe umemulala ?nipe jibu wewe una wazimu MUNGU waki atakupinga mushezi munada nganyiya bible nyamaza hamujuwi honya Tanzania ni haibu sana na mutumishi wenu hakuna hekima

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 17 часов назад

    Kafanyaje wewe mzee mbona mna visa.masista wa kiapo wanaolewa sembuse matha.wewe mzee tuonyeshe wanao walivyo acha kutafuta kiki.ujumbe wangu kwa matha maono yako ni makubwa lazima yaambatane na matatizo makubwa.usijali.kuna wadudu wanabeba mimba kwa siku sita wanazaa. wengine mwezi.wengine miezi m3. Ila tembo kwakua ni mkubwa anabeba mimba kwa mwaka .ndio anazaa. usijali maono yako ni makubwa.lazima yaambatane na mikiki mkubwa .huyo si Yuko dukani kwake? atauza nguo bila kuzijalibu? nyinyi wezee mna nini na huyu matha.wake wa wachungaji hawajiangalii kwenye vioo wakivaa? what is gonon? I dont anderstend.ninini. wake zenu nyinyi wachungaji wanapaka mecup hayo hamyaoni tena mnawaambia vaa vizuri usije ukanieibisha.mna nini na matha .wake zenu wanavyozunguka kwenye vioo wakivaa nguo mbona hamuwatoi kwenye midia

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 17 часов назад

    muonekano ni kahaba