- Видео 472
- Просмотров 538 065
DC Connect
Канада
Добавлен 25 апр 2016
Positive thinking leads to positive results.
Видео
KIFO KILIVYO WAKUTA KWAKUFANYA MZAHA NA MUNGU
Просмотров 51314 дней назад
KIFO KILIVYO WAKUTA KWAKUFANYA MZAHA NA MUNGU
MCHUNGAJI AMBAKA MKE WA MTOTO WAKE HUKO KENYA
Просмотров 66521 день назад
MCHUNGAJI AMBAKA MKE WA MTOTO WAKE HUKO KENYA
URITHI WA MKRISTO | MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 11921 день назад
URITHI WA MKRISTO | MASHUJAA WA BWANA
MKUTANO MKUU 18/Novembre 26éme CMLC UVIRA. Methodist huru
Просмотров 43Месяц назад
MKUTANO MKUU 18/Novembre 26éme CMLC UVIRA. Methodist huru
TAZAMA JINSI POMBE INAVYOWAKA TUMBONI MWA WALEVI
Просмотров 162Месяц назад
TAZAMA JINSI POMBE INAVYOWAKA TUMBONI MWA WALEVI
MAMBO 7 ILI KUWA NA FAMILIA YENYE FURAHA/ MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 202Месяц назад
MAMBO 7 ILI KUWA NA FAMILIA YENYE FURAHA/ MASHUJAA WA BWANA
JE, MWENYE KANISA AMEKUFA ? REV. MOSES MAGEMBE
Просмотров 275Месяц назад
JE, MWENYE KANISA AMEKUFA ? REV. MOSES MAGEMBE
UTAKUA MGENI WA NANI/ MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 166Месяц назад
UTAKUA MGENI WA NANI/ MASHUJAA WA BWANA
SADAKA INAYOKUBALIKA MBELE YA MUNGU/ MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 1342 месяца назад
SADAKA INAYOKUBALIKA MBELE YA MUNGU/ MASHUJAA WA BWANA
PART 2. "BWANA HARUSI ANAKUJA" MAANAYAKE 4/ MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 1212 месяца назад
PART 2. "BWANA HARUSI ANAKUJA" MAANAYAKE 4/ MASHUJAA WA BWANA
PART 1 "BWANA HARUSI ANAKUJA" MAANA YAKE 4 / MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 1392 месяца назад
PART 1 "BWANA HARUSI ANAKUJA" MAANA YAKE 4 / MASHUJAA WA BWANA
Part 2 UKRISTO NI KUFA / MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 1442 месяца назад
Part 2 UKRISTO NI KUFA / MASHUJAA WA BWANA
WATOTO WAFUNGUA NENO KUBWA NDANI YA BIBLIA
Просмотров 2912 месяца назад
WATOTO WAFUNGUA NENO KUBWA NDANI YA BIBLIA
Part 1. UKRISTO NI KUFA/ MASHUJAA WA BWA
Просмотров 2012 месяца назад
Part 1. UKRISTO NI KUFA/ MASHUJAA WA BWA
MCHUNGAJI KENANI AKEMEA HUU MZAHA KANISANI
Просмотров 3453 месяца назад
MCHUNGAJI KENANI AKEMEA HUU MZAHA KANISANI
NENO KUU LA MSINGI KWA WAKRISTO WOTE
Просмотров 2213 месяца назад
NENO KUU LA MSINGI KWA WAKRISTO WOTE
HATUA ZA VITA KATIKA ROHO/ MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 1563 месяца назад
HATUA ZA VITA KATIKA ROHO/ MASHUJAA WA BWANA
MCHUNGAJI MOSES MAGEMBE AJIBU MASWALI YA KIROHO
Просмотров 4063 месяца назад
MCHUNGAJI MOSES MAGEMBE AJIBU MASWALI YA KIROHO
KILA MWANADAMU ANAMULIKWA/ MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 1983 месяца назад
KILA MWANADAMU ANAMULIKWA/ MASHUJAA WA BWANA
NI HALALI KUMPA MKEO TALAKA? ASKOFU ACHANGANUA ANDIKO LA BIBLIA
Просмотров 5363 месяца назад
NI HALALI KUMPA MKEO TALAKA? ASKOFU ACHANGANUA ANDIKO LA BIBLIA
CHAKULA KIZURI KWA WAKRISTO / MASHUJAA WA BWANA
Просмотров 2874 месяца назад
CHAKULA KIZURI KWA WAKRISTO / MASHUJAA WA BWANA
EVA ALIFANYA TENDO LA NDOA NA NYOKA: DHEHEBU LINGINE LASEMA
Просмотров 1574 месяца назад
EVA ALIFANYA TENDO LA NDOA NA NYOKA: DHEHEBU LINGINE LASEMA
MAOMBI YA KUKOMBOA WATOTO NA VIFUNGO VYA KUZIMU/ MASHUJAA WA BWANA.1
Просмотров 1,1 тыс.4 месяца назад
MAOMBI YA KUKOMBOA WATOTO NA VIFUNGO VYA KUZIMU/ MASHUJAA WA BWANA.1
MAENEO 5 AMBAYO UNATAKIWA KUKAA KIMIA / MWL. MMELA MMOMBWA
Просмотров 2524 месяца назад
MAENEO 5 AMBAYO UNATAKIWA KUKAA KIMIA / MWL. MMELA MMOMBWA
MAMBO MADOGO YENYE NGUVU DUNIANI KATIKA KUONGOZA KUNDI
Просмотров 3074 месяца назад
MAMBO MADOGO YENYE NGUVU DUNIANI KATIKA KUONGOZA KUNDI
HATUA YA MWISHO YA KUFIRISIKA AKILI NDIO HII SASA.
Просмотров 3405 месяцев назад
HATUA YA MWISHO YA KUFIRISIKA AKILI NDIO HII SASA.
AKUBALI MWENYEWE ATUBU ASISEMEWE AKILI MWENYEWE KAMA KWELI ANATAKA KUPONA
Mzee mtumishi Hilo ni kahaba la nyimbo za injili
Kwa nini kila mtu kila kona ni Martha , Martha, Martha. Kama yupo ambaye hajatenda kosa la uzinzi au hajawahi kuxini maishani mwake iwe ni muumini, askofu au Padre, sijui mchungaji basi na achukue jiwe na aanze kumtupia Marha. Martha ni binadamu kama binadamu wengine ana mapungufu kama sisi wenzake. Mavazi peke yake hayawezi kumhukumu mtu kuwa ana tabia gani. Wako wanaovaa nguo zenye kuonyesha ni wachungaji, mapadre, maaskofu, polisi, askari jeshi, nk. lakini matendo yao ni machafu kuliko Martha. Wapo chui wanaovaa ngozi ya kondoo ili kuwadhuru kondoo. Mavazi ni maficho na Si kila aliye vaa nguo hiyo ana maana kuwa yeye ndiye huyo tuliye mtarajia. Kuvaa sio hoja bali moyo umevaa nini ndio hoja ya msingi. Vazi haliwezi kumfanya mtu awe mtakatifu au limfanye awe mtenda dhambi bali moyo na akili yake ndio vinamfanya atende maxuri au mabaya, wako masista, mapadre, wachungaji, mashehe, manabii, mitume wanafanya mambo maovu sio kwa sababu ya mavaxi yao bali kwa tamaa za mioyo na akili zao. Wapo pia wanao kaa uchi kimwili lakini wamevaa kiroho lakini wapo pia waliojihifadhi vizuri kimwili lakini ni wachafu kiroho. Halafu tunawaandama sana wanawake maarufu wanapokosea kuliko wanaume maarufu. Wengi wanaowasakama wanawake hao sio kwa nia njema bali chuki na wivu binafsi wa kibinadamu walio nao kwa Martha. Wenye nia njema wange tumia muda na hekima zao kumtafuta Martha na kumwambia hayo mnayoona amekosea ili kwa hekima na busara wamshawishi aache njia hizo mbaya na arudi kwa Mungu wake bila kumdhalilisha mitandaoni. Hii ya mitandaoni kibinadamu itamjengea kiburi na kujibizana kihuni na nyie mnaojiona si makahaba humu humu mitandaoni na hakuna faida itakayopatikana ktk. jamii. Ukahaba ni ule ule iwe afanye kiongozi wake wa dini au muumini wake wa kawaida.
Mungu aangalii mavazi anaangalia moyo wa mtu alafu huyo ni mfanya biashara ya mavazi acha ushamba wewe.....!!
Aksante sana mtumishi,umesema kweli. Mungu akubariki sana.
Kwahili msizani kuna maombi ya mwanadamu haya yakawaida tu eti yanaweza kukombowa roho ya martha huko aliko hakunaaa. Mpaka Mungu mwenyeweee. Ahaaa.
Martha ndo Mme wa huyu Joan.
Waimbaji wengi hapo Tanzania ni marehemu.
Kutaja kosa la mtu sio hukumu ni sawa ili kama ikiwezekana ajirekebishe asije akaingia hukumuni
Kabila baya Muna sengenya paka kwa mitadawo???Kisha Muna sema wanjakazi mbele yakutosha uchafu wa mwezako kwenye jicholake tosha kwaza uchafu Dani yajicholako kwaza . Nikiliyo kwako na jamaa yako
Uko na wazimu kichwa wewe umemulala ?nipe jibu wewe una wazimu MUNGU waki atakupinga mushezi munada nganyiya bible nyamaza hamujuwi honya Tanzania ni haibu sana na mutumishi wenu hakuna hekima
Wejo kahaba wewe mwenye we
Mavazi humtambulisha mtu
Martha kama ni kahaba hatuhusu Wala nyinyi halikuhusuni,nyinyi mnauzuri gani kwa Mungu mpaka mfikiye kumfuatafuata Martha,mwacheni sasa mmejaa uovu na mmejificha Kwanza jielezeni uovu wewe hadharani Kisha Mrudi kwa Martha mnahuzunisha sana kweli nyinyi siyo watu waMungu nyinyi ni wanafiki wasaliti wa neno la Mungu,nyinyi ni wapiga siku katika neno la Mungu,.muwacheni abaki na Mungu wake siyo nyinyi .
Hapo ningemuona Matha yupo nusu uchi kama walivyo makahaba ningesema ni kweli. Lakini alikuwa anabadili nguo na kuonesha namna ilivyompendeza kama fasheni show. Ila sijauona utupu wake wala kiashiria cha kwamba anajiuza. Tuleeteeni picha zake akiwa uchi ama akiwa faragha na watu tofautitofauti hapo tutawaelewa.
KUNA BAADHI YA TAMADUNI HAURUHUSIWI KUVAA SUTI BADALA YAKE UVAE KANZU NA UFUNGE KITAMBAA KICHWANI AMA KOFIA. KWAHIYO HATA HIZI SUTI ZETU KWA WENGINE NI VAZI LA UKAHABA
NDUGU ZANGU ACHILIA MBALI HABARI YA MATHA, KWA UJUMLA TUSIWAHUKUMU WATU KWA HABARI YA MAVAZI, BALI TUWAHUBIRI WATU KWA HABARI YA UFALME WA MBINGUNI. HAPA DUNIANI KUNA MITINDO MINGI SANA YA MAVAZI KULINGANA NA TAMADUNI ZA WATU. TENA WAPO WANAOVAA MAJANI KIUNONI TU. LAKINI WAO WALA HAWANA SHIDA NA HAWAFANYI UKAHABA WOWOTE. KUMBUKENI VITA YETU SI KWA MWILI NA NYAMA BALI NI KATIKA ROHO. TUJIFUNZE KUWATIZAMA WATU KATIKA ROHO NA SI KATIKA MAVAZI YAO NA MIILI YAO. WAPO BAADHI YA WATU HATA WAVAE VIPI LAKINI BADO MAUMBILE YAO HUONEKANA TU. TUNAPASWA TUTOFAUTISHE MATENDO YA UKAHABA NA MAVAZI YA UKAHABA. KAHABA SIO LAZIMA AWE NUSU UCHI. ANAWEZA AKAVAA VIZURI LAKINI MATENDO NI MCHEPUKO HATARI. KWAHIYO WATU WOTE WAVAE SUTI NA SURUALI ZA VITAMBAA UTAFELI. KILA JAMII INA UTAMADUNI WAKE WA MAVAZI NA HAYAHUSIANI NA UKAHABA. LAKINI KAMA MTU ANAJIHUSISHA NA BIASHARA YA NGONO HAIJALISHI KAVAAJE HAPO NDO UTASEMA NI KAHABA.
Kwani akivalia trousers ni kahaba?!
Loo! Tena hawezi kuwa wenu Labda atakuwa wa Mungu, nina wasiwasi ndo maana wake wanwachungaji wengi wanachepuka kisa mnawanunulia magauni tuu na vitenge wanalala navyo hadi usiku nanyi mnalala na suluali zenunza mishosho hamjui hata mavazi ya kulalia au hata kuendana na mazingira, Martha anajitahid kuwaelemisha kwamba hata wake zenu mnaweza kuwanunulia nyie mnaita ukahaba, tumeona wangap wakuvalia hayo magwanda yenu lakini wafeficha uchafu mtupu, tafadhali kuweni makini katika hili, tukahukumiwe kwa mengine ila sio kuwajaji wengine hata vitu vya kupuuzi
We mzee unasumbuliwa na wivu kwanza nahisi kwanza ulimtogoza kakukataa😁😁😁😁
No matter how much you'll tarnish her name, will still listen to her inspiring music.We love her music......
Kindly stop judging this lady....No issue with her dressing code at all!!!!!!!! Say something else,maybe we can concur with you.And again as the servant,what have you been called to do??????.
KAHABA MKUBWA NI WEWE MBONA HUJISEMI WEWE AU DADA YAKO,ACHA KUTAFUTA KIKI. WEWE HUMJUI MARTHA. YESU KRISTO ANAMJUA MARTHA. NENDA KAHUBIRI INJILI USIMUHUBIRI MTUMISHI WA MUNGU. NIKIKUANGALIA WEWE NDIO NAKUONA KUWA Ni KAHABA MKUBWA TENA M ZOEFU USIYE NA AIBU
Atawewe nikahaba ujioni umelisi kwa mama yako mwanaume wa ovyo
Kuimba. Kwaoni biashara hawaimbie. Mungu
Waimbaji wa Tanzania si Marta tu hata kujikirimu. Nizam bi wanavisavingi
Enyi watanzania hamna kazi ya kufanya Ila udaku kuhusu Maisha ya huyu Martha .
Mdogo wapi bana mbona dada mtu mzima, we mzee wacha kisebengo bana.
Huyo dada ni mzuri tena kavaa tu kawaida, we baba wewe nawe una shida yako, mbona ww umefunga vifungo vya shati mpaka mwisho kama unafunga tai je tukuite mhuni? Wacha hizo bana ww.
Hata kama martha ana makosa yake, huezi mhubiri, hubiri injili, injili ndio itamfumgua,
Ata kuhukumu ni dhambi ndugu zangu. Ebu soma mhubiri 7:20
I believe the public has nothing to do with Martha's personal mess(weaknesses) nor her family surely does. Am not defending her but let's not judge her pray for her on that...upunguvu ni ukawaida wa binadamu kuwa star haimfanyi kutokosea
Mhubiri Mungu msikae kutuhubiria matendo ya martha je ningekuwa mim mngenihubiri
Nguo kubwa ndefu na haijambana tafuta sababu nyingine sijaona shida hapo kwakewli toka hapo na wew unazan unachokipenda wew wote wakipende hakuna shida hapo kabisa
Mbona hayo mavazi ni ya kawaida tu au kisa ni suluali?
Wanadamu acheni kutuhum mtu pasina uhakika na hata kama unauhakika sio vyema kumwanika hadharani badala ya kumtafuta na kumfari na kumwombea nyie ndo wauaji je unafikiri yeye anajisikiaje hapo alipo badala ya kutangaA injili njema mnakaa kumwongelea mwenzenu, je ni nani kati yenu aliyemtakatifu yaani hajawahi kutenda dhambi mnafurahia kujadili mapoto ya mwenzenu tu Mungu mwenyewe ndiye mhukumu wa kweli
Hapo anauza nguo wewe mwongo
Mjinga wewe ukahaba uko wapi sasa
do not judge... labda wewe ndie kahaba
Kweli kabisa tena kahaba mkubwa sana
Mm sizan martha ni kahaba na kama amekosea mungu wa rehema tumpe muda mtamjua vzuri ni mwana wa mungu tena naye ni mwana damu anazo hisia jaman
Tujichunguze sana kabla hatujasema wengine bana...martha anaduka la nguo hapo yupo kwenye biashara yake anatangaza biashara yake.
Watumishi wa siku hizi changamoto...mnakosa hekima....
Yupo dukani Kwa mume wake Joan anatangaza biashara
🤣🤣
Hiki unachosema kinaukwel ndani yake.watumishi wa Mungu kama hawa ndo wanaofaa.kuna wajinga wanao kukosoa.
Mutu akatae maman umusapoti shusho wachadrama😢
Miyenirifurahiya dadaariyekuwa nashusho arinyamaza arivyourizwa
Anapo fanya ukahaba unamshikiaga miguu ivi hajui muhukumu was mwisho Ni Mungu .je unapomuhukumu mtu. Ya kwako .umeyaona.wopo na wewe wameona mapungu yako na mke wako naye anaonaga mapungufu yako
Huyo mwimbaji tu,mnafiki
Wewe mnafiki mkubwa huyo sio malaika ,hata mimi namjua mungu.ila nakosea acha unafiki shettani mkubwa
Acheni hizo wanafiki nyie wanafiki wakubwa nyie hamna dambi,hapa dunia hakuna mkaminifu,wewe mnafiki mkubwa .