Bwana yesu Kristo atusaidiye; kwahili siwezi kusema Bwana Yesu asifiwe ; maana hilo siyo kweli kutokana na Neno la Mungu. Ndio basi hacha nije na maswali kuhusu swala hili kwa mtumishi. Swali langu kwanza: kutokana namahelezo ya mtumishi Nihatari; nataka nijuwe aliye fanya tendo hilo la ndoa na Eva alikuwa nani? Nyoka? Ama adamu mwenyewe.
Swali la tatu ; kwa sura yapili mstari wa mwisho kabisa( mwanzo 2:25) unasema hivi adamu na mkewe Eva wote wawili walikuwa uchi Wala hawakuhona ahibu. Sasa hapo hapo tu kwa sura ya tatu bibilia inasema baada yakula tunda walijikuta wako uchi. Sasa swali: aliye uchi kabla yakufanya tendo la ndoa anahishi hivyo ndio maisha yake Wala haoni aibu, sasa itakuwaje eti baada ya kufanya tendo la ndoa ndipo ashituke eti kumbe niko uchi Kwa nini yeye nguo alikuwa amezihacha wapi Maana huyu Eva kabla yahayo yote yeye alikuwa tu uchi, inamaana haku vuwa nguo ili afanye hilo tendo maana alikuwa tu uchi na alikuwa anajuwa kwamba yuko uchi na adamu alikuwa anahona, nayeye alikuwa anajuwa kwamba eva huko uchi na mimi niko uchi; yaani tendo lakuwa uchi kwao siyo aibu kwa maisha yao yote kabla yahayo yote. Sasa itakuwaje tena baada yakumaliza ndipo sasa washituke eti yoooh tuko uchi!!?. inamaana kama lilikuwa tendo la ndoa baada yakumaliza wasinge situka wangali hedeheleya tu na maisha yao maana ndivyo wanavyo hishi. Sasa inakuwa je aibu itokane na uchi waliyo jikuta eti baada yakufanya tendo la ndoa? Je huu uchi hivi unafikiria ni uchi wakufanya tendo la ndoa kulingana na mahelezo yako!?
Ama pia jina malaika hapo lilikuwa fumbo
Huyu mtu namuomba asome kitabu cha Enoch tukiwa na fahamu kwamba alikuwa nabii maana tunda limetajwa jina ila si apple
Hebu nihishie kwanza hapo ningoje majibu alafu bado Nina maswali mengi zaidi kuusu hapo hapo tu.
Bwana yesu Kristo atusaidiye; kwahili siwezi kusema Bwana Yesu asifiwe ; maana hilo siyo kweli kutokana na Neno la Mungu.
Ndio basi hacha nije na maswali kuhusu swala hili kwa mtumishi.
Swali langu kwanza: kutokana namahelezo ya mtumishi
Nihatari; nataka nijuwe aliye fanya tendo hilo la ndoa na Eva alikuwa nani?
Nyoka? Ama adamu mwenyewe.
Swali la tatu ; kwa sura yapili mstari wa mwisho kabisa( mwanzo 2:25) unasema hivi adamu na mkewe
Eva wote wawili walikuwa uchi Wala hawakuhona ahibu.
Sasa hapo hapo tu kwa sura ya tatu bibilia inasema baada yakula tunda walijikuta wako uchi.
Sasa swali: aliye uchi kabla yakufanya tendo la ndoa anahishi hivyo ndio maisha yake Wala haoni aibu, sasa itakuwaje eti baada ya kufanya tendo la ndoa ndipo ashituke eti kumbe niko uchi
Kwa nini yeye nguo alikuwa amezihacha wapi
Maana huyu Eva kabla yahayo yote yeye alikuwa tu uchi, inamaana haku vuwa nguo ili afanye hilo tendo maana alikuwa tu uchi na alikuwa anajuwa kwamba yuko uchi na adamu alikuwa anahona, nayeye alikuwa anajuwa kwamba eva huko uchi na mimi niko uchi;
yaani tendo lakuwa uchi kwao siyo aibu kwa maisha yao yote kabla yahayo yote.
Sasa itakuwaje tena baada yakumaliza ndipo sasa washituke eti yoooh tuko uchi!!?.
inamaana kama lilikuwa tendo la ndoa baada yakumaliza wasinge situka wangali hedeheleya tu na maisha yao maana ndivyo wanavyo hishi.
Sasa inakuwa je aibu itokane na uchi waliyo jikuta eti baada yakufanya tendo la ndoa?
Je huu uchi hivi unafikiria ni uchi wakufanya tendo la ndoa kulingana na mahelezo yako!?
Pili nataka nijuwe kutokana na mahelezo ya mtumishi ikiwa mti wa kujuwa mema na mabaya nishetani!?
Sasa nyoka naye alikuwa ninani?