Sijuwi Ila niliwahi jiuliza hili swali nikosa Amani kuitumia hii sim. Dada maria kwauelewa wangu: shetani hana chakwake sisi na vitu vyote ni vya Mungu. Mtu akienenda vibaya Mungu uwa anamtenga , na vitu ukivitumia vibaya uwavinakutenga na Mungu. Sasa hii sim ilikuwa nalengo lakuharibu Watu kwa 100%. Lakini upendo wa Mungu ndo unatutafuta ili tusipotee. Na Mungu aliruhusu hizi sim ziwepo kwa mdahuu ni ili uovu woote uwekwe wazi ili Mimi na wewe tuamuwee. Na amini nimengi Mungu hayaruhusu sbb hayana umuhim kwa wateulee. Mungu akiruhusu kitu kiwepo ujuwe kinamafaa kwa watu wake.
Mungu ambariki&akubariki sana sababu alielewa ushauri ulio utowa siku za nyuma, ameanza kuwatandika bila kupapasa maneno.🎉
@@Visionofeagle9689 Ni kweli, ashukuriwe Mungu katika hili
Kabisaaaaa
Women are always vessels, they have power in the spiritual realm
Wanawake wamekuwa njia lahisi mapepo kuputia.
Ni walafi.
@@ukuntusataniarigukora.8482 HATARI kwao
Hawa ni viumbe dhaifu ndio maana hawafai kuwa viongozi. Hata wa kanisa
@@albertinamichael6123 U mzima
Akuna Hilo andiko la wanawake ni viumbe dhaifu, ispokuwa ni viumbe visivyo na nguvu.
Jambo mtumishi Mimi Nina swali Kwa majina nahitwa Masoka Maria kutoka Sweden swali yangu ni hili sim Niya mungu ao ya shitani?