Huyu Martha nampenda sana hana maringo ya kina wengine sitaki kutaja majina ila wanajijua nikija bongo nitamtafuta.Mungu azidi kukuinua na usije kuwa na maringo au kiburi kama wengine
@@RoroRoserororo very nice song God bless her and keeping changing people to they created by God but they don't know that that's why they kill people if you know you created by God you can't kill someone because God is love.
Wachangiaji msiandike mungu, andika MUNGU au Mungu. Ukiandika kwa herufi ndogo unamanisha mungu wa duniani na sio MUNGU wetu wa mbinguni. Ongereni waimbaji kwa Wimbo mzuri sana
Nmekuwwa na shida sana vle watu wamekuwa wakiandkka jina la MUNGU likiazisha na small letter lkini nakushukuru kwa sababu ya wewe pia kuwaleta kwa mwangaza Kama hawajuangi wamejua kupitia kwako.
I really love this woman very much her songs wow kwanza hii imeniguza sana kulingana na yale mungu amenitendea,,u are so simple and beautiful Matha keep it up😘😘😘😘😘😘
Mimi Ni shabiki wako namba moja Matha, huyo Mtumishi hamjaendana hata kidogo sauti yake Sio ya kuabudu Kama wewe... Plz Mambo ya colabo achana nayo, tunga nyimbo zako, Maana una neema yako binafsi... Naheshimu mafuta ya huyo mtumishi... Huo mziki na wewe Matha haviendani... Hiyo studio ya Jawabu mwachie Rose Muhando, Ile studio yako ya kwanza ndio inakujulia... Asante dada Matha ninajifunza mengi kwako SHALOM
@@pendoelias1022 kipawa alicho nacho Martha sio chake..Ni Cha mwili wa Yesu Christo..alijengwa na wengine ....wacha Ajenge wengine Aimbi atufuraishe sisi anaimba amtukuze Mungu..huyu Martha Neema ya uimbaji Mungu amempa Bure Kama anavyo sema...ata wewe ukitaka Mfuate Martha atakuambukiza Neema ya uimbaji Kama umeitwa kwa hiyo laini..Mungu awabariki Nina wapenda...
I just love Martha mwaipaja. Her songs have heavy messages. Big up mama. I started listening to you when I was young upto now. They are just blessings to me
Nakushukuru baba Kwa kuniondolea mauti baba nimekuomba sana na umejibu wengi wamekufa Kwa janga hili la earthquake Lebanon 🇱🇧 Iraq Syria Turkey Asante Yesu
Nakupenda bure Martha first and farmost ur natural na nyimbo zote zijawai jutia kuskiza hongera mummy nikitoka US napenda nikutane nawe live upokee zawadi yangu
Hakika niyeye wakushukuriwa. Be blessed sister Martha. Nakuelewaga sana,nikikusikiliza hata kama Nina majonzi napata faraja. Mungu azidi kukupa maarifa zaidi.
Martha this my testimony. What a song can't get enough of this. Jana nililia sana lakini Leo machozi ya furaha, He has done soo much for me. God bless fr such a nice song
Huyu Martha nampenda sana hana maringo ya kina wengine sitaki kutaja majina ila wanajijua nikija bongo nitamtafuta.Mungu azidi kukuinua na usije kuwa na maringo au kiburi kama wengine
Amen
Nkuku.bali.mama.unakosha.mioyo.ya.wengi.kwakweli.duu.hd.raha.ubalikiwe.sn
@@RoroRoserororo very nice song God bless her and keeping changing people to they created by God but they don't know that that's why they kill people if you know you created by God you can't kill someone because God is love.
Yani pia ww uko huku
@@hellenmpapale8019 una maana gani
Team strong wapi like zenu safari haikuwa rahisi here we are only somedays paaa 2024
Wachangiaji msiandike mungu, andika MUNGU au Mungu. Ukiandika kwa herufi ndogo unamanisha mungu wa duniani na sio MUNGU wetu wa mbinguni. Ongereni waimbaji kwa Wimbo mzuri sana
Nmekuwwa na shida sana vle watu wamekuwa wakiandkka jina la MUNGU likiazisha na small letter lkini nakushukuru kwa sababu ya wewe pia kuwaleta kwa mwangaza Kama hawajuangi wamejua kupitia kwako.
Kweli
Haswaaa hongera kuliona hilo Mungi akubariki sanaa
Martha hunibariki sana
amina
Kama umeon huu mwimb mwak hu like ap tujuane
Napenda sana nyimbo zako 🎉❤
I really love this woman very much her songs wow kwanza hii imeniguza sana kulingana na yale mungu amenitendea,,u are so simple and beautiful Matha keep it up😘😘😘😘😘😘
pia mimi imeniguza sana
❤❤❤ ....thank God for everything ......umenitoa mbali ...wacha ijulikane ww ni Ebenezer 😢😢😢😢Amen 🙏 🙌 🙌 🙌
This song is my Alarm ringington every morning be blessed Martha love u from Uganda,lord l will live to glorify your name 🙏🙏
I thank God for everything you do for us.. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏Received honor and glory because it's belongs to you
Much love from western "My role model Madam Martha Mwaipaja💗💗💗
Napata faraja sana kwa kila nachopokea kutoka kwako Mtumishi wa Mungu ...Martha Mwaipata ww ni zaidi ya Muimbaji. Mungu azidi kukuinua
Amen,,,, Mungu azid kumbariki na kumtumia sawa na mapenzi yake
Martha your songs are a blessing in my life
Amina
May raise you spiritually am blessed with the song keep it up my sister and brother
Hakika asante Yesu..
Tumushukuru mungu
Kila wakati..wimbo mtamu wa kumtoa nyoka pangoni
Very inspiring❤❤Mungu Azidi kukuinua Anga za juu zaidi MAMAA 🙏
Mimi Ni shabiki wako namba moja Matha, huyo Mtumishi hamjaendana hata kidogo sauti yake Sio ya kuabudu Kama wewe... Plz Mambo ya colabo achana nayo, tunga nyimbo zako, Maana una neema yako binafsi... Naheshimu mafuta ya huyo mtumishi... Huo mziki na wewe Matha haviendani... Hiyo studio ya Jawabu mwachie Rose Muhando, Ile studio yako ya kwanza ndio inakujulia... Asante dada Matha ninajifunza mengi kwako SHALOM
Ni kwel ulichosema kbc sikupingi bwana Jeremiah
Hakika umenena kweli hawajaendana,achana na colabo Martha
Kweli kbs hawaendani
@@pendoelias1022 kipawa alicho nacho Martha sio chake..Ni Cha mwili wa Yesu Christo..alijengwa na wengine ....wacha Ajenge wengine Aimbi atufuraishe sisi anaimba amtukuze Mungu..huyu Martha Neema ya uimbaji Mungu amempa Bure Kama anavyo sema...ata wewe ukitaka Mfuate Martha atakuambukiza Neema ya uimbaji Kama umeitwa kwa hiyo laini..Mungu awabariki Nina wapenda...
Never judge anyone 💯,,, keep on Shinning forever
Martha wow wow
Tumshukru Mungu kila wakati 💝🇰🇪
Martha huyooo jamaaa wawapi
A girl from Tanzanian🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I just love Martha mwaipaja. Her songs have heavy messages. Big up mama. I started listening to you when I was young upto now. They are just blessings to me
Safi sana Dada mwaipanya iko viZuri sana mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi uzidi kusonga mbele zaidi kihuduma.
Very inspiring song.....mungu aendelee kuwabariki ministers of God
Mungu ni mwema siku zote
Nasema asante kwa mungu
Yesu wangu, asante yangu haitoshi. Nashukuru kwayote unanitendeya👏👏👏👏
Very blessing song from Martha
Good music continue praising God. I love the song sauti safi. Also the jawabu studio your instrumental issa hot
Naipenda sana hii nyimbo kwenye Mungu amenitoa wengi wanashangaa 🙏
I believe and trust God ,that one day,,this will be my testimony, ( machozi ya furaha sio ya machungu)❤
Ameen Amen barikiwa dada wetu.nice song
I love the song may God bless you and uplift your ministry
May God bless both of you the is Song real is blessing to any one who will Listen
I Love this so much
May God bless all of
asante yesu mungu azidi kukupandisha juu
dada yangu martha nakupenda sana
I like this song so much, thanks to lord for giving me life
Bwana ako martha anajuta saiv maana tangia amekuacha ndo kwanza unazidi kung'aa hakika nakushukuru. Mungu
Amina
Sana
Sana
Hakika namshukulu mungu kwa ukuu wake juu yangu sema Amen
Martha, my all time gospel musician. Your songs bless me
Am blessed so much my brother and my sister, from nairobi westland be blessed so much all.
Blessed to my brother watching from minnepolis U.S.A,,
Asante Mungu nimeona mkono wako u have done great things to me
Amina Mbarikiwe kwa wimbo mzur watu wangu penda san mdada matha mwaipaja ameen
Woow, nimebarikiwa yangu yote na wimbo huu, Mungu awatie nguvu watumishi
Asante sana kwa huu wimbo mungu awape nguvu ya kufanya kazi yake Amen
Blessing one,love this song
you are the lord of impossibility,,, I will trust and not give up at all
❤️❤️ Mwaipaja barikiwe mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
May God continue to expand your talent mum,you really blessed my life .
Asante Yesu kwa yale ambayo unenitendea
Uyu dada anaimba jamani MUNGU akubariki Nyimbo zafaraja pale unapokata tamaa inakupa nguvu 😢thank you JESUS 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🥺🙏🙏🙏
Mungu akupe neema ....martha you're the best the song blesses me
Ubarikiwe dada
Martha I’m so blessed by your song
Amina mungu ni mwema atafuta kilio
This song is indeed a blessing to me. Good work and God bless you as you minister His word through this song
What can l add nothing more indeed it is God Martha u are my mentor Mummmy
wow what a blessing song Martha mwaipaja you my favorite musician nakupenda kwa nyimbo zako tamu Mungu akubariki
Maombi yangu nimungu siku moja anipee nehema kama hio yako martha nizidi kumuambudu
Nice song glory and honor be to God forever and ever amen
Hiii dio itakuwa wimbo wangu siku nitakuwa narudi nyumban mwaka ujaona indeed God is faithful ckujua 2024 itafika nikaende kuona familia yngu
Martha nakupenda sana mama ungekua lika langu ningelikuoa kabisa.love u so much.ubarikiwe sana mama na nyimbo zako za injili zinatufundisha sana
Nashukuru mungu kwa mena na nehema yake kwa kua n muweza yote n baba yangu amenitoa mbali sana
Nakushukuru mungu....machozi ya furaha yanitoka....asante yesu.... Ebenezer!!!...🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Amen. Leo natoa machozi ya Furaha
Nakushukuru baba Kwa kuniondolea mauti baba nimekuomba sana na umejibu wengi wamekufa Kwa janga hili la earthquake Lebanon 🇱🇧 Iraq Syria Turkey Asante Yesu
Nakupenda bure Martha first and farmost ur natural na nyimbo zote zijawai jutia kuskiza hongera mummy nikitoka US napenda nikutane nawe live upokee zawadi yangu
HALLELUJAH NAKUSHUKURU MUNGU
Martha nyimbo zako za ni bariki Sana mungu azidi na kukwinua
My favorite Tz female artist..... May God continue to lift you.... You always bless me
Pia mimi, my favourite
Hakika niyeye wakushukuriwa. Be blessed sister Martha. Nakuelewaga sana,nikikusikiliza hata kama Nina majonzi napata faraja. Mungu azidi kukupa maarifa zaidi.
Ua songs really makes feel touched ,continue inspiring moo.
This song is real a blessing to me 'God bless you two
Nakushukuru MUNGU,asante YESU, even when in trials tujifunze kushukuru,,,,MUNGU atatushangaza wakati wake. Barikiweni sana
I thank you Lord 🙏🙏🙏 🙏 for everything you have done to me I love you Lord
God bless you I real get blessed with your songs
Oooooh Nashuruku Bwana .......
Wonderful wapendwa
Asante yesu kwa wema wako najua huwezi niacha niangamie baba ww ni mwema kwa maisha
Ameeni,nalia machozi ya furaha Mungu wangu asante umenitoa mbali Baba.ASANTE YESU!
Martha napenda sana kushukuru na nyimbo kila asubui maana inazidisha amani na ushindi wa baraka barikiwa daughter mwaipaja
Huy dada nampend san kwakweli dada mwenye tabasam lake la milele mungu akuzidishiy napend sana nyimbo zake huna majivuno
Ooh hallelujah Nakushukuru Mungu Kwa mengi mnoooo,be blessed watumishi
Thank you Jesus..loving the song
It's a blessing song listening from kenya,,,wapi likes za Martha from Kenyans 2021
Amen amen mungu azidi kukusaidia
Nikikuona tu nafarijika nakupenda kupita upeo dada Martha
Much love Martha,,,,,, napenda sana nyimbo zako aki Mungu azidi kukuinua
😢😢Hata siwezi elezea pahali mungu amenitoa🙏🙏🙏. Be blessed Martha mwaipaja
Ubarikiwe sana mwimbaji wa mungu
From Poland am enjoying the song❤❤
Wooow...wot a blessed song"..i love it
Mungu akutiye ngufu dadangu.
Kazi safi watumishi
Jawabu all the way is always 🔥🔥🔥
Hallelujah my God nafarijika sana.nashuku
I love his song blessed ,sister Mungu akupe neema na maarifa kwa nyimbo zingne
Martha martha!!! Weh akh I really love this lady
Asante mungu kwa kila jabu uliyenitendia,na kwa ubali umenifikisha asante mungu
I really love your songs.. you are a blessing to me all the time.
Martha this my testimony. What a song can't get enough of this. Jana nililia sana lakini Leo machozi ya furaha, He has done soo much for me. God bless fr such a nice song
I love this woman of God😘😘🌺
Songa mbele ilove you sister
Mungu akuzidishie zaidi
Shida yako dada uliolew na SHAROBARO. Sio saizi yako ndiyo maana alikutesa halafu pole!
Such an amazing voice. Stay blessed Martha.
Asante Yesu
Martha,your songs are too good... Be blessed and many more grants to bless the world.
Amen!
I really really like and love so much this song coz it touches my heart so much
Kazi nzuri Mungu awabariki sana watumishi wa mungu
Asante dear
Nakupenda martha. Mungu azidi kukuinua.
Asante kwa ujembe mzur tunabarikiwa amina watumishi nawapenda
May God uplift you more in your ministry and expand your boundaries Martha servant of God
Wow this is so nice
wanitosha wimbo muhimu maishani