Martha Mwaipaja & Bahati Bukuku - NIMEMTHIBITISHA (OfficialVideo)For skiza SMS: Skiza 6983295 to 811

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 2,7 тыс.

  • @andreamutekulwa1092
    @andreamutekulwa1092 4 месяца назад +112

    Kama pia wewe umekuja kuuskiza wimbo huu 2024 piga like kama MUNGU yupo na wewe mile na mile

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 месяца назад

      Siyo kwamba yupo na mimi tu, bali na familia yangu pia. Asante sana Mungu wetu Amina ❤❤❤

    • @Benizonjamche-yz6ce
      @Benizonjamche-yz6ce 28 дней назад

      Nawapend watumishi wangu mpovizuri mungu azidi kuwatianguvu katka utumishi amen

    • @daviesoscar1603
      @daviesoscar1603 21 день назад

      Leo 11 may 2024 ndo nimeusikiliza

    • @JessicaKadzo
      @JessicaKadzo 3 дня назад

      Nice song

  • @shadieproductions2547
    @shadieproductions2547 Год назад +72

    Kama unadapenda hii colabo weka like👍

    • @sharon25.
      @sharon25. 4 месяца назад +1

      Song nimepata ticktock ikabidi nifike huku, nimehisi kuguswa moyo sana, na imani imepanda🙏🙏🙏🙏,

    • @Penina-hc7ps
      @Penina-hc7ps 11 дней назад

      ❤😮🎉

  • @jetitahkarimi
    @jetitahkarimi 3 месяца назад +37

    Mugulumu wa bukuku na upole wa mwapaja means allots wapi likes zao from Western Kenya please

  • @collinsbaraza6521
    @collinsbaraza6521 8 месяцев назад +27

    nimemdhibitisha yuko na mimi milele na milele hallelujah.kama una amini yuko nawe kama mimi nipe like.ananiketisha pa wakuu namshukuru sana

  • @labanitobkala620
    @labanitobkala620 Год назад +2035

    Bahati bukuku ananguruma kama simba hadi shetani anakwepa watching and listening from Nairobi Kenya...Wapi likes from Kenya jameni!!

    • @mary-lx3hr
      @mary-lx3hr Год назад +50

      Hahahaha Ni neema ya mungu tu pekeee ndio imejaa ndani yake

    • @annachaula9755
      @annachaula9755 Год назад +62

      🤣🤣🤣🤣🤣🖐️ nampenda na sauti yake, afu tumefanana sura watu husema

    • @jimmymeshack8725
      @jimmymeshack8725 Год назад

      @@annachaula9755ebu tuma picha tuone

    • @esthermuthuita7924
      @esthermuthuita7924 Год назад +45

      From Kenya we bring likes and hugs. A great blessing you two have been.

    • @feithmueni4686
      @feithmueni4686 Год назад +28

      @@annachaula9755 hebu tuma sura yako tukuambie ukweli

  • @emmanuelchilimo
    @emmanuelchilimo Год назад +277

    Sauti ya Martha iko very Emotional katk asili yake,na ya Bahati ni Sauti ya mamlaka sana na kukupa ujasiri wakati wote juu ya kumtumainia Mungu.
    Kama u akubaliana na mm gonga like na kuamini kuwa Mungu huwa tumia watumishi kama chombo

    • @zophywa9102
      @zophywa9102 Год назад +5

      Kumbe si mimi pekee huskia sauti ya martha ikiwa emotional

    • @samwelmushi416
      @samwelmushi416 Год назад +1

      ​@@zophywa9102 ❤

    • @DonndedieuElias
      @DonndedieuElias Год назад +1

      Vraiment mungu 🙏 awape maisha marefu sana nawapenda sana

    • @elsahdeviez9953
      @elsahdeviez9953 Год назад +1

      Amen

    • @miriamchuma9096
      @miriamchuma9096 Год назад +1

      Hakika nimemthibitisha MUNGU yuko pmj nami milele na milele

  • @mamanekawe
    @mamanekawe Месяц назад +11

    Wale muna barikiwa na wimbo 2024❤naomba like

  • @gladwell6500
    @gladwell6500 9 месяцев назад +63

    This is my testimonial song!❤
    He healed me of chronic unknown disease in my 11th year.I survived a critical neck surgery. I survived rejection, humiliation.He gave me my dream job on my 26th birthday. He changed me for who I am today.I testify God exist and He walks with me everyday 💯❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 Год назад +91

    Huyu mtumishi wa Mungu Bahati bukuku ananibarikia sana naomba like tusepe wote 2023

    • @violaharry9843
      @violaharry9843 11 месяцев назад

      Yaani huyo mama yao wanyakyusa🥰🥰🥰

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa Год назад +187

    weuweeee🔥🔥😊🙏🏿Tanzania waimbaji wa kike wameamua. Pia niliona Rose na Shusho pamoja. Hakika kuna kitu Mungu anapanga

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv6077 Год назад +30

    Martha mwaipaja ft bahati bukuku>>>>nimemdhibitisha 🎶
    Rose muhando ft christina shusho >>>>>salama 🎶
    Bony mwaitege ft sifaeli mwabuka >>>>>>>salama 🎶
    What an interesting moment to be alive

  • @petermwangale-hf4bo
    @petermwangale-hf4bo 5 месяцев назад +11

    Best collabo ever,Bahati is ever green and melodious ,''uuuunatamani nini mungu atendeee kwa ajili yako''

  • @titusomondi6993
    @titusomondi6993 Год назад +42

    Wow this part,"Unataka nini Mungu atendee kwa ajili yako" . God never disappoints. Acha atende kwako udhibitishe. If you believe God will work for you press the like button👏

  • @mwalimumike7579
    @mwalimumike7579 Год назад +11

    Wow from kenya getting it loud and clear,,my colleagues from kenya who are watching give me a like

  • @voliansifuna5050
    @voliansifuna5050 2 дня назад +1

    2024 on it again.....Nazidi kumdhibitisha yuko mimi milele na milele❤❤❤

  • @AmandaSeriani
    @AmandaSeriani Месяц назад +3

    I swear this woman bahati bukuku is anointed hio sauti tu manze wueh 🙌🙌🙌 and this other mwaipaja manze this combination is a banger 🔥 👌 may heavens hear you

  • @judyjoshofficial5992
    @judyjoshofficial5992 Год назад +6

    Yuko na mimi baba haniachi
    Rafiki yangu
    Wapi like za mama martha na bukuku?

  • @halemevin8247
    @halemevin8247 Год назад +392

    Nobody is talking about the voice and vocals of Bahati 🌺🌺🌺🌺🥰🥰🥰🥰 it's awesome and total sweetness

  • @tabbywadas660
    @tabbywadas660 Год назад +3

    When I realized how God work how good he's I just cry for his goodness,dear God just forgive my sins in many ways you have proved how much you love me

  • @LydiaMuthoki-bz2xg
    @LydiaMuthoki-bz2xg Год назад +2

    Bahati mungu amekubariki sana jina la yesu lipewe sifa sauti yako naipenda sana nakufuatilia kutoka Kenya

  • @bahatiiboleco5810
    @bahatiiboleco5810 Год назад +48

    🔥🔥🔥nasema mama zangu are incredibly talented ❤❤❤🎉. Nipe likes kama umekubali na useme Amen 🙏🏾

  • @mercieofficial7675
    @mercieofficial7675 Год назад +131

    Jesus of Nazareth ,,,,,,,,the sounds✔✔
    Instruments ✔✔ Bahati bukuku The voice is on the next level 👌 Martha Mwaipaja the voice is soo cool and sweet wapi like zao oooooh my 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you Queens 👸 ❤

  • @HidayaMchimilah
    @HidayaMchimilah 4 дня назад

    Kwa kwer mnatendea HAKI huu wimbo wapendwa Mungu awatetee kwa kl Jambo lenu , nawapenda mno , HONGERENI Sana jamani.

  • @oscarrhimyochieng
    @oscarrhimyochieng Год назад +2

    Natamani sana Matha atoe nyimbl na Christina Shusho Wana fanana sana na pia nyimbo Wanaunda vizuri sna

  • @peterlucheli221
    @peterlucheli221 Год назад +130

    Hallelujah moto wa revival upo Afrika.
    Neema zaidi wapendwa watumishi.
    Kenya twawapenda 🙏🇰🇪

    • @2012SporahVenance
      @2012SporahVenance Год назад

      ruclips.net/video/jTN8dKB9QX8/видео.html

    • @mercylinekerubo9602
      @mercylinekerubo9602 Год назад

      My Wonderful and amazing strong women of God I got touched by Bahati's turn 🥺🥺🥺the message and the voice 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @nthenyajonah903
      @nthenyajonah903 Год назад

      ​@@mercylinekerubo9602
      ..

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 Год назад +25

    Uamshooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Asante Martha kwa hii Collabo Bahati tulimmiss sanaaaaa👏👏👏👏

  • @user-hp4qc5sd8h
    @user-hp4qc5sd8h Год назад +3

    Neema ya Mungu iwe juu yenu katika jina la Yesu Kristo

  • @vugutzatheblackqueen
    @vugutzatheblackqueen Год назад +10

    Napenda jinsi gospel inatia moyo,nguvu,watu wanapona kupitia hizi nyimbo ❤❤🎉...

  • @vesselbrendah5226
    @vesselbrendah5226 Год назад +231

    Ni wimbo uliojaa utukufu wa Mungu kweli! 🙏🙏🙏Tunatiwa nguvu Yupo nasi!watu wasiseme ametuondokea Mungu! Nimemdhibitisha yuko nami milele

    • @appsplay4324
      @appsplay4324 Год назад +2

      Yuko na mm daima haez niacha mungu mbarikiwe sana wimbo mzuri

    • @prophetessmagrethisaac
      @prophetessmagrethisaac Год назад +2

      Kabisa Mungu yupo

    • @innomichael8340
      @innomichael8340 Год назад +1

      Amina kabisa ,Kabisa.Namimi nimemthibisha Mungu yupo namimi milele

    • @patrickmpemba9150
      @patrickmpemba9150 Год назад +2

      Ni wimbo mzuri mnoo sauti ya Bahati Bukuku mkongwe wa nyimbo hizi.. Dada yangu Martha mwaipaja mmefanya kolabo nzuri mno.. Bwana asifiweeeee

    • @fredrickoyugi8540
      @fredrickoyugi8540 Год назад +2

      These two guys are always the best

  • @stephenonyiso2124
    @stephenonyiso2124 Год назад +35

    Nakwambia Mum Martha akishika hio microphone 🎤🎤 Kila mtu anabarikiwa

  • @hellennthambi8379
    @hellennthambi8379 Год назад +4

    Martha mwaipaja, twakupenda.from Kenya

  • @user-ix7nq4xw2i
    @user-ix7nq4xw2i 8 месяцев назад +2

    What a wonderful song is this,I can't get enough of this,Bahati Bukuku I like your voice, Martha Mwaipaja I like yours also!

  • @joanasadi9984
    @joanasadi9984 Год назад +120

    Happy to see our legend in the ministry Bahati welcome back,umerudi kwa vishindo,thank you Martha,wimbo mtamu🇰🇪🇰🇪 tumewakilisha.

    • @milkaokwemba6865
      @milkaokwemba6865 Год назад +1

      Nimebarikiwa zaidi kupitia wimbo huu. Unanitia moyo katika kila hali

  • @kakawillisobura7874
    @kakawillisobura7874 Год назад +55

    My love for Bukuku will never fade. Simba mwanamke. 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾, Endelea na kazi hio nzuri mama

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 11 месяцев назад

      Kazi nzuri ipi ya kumdhalilisha Yesu Kristo kuwa alimsamehe Kahaba kwa ajili ya urembo wake Kahaba kweli ndio kazi nzuri Luka 7:39-48 soma

  • @Itsjey254
    @Itsjey254 Год назад +1

    Nimethibitisha kweli facing a lot in life and after every door closing another opens 😢❤

  • @sp7711
    @sp7711 Год назад +43

    Pure gold! Tanzanian women are in a class of their own musically. Very refreshing

    • @Fondo0
      @Fondo0 9 месяцев назад +1

      Halafu Kuna Hawa wetu wakenya, mashaka matupu uku kwetu Kenya
      Etty size reborn mateke 😂😂😂😂😂

    • @birgentarus5076
      @birgentarus5076 7 месяцев назад

      Alafu kuna kina katungwa na kina syokau 😅kenya, sikia Bukuku anavyomngurumia holy spirit inashuka live 😮

  • @susanindiri-dw4rx
    @susanindiri-dw4rx Год назад +73

    Wow wimbo mtamu kweli , neema iwatoshe dada zangu . Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunawapenda

    • @millicentakinyi5504
      @millicentakinyi5504 Год назад +1

      Amina🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰ukweli,kabisa. Ha ha. Waaa🤝💪👏

    • @nasexgaldreg9109
      @nasexgaldreg9109 Год назад +1

      Aki uu wimbo God bless u both nawapenda sana listening from Kenya

  • @mariamndungu2551
    @mariamndungu2551 Год назад +302

    Great voices from our legends I love them am a Muslim but I love this two

  • @dolphineowiso1749
    @dolphineowiso1749 Год назад

    Mungu wangu,,,,si ata mi ungenipa neema Kama huu,,,,machozi ya furaha unitoka ninapo sikiliza Hawa watumishi wako wakilisifu jina lako,,nawapenda Sana dada zangu waaaaaaaa🙏🙏🙏🙏

  • @nsengiyumvaceleatin8146
    @nsengiyumvaceleatin8146 10 месяцев назад +1

    Dada zangu minawaunga mkono .Wimbo huu unaeleza upendo kamili,uezo ,ushindi,ulinzi Bora .....endelea kabisa kujenga miyo ya wale wote wanayompenda "Yesu Kristo" msipo katatamaa zawadi zipo Kwa yule muliyetumikia. Tunawapenda

  • @beatricemaugo
    @beatricemaugo Год назад +37

    Baraka iliyoje dadangu Martha.......Nyimbo zako zinanibariki sana..Kenya🇰🇪 tunakupenda sana wapi likes za wakenya.👍

  • @dj.moneyboy
    @dj.moneyboy Год назад +22

    I just had to stop my car to listen to that beautiful part of bahati bukuku.🙏🙏🙏🙏😍💓my sister got involve in a road accident and she is lucky by God's grace . 🙏 Mungu yuko na yeye mile na milele .

  • @JoakimuKavusha-bg5xr
    @JoakimuKavusha-bg5xr 4 месяца назад +2

    Nakupenda sana bahati bukuku nyimbo zako huwa zinanifariji sana mungu akupe maisha marefu

  • @janeroseodhiambo9878
    @janeroseodhiambo9878 10 месяцев назад +1

    Naomba nidumu ndani yake hadi nimalize safari...Nje yake hakuna uhai...jinzi samaki apatavyo uhai ndani ya maji, hivyo ndivyo wateule tulivyo ndani ya mungu kupitia yesu aliye njia, ukweli na uzima....Hallelujah....! shouts for these ministers of God... blessings to them.

  • @aledesiomushi875
    @aledesiomushi875 Год назад +9

    Nampenda Martha mwaipaja yuko simple natural Hana mambo mengi may God raise u up Bahati bukuku ni 🔥 let's enjoy .

  • @Purpleismyfavoritecolor63
    @Purpleismyfavoritecolor63 Год назад +18

    Mwaka huu Mungu atatuhurumia, atatukumbuka na mwisho wa mwaka tutamthibitisha Kwa matendo yake makuu... Amen!

  • @ribberchipimo1354
    @ribberchipimo1354 10 месяцев назад +22

    Though I can't understand the meaning of the song, but I could feel the presence of God in this song. Two Beautiful icons coming together to shake the planet and let the world knows that God loves us so much despite how sinful we maybe be. Am looking forward to seeing you Blessed ladies interpreting your songs in English for an international' s sake, so the name of the Lord may be glorified all over the world.

    • @carolineagosa7879
      @carolineagosa7879 9 месяцев назад +1

      It says have confirmed He (God) is with me forever and forever.

    • @user-lz1xf1kw5g
      @user-lz1xf1kw5g 4 месяца назад

      The song says that I have been assured that the Lord is with me

  • @user-ds6sh5sh1l
    @user-ds6sh5sh1l 3 месяца назад +1

    Long since I listened to bukuku songs the Lionnes herself watching from gulf saudi Arabia really feeling blessed

  • @estherwandera7852
    @estherwandera7852 Год назад +4

    Hiii sasa ndio inabamba achana na hio ingine

  • @FredGDangote
    @FredGDangote Год назад +4

    Kazi nzuri zaidi.dada zetu .kutoka Kenya 🇰🇪🔥🎉🎉 twawapenda sana.

  • @herbertbavuma7228
    @herbertbavuma7228 Год назад

    Kama Mungu alivyowabariki sauti nzuri za kumtumkia na azidi kufanya ivo msijemkapungukiwa kila kwenye lililo jema la kwenu.

  • @keitakeita6984
    @keitakeita6984 Год назад +20

    If my daughter's will sing just half of this women, I will tell God to crown my parenting and give me a place in his kingdom..... Ooo my goodness... Thanks for this piece that speaks to Christians and Sinners differently..
    ❤❤❤❤❤❤❤

    • @mission94
      @mission94 Год назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gedionmbuvi7128
    @gedionmbuvi7128 Год назад +3

    Huu upendo Mungu anapendaa sana,,, another one wazazi wangu imenibariki kweli juu Mimi amenithibitishaa Ako na Mimi🙏🙏🙏🙏💗💗💗🤦🤦🤦

  • @marykioko8398
    @marykioko8398 Год назад +7

    Nice song keep it up 👍🙏🙌❤️ much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏❤️

  • @user-ws8xv8sb4z
    @user-ws8xv8sb4z 11 месяцев назад

    Thafadhali unaimba vizuli sana mimi Niko Bujumbura nitakuona vipi kweli live ?

  • @eunicemutiso5788
    @eunicemutiso5788 Год назад +1

    something av realized na nyimbo za huyu mwana dada mwaipaja.. she has her unique way of singing and how she presents her songs! baraka

  • @mosesatya3386
    @mosesatya3386 Год назад +11

    BAHATI BUKUKU WOOOW WELCOME BACK 🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @gaudenciamaghanga
    @gaudenciamaghanga Год назад +7

    Hii ni collabo ya upako.... Mungu azidi kuwapa Neema zaidi watumishi🇰🇪

  • @graceymbithe
    @graceymbithe Год назад +5

    My song of the year ❤🫶🙌me Naomba Mungu uzidi kuniinua🙏🤲kwa mana nimedhibitisha uko nami milele na milele

  • @fredrickayieye6216
    @fredrickayieye6216 Год назад +5

    Nimesikiliza wimbo huu nikajipata nalia, 😢😢😢😢 very emotional

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 Год назад +9

    Bahati Bukuku karibu tena mama mtumishi wa MUNGU, tulikuwa tuna kukumbuka❤️🇨🇩 Martha good work Mungu awabariki🔥🙌 Yuko na mimi milele na milele😭🙌

  • @winnieweezyk
    @winnieweezyk Год назад +15

    Nimethibitisha yuko na mimi milele na milele🙏🙏🙏 Huko nyuma nilipitia mazito mengi bila mungu yani sijui ningekua wapi.I love this song inaongelelea what wengine wetu tulikua tunapitia.God bless you much servants of God.

    • @PastorsTz
      @PastorsTz Год назад

      ruclips.net/video/_m-lfvVJvSU/видео.html

  • @leahdaniel1117
    @leahdaniel1117 Год назад

    Wanawake watangazao habari Ni jeshi kubwa Hakuna aliye Kama MUNGU wetu wa kmlinganisha kwa pendo lake kuuu

  • @starshiz533
    @starshiz533 Год назад

    Mje Kenya mfufue nyota za wasanii wa injili wameporomoka 🤗❤️

  • @brianzabibumusickibet2568
    @brianzabibumusickibet2568 Год назад +3

    I always long to listen Bukuku

  • @NandwaHaggai
    @NandwaHaggai Год назад +5

    hii ni kolabo ya mwaka sasa naisubiria kwa hamu sana.....hawa dada wawili jamani .

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 Год назад

    Nyimbo za Injili sio hizo, siku hizi mnatupiga changa la macho!!!

  • @patrick.272
    @patrick.272 Год назад

    Martha Mwaipaja nakupenda sana unanitia nguvu kupitia nyimbo zako zote.
    Bahati Bukuku nawe pia ubarikiwe nakupenda mtumishi wa Mungu

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 Год назад +37

    Nampenda Martha & Bahati Bukuku❤. Mmenibariki kwa kutuletea wimbo uliojaa utukufu kwa Mungu!
    Mungu azidi kuwaongoza💕
    #Gospel#Nimemthibitisha

    • @victorukerdogu
      @victorukerdogu 10 месяцев назад

      Une très belle chanson et avec une collaboration d'excellence que Dieu vous garde jalousement
      Je vous aime

  • @modelvinstrikah5381
    @modelvinstrikah5381 Год назад +10

    Wow what a touching song blessing upon blessings....I'm leaving this comment here so that anytime someone likes it i come back to listen to this wonderful ladies of God ...We love you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shedadiabdul654
    @shedadiabdul654 Год назад

    Mi Muslim lkn Huwa naskiliza Ujumbe unafundisha ukiongeza Vinanda.Hongereni kufundisha Raia

  • @lydiahmwasame5668
    @lydiahmwasame5668 11 месяцев назад

    Rahisi Swalehe ,watume Bahati bukuku ,Rose Muhando n mwaipaja huku nchini kwetu Kenya,Shetani ananya extra ours😢...

  • @maggykahindi621
    @maggykahindi621 Год назад +4

    Ameeen mungu azidi kuwapa neema hii ya kuenaza injili ya mungu ni mebarikiwa ni kiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kimmathew6966
    @kimmathew6966 Год назад +6

    Ooh!! Hallelujah.Jamani Mungu Mkuu awabariki sana,Huu wimbo Ni Wangu. Asanteni sana

  • @obeyngorima4588
    @obeyngorima4588 Год назад +1

    Wamekutana watumishi wa Mungu wanyimbo zainjili

  • @user-lz1xf1kw5g
    @user-lz1xf1kw5g 4 месяца назад +1

    I'm healed by this song🙏🙏..ugonjwa ule ule uliowaua wengine nimepona 🙏..Neema itoshe

  • @essyachieng8549
    @essyachieng8549 Год назад +3

    Amen lmenitia nguvu ya kusoga mbele Nani nitoe zangu MUNGU aniwezeshe nawapenda sana Dani ya moyo wangu naomba siku moja MUNGU anipatanishe nanyi🙏🙏🙏🙏nikiwaona natabasamu tu my mamas

  • @pauldemcdancer6998
    @pauldemcdancer6998 Год назад +6

    How I anxiously waited for bahati's part ....waah

  • @RachelKalume-gu5qx
    @RachelKalume-gu5qx 9 месяцев назад

    Mama Bahati bukuku sauti tu pekee inaogopesha shetani,,, glory be to God together with Martha mwaipaja nimebarikiwa

  • @richardpatrick8305
    @richardpatrick8305 11 месяцев назад

    Hakuna kitu mmekaukiwa nyinyi Mungu aliwaacha kitambo sasahivi mmebaki na majina makubwa lakini Yesu amesha waacha zamani sana wewe martha kuna siku ulikuja kanisani kuhudumu ulialikwa kwanza ulichelewa ulikuja saa nane alafu umekuja bado ukawa unatuharakisha upewe nafasi haraka unataka kwenda,Ikabidi mchungaji asimamishe mahubiri ukapewa nafasi umeimba umemaliza unataka upewe laki4,Ukapewa laki2 ukazitupa chini.Nakuchukia sana wewe dada tena sana yani ikabidi uongezewe pesa ukapewa hio laki4 kwanza ulichelewa alafu umekuja bado unaharaka.Kumbuka ni wapi ulipo angukia ukatubu Jehanamu ipo usipo tubu utajuwa hujui

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 Год назад +6

    Am not a Christian bt i like songs for this to guys may God BLESS them alot from Kenya 💓💓🙏🏻

  • @bahatijairus
    @bahatijairus Год назад +111

    This song raised my spirit today.Was feeling so low bcoz mum is sick but it gave me hope and strength...God richly bless u and use u mightly to continue blessing our souls theu this ministry of worship.Barkiwa sana

  • @agnesbirime9698
    @agnesbirime9698 Год назад

    Awo ni Wanamaker wakuheshimu Dunia muzima. Dada Bahati unajuwa kamenge ? Ni seems ya Burundi ukiputa tu unasikiya nyimbo zako zote . Tunagupenda saana. Usiwe calme kwa muda tunaku miss saana. Mungu akubaliki na Saudi yako !!!!!

  • @shadrackkimanzi3757
    @shadrackkimanzi3757 Год назад

    Wow mum bahati bukuku hii sauti yako inanibariki Sana , Tanzania mko na bahati Sana kubarikiwa na wapakwa mafta wa mungu , Simba WA kike ,, nakusikiza nkiwa Mombasani 001 ,🇰🇪

  • @christineriunga3007
    @christineriunga3007 Год назад +21

    Wow.....love this Tanzanian gospel music 🎶 🙌 ❤ 🙏....had also watched Rose muhando and Christina ,well done ladies💯..... umoja ni nguvu utengano ni udhaifu .kwakweli mumethibitisha kwa Mungu yawezekana🙏

  • @glorysarah_Music
    @glorysarah_Music Год назад +10

    Huu wimbo ni wa majira yangu,kenya tunawasubiri sana

  • @jeremiahnestory
    @jeremiahnestory 8 месяцев назад +1

    Endelea kumushilikisha bahati bukuku sauti yake ya kishindo hadji laha jaman mungu awe nanyi

  • @nguwarenson5367
    @nguwarenson5367 Год назад

    Ndio yuko nami milele na milele. Mubarikiwe watumishi wa Mungu kwa kuchagua kumtumikia Mungu Baba wa Wote.

  • @KennyPsalmsOfficial
    @KennyPsalmsOfficial Год назад +7

    I love the Sound 📢 and the Media who make it thru for us thank you #Martha #Bukuku Mungu awabariki saaaana all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @martinomwayi6123
    @martinomwayi6123 Год назад +72

    Music heals the soul for sure, Martha and Bahati Bukuku perfect combination that just calms disturbs hearts

  • @Godelivanana
    @Godelivanana Год назад +1

    My favorite singer ❤❤❤❤❤❤ mama husihende kwa hule nabi kuchukuwa hela please 😭 I feel sad kwa Christina shusho alichofanya nabi hule helazake zakishetani

    • @Godelivanana
      @Godelivanana Год назад

      Rizika na hulizo nazo ❤️❤️❤️ god bless you 🇺🇸❤️

    • @Godelivanana
      @Godelivanana Год назад

      Love you from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸❤️

  • @Ndira044
    @Ndira044 Год назад

    Si kwa ubaya, niliskia kuwa Bahati bukuku alifariki, nimepigwa na butwa, Mungu amzidishie uzima

  • @tumuhairweboreen6070
    @tumuhairweboreen6070 Год назад +30

    😇😍😍😍I'm happy to live in a blessed generation of seeing these two beautiful women of God praise and worhsip and win souls for Christ Jesus...Lots of Love from Uganda😍😍

  • @elsiemichael6566
    @elsiemichael6566 Год назад +14

    Hallelujah 🙏 utukufu umrudie bwana wa majeshi,,, mbarikiwe sana kwa wimbo uliojaaa utukufu wa mungu na kutupa matumaini

  • @rosekilawe786
    @rosekilawe786 Год назад

    Anastahili kuthibitishwa yeye Ni Mungu anaweza sana Mungu awape. Miaka mingi mzidi kuwa vijana.

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 10 месяцев назад

    Wapi like za bukuku kwa sauti yake tu shetani mwenyewe ana kimbia ili asiisikie sauti ya bukuku

  • @timomwaniki6426
    @timomwaniki6426 Год назад +30

    Great gospel musicians👏👏👏. Cool music, am blessed and I can testify there's God in heaven WHO is watching us from a distance. Don't be troubled, rather Keep on PRAYING and do the right thing God will always hear your PRAYERS.

  • @mukhwanaisaac8013
    @mukhwanaisaac8013 Год назад +3

    Kazi poa sister 🙏🙏🙏🙏 Mimi Kenya artist gospel.

  • @ibrahim-vy5pl
    @ibrahim-vy5pl 9 месяцев назад

    Mungu azidi kuwabariki kwni nasi twponywa majeraha yanafsi na kumrudia mungu kwa magumu mbalimbali tupitiayo katika maisha ya kila siku.

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 10 дней назад

    Tukibarikiwatuna ji bleach, uzuri wetu waasili tunauangamiza