Marthe mwaipaja u never disappoint, you are the queen of gospel songs. God bless you🙏 Wakenya kujeni tubarikiwe hapa na mnipe likes huu msimu wa maandamano.🇰🇪🇰🇪
Hongera Dada yetu unajua sana kutuonyesha Furaha ndani ya maisha yetu kupitia huduma yako ya Gospel 🥰 Napenda sana nyimbo zako sina mafundisho mazur sana Mungu akupe Afiya njema
Huku Kenya tunasema kitu kuruka, Yaani kitu iko, kitu therapy. You're a blessing to many. Love from Kenya Bunge La mwanainchi, Jacaranda grounds❤️💙👏👌💪🏼
Feeling heartbroken. This song has blessed my heart and I'm trusting God because " Ni wewe umenikubali..... Ni wewe umeniitika.... ( Mungu Baba) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Martha ndie mwimbaji pekee wa kike Africa mashariki na kati ambae hajakubali wimbi la umaharufu limbadilishe kwa muonekano na pia msimamo wake wa kiimani. Hivi karibuni Sanaa ya ulimwende imemdoe sana. Nimemuona akijaribu ulimwende lakini dhamira zake hazimrusu kabisa. Naomba Mungu amlinde kutokana na mtego huu. Dada Mungu akuepushe na kufuru zote na akiinue kichwa chako juu ya kila mawimbi. Amin.
Family solve matters in family, not on social media. Especially African family. We always uphold that value. So, somehow, this battle is spiritual. It's fighting the Lord's work. But, at the end of the day, God wins 🏆 always because the victory belongs to God.
I just like the simplicity in this Lady, As she gives the strong message through her praise, Dada Martha Mungu akizidishie milele ,maana unajua kujipunguza na kunyenyekea mbele zake na kumpa sifa, maana ni yeye amekuiitika
Amen 🙏 na Mungu akubariki sana kwa kugusa moyo wangu kupitia nyimbo zako, naomba kama naezapata kibali machoni pa Bwana Mungu na machoni pako, nipate kukutana na wewe ili nipokee hiyo Neema ambayo umeibeba. Naitwa joyvictory kutoka Kenya ndo nimeanza kuimba na wewe dadangu ndio my role model katika uimbaji, yaani ukinikubalia naomba kuimba nawe hata kama ni wimbo mmoja nipokee hayo mafuta na nijue ni wapi Nina upungufu katika uimbaji wangu. Mungu akubariki sana dadangu
The Lord will Provide a singer like her in Jesus name but Martha is a real big thing in Gospel music world wide bless b unto her and her team in Jesus name in Uganda we love her
No artificial adornment,natural beauty kuanzia kwenye kucha mpaka kwenye nywele,you are simple kama esther wa kwenye biblia,but most beautiful of all artist.keep going natural,no wigs no fake make up,daah unapendeza sana mama,usiwafuatishe wasanii wengine walioharibika,utaharibu utambulisho wako,katika usimple wako,Mungu atakupandisha juu.
Da Christina unaimb nyimbo nzur ambazo zinatubadilisha hata sisi ambazo hatukuwa na wazo la kufuata njia nzuri ya maisha mana maneno ya kweny nyimbo yanapenya Moja Kwa Moja kwenye moyo wa mtu , Mungu akubaruki na aendelee kukuongoza uzid kutubariki kupitia nyimbo zako
This is One Kind of a Soul. You are such a blessing to all. 100% of Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love you. Continue being a blessing to all. Much love from Kakamega Kenya 🇰🇪 🇰🇪 😊😊😊😊😊😍
Tunzeni watoto wenu wakiwa wadogo na msiwaonyeshe mabaya, mtoto akiwa hujui nyota yake,naskia mkiongea Martha mwaipaja ni kama yeye sio binadamu.Mungu akulinde dada Martha ❤
Ma sœur mais moi aussi j'aime tes chansons avec des choses qui se passent dans mon pays cette chanson là me console vraiment que dieu te bénisse abondamment 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 particulièrement à l'est de la RDC 🇨🇩😇😇
I feel so blessed na nyimbo za dada Martha,,,I feel so happy always 😊😊,,,may God bless you so much,,,,hakika mungu akikukubali ama kukuita hakuna wakupiga 😇🫠🤲🙏God is so amazing 👏 💖
Kuna mtumishi nilimsikia akishutumu waimbaji kuwa wanajihusisha na usagaji na watu wengi walionyesha sana kidole kwa huyu japo hakutajwa jina na mtumishi
Niyanza kusikia music yako since 2007 until now am still enjoying your music I have nothing to say about it what I can say is that May God continue blessings you am in Lusaka Zambia you are a great woman umenipenda tu nilivyo I like it
Nikisikiaga nyimbo zakho yan nafarjika hata kama nilikasirka kiazi gan nashutukiatu naimba wakika uko vizuri dada Ang Martha mngu akupe maisha marefu afu nimesikia niwewe umenitpka eshima😂😂😂🙏🙏
Naomba kuuliza japo kwa upole , dada huyu mwenye sura ya kupendeza na sauti yenye kumtoa nyoka pangoni na kumweka mapangoni kama anaye mchumba❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Nice one... Hakuna wimbo wako nitauskia nkose kuupenda... May God bless you so much uendelee kuwa katika viwango vya juu...♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️one love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mbona kwenye nyimbo zako humtaji YESU ambae ndio mwokozi wa ulimwengu wewe unamtumikia MUNGU gani ??? Achana na Lucifer utakuja kulia siku moja hicho kumbe hakijawahi kuwa na huruma yeyote na mwanadamu. Mtumikie YESU !!! Nimesikiliza nyimbo zako hakuna siku humtaji kabisa YESU
Your humblicity,your smile despite all you passed through, your faith in God,your songs,and everything about you,,makes me have Hope and trust in God.Thanks God for using this lady Martha as your vessel,many are blessed through the gift in her.
I love everything about this song... From the simple setting, instruments, your superb dress code yet the song is bursting with potential.... God bless you for blessing me with this song...❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My the holy spirit speak and stand in on your behalf for the bible clearly says whatever temptation come your way God has allowed it because he knows you have the strength and ability to overcome it. Wacha neema ya mungu ijionyeshe kwa ajili yako.❤
Belle adoration qui touche la profondeur de nos coeurs ! Merci infiniment le tout puissant d' avoir donne à votre serviteur cette belle voix pour rehausser ta grandeur .
I'm here celebrating a new month of July 01/07/2024 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃 Wimbo mzuri sana , barikiwa sana dadangu. More grace,more anointing upon you and your ministry..... Listening loud and clear nkiwa Middle East Israel- Jerusalem 🙏🙏💃💃💃💃
She is the best gospel artist in Southern Africa in regard to her gesture making as she sings. Her voice projection is good as well as her presentability. Her movements on the floor are duper.
Martha Martha Martha ,you do casing very focast ,keep it moving and burning ,true golpel through singing.finally we have the official video.this is a true call❤🎉 from 🇰🇪
Shalom , muchas bendiciones para ti hermana Martha quisiera poder entender el idioma , pero se que son hermosos cansion , siento la presencia del espíritu Santo . Escuchando tu cansiones Saludo desde , República Dominicana 🇩🇴 ❤️
Martha martha martha..how many times have i called you?you are such a blessing in our lives❤I feel blessed with your songs.Big up dear.Much love from Kenya
Hongera mdogo wangu mungu akuinue
Asante sana dada Yesu ni mwema
@@marthamwaipaja4725 ROSE MAMA NAKUONA HAPA , HEBU MPIGE REMIX #marthamwaipaja4725
Plppp
Tunagoja colabo yenu mama rose
❤❤❤❤❤ my favourite singer plus martha mungu awabariki sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyimbo nzuri,ujumbe 💯, Kenya 🇰🇪 tupo ndani♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Tubarikiwe pamoja
My mentor spiritually...Gd work.blessings..
Behind u
Waw!! Another one ...Martha the president of gospel music her songs fades not
Tupo ndugu
for those who are lien to swahili the words "ni wewe umenikubali, ni wewe umeniitika" means "you have accepted me, you have answered me"
Thank you, I like her songs but can't hear anything, i'm poor at swahili😂 i keep watching songs but....😅
Thanks alot
I like her songs but language it's a challenge to me
Thanks alot
Language is a challenge indeed🎉
Please translate the song😢
Marthe mwaipaja u never disappoint, you are the queen of gospel songs. God bless you🙏
Wakenya kujeni tubarikiwe hapa na mnipe likes huu msimu wa maandamano.🇰🇪🇰🇪
Yes yes
❤
Nyimbo nzuli sana! Love kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️
Wimbo-singular Nymbo-plural
@@selemanshidda9688 swahili ya Burundi tofauti sana na ya TZ
When I listen this song I found my self 😢
Hongera Dada yetu unajua sana kutuonyesha Furaha ndani ya maisha yetu kupitia huduma yako ya Gospel 🥰 Napenda sana nyimbo zako sina mafundisho mazur sana Mungu akupe Afiya njema
Kenyans where are you nice song blessings from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
here we're 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I like Martha and her is very encouraging
*Beautiful Song, Team Kenya jambooo.* 🇰🇪❤🎉
Sijambooo
Sijjambooooooooo
Team mwaipaja lotsssss 💕
Ni wewe umenikibali vile nilivyo
🎉
Acha niiname mbele zako wewe ni Mungu 🙏❤️
Huku Kenya tunasema kitu kuruka, Yaani kitu iko, kitu therapy. You're a blessing to many. Love from Kenya Bunge La mwanainchi, Jacaranda grounds❤️💙👏👌💪🏼
Ongeza sauti kaka ,kitu therapy
Kabsaaa kaka hapo volume Iko sawa wakenya tumefika
😂wakenya tuko ndani.niko hapa Rongai.nasikiza mdogo tu❤❤
😂😂😂tupo ndani ya therapy 😂
Hallelujah 🙏 kweli kabisa hapa Kenya atawale kote si mungu atawale tu
Tunaopenda hii Gospel ifike juu #1 on trending , wajue Mungu yupo tujuane kwa likes 😘❤️
🙏🙏
Asante Mungu kwa makuu uliyowatendea watoto wangu, Umewakubali, umewaitika na kuwaheshimisha Amina❤❤❤🎉🎉🎉
Kama unampenda dada martha weka like za kutosha hapa❤❤❤maana anaimba poa saaana🙏
❤️❤️❤️❤️❤️
@@MariamSade-e8t vzr..saaana rafiki..
@@MariamSade-e8t njoo pia kwangu rafiki
Pic ya kinyaki iyo cio pow...kazi nzur sister ...Mungu akutunze ❤❤
Dadangu mungu akuinue kwaviwango vyajuu sana wimbo mtamu mno nimeupenda
Feeling heartbroken. This song has blessed my heart and I'm trusting God because " Ni wewe umenikubali..... Ni wewe umeniitika.... ( Mungu Baba) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Feeling the same dear bt mungu wetu ametukubali na ni yy atatuitika be strong sweetheart God love you
Wahoooo 🥰🥰 exactly 💯🧎🧎
I feel like this song shld be played in my wedding coz of what have gone through
Kitu Safi Mali safi❤️🎉from Kenya with love
Very good song.
kweli Mungu ni mwema tukikumbuka tulipotoka yeye nidio anajua
Kenya tumesema ndio🇰🇪🇰🇪
You're true and vocalist
Martha ndie mwimbaji pekee wa kike Africa mashariki na kati ambae hajakubali wimbi la umaharufu limbadilishe kwa muonekano na pia msimamo wake wa kiimani. Hivi karibuni Sanaa ya ulimwende imemdoe sana. Nimemuona akijaribu ulimwende lakini dhamira zake hazimrusu kabisa. Naomba Mungu amlinde kutokana na mtego huu. Dada Mungu akuepushe na kufuru zote na akiinue kichwa chako juu ya kila mawimbi. Amin.
True
I love you martha
Family solve matters in family, not on social media. Especially African family. We always uphold that value. So, somehow, this battle is spiritual. It's fighting the Lord's work. But, at the end of the day, God wins 🏆 always because the victory belongs to God.
This woman always delivers 🙌...much love from Kenya 🇰🇪❤❤
Nakupenda sana unavyoimba
Beat..100%
Sounds.. perfect
Theme...100%
Talent...100%
Mungu akubariki sana...
Ubarikiwa sana
Nyimbo nzuri kwa vina na mashairi Dada yangu,unaelimisha Taifa Kiimani na kuimarisha Kiroho,Barikiwa
Beat ndo hatari😅😅
good work martha mwaipaja hongera sana
Kabisaaa
Habari mutumishi uyimba bizuri Mimi nakupena sana ubarikiwe na Yesu.
I just like the simplicity in this Lady,
As she gives the strong message through her praise,
Dada Martha Mungu akizidishie milele ,maana unajua kujipunguza na kunyenyekea mbele zake na kumpa sifa, maana ni yeye amekuiitika
Beuriful ❤
Imagine, very simple and beariful at the same time, enyewe mungu amekuitika dada matha
On my bedroom,ninalia tuu 😂😂machozi yakidodonga nikisikiza huu wimbo.
Every time you release a song ,it's always am in that season. Am in the season of thanksgiving. More grace 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Asante Sana kwa wimbo Mama. Nitakutowa wapi Ili Nami niwe muimbaji wako uni formé mamayangu !
Keep up the good work mama Kenyan in the house fanyeni ile kitu please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika ndio nimejua utamu wa huu wimbo ❤❤❤dada ubarikiwe zaidi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇬
Amen 🙏 na Mungu akubariki sana kwa kugusa moyo wangu kupitia nyimbo zako, naomba kama naezapata kibali machoni pa Bwana Mungu na machoni pako, nipate kukutana na wewe ili nipokee hiyo Neema ambayo umeibeba. Naitwa joyvictory kutoka Kenya ndo nimeanza kuimba na wewe dadangu ndio my role model katika uimbaji, yaani ukinikubalia naomba kuimba nawe hata kama ni wimbo mmoja nipokee hayo mafuta na nijue ni wapi Nina upungufu katika uimbaji wangu. Mungu akubariki sana dadangu
There can only be one Martha Mwaipaja. They don't make singers like her anymore! ❤
Tell them my brother
Martha keep it up Your songs are a blessing to my soul.
The Lord will Provide a singer like her in Jesus name but Martha is a real big thing in Gospel music world wide bless b unto her and her team in Jesus name in Uganda we love her
Martha is unique. Keep it up lady
Nice song love from Kenya 🇰🇪 kutoka 14-16 tunakuja uko Arusha Crusade
Karibu sana tutakuws Arusha ..hope mama Martha will come" we❤ Tanzania
Nakupenda sana matha Mimi Ema wa mbezi huu wimbo unanikosha
Ni wewe umeniitika ni wewe bwana umenipenda, can't get enough ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
No artificial adornment,natural beauty kuanzia kwenye kucha mpaka kwenye nywele,you are simple kama esther wa kwenye biblia,but most beautiful of all artist.keep going natural,no wigs no fake make up,daah unapendeza sana mama,usiwafuatishe wasanii wengine walioharibika,utaharibu utambulisho wako,katika usimple wako,Mungu atakupandisha juu.
Da Christina unaimb nyimbo nzur ambazo zinatubadilisha hata sisi ambazo hatukuwa na wazo la kufuata njia nzuri ya maisha mana maneno ya kweny nyimbo yanapenya Moja Kwa Moja kwenye moyo wa mtu , Mungu akubaruki na aendelee kukuongoza uzid kutubariki kupitia nyimbo zako
Nani kama martha mwaipaja nyimbo zake n 🔥🔥🔥🔥hii comment nachia watakao isoma 2030 wajue nilipita hapa
Am blessed from Kenya 🇰🇪
Amen
Nandy
I'm blessed all the way from kingdom Riyadh
Martha mwaipaja is a talented gospel singer and xtrmly beautiful i wish i get achance and talk to her in camera vinny vinny kenya
Kweli kabisa dadangu Mungu akikubali inatosha Amen ❤ 4:08 to 🇰🇪🇰🇪
This is One Kind of a Soul. You are such a blessing to all. 100% of Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love you. Continue being a blessing to all. Much love from Kakamega Kenya 🇰🇪 🇰🇪 😊😊😊😊😊😍
Tunzeni watoto wenu wakiwa wadogo na msiwaonyeshe mabaya, mtoto akiwa hujui nyota yake,naskia mkiongea Martha mwaipaja ni kama yeye sio binadamu.Mungu akulinde dada Martha ❤
AKSANTI MUNGU KWANI WEWE TU UNA STAHILI MAISHANI MWANGU. UMENIITIKI NGISI NILIVYO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 WEWE NI BABA
You have a number at gospel in Africa just mainstains
Ma sœur mais moi aussi j'aime tes chansons avec des choses qui se passent dans mon pays cette chanson là me console vraiment que dieu te bénisse abondamment 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 particulièrement à l'est de la RDC 🇨🇩😇😇
❤❤❤❤❤
Martha you are blessed to Africa nation😊 Mungu azidi kuuinuwa sanaa hadi maaduwi washangae much❤ from +254 and that is 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MUNGU azidi kuku pandisha viwango vya juu dada matha
Ubarikiwe sister
Amen! Amen! Barikiwa sana kwa kutupa wimbo mtamu na WA kupendeza na kumja mungu,,🇰🇪twakupenda
Nasikia kutoa ushuuda kupitia huu wimbo nikikumbuka mahali Mungu amenitoa na mahali ananipeleka.....Edu from Kenya❤
Playing on repeat. The language is alien to me but the message is clear. Glory to Him. Love from Zim
Nikiskia huu ngoma naskia raha moyoni...yaani sijui jinsi ya kueleza..mungu ni mwema kila wakati
I feel so blessed na nyimbo za dada Martha,,,I feel so happy always 😊😊,,,may God bless you so much,,,,hakika mungu akikukubali ama kukuita hakuna wakupiga 😇🫠🤲🙏God is so amazing 👏 💖
No one can understand me how joyfull I feel when im listening ❤❤❤❤ to this amazing gospel our sister may God bless you so so much 🙏🙏🙏🙏
Nakupenda mtumishi wang
Ameen
Barikiwa Sana Dada nyimbo zako zinainua Moyo Sana,Mungu Anikubali na aAniitike na Mimi,much Love 🇰🇪🇰🇪
Kwenye kila tunayopitia hizi nyimbo hututia sana nguvu na imani Mungu atufanyie wepesi katika nyakati ngumu Amina.😭🙏
Mungu azidi kukutumia kutuhubiria kupitia nyimbo nzuri Kenya twakupenda Martha🇰🇪🇰🇪❤️
Kuna mtumishi nilimsikia akishutumu waimbaji kuwa wanajihusisha na usagaji na watu wengi walionyesha sana kidole kwa huyu japo hakutajwa jina na mtumishi
Wana wivu kama wanaushahid walete
So amazing, tunakupeda 🇰🇪🇰🇪
Nyimbo zako dada hubariki dunia nzima...wakenya twakupenda sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika wimbo huu ni wenye kufariji, especially unapo usikiliza ukiwa umetulia, barikiwa sana cute Martha.
Niyanza kusikia music yako since 2007 until now am still enjoying your music I have nothing to say about it what I can say is that May God continue blessings you am in Lusaka Zambia you are a great woman umenipenda tu nilivyo I like it
This Lady is carrying another Level of Grace.... I am always blessed by your work... Tremendously Beautiful🥰
Indeed Martha. Keep it up❤🎉🎉🎉
Nikisikiaga nyimbo zakho yan nafarjika hata kama nilikasirka kiazi gan nashutukiatu naimba wakika uko vizuri dada Ang Martha mngu akupe maisha marefu afu nimesikia niwewe umenitpka eshima😂😂😂🙏🙏
Naomba kuuliza japo kwa upole , dada huyu mwenye sura ya kupendeza na sauti yenye kumtoa nyoka pangoni na kumweka mapangoni kama anaye mchumba❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Thank you Jehovah for you alone delivers and loves me even if I face rejection. I will forever worship you in Jesus name!
Nice one... Hakuna wimbo wako nitauskia nkose kuupenda... May God bless you so much uendelee kuwa katika viwango vya juu...♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️one love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mbona kwenye nyimbo zako humtaji YESU ambae ndio mwokozi wa ulimwengu wewe unamtumikia MUNGU gani ??? Achana na Lucifer utakuja kulia siku moja hicho kumbe hakijawahi kuwa na huruma yeyote na mwanadamu. Mtumikie YESU !!! Nimesikiliza nyimbo zako hakuna siku humtaji kabisa YESU
Wanadamu😂😂😂😂Yesu ni mzuri umeimba wewe😅😅😅
😂😂😂😂😂@@tamarinyangwe5119
Ni wewe Bwana umenikubali asante sana Yesu. Upijile sana Martha Mwaiapaja
Nikiwa kenya napenda nyimbo zako sana sana nibarikiwe pia🙏🙏
Martha ni.mrembo msafi anajua na ni.mzuri..lazima watu roho ziwaume ila Joan toka kwa Martha we mchawiii mkubwa
Your humblicity,your smile despite all you passed through, your faith in God,your songs,and everything about you,,makes me have Hope and trust in God.Thanks God for using this lady Martha as your vessel,many are blessed through the gift in her.
sasa humblicity ni nini?
Ukimtumikia yesu lnalipa
Imeida
Mungu 2 mwokozi w majivuni yangu yote,, alfaah omega apewe sifa
🎉🎉🎉❤ lovely 🌹🌹🌹 song my dr
I love everything about this song... From the simple setting, instruments, your superb dress code yet the song is bursting with potential.... God bless you for blessing me with this song...❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo mtamu wenye mguso na baraka.Mungu akutie nguvu zaidi dada.
This blessed woman of God,the smile on her face the joy she has,Soo lively,the living testimony that God lives.
My the holy spirit speak and stand in on your behalf for the bible clearly says whatever temptation come your way God has allowed it because he knows you have the strength and ability to overcome it. Wacha neema ya mungu ijionyeshe kwa ajili yako.❤
Anytime you release a song ,the song gives me goosebumps....the grace surpurses all human understanding🙏🙏
The best gospel singer 💫🎉 ubarikiwe sana 🙏🏾🙏🏾
Que le tout puissant t'ajouter une longue vie maman.c'est par la grâce divine que nous continuons à vivre
Ni wewe MWENYEZI MUNGU Umenikubali. Umetukuka Milele na Milele AMINA 🙏 ❤ 🙇♀️
POWERFUL WORSHIP 🔥 🔥 Sauti nzuri inayovutia ,ujumbe ulojaa ushindi 🙏 NI WEWE MWENYEZI MUNGU UMENIKUBALI...UMENIPENDA 🙌 UHIMIDIWE MILELE 🙇♀️
🇺🇸 🇰🇪 TWAKUPENDA DADANGU MARTHA MWAIPAJA
Ni wewe umenikubali umenikubali Jehova dunia inajua ❤❤❤ faraja ninayo ipata nikisikiza huu wimbo 🙏🙏🙏
Duuuuhhh dada unajua kuimba mungu akulinde uishi miaka mingi uendelee kututia moyo watu tulio kata tamaa katika maisha yetu❤❤❤❤❤
No matter what I still believes in you Lord 😭 , be blessed my lovely Madam 💕 🙏
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏 good video and good song God bless you my friend ❤❤❤👍👍💯💯
Je suis ivoirien mais tes chansons me font du bien!
Courage et fixe tes regards sur celui qui t'a appelé c'est à dire Jésus-Christ de Nazareth
Mummy daughter goals ❤❤. A great masterpiece of Thanksgiving 👍
Belle adoration qui touche la profondeur de nos coeurs ! Merci infiniment le tout puissant d' avoir donne à votre serviteur cette belle voix pour rehausser ta grandeur .
Amen 🙏 🙏
I'm here celebrating a new month of July 01/07/2024 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Wimbo mzuri sana , barikiwa sana dadangu. More grace,more anointing upon you and your ministry.....
Listening loud and clear nkiwa Middle East Israel- Jerusalem 🙏🙏💃💃💃💃
She is the best gospel artist in Southern Africa in regard to her gesture making as she sings. Her voice projection is good as well as her presentability. Her movements on the floor are duper.
Mungu akuongezeya maisha marefu dada🙏🙏
I'm so glad I'm part of those watching htis premiere...
Powerful and absolutely amazing
More grace min. Martha
Martha Martha Martha ,you do casing very focast ,keep it moving and burning ,true golpel through singing.finally we have the official video.this is a true call❤🎉 from 🇰🇪
N penda nyimbo zako mamaa ubarikiwe mungu azidi kukuenua kwa kipaji
Shalom , muchas bendiciones para ti hermana Martha quisiera poder entender el idioma , pero se que son hermosos cansion , siento la presencia del espíritu Santo . Escuchando tu cansiones
Saludo desde , República Dominicana 🇩🇴 ❤️
God is the Only one who has accepted her
Wooh!! this woman is blessed in gospel music❤❤ We love you in 🇰🇪. Such a soul soothing song song.
Congratulations yaaani uko sawa tena sanaa keep up niko kenya laikipia North 🙏🙏
My all time best gospel musician doing wonders❤l love your music 🇰🇪 🇰🇪 ❤
Amen. Wimbo bora sana kwangu ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🎉🎉🎉
Asante kwa kazi ubalikiwe sana
I always love your songs ❤. They are always a blessing to my life. Hata wakati navunjika moyo huwa zinanitia nguvu. Barikiwa sana dadangu Martha 🙏
Amen Amen 🙌 🥰🥰from Kenya 🇰🇪
Hii wimbo imenibariki zaidi dada yangu ua narudia mara mia Moja kwa ajili ya baraka iliyoko kwenye meseji Yako ya wimbo...ubarikiwe sana
Hallelujah 🙏 can't get enough of this song 🙏 hakika n Wewe Mungu umenikubali,uliyeniitika,uliyenitafuta🙏🙏🙏
Here I am again, Thanks Lord for everything 🧎🧎🧎🙏🙏let your will be done Lord hold my hands Father 😭😭
Martha martha martha..how many times have i called you?you are such a blessing in our lives❤I feel blessed with your songs.Big up dear.Much love from Kenya