Big up Masoud, Mungu akuongezee maarifa ufike mbali zaidi. Hii ni hatua kubwa sana. Ni muda wa kusonga mbele. Ushauri wangu kwako ni kwamba fanya mpango wa kupata watu zaidi ili wenye uwezo wa kuboresha zaidi ili tuanze kutumia vya kwetu. hasa eneo ia kukaa na umeme, naamini kuna wataalamu wa umeme wanaoweza kuifanya gari iweze kujicharhe kadri inavyotembea .
Hiii nimeipenda sana serikali sasa ifanye jambo kwa hawa walio anzisha mfumo rasimi kama huu binafsi nilitamani saana kuona vitu kma hivi vikipewa kipaumbele sana na serikali.
Mimi cha kuongezea hapo masudi ni kuufanya mfumo wa betri kuwa na uwezo mkubwa wa capacity badala ya kutumia betri tano litumike betri moja ama mbili zenye nguvu zaidi kwa mawazo yangu ni hayo mi nipo katoro geita
Hali ya hewa ina influence sana battery performance na battery life... Sehemu yenye baridi sana battery huisha haraka.. lakini pia sehemu yenye joto kali sana kama battery haina proper heat management huchoka mapema pia Lakini pia kucharge kidogo kidogo bila kuifikisha 100% una haribu battery life.. discharge and charge circle ikiwa haipo njema battery pia hufa... But there is always njia za kuborrsha kiwe bora
Comment nzuri ila sikutegemea, bora umetoa la moyoni, natamani sana tuungane kumhamasisha, Mfano, watumiaji wa Toyo na Guta wakihamia huku, next version ninakua imara zaidi
Ndio Karim inawezekana,MI pia Niko kwenye hatua za mwisho mwisho za kutengeneza gar,nilishaanza ila litatumia umeme ambao betri zitachajiwa kwa mwanga wa jua, tutafika tu
Vitu vya kipumbavu kutoka china na india vya sido wanaviruhusu kutembea katika barabara zetu ya Masudi kupanya wataiwekea vikwazo. Hili tatizo wanalo serikali zetu
Mhhh siyo kweli hiyo ipo poa sana. Magar ya Rwanda yanayo Tumia umeme yanaanzia kilometa 80 sasa si mbali sana kwa hizi kilometa. Hivyo wataendelea kubolesha zaid
@@hassanmzaa957 acha ujuha na ujinga wako.dunia ya sasa ni global village.dunia ni kijiji kimoja.google na andika namna ya kutengeneza gari ya umeme.how to make a electric car.Tusikubali kuwa wajinga karne hii ya sayansi na teknolojia.
Mm nimeipenda sana ideas mliyo tumia lakini nilikuwa napenda kutoa ushauri kwa nini msitafute idea nyingine nii gari iwe na otonator ili iwe kwenye mfumo wa kuji charge yenye ili iwe na uhakika kwenye safari ndefu? ni maoni tu
Big up Masoud, Mungu akuongezee maarifa ufike mbali zaidi. Hii ni hatua kubwa sana. Ni muda wa kusonga mbele. Ushauri wangu kwako ni kwamba fanya mpango wa kupata watu zaidi ili wenye uwezo wa kuboresha zaidi ili tuanze kutumia vya kwetu. hasa eneo ia kukaa na umeme, naamini kuna wataalamu wa umeme wanaoweza kuifanya gari iweze kujicharhe kadri inavyotembea .
Very creative attractive and very funny mungu asimamie Kazi hii kubwa ya mikono yenu amina
Keep moving. Time will tell. Nkuombea mafanikio Kipanya. Ngumu sana Watanzania kuelewa lakini kioichojaza moyo wako usiakate tamaa kukifanyia kazi.
Hiii nimeipenda sana serikali sasa ifanye jambo kwa hawa walio anzisha mfumo rasimi kama huu binafsi nilitamani saana kuona vitu kma hivi vikipewa kipaumbele sana na serikali.
Mafuta watauza wapi kila jambo lina positive na negative impacts wakiona negative impacts ni chache watasupport shida ni mifumo ya Serikali husika
ah wapi wataweka kodi
Hongera sana masoud kwa ubunifu, Nimezipata leo BBC fm
Daaah kiukwel nimependa Sana aiseee big up ma man
Hongera sana bro, tunawasomi wengi (mainjinia) lakini hatujawahi kufikiria kufika hapo. Keep it up...!!!
Hongera ila ningeshauri muungane na yule jamaa anaetengeneza umeme wa kutumia sumaku ili kuepusha kuchajisha
Kweli kabisa, ili wakati linatembea liwe linazalisha umeme wake pia
Mimi cha kuongezea hapo masudi ni kuufanya mfumo wa betri kuwa na uwezo mkubwa wa capacity badala ya kutumia betri tano litumike betri moja ama mbili zenye nguvu zaidi kwa mawazo yangu ni hayo mi nipo katoro geita
Hongera yako Masoud kipanya kwa ubunifu mzuri,,, hakika Tz wapo Macreativities wengi but shida kwenye uthubutu,,, yote ni yote mwanzo mgumu.
Good idea
Woow serikali wekezeni hapo ili tupunguze utegemezi nje na madeni maana tutapunguza kuagiza nje pia mafuta
Ongera Sanaa Kp
Kazi nzuri KP but mtangazaji kuna mengi ya magari hukuyahoji akadadavua vile ilivyotengenzwa.
Hongera masoud ,wewe no kiboko
Great idea Great minds
Hongera Masoud kwa hatua hii
Tanzania inahitaji wenye maarifa.....na sio wenye degree.....Bro Masoud umenigusa sana....
Hongera KP
Hongera kwa kazi nzuri
Umetisha kaka
Itengenezewe fast charge
Kaz nzuri
Masudi uko vizuri?, safi sana endelea hivyo hivyo utafika mbali sana. Nashauri mfumo wa solar iwekewe utakaochaji gari huku linatembea.
Safi sana ubunifu mzuri mnoo ila ikipendeza hapo kwenye kibin juu mngeweka solar systems hapo juu Ili iwe inajijaza yenyewe
Hongera sana bt tunataka kujuabei
For emergency its gud mngeweka solar system ili kuongeza milage
Safi Sana broo
Hongera kipanya motor 72
Nimependa sana iyo lakini kwanini gari lisiwekewe solar na invertor kuondoa kupoteza muda wa kuchaji.
Ushauri mzuri sanaa
Shida ni kwa serika yetu hawapendi watanzania wafanye
Hali ya hewa ina influence sana battery performance na battery life... Sehemu yenye baridi sana battery huisha haraka.. lakini pia sehemu yenye joto kali sana kama battery haina proper heat management huchoka mapema pia
Lakini pia kucharge kidogo kidogo bila kuifikisha 100% una haribu battery life.. discharge and charge circle ikiwa haipo njema battery pia hufa...
But there is always njia za kuborrsha kiwe bora
What matters is … cost …. Battery ina save kuliko fuel …
Unapiga hesabu za kutumia battery mpka kufa … and fuel cost kwa time hyo then … una amua
well done
Sijui inaweza kutembea spid ngap?
Naomba muongeze ubunifu kwa kuweka motar ambayo gari Hilo likiwaka TU iwepo system ya kuendelea kuchaji HIZO battery
Ongereni sn masudi kipanya
Umeme ni jambo jema. Tatizo huo umeme nao haupo! Labda ingekuwa la maji. But Hongera
Kuhusu umeme wa solar... Kuna issue ya wattages kama wattages za solar zinatosha obviously itacharge
Kipanya ni bigwa apewe U- professor, lakini wataalam wamsaidie, maana haiwezi kuwa heavy duty.
safi sana
Sh ngapi mhitaji
Kilometers 60 ni chache sana guyz halitufai kwa mazingira yetu
ila mwanzo mwema huu kaka naamini tz ni kubwa na wataalam wapo uhenda tunaweza mpata mwamba mwingine
akaboresha wazo
Comment nzuri ila sikutegemea, bora umetoa la moyoni, natamani sana tuungane kumhamasisha,
Mfano, watumiaji wa Toyo na Guta wakihamia huku, next version ninakua imara zaidi
Na mm nina swali:Je!huwezi kutengeneza mfumo wa jenereta ili chaji ikibaki kidogo unawasha jenereta hf unakuwa unachaji huku safari inaendelea?
Ni mwanzo mzuri sana, ushauri, bidii ya uboreshaji waipeleke kwenye kupunguza muda wa kuchaji, masaa sita ni mengi sana.
Hongera sana Masoud!!
kakopi kwenye google ya kisasa inachaji saa moja tu
Serikalii ya bongo isapoti watu jamani
Mimi nina haidia ya kitaharam hiyo gari ipo uwezekano wa kutumia hy gari bira kuchaji... automatically ikitembea hiwe inajicharg yenyewe
Ndio Karim inawezekana,MI pia Niko kwenye hatua za mwisho mwisho za kutengeneza gar,nilishaanza ila litatumia umeme ambao betri zitachajiwa kwa mwanga wa jua, tutafika tu
Jifunze kiswahili kwanza
Vitu vya kipumbavu kutoka china na india vya sido wanaviruhusu kutembea katika barabara zetu ya Masudi kupanya wataiwekea vikwazo. Hili tatizo wanalo serikali zetu
Umeona
Km 60 Ni Umbali ndogo Sana!! Bado halitufai!!
Ndiyo mwanzo jamani heeeeeeeh!!!!!!!! Au wewe lenu ukichaji dk 1 linatembea Km efu ngapi??????????
Mhhh siyo kweli hiyo ipo poa sana. Magar ya Rwanda yanayo Tumia umeme yanaanzia kilometa 80 sasa si mbali sana kwa hizi kilometa. Hivyo wataendelea kubolesha zaid
Mtoto anaanza na kutambaa
KAZI NZURI SANA,JAMAN NI MWANZO TUU TUMPE MOYO TUSIMKATISHE TAMAA
Yani unachaji masaa 6 halafu huwezi kwanda hata bagamoyo
Anatakiwa aifanye hii gari iwe na fast chaji hapo atakuwa kapiga bingo maana tunataka kari ambayo nusu saa imejaa full
kwaiyo kipanya kawa mvumbuzi
Ikiwa inaenda kwanini isiwe na mfumo wa kujichaji wakati inatembea
mimi nalia na serikali kuwawezesha vijana wakitanzania wanavipaji kweli jamani
ikiwezekana mutengeneze mfumo wa dainamol Ili likiwa linatembea linajitengenezea umeme na kujichaji
Is not easy
Kwa nini wasiifungie sola ikawa inachaji ikiwa inatembea.
Haiwezi kutengenezewa outnetor ijichaji yenyewe !
Si rahis
Hata mm naunga mkono ila jitahidini ili chaji ikae angalau hata km 200 kwenda mbele
Huu ni mwanzo naamini matoleo yajayo atabolesha zaidi abastahili hongera kwakuwa ni meanzo
Mwanzo mzuri sana
Kitalaamu inatakiwa kuanndikwa S.W.L 500Kg
halilipiwi hilo....
Ni nzuri ila mlango unalia hauna grisi nn?
Endesha tuone basi
Funga dainamo kwenye tairi iwe inajichaji inavoendelea
Lina speed ngapi
huyu kakopi tu kwenye google.Na charger aliyekopi ya kizamani ya kisasa inaitwa fast charger inachajiwa kwa saa moja tu
Acha majungu kama unaona ni rahisi kakopi na wwe huko kwenye google
@@hassanmzaa957 acha ujuha na ujinga wako.dunia ya sasa ni global village.dunia ni kijiji kimoja.google na andika namna ya kutengeneza gari ya umeme.how to make a electric car.Tusikubali kuwa wajinga karne hii ya sayansi na teknolojia.
vp injini alinunua au ka create mwenyewe
Haitumii injini ni mota tu.
Mm nimeipenda sana ideas mliyo tumia lakini nilikuwa napenda kutoa ushauri kwa nini msitafute idea nyingine nii gari iwe na otonator ili iwe kwenye mfumo wa kuji charge yenye ili iwe na uhakika kwenye safari ndefu? ni maoni tu
Apo unakua na genereta yako tu ukifka mahal pakula una washa unachaji
Ila chaji iwe ndefu
Unaua betr
Vipuli vyote nivya mzungu.Hakuna kitu apo
Hata Wazungu nao wananunua kwa Wengine,Kwahiyo WW ulitakaje?
Ako magu angekuwepo hai, cjuwi mungepewa nini nyie jamaa
Sarut kwako
Hongera Kwa hili but serikari yetu ndio shida ADAM huku Tunduma alitengeneza ndege wakamkataza kuruka na ukazima hapo
Mama ona ilo na sema neno
Kwa nnavoijua Tanzania watamua uyu jamaa
Nalo neno?
Alikuja akatokea alitengeneza Kara linatumia tu wshampeleka kwa mung Sasa kipanga awe muangalif
😂😂😂😂