ANATAKA ADA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 317

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 14 дней назад +11

    Yaaan kwa tanzania nzima Joti ndo anaeweza kila character ❤❤❤

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 15 дней назад +11

    All the way from 🇳🇬..joti we love u so

  • @dominamabebe6691
    @dominamabebe6691 15 дней назад +26

    Ila hizi shida jamani ni hatari, full kudharirishwa hadi na watoto, Mungu tuepushe na laana hizi na fedhea hizi.

    • @AbdullySmpeo
      @AbdullySmpeo 13 дней назад +1

      Ndugu ufukara ni nusu ya ukafiri

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 15 дней назад +65

    اللهم رزقنا رزقا حلال طيبا مبارك فيه
    Ya Allah turuzuku kilicho cha halali, kizuri na cheny baraka ndan yake

  • @IssaothmanSliman
    @IssaothmanSliman 15 дней назад +16

    ❤😂🎉😢😮😅😊😊 umetishassa mwambaaaaa jotiiiiiiiiiiiiii babaaaaàaassss 😊😅😮😢🎉😂😂❤❤

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @susanahyera7110
    @susanahyera7110 15 дней назад +6

    Are you eating ? Yes am eating😂😂😂

  • @cipladapretty8617
    @cipladapretty8617 15 дней назад +34

    Mwanangu nakuonya mapema kuhusu hz tabia za andunje maana ntakupiga nkuue😂

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 14 дней назад +12

    Umaskin naukataa kwa damu ya Yesu emen

    • @fifo262
      @fifo262 10 дней назад

      😮

    • @izack9191
      @izack9191 7 дней назад

      Wongo huwezi pata chochote kwa njia ya kumuabudu miungu ya wakoloni, rudi kwenu utafanyikiwa

  • @carolineMaro
    @carolineMaro 15 дней назад +11

    Kwakwl huku kuongea kiume😂😂, Nanga umechekeshaaaaa🤣😂🤣😂

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 15 дней назад +7

    Baba mlewa shewele 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

    • @MaggyMagreth
      @MaggyMagreth 14 дней назад

      Ni baba yake mzazi kiukweli ukweli??

  • @NassoroJuma-d8n
    @NassoroJuma-d8n 14 дней назад +2

    My character @nishai your fire 🔥🔥🔥😂😂😂😂😂
    New chapter 2025 na @NANGA OG LESS GO TO THE MONEY @AIRTEL 💸💸💸

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 15 дней назад +9

    😂😂😂hayo maumivu yakuchomwa na jiti ukitoka apo mwili wamotoo

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 15 дней назад +53

    😂😂😂😂😂 nishai mtomba ngwile kitwango misuguano miguno mikazo

    • @DieudonneKiza-o8n
      @DieudonneKiza-o8n 15 дней назад +1

      😅😅😅😅😂😂😂😂

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад +3

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

    • @OmninjafaceII.
      @OmninjafaceII. 15 дней назад +3

      😅😅😅 mto...nini

    • @UmayyaMunisi
      @UmayyaMunisi 15 дней назад +5

      Hivi huwaga anatamka kabisa hilo jina😂😂

    • @amsiChris
      @amsiChris 15 дней назад

      😅​@@OmninjafaceII.

  • @MajidSuleiman
    @MajidSuleiman 15 дней назад +1

    😂😂😂 aah hii kiboko kati ya zote joti The Best in Africa comedy 🥰

  • @Lolandmwantona
    @Lolandmwantona 14 дней назад +3

    Nishai😂 miguno, misuguano😂😂😂 hakuna comedian kama twambangile kitwango kwa sasa🎉

  • @magrethmalobola5470
    @magrethmalobola5470 15 дней назад +9

    Umakini mbaya😂😂😂😂

  • @NelsonManase-j1b
    @NelsonManase-j1b 15 дней назад +7

    Anaishi kama dada wakazi huyo m😊😊zee akti ni wakiume

  • @JOHANESFRANCE
    @JOHANESFRANCE 15 дней назад +11

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee umasikini ni mbaya tutafute Hela yaan mpaka anachomwa na kijiti kwasabab ya shida

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 15 дней назад +4

    Jot ww n 🔥🔥

  • @christinedavidson520
    @christinedavidson520 15 дней назад +5

    Joti unawezaga sanaaa😂👌

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @langemwepesi
    @langemwepesi 15 дней назад +4

    Mungu atupe azaidi tusidhalilike kama hivi maishani 😊

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 15 дней назад +4

    Na mm leo nipo top ten ❤❤❤😂

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 15 дней назад +11

    NINGALIKUWA MIMI HAPO NDIYE HUYO MJOMBA NINGEFINYA ANDUNJE HIYO MIKONO YAKE KWA KUMSHIKA

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 14 дней назад

      🤣🤣🤣umfinye mwenye password pesa utapewa na nani

    • @KibweOnlineTv
      @KibweOnlineTv 14 дней назад

      @rosemahenge9071 😂🙌🤣 hapo mwisho kawapoka siku kakimbia

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 14 дней назад

      @@KibweOnlineTv 🤣🤣hapo kanifurahisha sana

  • @DavidMahoro-n6g
    @DavidMahoro-n6g 15 дней назад +5

    Wa kwanza Ku comment from 🇧🇮

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @nobertricardo8594
    @nobertricardo8594 14 дней назад +2

    Hilo toto linakera mnooo😢😢

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 15 дней назад +6

    Kumekucha😂😂😂😂na makucha yke

  • @robinhorobson8857
    @robinhorobson8857 14 дней назад +1

    Pesa mbayaa sanaa kwa hii dunia 😂😂😂😂😂

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 9 дней назад

    😂😂😂😂😂😂 joti never disamppoint nakubali😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @charlzlyimo1982
    @charlzlyimo1982 15 дней назад +2

    ankoli ankoli😂😂😂😂😂
    ada hizi jamn

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 14 дней назад +1

    Good Job Mr Joti

  • @shadyashadya3356
    @shadyashadya3356 14 дней назад

    ❤ I like you joti you are great....go head you are the best❤

  • @SEMBULILyimo
    @SEMBULILyimo 14 дней назад +1

    Ilo jina kitombangile kitwanga ndio sjaelewa apo ila joti tz hamna kama yeye mzee kitomba ngile tz namba moja comedian

  • @MhandoNeema-s2w
    @MhandoNeema-s2w 7 дней назад +1

    Watoto wangekuw hv tusingefka jmn😂

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 14 дней назад

    Nyumba zina siri wallah 😂😂😂😂😂 eti mtoto sio wangu

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 14 дней назад

    Hahahahahahahhahahahahha ilaaa Joti jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakupenda sana😂😂😂😂😂😂😂😂Kiboga,Andunje,Nishai😂

  • @hamidumasoud4112
    @hamidumasoud4112 15 дней назад +3

    We noma aisee😮😮😮😮😮😮

  • @kasaba7
    @kasaba7 15 дней назад +3

    Nanga 💥💥

  • @christophermwashiozya5178
    @christophermwashiozya5178 15 дней назад +2

    Happy new year wadau wa mtombangile kitwango mikazo miguno 😂😂😂😂. tuendelee tulipo ishia anaitafuta engo sihui tunaelewa?.

  • @devothamwani3137
    @devothamwani3137 10 дней назад

    Yaani Mwanangu afanye hivi heee Watanifunga siku hiyo

  • @latifarichard3370
    @latifarichard3370 15 дней назад +3

    Ukiskia Madagascar animation king Julien na twiga wakty wanaenda kutoa kafara 😂😂

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 15 дней назад +25

    Hizi tabia za baadhi ya watoto wa magari ya njano hua zinakera na unakuta wazazi wanakenua wakati toto linavuka mipaka😂😂😂

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 15 дней назад +1

      Dawa ni kulifinya kimya kimya huku unalichekea!😂😂

    • @dianamasatu8141
      @dianamasatu8141 15 дней назад

      Umejua kunichekesha 😂😂😂​@@mrsdeborahurio

    • @marryofficial9143
      @marryofficial9143 15 дней назад

      😅😅😅😅​@@mrsdeborahurio

    • @VeronicaPasko
      @VeronicaPasko 15 дней назад

      ​@@mrsdeborahuriodu ww😂😂

    • @franktodory
      @franktodory 14 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂​@@mrsdeborahurio

  • @DeBoy-oy2jg
    @DeBoy-oy2jg 7 дней назад

    Hapo kwenye kusongea na kuongea privacy ,nimecheka pekeangu kama mpumbavu 😂😂😂

  • @MurtallahKhamis-e5f
    @MurtallahKhamis-e5f 14 дней назад +2

    Ila ili bonge saa ndio uongee na shemegi yako kama ivi 😂😂😂

  • @IreneEmmanuel-r9h
    @IreneEmmanuel-r9h 14 дней назад +1

    Safi sana Nanga😂😂😂

  • @Fred-rx5xr
    @Fred-rx5xr 15 дней назад +7

    Kabisaa

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @Jacksonkagize
    @Jacksonkagize 15 дней назад +3

    Leo nimewahi first comment ❤

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @Shadia544
    @Shadia544 15 дней назад +1

    😂😂Nimechelewa jamaniii 😂😂Ila ANDUNJE jamaniii 😂😂Anko ake nanga😂😂Sasa hiyo engo ipo miguuni 😂

  • @denisnyantori3661
    @denisnyantori3661 15 дней назад +2

    Huu uhuru wa mtoto Mbona hatari sana😂😂

  • @alirashid8514
    @alirashid8514 15 дней назад +4

    Wa kwanza leo 😊

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @olicej7837
    @olicej7837 15 дней назад +2

    Huyu andunje ndo watoto wanaosemwagwa kwamba ukienda kwa matajiri kutafta kazi vitoto vinakuwa vinakurukia namna hii😂😂😂😂

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 13 дней назад

    Nanga fala sana 😅

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 15 дней назад +3

    Jot mbona vurugu hivyo🎉🎉❤❤🪴🏂🏂

  • @Rutashobyakyaruzi
    @Rutashobyakyaruzi 14 дней назад +1

    😂😂😂😂 nanga ni mpumbavu sanaa

  • @HappyCheckers-tf9hv
    @HappyCheckers-tf9hv 15 дней назад +1

    Kweli huku kuongea kiume😂😂😂😂😂

  • @josephinecharles317
    @josephinecharles317 15 дней назад +4

    One numberrrrrr

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 13 дней назад

    Mtoto mwenye tabia za hivi siendi tena kwao.😂😂😂😂😂😂

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 15 дней назад +3

    Acha nami nikasajili Airtel money nitumiwe hela 😂😂😂😂😂

  • @rerisamba
    @rerisamba 15 дней назад +15

    Ili litoto na lipiga mpaka likiniona latoroka

  • @magambochaz609
    @magambochaz609 8 дней назад

    Ankali nitafute engo🤣🤣

  • @therealplatnumz
    @therealplatnumz 13 дней назад

    Daaah umaskini huu 😂😂😂😂😂

  • @qwarayally7360
    @qwarayally7360 15 дней назад +4

    Number one Today

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 12 дней назад

    Jamani hata kama ndio mna msaidiya mtu ndo iwe ivoo😂😂😂😂 watoto hawana adabu jamaniii na huna lakumfanya umaskini huuu iptuuuuuuuuuu😢

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 14 дней назад

    Hawa iyo hela hawataki tu kumpa jamani🤣🤣🤣🤣🤣 bora kanyakua simu jamani😂😂🤣😂

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 14 дней назад +1

    Dogo anazinguwa huyu.......🤣🤣🤣

  • @eddylava94
    @eddylava94 15 дней назад +4

    Ninouma😂

  • @babaloisethan7010
    @babaloisethan7010 15 дней назад +2

    Kama Dada wa kazi😂😂😂

  • @rommybyser329
    @rommybyser329 11 дней назад

    Ningemtia m bao huo mamae😅

  • @2.12carrental6
    @2.12carrental6 14 дней назад +2

    Kuna wakati ujui wapi unaenda anzia kukikucha moyo una pasuka paa.😢

  • @bantuboy-ne3mj
    @bantuboy-ne3mj 15 дней назад +4

    Ankallii ni mama. Ila joti ni mirembeee 😊😊

  • @Jacksonkagize
    @Jacksonkagize 15 дней назад +5

    First viewer ❤

  • @raphaelmathayo7942
    @raphaelmathayo7942 14 дней назад +1

    Kuji zalilisha😅😅😅😅😅

  • @RoseTembo-e2c
    @RoseTembo-e2c 14 дней назад

    🤣🤣🤣we nishai noma sana🤣🤣🤣

  • @ErickmidoMsodock
    @ErickmidoMsodock 14 дней назад

    Siku yangu imeisha hvyo Sina stress mie😊😊😊 mliman

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 14 дней назад

    😀😀😀Nimechek mpakaa mbavuuu
    zinauma Nanga uvumilivu umemshinda

  • @Gamba81
    @Gamba81 15 дней назад +3

    Good good 👍🏾

  • @kaponatz
    @kaponatz 15 дней назад +3

    Nimecheka sana

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala 13 дней назад

    Ukiwa na matoto ya hv ni hovyo sana 😂😂😂😂😂😂

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 14 дней назад

    Mungu Baba endelea kunitia nguvu katika utafutaji wangu shida zinadhalilisha sana na mimi sina moyo wa kuvumilia fedheha😂😂

  • @markmwaluanda7552
    @markmwaluanda7552 15 дней назад +4

    Hii vita siiwez 😅

  • @ananiakajembe449
    @ananiakajembe449 13 дней назад

    Kipindi chetu unapigwa kama ngoma😅😅😅

  • @sas7728
    @sas7728 15 дней назад +5

    Wewe😂😂😂😂😂😂

    • @benOfficial36
      @benOfficial36 15 дней назад

      ruclips.net/user/shortsF4r3audGrmw?si=p-TOMv4NJw5HgxCR

  • @ErickmidoMsodock
    @ErickmidoMsodock 14 дней назад

    From Japan Kuma moto I love u YANGA bingwa CUF 2025😊

  • @AmadeusJoseph
    @AmadeusJoseph 15 дней назад +2

    Wakwanza leoooo nipeni like zangu

  • @ruxfootball
    @ruxfootball 7 дней назад

    Bro fanya season

  • @farhanahmed6970
    @farhanahmed6970 8 дней назад

    Andunje Nishai kitomba ngile kitwango migujo mikazo

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 14 дней назад

    ningelidundaa had lipotez fahamu😂😂

  • @elliemuzungu7044
    @elliemuzungu7044 15 дней назад +4

    Leo nimewahi joti ndugu yako mie shogake shamaynah sijui unanikumbukaaa

  • @joely22
    @joely22 15 дней назад +3

    Natafuta mwanamke mwembamba kiasi mrefu. Umri 30 mpaka 35. Ambaye ameshaacha usumbufu na yupo tayari kutulia na kujenga mji wake. Nataka nimuuzie matofari.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 14 дней назад

    Kuna manyumba matoto yanalelewa hivihivi yaani 😂😂😂

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 15 дней назад +5

    Nitalifinya kwenye mbavu, mpaka litaniogopa!

  • @IbrahimRamadhan-k7l
    @IbrahimRamadhan-k7l 15 дней назад +1

    Nakukubali sana joty wew mwamba sana

  • @chriscolumbus3617
    @chriscolumbus3617 15 дней назад +4

    tuzungumze kiume

  • @lulusubeha6978
    @lulusubeha6978 14 дней назад

    😂😂😂Sasa hayo mabichwa vipi

  • @FFTID-o3c
    @FFTID-o3c 14 дней назад

    Mjomba Nanga kapatikana😂😅

  • @FriminBazil
    @FriminBazil 15 дней назад +2

    Nanga kachenge fasta nilijua kamstai andunje analeta masihara

  • @LuluPeter-o1t
    @LuluPeter-o1t 11 дней назад

    Ila andunje kah😂😂

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 14 дней назад

    Baba nae vituko jamani eti anaishi kama mfanyakazi lol🤣🤣

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q 13 дней назад

    😂😂😂ila vitoto kama andunje vipo yaan unapatwa asra ukifinyilie mbali uko 😂

  • @mariachuri7123
    @mariachuri7123 15 дней назад

    Ila ada😂😂😂

  • @ZephaPro-ve7rk
    @ZephaPro-ve7rk 15 дней назад +1

    Niljua tu nanga hawez kuvumilia ujinga😂