USINGIZI DARASANI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 557

  • @Shadia544
    @Shadia544 11 месяцев назад +186

    Nimekuwa wa 82😂😂😂haya lakini usingizi wa darasani unakuaga mtamuuu😂😂kama ushawai kulala darasani LIKE 10 😂😂😂

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 месяцев назад +5

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      content awee joti likes upewe wewe.
      acha ushamba 😏

    • @hadejamohammadi9824
      @hadejamohammadi9824 11 месяцев назад

      Nimechek 😂ss sijui izo lk za nini 😂😂​@@officialkamdudu

    • @ChristianMirengeri
      @ChristianMirengeri 11 месяцев назад +3

      Hauzidi Usingiz wa Kanisani katikati ya Neno

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 11 месяцев назад

      @@ChristianMirengeri 😂😂😂😂 hilo ni pepo kemea

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 11 месяцев назад

      ​@@ChristianMirengeri😂😂😂😂😂

  • @MercyMariki
    @MercyMariki 11 месяцев назад +24

    Alooh Joti wewe ni mbunifu bhanaaaa😂😂😂 big up kwako

  • @ismailyasin7108
    @ismailyasin7108 11 месяцев назад +22

    woooow nilimmisi sanaaa kanyinyi❤

  • @mlewa_official
    @mlewa_official 11 месяцев назад +97

    😂😂😂 na Mimi Leo mlewa naombeni like 😂😂😂😂

    • @twalibnurdin4494
      @twalibnurdin4494 11 месяцев назад +2

      Huna baya mwenetu.ila kwenye kpengele cha ww kua askar huwa unambutuaga kweli nishai😂😂

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 месяцев назад +1

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      content awee joti likes upewe wewe.
      acha ushamba 😏

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 11 месяцев назад

      Na ww nipe yako mwambie na said Zito😂😂

    • @mlewa_official
      @mlewa_official 11 месяцев назад

      @@twalibnurdin4494 hahahahahahahah

    • @mlewa_official
      @mlewa_official 11 месяцев назад

      @@officialkamdudu hahahahahah daaaaah

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 11 месяцев назад +5

    Yaaani darasani andunje ni absent minded daily😂😂😂😂huo mshtuko eeeh 😢😢mimi😂😂

  • @francksylvester7844
    @francksylvester7844 11 месяцев назад +31

    Nami nimewai nipeni like zangu

  • @adilimbuba7044
    @adilimbuba7044 11 месяцев назад +5

    Huyo mwalimu anaandikia kushoto kazi nzuri sana

  • @VeronicaBango
    @VeronicaBango 9 месяцев назад +2

    Comedy za Joti zinanivunjaga mbavu kila niangalipo, ila Joti nae ni noma sana, pig up kwako joti

  • @AthumanRamadhan-u6g
    @AthumanRamadhan-u6g 5 месяцев назад +1

    Jamaniiiiiii Shure niki2kitam saana haswa wanafunzi wakiwa wahuni nawatuku2 aiseeee❤ schools waoo naipendaa saana sheree

  • @felixmateus1436
    @felixmateus1436 10 месяцев назад +2

    Gosto muito seus trabalhos , e a professora muito linda !!!!!!

  • @abubakarmahsan877
    @abubakarmahsan877 11 месяцев назад +12

    Nakukubali Joti uko juu sanaaa...from Kenya❤

  • @GraceSichinga-bm4fh
    @GraceSichinga-bm4fh 11 месяцев назад +13

    Yan leo wahusika wote waleo wanapatiaga sana kwenye hayo maeneo big up joti tulimmis sana kanyinyi 😂

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 11 месяцев назад +13

    Kazi nzur Mr joti you made it well today

  • @JumbeJumaa
    @JumbeJumaa 11 месяцев назад +6

    Umetisha king of comedy

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 11 месяцев назад +2

    From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa 😃😃

  • @innocentmathias8668
    @innocentmathias8668 11 месяцев назад +34

    Hao madogo anaoigiza nao darasan wapo serious km kwel vile

    • @rehmakondo
      @rehmakondo 11 месяцев назад +2

      Yani madogo wamewezaa

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 11 месяцев назад +1

      Sana yaani wangekua wengine hawa wakubwa wangekua Wana shangaa shangaa kuwaona kina joti live😂😂😂😂

    • @innocentmathias8668
      @innocentmathias8668 11 месяцев назад

      @@mamasalhat 😁😁😆

  • @neiratanzania
    @neiratanzania 11 месяцев назад +1

    Big Up kwa WAZIRI MASILAMBA (Boom Operator) jina lake kubwa japo haonekani😂😂😂. ONE DAY YES..., HUU MWAKA ATATOBOA.

  • @DanielGood-m8l
    @DanielGood-m8l 11 месяцев назад +6

    Kanyinyi is baaaaaack💪

  • @suleymanothman6260
    @suleymanothman6260 11 месяцев назад +10

    😂😂😂😂😂Jotiiii unajua sn we jamaaa big up

    • @HildaAkyoo
      @HildaAkyoo 6 месяцев назад

      Haaaaaaaa kidogo nimeongeza cku 😅😅😅😅😅

  • @ZeinabBakar-je4nr
    @ZeinabBakar-je4nr 5 месяцев назад +1

    Macho juu ya macho hahahaha 😂😂😂😂😂😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 11 месяцев назад +2

    Guilty as charged😂😂😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 11 месяцев назад +3

    Kanyinyi nimefurahi umerudi big up joti😂😂😂😂

  • @BenjahMuasya
    @BenjahMuasya 11 месяцев назад +4

    usiseme hesabu mwafunza kwa lugha,, maaajabu haya anyway kazi nzuri nishai

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 11 месяцев назад

      Kila somo linatumia lugha kufundisha. Swahili or English inategemea na medium of instructions kwenye shule husika.

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 11 месяцев назад +2

    Wooow kanyinyi, nimefurahi kukuona, na mke wa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @J4move-w1j
    @J4move-w1j 11 месяцев назад +4

    Broo napenda kazi zako I wish sikumoja nitakuwa mmoja wapo wa team joti TV🎉🎉🎉

  • @mariamaiko9854
    @mariamaiko9854 11 месяцев назад +2

    Jamani kwa mara ya kwanza 😂😂😂😂😂 weee joti nomaaa saanaa😅😅😅😅😊😊

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 11 месяцев назад +8

    Wallah ck zote leo nimecheka zaidi ComEd za joti😂😂😂

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 11 месяцев назад +2

    Jmn nimekuwa wa mwisho like zng apa

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 месяцев назад

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      content awee joti likes upewe wewe.
      acha ushamba 😏

  • @MOHAZBOY29
    @MOHAZBOY29 11 месяцев назад

    Daaahh!maze huyu jamaa ni mnoma sana mm kama mkenya joti ananimalizia mbavu zangu leta kama hizi kali big up joti the living legend

  • @amachekem
    @amachekem 10 месяцев назад +1

    Kikao kikubwa cha shirika ndio LCM loool, I die😂😂😂😂😂😂😂😂🎉

  • @meshackaloyce9662
    @meshackaloyce9662 11 месяцев назад +9

    Nimecheka kwa sauti kubwa balaa aiseee 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kamaluissackkalonkano1348
    @kamaluissackkalonkano1348 11 месяцев назад +14

    Mnapoamua kutumia scene zinazohitaji kupiga fimbo msiwe mnatania mnapunguza uhalisia, fimbo ipigwe haswaa!

  • @nelsonbisi6499
    @nelsonbisi6499 11 месяцев назад +6

    Kanyinyi he is back 💪💪💪

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 11 месяцев назад +1

    Mbona somo la panzi😂😂😂lol
    Walimu wenyewe wamechoka,mtoto kipaji maalum

  • @lianastephano3221
    @lianastephano3221 11 месяцев назад +19

    Leo Ata sijacheka nimetabasam tu😊

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 11 месяцев назад +1

      Sio mbaya😊

    • @leylamohamed9939
      @leylamohamed9939 11 месяцев назад +1

      Kaangalie za Wasafi zile show za comedy utacheka😂😂😂

    • @Katamba255
      @Katamba255 11 месяцев назад

      Yamoto ongeza bendi😂😂😂😂

    • @alfredjohn5693
      @alfredjohn5693 11 месяцев назад

      Nako ni aina ya kucheka pia

  • @NeemaMichael-ck1ov
    @NeemaMichael-ck1ov 11 месяцев назад +2

    Yan nmecheka kichiz macho juu ya macho😂😂😂😂

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 11 месяцев назад +2

    Joti usiniache hoi jaman😂😂😂❤❤❤👍👍👍👍

  • @jumaseleman5972
    @jumaseleman5972 11 месяцев назад +1

    Mchekeshaji namba moja Tz Joti,mmetisha Sana aisee

  • @GWIJIGWIJISELLA-tt2it
    @GWIJIGWIJISELLA-tt2it 11 месяцев назад +15

    Jamn Leo wa 22 naombeni like zangu 🙌😆

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu 11 месяцев назад

      like unazipeleka wapi kenge wewe ?
      content awee joti likes upewe wewe.
      acha ushamba 😏

  • @hassanjecha5069
    @hassanjecha5069 11 месяцев назад +3

    Na mm leo wa 23 nimewah nipen like zenu jaman

  • @samuelchiumia9054
    @samuelchiumia9054 11 месяцев назад +4

    Joti wewe balaa na bonge la mubunifu big up andunje

  • @saidhassan-xg2uo
    @saidhassan-xg2uo 11 месяцев назад +4

    Kanyinyi is back ❤❤❤

  • @Bajunitalentcomedy0
    @Bajunitalentcomedy0 11 месяцев назад

    Macho juu ya macho😂😂😂😂nimeipenda😊

  • @lizymwakyusa8798
    @lizymwakyusa8798 10 месяцев назад +1

    Usingizi wa darasani ni mbaya sana 😂😂😂

  • @azizsaleh9402
    @azizsaleh9402 11 месяцев назад +13

    Macho juu ya macho 😅

    • @jenipheraron3566
      @jenipheraron3566 11 месяцев назад

      Nimecheka balaa ameweka macho ya juu Ili aonekane hajalala sasa mkoromo ndo umemponza

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 11 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂​@@jenipheraron3566

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 11 месяцев назад

      😂😂😂 wallah nimechekaaa

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 11 месяцев назад +4

    Joti ni mbunifu mno wa Vichekesho 🤣🤣🤣🤣👍👍

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 4 месяца назад

    From Cameroun nacheka kwa sait walah 😂😂😂😂😂

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu 11 месяцев назад

    Wewe. Ni Comed 1 tz. Broo. Ukosawaa

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 11 месяцев назад +1

    Never disappoint jotiiii 😅😅😂😂😂

  • @MpendeMohamedi
    @MpendeMohamedi Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂 joti

  • @mcmorris001
    @mcmorris001 5 месяцев назад

    🇰🇪🇰🇪tunawapenda sana

  • @AdaletyAyman
    @AdaletyAyman 5 месяцев назад

    Nihaki yako kupa tuzo kila mwaka 🎉🎉🎉

  • @ummyirembe6145
    @ummyirembe6145 11 месяцев назад +2

    Mwalimu Kanyinyi bonge la HB❤❤

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 10 месяцев назад +1

    Leo wa 223 naomben like

  • @mcmorris001
    @mcmorris001 5 месяцев назад

    Joti na MPOKI waungane Tena,wapi like jameni

  • @rogatusmeleki1660
    @rogatusmeleki1660 11 месяцев назад

    😂😂😂😂 joti bana , kachora machoo

  • @ivansixbert3602
    @ivansixbert3602 8 месяцев назад

    😂😂 🇹🇿🇹🇿Yaani hayo macho ya usingizi 😂😂

  • @mariachuri7123
    @mariachuri7123 11 месяцев назад +3

    😂 mweee hili somo la panzi 😂😂😂😂😂

  • @Mr.Snizer
    @Mr.Snizer 11 месяцев назад +2

    Nipeni like zangu leo nimewahii 😂

  • @betwelmartin4383
    @betwelmartin4383 10 месяцев назад +2

    Usingiz wa dslasan ni mtamu

  • @yohanaally4544
    @yohanaally4544 11 месяцев назад +1

    Umetisha sana joti

  • @TupoComedy
    @TupoComedy 11 месяцев назад +1

    Uwiiiiiii kaka zitoooo weeeeee mhhhhhh😅😅😅😅😅😅

  • @nasirnassor449
    @nasirnassor449 11 месяцев назад +1

    Mamaeee macho juu ya macho😅😅😅

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 11 месяцев назад +3

    Mwalimu Wa Kike Kacheka Kikweli Kweli 😀😀😀😀😀😀😀

  • @gentiljabpretty
    @gentiljabpretty 11 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 am your best Fan from Goma DRC ❤😂😂😂😂😂😂😂🇨🇩

  • @GaspardHategekimana
    @GaspardHategekimana 11 месяцев назад +5

    Hio Kali sana

  • @ajalyg5518
    @ajalyg5518 11 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂 andunje kajuwa kinichekesa hhhhhh sio kwa macho 4 hyooo

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 11 месяцев назад +2

    😂😂😂😂 Aisee jot unafurahisha😂😂

  • @IreneCharles-x6c
    @IreneCharles-x6c 11 месяцев назад +4

    Mwalimu kanyinyi nilimiss sana

  • @chascondaminagani7916
    @chascondaminagani7916 6 месяцев назад

    Oyaa Anduje kashindikanaaaaa😂😂😂

  • @JofreyRamston
    @JofreyRamston 7 месяцев назад

    Katika zote hii umetisha mzee baba

  • @TupoComedy
    @TupoComedy 11 месяцев назад

    Uwiiiiiii ntamvunjaaa mh jot kiboko😊😅😅😅😅

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 11 месяцев назад +2

    KkS HAPOOOOO KKS HAPOOO...SEMA, KIKOSI CHA ULINZI WA TAIFA

    • @csato9415
      @csato9415 11 месяцев назад

      Mbona haiendani na KKS

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 11 месяцев назад +1

    JOTI umenishinda tabia,unachora macho juu ya macho😂😂😂😂😂😂. Ubunifu mkubwa zaidi ya mr.Bean na Charles Champlin 🤗🤗🤗

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 11 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂
    Macho Juu ya Macho, Hii njia hii

  • @ZachariaMwadime
    @ZachariaMwadime 2 месяца назад

    Jot ni king wa komed

  • @FimboyaMussa-bc7pb
    @FimboyaMussa-bc7pb 11 месяцев назад

    🎉🎉naamin viwango pia pitia apa fimbo ya musa uinjoy zaidi

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 11 месяцев назад +1

    😀😀😀 ila joti una ujinga mwingi sana walahi 🤣

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 11 месяцев назад

    🤣🤣🤣 Macho juu yamacho wallah nimechek sana Joti 😂😂

  • @darviedeben1885
    @darviedeben1885 11 месяцев назад

    Etiii fumba machooo😂😂😂🖐️

  • @Azzobara
    @Azzobara 11 месяцев назад +2

    Very bright kid 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alexjohnson3814
    @alexjohnson3814 11 месяцев назад +14

    Hii mitangazo ya mikopo inazngua .utapeli utapeli tu

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 11 месяцев назад

      dawa yao ku report

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 11 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂 joti unavunja watu mbavu sio kwa hayo macho

  • @rajabusaidi6692
    @rajabusaidi6692 11 месяцев назад +1

    Joti mweu sana 😮😮😮😮😊😅😅😅

  • @ivansixbert3602
    @ivansixbert3602 8 месяцев назад

    😂😂🇹🇿🇹🇿 Yaani hayo macho macho ya usingizi 😂😂

  • @ElizabethShee
    @ElizabethShee 7 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii ni kali walai

  • @SilasChai-x8n
    @SilasChai-x8n 11 месяцев назад +1

    Aki Joti , mtanivunja mbavu😂😂😂😂😂

  • @chiwapetz590
    @chiwapetz590 11 месяцев назад +1

    Jot matako yako nimecheka kwa sauti😅😅😅

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 5 месяцев назад +1

    Ila joti huna nafac mbinguni jaribu ku ezi kwenye matangazo biashara za kuvaa gauni achana nazo unajipodoa mno unamkacrisha mungu

  • @josephatjacob5993
    @josephatjacob5993 11 месяцев назад +1

    Hongera sana Joti tv

  • @rebbyyonah
    @rebbyyonah 11 месяцев назад +1

    Kanyinyi wetu😂❤

  • @IQRAMJULU
    @IQRAMJULU 6 месяцев назад

    Hahahaha daaaa kwel hii atar

  • @Ibrahimwell
    @Ibrahimwell 7 месяцев назад

    Your so talented

  • @RenathaElias
    @RenathaElias 8 месяцев назад

    Kks apooooooo😂😂😂😂😂😂😅😅

  • @Bmstar-pz4qt
    @Bmstar-pz4qt 11 месяцев назад +1

    Umetisha king comedy

  • @alexmdam7461
    @alexmdam7461 11 месяцев назад +2

    Kwann fimbo imepigwa kidogo😅😅😅 ili kubwa Zima Alina akili 😅😅😅

  • @MOYIDANIELTZ
    @MOYIDANIELTZ 11 месяцев назад +1

    Sana kaka🎉🎉

  • @aimanmsale2547
    @aimanmsale2547 10 месяцев назад

    Hahaha daah andunje ni mwehu sana jmn😂😂😂😂😂😂

    • @rahmahasan32
      @rahmahasan32 5 месяцев назад

      Hahaha 😅😅😅😅😅 yaarabi

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq 8 месяцев назад

    😂😂😂😂😂eti macho manne

  • @grandmaempiresecret
    @grandmaempiresecret 11 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂😂 haki