Masoud Kipanya aeleza A to Z jinsi alivyoitengeneza gari yake 'Imenichukua zaidi ya miaka 2' - Pt 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 47

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 года назад +6

    Shukran sana ndugu. Kwa maongezi yako Nimejifunza mengi . Mimi ni Mkenya na napenda sana maongezi na watu wenye fikra za mambo ya ki ufundi. Kwa sasa mimi ni dereva wa familia Arabuni. Na napenda sana kazi zinazohitaji matumizi ya akili

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 года назад +4

    Thanks Sns nimefurahi umemleta masoud huwa nampenda huyu kaka sana anahofu ya mungu pia very humble,hongera sana you made it twajivunia wewe ❤🇨🇭🇹🇿

  • @Swahili_Wisdom
    @Swahili_Wisdom 2 года назад +4

    Masoud Ana Ujuzi Wa " Engineering Designing " + Creativity ...

  • @Swahili_Wisdom
    @Swahili_Wisdom 2 года назад +9

    Masoud Kanifundisha Ktu Kimoja Don't Tell people What you're going to do, shock them with Results"

  • @rizikimunga2460
    @rizikimunga2460 2 года назад +1

    Huyu jamaa ni miongon mwa watu ambao ni kama mfano kwangu .you did it broo

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад +6

    Mashallah, hongera sana Masoud, umefanya kitu kikubwa mno.

  • @silverman6930
    @silverman6930 2 года назад +6

    I’m so proud of you KP 🇬🇧🇬🇧

  • @yahyamain3198
    @yahyamain3198 2 года назад +1

    Masoud is something else may Allah blessed him

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 2 года назад +2

    Masoud hhhhhh he is so genius Masha Allah tabaaraka Llah

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 2 года назад +6

    Much love SnS +Masoud🇫🇮🇫🇮🇫🇮🤝

  • @aishashaibu4772
    @aishashaibu4772 2 года назад +2

    Skay hongera ilo uwa nimelipenda jmn studio imependeza sanaaaaa

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 2 года назад +1

    From Maisha plus to Electricity Car.
    Big up #Masoud.

  • @saketnicholaus9962
    @saketnicholaus9962 2 года назад

    Masoud Kama Mimi sipendi Anika ideas zangu directly

  • @jacksonmgani4411
    @jacksonmgani4411 2 года назад +2

    Huyu jamaa ni bonge la product designer aisee

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 2 года назад +1

    I'm proud of you kipanya nataka kujua bei yake ikoje

  • @petroprenge8716
    @petroprenge8716 2 года назад +1

    Introduction nzuri sana kaka Sky.

  • @elizabethkitali4627
    @elizabethkitali4627 2 года назад

    Broo Mungu akupee zaidi ya hayooo

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 2 года назад +4

    Hongera sana Masoud 🙌💪

  • @sarahjanas6666
    @sarahjanas6666 2 года назад +1

    Hongera kaka unaakili nyingi sana

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 2 года назад +7

    Kipanya akili nyingi sana . Nawapenda watu wa namna hiyo wanaowaza na kufanya visivyo vya kawaida hivyo ndivyo niwazavyo mie na nina ndoto zingine huwa siwezi kumwelezea mtu maana naweza onekana chizi.

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 2 года назад

    Heko kwako Masoud, tafsiri halisi ya mtaka Cha uvunguni..... Ndio hii kwa matendo...

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 года назад

    Mungu akutangulie baba

  • @parisdarwin8324
    @parisdarwin8324 2 года назад +2

    Sky for life

  • @cyliruta5021
    @cyliruta5021 2 года назад

    Mungu ni mwema kwakweli

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 года назад

    Talented

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 2 года назад

    Big up sana, long life #SNS

  • @kingwilliam1807
    @kingwilliam1807 2 года назад

    Sky naomba simulizi na Sauti Spotify

  • @liberatuskagenzi8932
    @liberatuskagenzi8932 2 года назад

    Swali langu kwa masudi,kwann hiyo gari isiwekwe alternator inayotumika kwenye gari za kawaida,ili kucharge betri ya gari yako badala ya kucharge tena,naomba jibu pls

  • @karyori69
    @karyori69 2 года назад +2

    mbona hujamuuliza kuhusu hybrid battery/engine yake aliitengeneza vp? Umbo linajengeka ila kuifanya itembee ndo nataka kujua!

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 2 года назад

      It easy mbone ukisomea electro mechanical engineering unaweza tengeneza vitu kama hivi

    • @karyori69
      @karyori69 2 года назад

      @@MrNdanguza mi nimeomba maelezo maana mimi nilichoona Masoud kaunda gari inayo-store power kwa umbali wa 60 km na kuwa-recharged usiku mzima! Sasa hivi kuna gari zinaenda 500 km kabla ya kuwa recharged! Ukweli ni kaunda gari na si kafanya ugunduzi au uvumbuzi kama media zinavyopotosha!

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 2 года назад

      @@karyori69 hapo inabidi uunde hydropower battery yenye uķubwa kwa kuweza kkucharge 30kwh hapo itaenda mpaka km 70 ,lakini kuna uwezo wakuunda battery kubwa tuseme 350kwh hapo utaenda mpaka km 1200 vyote nikujua jisi ya kuunguza acid ya ndani ya bettry na vyumba vizuri kwenye ule muundo wa bettry ila iweze kucharge kwh nyingi ,ni process ya kawaida sanaaa huku south Africa mbone watoto wadogo tu wanazitengeneza ,ni elimu tu kua na ujuzi zaidi lakini vitu simple sana

  • @nekashash2190
    @nekashash2190 2 года назад

    Mashine mnatengenezaje mpk mzigo unatembea

  • @jeamwenda7394
    @jeamwenda7394 2 года назад +1

    Akili nyingi!!

    • @wolinet1
      @wolinet1 2 года назад

      😂😂😂 achana nayo

  • @Dantaata
    @Dantaata 2 года назад

    kipanya nimefuatilia sana tatizo anaanzisha jambo ila linakufa,, ajitafakar

  • @nekashash2190
    @nekashash2190 2 года назад

    Bro kwa maelezo hayo hyo gari haiingii risasi 😁

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 2 года назад

    Bongo wakatishaji tamaa wapo wengi

  • @thomascelarine4805
    @thomascelarine4805 2 года назад +1

    Part 2, please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please, Please

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  2 года назад +3

      Hii hapa ruclips.net/video/ely23szcALg/видео.html

    • @thomascelarine4805
      @thomascelarine4805 2 года назад +1

      @@SimuliziNaSauti Thanks much SNS

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 года назад +1

      duuh😁😁😁😁 sio kwa please hio😁

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 2 года назад

    🔥🔥

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍