Africa tuna Kantanka-Ghana, Mobius-Kenya, kiira-Uganda, Laraki-Morocco, Birkin-South Africa, Innoson-Nigeria, Nyumbu-Tanzania, sasa kwenye list tunaye Kipanya-Tanzania, kwa kweli ni jambo la kujivunia sana hii, kwa nchi yetu, haya ndiyo ninaweza kusema maono yanayo onekana !! Tunahitaji na tumuomba Mungu hii Kampuni ikue ikatengeneze magari mengi zaidi na ya kila aina !! Hongera kaka Kipanya kwa maono haya tunayoyaona na kuyashuhudia 👏👏👏👏
Hongera Sana masoud kipanya,kwa kulonchi gari lako, umetujengea heshima watanzania na Taifa letu kwa ujumla, Sasa naomba gari hili litiumike Kama chachu kwa watanzania wengine ,hususan wahandisi kufanyia ubunifu zaidi kwa mashine na mitambo mingine kupitia tirido na serikali yetu pia itemge budget kwa kuendeleza uvumbuzi Kama huu wa masoud. Asante kipanya,Salam kwa leila na mama Leila bila kumsahau Babu mzee wa Kijiji ndimi Prof. Gesase Mahanga- wa Nyabehu, Bunda mkoani Mara.
Kwa kweli hongera sana Masoud, Nimefurahi sana kuona ubunifu mkubwa kama huo kwa mtanzania mwenzetu. Tunaiomba serikali imuunge mkono ili atengeneze mengi zaidi na abuni mengine zaidi.
Hivyo ndo vipaji mashaallah vinavyotakiwa kuibuliwa, kuendelezwa na kuungwa mkono na kupewa Tuzo na Serikali. Sio kuwapongeza na kuwapa tuzo wanaoharibu Maadili. Taifa linahitaji maendeleo lakini ajabu tunabweteka kushadadia baadhi ya mambo ya kipuuzi kwa kiaingizio cha eti ni kukuza Sanaa! Sanaa gani/utamaduni haki wa kutukana/matusi, kukaa uchi, mwanaume kuvaa mvazi na mapambo ya kike tunatarajia/tutarajie nini kwa Taifa letu changa ambalo linahitaji maendeleo ya kiuchumi, kielimu, kilimo, afya ,ki Sayansi na Teknolojia nk yaliyo ya mhimu kwa maendeleo ya jamii. Ifike wakti tujitambuwe na tubadilike tuwache mazowea. Big Up sana Brother Masou/Kipanya na wa mfano wako mashaallah.
Nilijua2 mtu anayeweza kuchora vitu vya dizain ile ana IQ ya hali ya juu sana kitu unakaa masaa kadhaa ndo uelewe kazungumzia nini . Kama ni la saba B wiki kadhaa ndo anajua kijichozungumziwa. Huyu jamaa akili KUBWA SANA
Design is not all that wangeweza ku mix luxury na practicality ingekua bam bam zaid. Even if wange knock off some features from more experienced brands kama ford ranger or something since its just a body i dont think ingetake that much to just curve it that way
Serikali ya Tanzania inakazi kubwa ya kufanya mi naona ianzishe chuo kikuu Cha veta ambacho kitadili na ufundi wa vitu mbalimbali na watoe vipaombele kwa wote watakao fanya au kugundua vitu vya kipekee na kuwapa saport na kuwatafutia wataalam kwaajili ya kukuza na kuendeleza vipaji vyao na sio kuwapeleka nje kusoma wataalam waje ndani ya Tanzania maana vipajivingi vya nchi zinazoendelea vinapotelea ulaya
Tatizo masoud yeye binafsi hakakaa kikatuni ila ana kipaji cha katuni. Kipaji hichonalitakiwa awe nacho mtu kama kingwendu ambaye muonekano wake ni katuni
Africa tuna Kantanka-Ghana, Mobius-Kenya, kiira-Uganda, Laraki-Morocco, Birkin-South Africa, Innoson-Nigeria, Nyumbu-Tanzania, sasa kwenye list tunaye Kipanya-Tanzania, kwa kweli ni jambo la kujivunia sana hii, kwa nchi yetu, haya ndiyo ninaweza kusema maono yanayo onekana !! Tunahitaji na tumuomba Mungu hii Kampuni ikue ikatengeneze magari mengi zaidi na ya kila aina !! Hongera kaka Kipanya kwa maono haya tunayoyaona na kuyashuhudia 👏👏👏👏
Hongera Sana masoud kipanya,kwa kulonchi gari lako, umetujengea heshima watanzania na Taifa letu kwa ujumla, Sasa naomba gari hili litiumike Kama chachu kwa watanzania wengine ,hususan wahandisi kufanyia ubunifu zaidi kwa mashine na mitambo mingine kupitia tirido na serikali yetu pia itemge budget kwa kuendeleza uvumbuzi Kama huu wa masoud. Asante kipanya,Salam kwa leila na mama Leila bila kumsahau Babu mzee wa Kijiji ndimi Prof. Gesase Mahanga- wa Nyabehu, Bunda mkoani Mara.
Kwa kweli hongera sana Masoud, Nimefurahi sana kuona ubunifu mkubwa kama huo kwa mtanzania mwenzetu. Tunaiomba serikali imuunge mkono ili atengeneze mengi zaidi na abuni mengine zaidi.
Ongera sana kaka mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi katika kila njambo lako zuli inshaallah
Kaka ametisha next level...kama wa bongo tukiacha maneno basi tutafika mbali sana ...big up kaka KP MOTORS
Marehemu Ruge mutahaba rip, na masoud kipanya ni vijana wa kujivunia🇹🇿 Tz
Hivyo ndo vipaji mashaallah vinavyotakiwa kuibuliwa, kuendelezwa na kuungwa mkono na kupewa Tuzo na Serikali.
Sio kuwapongeza na kuwapa tuzo wanaoharibu Maadili.
Taifa linahitaji maendeleo lakini ajabu tunabweteka kushadadia baadhi ya mambo ya kipuuzi kwa kiaingizio cha eti ni kukuza Sanaa!
Sanaa gani/utamaduni haki wa kutukana/matusi, kukaa uchi, mwanaume kuvaa mvazi na mapambo ya kike tunatarajia/tutarajie nini kwa Taifa letu changa ambalo linahitaji maendeleo ya kiuchumi, kielimu, kilimo, afya ,ki Sayansi na Teknolojia nk yaliyo ya mhimu kwa maendeleo ya jamii.
Ifike wakti tujitambuwe na tubadilike tuwache mazowea.
Big Up sana Brother Masou/Kipanya na wa mfano wako mashaallah.
Hongera sana Kipanya,
hongera sana Masoud, great achievement indeed
Mlindeni huyu mtu kwa gharama zote
kazi nzuri
HONGERA SANA MASUD
Hongera Sana watu mnaopenda umbea sasanjoeni kufanya kazi
Hongera sana KP.
Waaaaau hongera sana masuod it's a big step kwa kweli, 👏
Mashaalah
Hongera sana masoud we see what is inside you
Kanafaa sana kwetu Taveta kukusanyia machungwa,serikali imuwezeshe atengeneze twingi
Brother Kipanya you are the key start of every Tanzania youth who have creative thoughts !! 🙌
Mi nilizan fundi wakatun hongera brother
Very good it's inspiring, Big up masoud kipanya
Hongereni sana. Mmejitahidi;
Jaman hii ndio Tanzania ya viwanda wapewe support ilituache kutegemea kilaktu kutoka nje wafanye improvement wazalishe mengi zaid
It's not bad,Keep going
Mwanzo nzuri!safi!!!
Hongera sanaaa kaka masoud kipanya
hongera Sana sana
Kazi nzuri kaka hongera sana
Tunaomba bei kaka masoud
Kipanya our very own Elon musk
Furaha kwa watanzania woooote bado unatufundisha fursa zipo Tz
Kazi nzuri
Hongera bro Kaz nzuri
Hongera nnjangu wa kungwetu Ku Kijiweni kwi Lindi!!
Nilijua2 mtu anayeweza kuchora vitu vya dizain ile ana IQ ya hali ya juu sana kitu unakaa masaa kadhaa ndo uelewe kazungumzia nini . Kama ni la saba B wiki kadhaa ndo anajua kijichozungumziwa. Huyu jamaa akili KUBWA SANA
Akiri kubwa sana
Design is not all that wangeweza ku mix luxury na practicality ingekua bam bam zaid. Even if wange knock off some features from more experienced brands kama ford ranger or something since its just a body i dont think ingetake that much to just curve it that way
Hongera wewe in watu wanaopaswa kuwa in thinker tank wa nchi
Serikali ya Tanzania inakazi kubwa ya kufanya mi naona ianzishe chuo kikuu Cha veta ambacho kitadili na ufundi wa vitu mbalimbali na watoe vipaombele kwa wote watakao fanya au kugundua vitu vya kipekee na kuwapa saport na kuwatafutia wataalam kwaajili ya kukuza na kuendeleza vipaji vyao na sio kuwapeleka nje kusoma wataalam waje ndani ya Tanzania maana vipajivingi vya nchi zinazoendelea vinapotelea ulaya
That's great engine haipo mbele!
gari ya umeme haina engine
Awesome!
Kumbe wa Tanzania tunaweza, kikubwa ni serikali kutoa support kwa watu wabunifu Kama hawa, ili tuwa hamasisha wawez kutengeneza vitu Bora zaid
Awe mkweli tu
Inspiring beginning
Ipo pouwa sana,
Watu wa dar kwani hii bango ya GO BIG' inaishu gani naona dar imetapakaa nn maana yao
Bro hauko serious
Ni ubunifu mzuri,,,,lakini hamutuonyesha wakati inatengenezwa,
Safi bro ...
Thank you my brother masoud this is big plan
Allah bless u boss 🙏
Kila la kher tengeneza kwa wingi Nas tatatafuta pessa kwa bidii tununue
ni mwanzo mzuri sana
Tatizo masoud yeye binafsi hakakaa kikatuni ila ana kipaji cha katuni. Kipaji hichonalitakiwa awe nacho mtu kama kingwendu ambaye muonekano wake ni katuni
Kilakitu ni kujaribu bila uwoga
Mama kamilisha mradi wetu wa umeme masoud anafanya yake huku tubadili na magari ambayo yanatumia petrol yatumie umeme pia
Hii kwa kirikuu inafaa sana
Safi
Tunaomba bei tafadhali.
Nipe bei ya iyo gari
Selikari iwasaidie watu kama hawa mwisho wa siku tuache kutegemea vya watu
Yenyewe inatala kusaidiwa
Bei ya kuuza ni shiling ngap
Huyo wa oda wa gari mbili isije ikawa mia9 itapendeza!
Garinzuri.ushauri.weka.otoneta
Tutahakikisha tunakuunga mkono Kwa namna yoyote Masudi, amakweli wewe ni mwamba, usikatishwe tamaa na mtu yoyote yule.
ni Jambo la Kuigwa kwa vijana wenye Ndoto kubwa (UTHUBUTU)
Wizara imwezeshe vibari tu imwache aendelee. Zaidi ya hapo anaweza kuishia hapo hapo. Wampe vibari wamwache aendelee kabisa
Yule wa Bajaj walisema hana viwango, vipi na hii gari ya Masoud Kipanya imekidhi vigezo?
Umbali wa tairi ya nyuma na body ni mkubwa hicho ukikizidishia mzigo nyuma kwenye mlima kinainuka kwa mbele.
Nami nilitaka kushauri hivyohuvyo kwwmba kwny cheeses arudishe difu nyuma ili kwny mlima iwe na balance akiwa na mzigo
Toa bei nianze kujichanga ninunue
Kibajaji
Wizara ya technologia muwezeshen kipanya na mumlinde ili tufike mbali
Hapo viongozi huwaoni yaani
Waoooo! Serikaki mtegemezeni huyo ilinchi iende ma mbele
Serikali ipi Kwa mfano
👍👍👍👍👍
Inatembea umbali gani,uwezo wa kubeba na upandaji milima ya urefu gani
Mbona amutuambii matumizi yakoje? Ukilicharg
Bro wazung hawatakuacha watakuchukua
Shigpi
Guta hilo hakuna gari apo
Sasa bora yeye katengeneza guta. Vp Hao maprofesa wako Ata Gari ya udongo zimewashinda .mama samia muone masudi
Saf
.