Yaan kwa nchi za wenzetu apo lazima rais angeshafanya jambo sasa uku kwetu wapo kimya kama awalion hii vile hila me naiman kama umeweza kufika apo bro bas nguvu yako ni kubwa sana utafika mbali mno big bro proud of u lov🙏🙏
Acheni haya maswali yenu ya darasani kama mnapenda alichofanya mtanzania mwenzetu basi msupport kwa hiyo elimu yako ya engineering afanye kitu bora usidiscourage wazo lake. Safi sana masoud kipanya kutoka Songea.
Hongera saana KP.kwa ubunifu huu,umeiona fursa na kuitumia vilivyo,kwa bei ya petroli utapata soko kubwa saana alafu ukizingatia serikali na mradi wa bwawa la mwalimu nyerere.umeme soon utashukia bei nchini,so umeupiga mwingi broo
Wazo zuri Sana nakupongeza bro...Muhimu usiogope nikushare idea na waliotutangulia Kama kantanka waliopo ghana.naimani tutapata toleo Bora zaidi lijalo...Ila kwenye maelezo yako apo kwenye interview natumaini ulimaanisha volts 60 nasio watts 60..pamoja sana
Hii ni safi sana, watanzania kama hawa ni wa kuwaendeleza wafike mbali, kwani hata korea kaskazini walijaribu jaribu na kukosea kosea ila sasa wanatengeneza makombora, hivyo hiyo hata wajapan, wachina, wakorea, wajeruman, waingereza, marekani walijaribu jaribu hivi hivi miaka ya 1905 huko ndo leo hii tunaona magari, ndege, meli ubinifu unaendelea, kwani walijifunza kuwajali wabunifu wa ndani na kuwaendeleza. Mim naona Masoud atafika mbali sana.
Nakupongeza sana Mr. Kipanya. Nakushauri kutumia Mr. Mbwambo anayezalisha umeme kwa sumaku ili usiwe na kuchaji. Unaweza kumtafuta kwenye Utube. Nafurahi kuanza kutengeneza gari, ni mwanzo wa mafanikio.
Haya ndo aliyoongea Gwajima bungeni mipango ya muda mrefu Kaka masoud ni mpango wa muda mrefu mpaka leo tunaona matunda,Mimi nakuombea kwa Mungu ufike mbali zaidi utengeneze na vya kutembelea mjini hapa sio vya kubebea mizigo tuu,Kama mtu anamizunguko yake mjini ambayo haimalizi kilometa hizo kwann usinunue,Mungu awe nawe
Nazani hapo kuna njia nyingine ukiifanyia kazi vizur itakuwa nzuri kutumia sola yani wakat gari wakati linatembea mchana linakuwa linachaji moja kwa moja
@@mussahamisi7493 hata mimi niliwaza hivyo. Au pia nikawa nawaza sheli wangekua na mabetri yako full charged ukifika unabadilisha unaacha za kwako zilizoisha charge na kuweka zenye charge ambazo zimechajiwa sheli na kuondoka
KP usd 1000000 ni badjet ndogo sana kwa wewe kufikia malengo makubwa ungefanya subira kidogo ili upate target nzuri hio ni really dill brother kuwa na subira angalau hata usd 5000000 mpaka usd 10000000
Amesema chuma katumia chuma cha hapahapa, so nipo Interested kujua structural strength ya chassis ya hii gari, hasa ikiwa na mzigo na ikapita kwenye uneven road surfaces (uwezo wa frame kuhimili torsional forces ikiwa na mzigo) Pia kwa mzigo unaobebwa na hii gari, ubora wa excel upoje Battery inayotumia hii gari ni lead acid au lithium ion?
Katika vijana ambao wana akili, misimamo na upeo mkubwa sana wa fikra yakinifu. Hakika kaka Masoud ni mfano wa kuigwa maana hata nakumbuka ile project yako ya MAISHA PLUS ...
Yaan kwa nchi za wenzetu apo lazima rais angeshafanya jambo sasa uku kwetu wapo kimya kama awalion hii vile hila me naiman kama umeweza kufika apo bro bas nguvu yako ni kubwa sana utafika mbali mno big bro proud of u lov🙏🙏
Umeongea point ya msingi.ishu sio kwamba viongozi wanaogopa mabeberu (wauza mafuta) Maana hii gari itawaulia soko la petroleum nchini.
This is millestone creativity. Thank you Kipanya for this achievement.
Naisubiri sokoni
Acheni haya maswali yenu ya darasani kama mnapenda alichofanya mtanzania mwenzetu basi msupport kwa hiyo elimu yako ya engineering afanye kitu bora usidiscourage wazo lake. Safi sana masoud kipanya kutoka Songea.
Serikali iwezeshe wazawa ili kufikia soko la kimataifa
Sns for life 👍
Kati ya watu ninaowakubali na kuwapenda, Hongera sana Masoud kwa kazi nzuri 🙏
Hongera saana KP.kwa ubunifu huu,umeiona fursa na kuitumia vilivyo,kwa bei ya petroli utapata soko kubwa saana alafu ukizingatia serikali na mradi wa bwawa la mwalimu nyerere.umeme soon utashukia bei nchini,so umeupiga mwingi broo
Wazo zuri Sana nakupongeza bro...Muhimu usiogope nikushare idea na waliotutangulia Kama kantanka waliopo ghana.naimani tutapata toleo Bora zaidi lijalo...Ila kwenye maelezo yako apo kwenye interview natumaini ulimaanisha volts 60 nasio watts 60..pamoja sana
Mr masudi ongera Sana. Naitaji kuwa mwekezaji kwako
Mwananchi kwanza big up kipanya nakupa pongezi sana yani aya ndio mafanikio tunayo yataka katika inchi yetu
Hii ni safi sana, watanzania kama hawa ni wa kuwaendeleza wafike mbali, kwani hata korea kaskazini walijaribu jaribu na kukosea kosea ila sasa wanatengeneza makombora, hivyo hiyo hata wajapan, wachina, wakorea, wajeruman, waingereza, marekani walijaribu jaribu hivi hivi miaka ya 1905 huko ndo leo hii tunaona magari, ndege, meli ubinifu unaendelea, kwani walijifunza kuwajali wabunifu wa ndani na kuwaendeleza. Mim naona Masoud atafika mbali sana.
Kila jambo Lina mwanzo na nafasi ya kuendelea inayotia moto. Anapaswa kuungwa mkono kwa Kasi ya kutosha kuwa na bidhaa za nyumbani. Hongera!
Hongera sana masudi kipanya utawainspaya sana watu
+MUNGU+ akufanikishe zaidi kwa kila unachokiamini🙏 keep going bro Kipanya🚶
Akili mingi huyu kipanya bravo brother
Nakupongeza sana Mr. Kipanya. Nakushauri kutumia Mr. Mbwambo anayezalisha umeme kwa sumaku ili usiwe na kuchaji. Unaweza kumtafuta kwenye Utube. Nafurahi kuanza kutengeneza gari, ni mwanzo wa mafanikio.
Huyu jamaa wa umeme yupo kawe
Genius
Umehastle sana bro nakuombea uwe bilionea uwe the next Bakhresa
Sns tufikishe SUB mil.1 I can't wait for that
Safi sana, napongeza juhudi zako binasfi katika kufikia mafanikio haya. Naiona TZ ya mabadiliko ya kitechnologia na ubunifu.
Babu naitaka hiyo gali
safi saana Masoud
Engineering Designing 🔥
May this advance into big car industry in Africa
Hongera sana
Naaam, hongera sana
Kwa nn isiwe bei ya chini zaid kulinganisha na izo bidhaa zengine kama izo ambazo amezitaja kipanya .M9 me nahic ni bei kubwa kama tunazalisha wenyewe
Ameshaliongelea hilo
Bajaji m7 mpk 8 .. Kway sio mbaya
Nimpe pongezi mwamba KP kwanza ukizingatia mafuta kupanda amelenga mnoo natamani apate watu watie mpunga atoe vyuma vya kutosha da!
You did it brooo
All the way from part one...
Heko brother Masoud
Usiangaike kutoa battery! Tengeneza mfumo wa charging gari ikiwa inatembea, motar izunguke icharge battery
Haya ndo aliyoongea Gwajima bungeni mipango ya muda mrefu Kaka masoud ni mpango wa muda mrefu mpaka leo tunaona matunda,Mimi nakuombea kwa Mungu ufike mbali zaidi utengeneze na vya kutembelea mjini hapa sio vya kubebea mizigo tuu,Kama mtu anamizunguko yake mjini ambayo haimalizi kilometa hizo kwann usinunue,Mungu awe nawe
May the Almighty Allah Bless you bro!
Nazani hapo kuna njia nyingine ukiifanyia kazi vizur itakuwa nzuri kutumia sola yani wakat gari wakati linatembea mchana linakuwa linachaji moja kwa moja
@@mussahamisi7493 hata mimi niliwaza hivyo. Au pia nikawa nawaza sheli wangekua na mabetri yako full charged ukifika unabadilisha unaacha za kwako zilizoisha charge na kuweka zenye charge ambazo zimechajiwa sheli na kuondoka
Hizo zingine ziko na ushuru ndio mna zinafika m9
Safi Sana lkn Gari mvungu lazi a uwe wa juu kidogo kutokana na njia za ndani mbaya na upakiaji wa mizigo
Ninaona huo mvungu hapo upo sawa ukilinganisha na designs nyingi za gari aina hii
Upcoming billionaire
Huyu ndiye Elon Musk wa Tz
KP usd 1000000 ni badjet ndogo sana kwa wewe kufikia malengo makubwa ungefanya subira kidogo ili upate target nzuri hio ni really dill brother kuwa na subira angalau hata usd 5000000 mpaka usd 10000000
Unaanza na kidogo kilichopo kwanza
Anza na ulichonacho hatuishi milele
@@africanproudly4004 nimecheka sanaa
Kipanya piga kazi
Yaani Huyu jamaa kaanza kuchora kabla hata sijaziliwa
ONDOA USHURU KIPANYA ILI UTUUZIE BEI YA NYUMBANI KWETU
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Watu Mnatakiwa kufikiria kuhusu kupata kazi na sio kuiponda hii gari........
Na pia kuwa chachu kwa sisi wengine iwe ni hamasa kufikia hapo alipofika ndugu yetu au zaidi ya hapo 👍
Gari hakuna injini? Unatumia nini? Motor tu.
Ila ni vyema madirisha yawe Kwa umeme
nitafanyaje ili niipate hiyo gali Babu naitaji kuuza sula
Hahaha mtoto mjinga wew
hiki nikipaji cha pekee sanaaa imenigusa sana
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Kikizima unakibeba begani au
vp kujaa inatumia unit ngap?
Tatu mpaka tano
@@mosesmdindile332 umejuaje atukuamini wew tunamtaka kipanya ajibu
@@mosesmdindile332 hii kali sana mwanangu
Juzi tu ulituomba msaada watanzania tukuchangie matibabu y mtt leo unaonysha utajir ulionao ulikuwa unatusanifu au ndio
Akili yako ndogo wewe
Ulimchangia kiasi gani mwaya urudishiwe isiwe tabu
Nilituma pesa kumbe mtu anaenda nunua gar za umeme duh
Natamani wa weke automatic window kwenye gari hiyo.
Amesema chuma katumia chuma cha hapahapa, so nipo Interested kujua structural strength ya chassis ya hii gari, hasa ikiwa na mzigo na ikapita kwenye uneven road surfaces (uwezo wa frame kuhimili torsional forces ikiwa na mzigo)
Pia kwa mzigo unaobebwa na hii gari, ubora wa excel upoje
Battery inayotumia hii gari ni lead acid au lithium ion?
Wew unao jifanya kingreza kingi uliwai kubuni nin?acha usomi wa makaratasi.
Tulieni kwanza tuingie sokoni kwanza mtasoma manual book
Tujali vya kwetu tusiwe na maswali magumu wakati aujui
Big up Braza
MAJINA 99 YA MWENYEZI MUNGU
m.ruclips.net/video/ic27SZTY_fs/видео.html
Kwanini samia hajaongea chochote??
Mpumzisheni mama wa watu kwani hakuna Waziri au Wizara husika.....Mavi Mavi tu
Katika vijana ambao wana akili, misimamo na upeo mkubwa sana wa fikra yakinifu. Hakika kaka Masoud ni mfano wa kuigwa maana hata nakumbuka ile project yako ya MAISHA PLUS ...
Sikweli tesla mimi nikonayo unachaji dakika 15 unakweda 350 nisawa na 495 kilometa mimi nipo hapa usa ni mtazania
Zina capacity tofautitofauti usifikiri hiyo yako ndio hiyo tu.
MAJINA 99 YA MWENYEZI MUNGU
m.ruclips.net/video/ic27SZTY_fs/видео.html