Hongera sana Masoud, hakika tunajivunia sana ubunifu wa Kitanzania na mtoto wa Africa. Mungu aendelee kukulinda na kukupa ujasiri wa kukabiliana na changamoto nyingi za upinzani wa kibiashara. Ombi langu kwa Kaypee Motors, "Katika toleo jingine muweke board ya kufunika ili magari hayo tuyatumie ktk mizunguko ya mjini kutokana na changamoto ya nishati ya mafuta duniani
Dunia inatoka Kwa Kasi kwenye matumizi ya mafuta kwenye kwenye matumizi ya nishati safi kukabiliana na Mabadiliko ya tabia ya Nchi, Mradi huu wa Kipanya Moja Kwa Moja unachangia Malengo ya Dunia ya Kupunguza hewa Ukaa inayopelekea ongezeko la joto duniani. Hata kama Serikali haitamsaidia Duniani huko watamdaidia. Hongera sana Masudi Kipanya.
Mimi Nina uwezo wa kutengeneza boat za fiberglass... lakini nimejikuta mkulima....ikiwa nitafikia malengo shambani, nitafanya kama massud kipanya.,sina support...
Hongera kaka,naomba kwenye kampuni yako tengeneza mpangokazi wa kuita vijana wenye vipaji vya aina ya wazo lako muungane ,hakika utapata mafanikio ya tija zaidi na ya haraka,Mungu awe nawe
Nimependa bro ulicho kifanya Mungu awasimamie. Kunavijana wamemaliza vyuo vyaufundi wanakipaji lakini kuendelea nakueza kuendeleza kipaji wanaishia njiani kutokana na changa mototo tofauti.Nadhani ukitanua na Kuwaiti mambo mengi yanaweza kufanyyika.
Sio serekali yetu asee. Yaan atapotezwa chap2 kwani yey ni wa kwanza sasa. Tena na vile wana bifu anavyowakera kuwachoraga na mitumbo mikubwa. Mhhhhh. Namuombea mungu . Ila wacha tuone midomo mirefu waione hii. Utasikia haijakidhi vigezo
KAMA UMECHUKUA IDEA YANGU FLANI IVI, NIKO NA LONG PLAN IDEA KUTENGEZA GARI LANGU BINAFSI NA HII NILIANZA KUFIKILIA TANGU 2011 . NA BADO NIKO NA NIA HIYO NITA KAMILISHA PROJECT YANGU ALLAH AKINIPA UHAI IN SHAA ALLAH
Nikweli kaka kipanya, watu tunavipaji lakini hatuaminiwi na taasisi za kifedha yaan mabenki wala watu wenye fedha. Yaan mtu anapenda awekeze pale ambapo tayari pesa imeanza kuonekana.
Bro Abdulsamad nimeona sehem nying sana anajitoa,ilifikia wakat kuna support nilihitaj kutoka kwakwe nikamDM kule Twitter,ila cha kushanganza mpk leo hata hajanijibu.
Hongera sana kaka. Ila hapo inabidi inayokuja ufanye modify ya kufunga alternator. Na belt ili ijichaji battery yenyew pindi2 inapowashwa. Ili isiwe ya kuchajisha tena
@@petroprenge8716 kweli kabisa kaka umeona mbali. Maana ukizingatia ni kweli . Mtu hawezi fanya jambo kubwa hivyo afu akashindwa kuweka hyo system. Ina maana ametengeneza ulaji wa style nyingine
Watu waliofanikiwa, husimama peke yao na wengine hufuata baadaye. Huu ukimwa ni ishara tosha kuwa watu na hata serikali hawaamini kuwa ni kweli. But the end will justify the means.
Nakubalisana masudi maana waafrika tunajidharau sana, tunaona wazungu ndio wanaweza kumbesote tukosawatu kikubwa ni kwekeza watu wenye vipaji hakika tutapata mafanikio sana
Kaypee nimependa jitihada zako toka maisha plus ukibuni nashine na mbinu za maisha mbalimbali na mzee wako Babu wa maisha plus hujawahi kumtupa. Leo umefika hapo ulipofika hongera sana jitihada huzaa mafanikio
Tuweke nadhiri Kila mwenye uwezo wa kununua magar aanze na gari la Kaylee ndipo anunue Aina nyingine ili kumsapoti huyu mtu jamani nawashauri wenye maduka mjini hii gari inafaa kusogezea mizigo dukani,wauza mayai,wauza mikate,nk tuwekeze kwa huyu mwamba.
KP tutengenezee magari tuache kuagiza Japan. Hivi waziri wa viwanda na biashara anaangalia hii au anaona aibu? Ningekuwa Rais, KP ungekuwa Katibu Mkuu wa Viwanda
Hello brother mambo vp? Ni kweli kabisa tulio wengi tuna matarajio makubwa sana kwa kampuni hii ya Kitanzania kupata support kubwa kutoka Serikalini tofauti na hapo wengi tutakuwa disappointed sana
Hongera brother Ila serikali haitusapoti kilasiku nikurudi nyuma sana Nina tamani kuku Ina malanyingi Nike kusoma kwenye magazeti (vibonzo) ninatamani kukuona brother

Fibergrass ndio Nini?
Elon Musk aliyezaliwa Tanzania, hahitaji kingine zaidi ya support upendo na kumtia moyo.
Naamini sana Masoud ana zaidi ya hilo.
Mungu akubariki🙏🙏
duuh!! nmejkuta natoa machozi tu daah!! mungu akulinde sana! spati picha kama ingelikuwa ni wakat wa mzee wetu bado bulldoza!..
Hongera kaka,naomba kwenye kampuni yako tengeneza mpangokazi wa kuita vijana wenye vipaji vya aina ya wazo lako muungane ,hakika utapata mafanikio ya tija zaidi na ya haraka,Mungu awe nawe
Ttzo ni mmoja tu kwa vijana wanataka kuwa no1 hawataki kuanza 3
Nimependa bro ulicho kifanya Mungu awasimamie. Kunavijana wamemaliza vyuo vyaufundi wanakipaji lakini kuendelea nakueza kuendeleza kipaji wanaishia njiani kutokana na changa mototo tofauti.Nadhani ukitanua na Kuwaiti mambo mengi yanaweza kufanyyika.
Tanzania tumelogwa mpaka anayetuloga anakereka na sisi ..huyu jamaa ni hatari Sana Serikali msaidieni huyu nasisi tuwe na chetu
Sio serekali yetu asee. Yaan atapotezwa chap2 kwani yey ni wa kwanza sasa. Tena na vile wana bifu anavyowakera kuwachoraga na mitumbo mikubwa. Mhhhhh. Namuombea mungu . Ila wacha tuone midomo mirefu waione hii. Utasikia haijakidhi vigezo
Hongera sana kaka umetuvutia kama watanzania na Africa pia...
Big up br..... tunaweza...tuoneshe njia....
Safi sana. Haya ndiyi yaliyokuwa mawazo ya JPM. Akitamani sana kuona watanzania wakifanya mambo kama haya
Hakika Tuombe Mungu atuiburie JPM mwingine miaka ijayo
Mungu akujaalie zaid bro
Masoud hongera brother and Mungu akulinde utuvushe
wonderfull kweli tumekua na hizi idea sana. sema tu ndio kupata pa kuanzia.
Itakuwa bora zaidi ya zao ikiwa na mfumo wa kujichaji pale battery ikipungua chaji na inawezekana . Hongereni sana iko poa sana.Maden in Tanzania 🇹🇿
Congratulations 👏🤣🤩🤩, Sana masudi, waambie hata gorvment,kukopa wamezidi
JPM ALIKUWA ANATAFUTA WATU KAMA HAWA - RIP
Hd Msasa official KITANZI gusa maandish ukasikie nilivyomfunika MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html

Ubarikiwe sana
KAMA UMECHUKUA IDEA YANGU FLANI IVI, NIKO NA LONG PLAN IDEA KUTENGEZA GARI LANGU BINAFSI NA HII NILIANZA KUFIKILIA TANGU 2011 . NA BADO NIKO NA NIA HIYO NITA KAMILISHA PROJECT YANGU ALLAH AKINIPA UHAI IN SHAA ALLAH
Endelea kuwaza
Miaka 11 unawaza tu
Ndugu yangu pambana wazo lako litimie usife moyo
Very nice brother...keep it up! 👍
Hongera sana.
Waziri waziri Waziri wa biashara na viwanda usipoitazama hii, utanidisappoint mno mnoo
Hongera Sana kaka masud
Hongera brother Masoud
You are the best.
Daah umeni inspire sana bro masoud
Ongera sana Masoud
Hongera sana kwa kweli that is a big move
Safi sana kipanya
So wonderful
Mashaallah
Nikweli kaka kipanya, watu tunavipaji lakini hatuaminiwi na taasisi za kifedha yaan mabenki wala watu wenye fedha. Yaan mtu anapenda awekeze pale ambapo tayari pesa imeanza kuonekana.
Daah laiti hayati angelikuwepo, angefurahi sana maana alipigania sana kukuza vipaji km hivi
Mungu akubariki kaka
Wengi Wana vipaji ila hawafiki kwasababu za kimfumo ila wewe umeonyesha Afrika na dunia
Salut
Upo Safi sana Masoody
Bro Abdulsamad nimeona sehem nying sana anajitoa,ilifikia wakat kuna support nilihitaj kutoka kwakwe nikamDM kule Twitter,ila cha kushanganza mpk leo hata hajanijibu.
Big up masood
Hongera sana kaka. Ila hapo inabidi inayokuja ufanye modify ya kufunga alternator. Na belt ili ijichaji battery yenyew pindi2 inapowashwa. Ili isiwe ya kuchajisha tena
Wazo zuri sana kaka, natamani asome hii reply. Ila sasa ikijichaji yenyewe kuna watu watakosa ulaji, nazungumzia Charging Centers
@@petroprenge8716 kweli kabisa kaka umeona mbali. Maana ukizingatia ni kweli . Mtu hawezi fanya jambo kubwa hivyo afu akashindwa kuweka hyo system. Ina maana ametengeneza ulaji wa style nyingine
This man is good....
Hongera sana kk
Watu waliofanikiwa, husimama peke yao na wengine hufuata baadaye. Huu ukimwa ni ishara tosha kuwa watu na hata serikali hawaamini kuwa ni kweli. But the end will justify the means.
nice project
Nami nakipaji Lakini cnawakuniendeleza
Lait ningekuwa rais hii gari ya mwanzo ningeinunua nikaiweka kumbukumbu ya taifa
Ina speed ngapi
Tumekubali na tumekuheshimu brow.
Mungu akusimamie ili tutoke kwenye utumwa wa akili tuanze kutumia vya kwetu Hongera
Nakubalisana masudi maana waafrika tunajidharau sana, tunaona wazungu ndio wanaweza kumbesote tukosawatu kikubwa ni kwekeza watu wenye vipaji hakika tutapata mafanikio sana
UMEFANYA KAZ NZURI, NILIKUCHUKIA SANA ULIPOKUA UNAMCHUKIA MAGUFULI
Nnavo wajua wa tz, sasahiv watasema masoud ni (Alien's) kutoka sayari nyingine"
Haya ndio matunda ya JPM kupitia hotu a zake zilikiwa zinatia ujasiri makubwa Sana wakuthubutu
Africa wakati wetu umefika wa kufanya vyetisasa tujitambuetu na mungu atatubariki
Kipanya wewe Genius
Safi chief kitu kikubwa
Mm ni mtanzania mwenye nia ya kuendesha gar ktk kampun ya masoud
uko sawa masood.... hongera sana...
Kaypee nimependa jitihada zako toka maisha plus ukibuni nashine na mbinu za maisha mbalimbali na mzee wako Babu wa maisha plus hujawahi kumtupa. Leo umefika hapo ulipofika hongera sana jitihada huzaa mafanikio
Tulishalishwa sumu ya kushindwa, na wakati sasa waafrika kuamka na kuondoa hiyo sumu tuliyolishwa, tz tunaweza sana
Maisha plus, nilipo kuwa nikiona vitu vikifanyika niliamini siku moja kutakuwa na matokeo chanya heko bwana kipanya
Mbona gari hatuioniii
HONGERA KAKA, MUNGU AKUBARIKI KWA KUFIKIRI NA KUTHUBUTU, NIMEJIFUNZA KITU.
Mchukue yule kijana wa kigoma zuber pia ana kipaji cha kutengeneza magari na yeye akuze kipaji chake
Hawa ndio mainjinia sio walio jaza vyet tu nakuajiriwa maselekarin hakuna lolote hawana ubunifu hawana lolote
Historia ushaiandika hujaja bure Duniani
Tuweke nadhiri Kila mwenye uwezo wa kununua magar aanze na gari la Kaylee ndipo anunue Aina nyingine ili kumsapoti huyu mtu jamani nawashauri wenye maduka mjini hii gari inafaa kusogezea mizigo dukani,wauza mayai,wauza mikate,nk tuwekeze kwa huyu mwamba.
KP tutengenezee magari tuache kuagiza Japan. Hivi waziri wa viwanda na biashara anaangalia hii au anaona aibu? Ningekuwa Rais, KP ungekuwa Katibu Mkuu wa Viwanda
Hello brother mambo vp? Ni kweli kabisa tulio wengi tuna matarajio makubwa sana kwa kampuni hii ya Kitanzania kupata support kubwa kutoka Serikalini tofauti na hapo wengi tutakuwa disappointed sana
From UJISEMI
Gharama ya kununua gari hili ni kubwa sana ukilinganisha na Guta
Hd Msasa official KITANZI gusa maandish ukasikie nilivyomfunika MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html
Bei gan naitaji hii gari kwajili ya mishe zangu za ufugajii tupeni Bei tuagize
Tz kuna vipaji, shida ni kwamba hakuna chombo kinachowaunganisha na kuwawezesha
Elon musk wa bongo jamani tujivunie huyu jamaaaaa
Naomba ni uganenanyinyi ninakipagi
Usiende inch za wazungu watakupa sumu hata wakuiteje tuma eafwasi wako
Duh akili kubwa
IQ yako masoud ni hatari sana
Nasubiri nijue gharama na Mimi niwe miongoni mwa wateja
maelezo kibao tuonyeshe gari fungua boneti fungua mirango ya mbele asa hadithi kibao
...ndo wanajitokeza baada ya mtu kupata umaarufu
Lazima Watanzania tumuunge mkono bwana Masoud.
Good
Hongera brother Ila serikali haitusapoti kilasiku nikurudi nyuma sana Nina tamani kuku Ina malanyingi Nike kusoma kwenye magazeti (vibonzo) ninatamani kukuona brother
Musk kipanya, 🤣🤣🤣
Nazani tutengeneze namna ya watu kuinvest kwenye vitu kama hivi
Ss hapo ishu nyingine ni kwenye masoko watanZania wengi hawaaamini vya kwao labda awezeahwe sanasana then tuzuiliwe kununua magari nje
Kongole kwako ewe Mwana wa Tanzania.
Sema kagari Kako katatumika mjini TU kwenye umeme vijijini hakawezi kufanya kazi labda watembee na mabetrii