GARI LA KIFAHARI PALM VILLAGE, LIKO MOJA TU EAST AFRICA, LINAUZWA MILIONI 400+, MMLIKI AFUNGUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 676

  • @johnkyara8655
    @johnkyara8655 Год назад +53

    This guy he very smart The way he is talking is show respect

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 Год назад +10

    Keep it up brother , Ur so genuine and details orientated person , huna roho ya kukunja ..., Muwazi na inaelekea msafi WA Roho ✌️🔥🇹🇿

    • @rosegideon336
      @rosegideon336 Год назад +1

      Kab is a Ana one kana sio wa kukunja. Mungu huwaona watu hawa

    • @zitongwang6278
      @zitongwang6278 Год назад

      @@rosegideon336 kabisa

  • @alexlimo6959
    @alexlimo6959 Год назад +5

    Nikisema unanipea ghani nakubali GTi VW ...I love it

  • @magrethkilua3601
    @magrethkilua3601 Год назад +8

    Hongera sana, ni kweli ukipata tumia kakaangu ya kesho anayajua mungu

  • @KHAMISKHAMIS-p6k
    @KHAMISKHAMIS-p6k Год назад +5

    UNCLE,Mashaaallah UNATUHESHIMISHA 👍👍👍.
    11:25

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 10 месяцев назад +2

    Sio mchoyo uyu kaka,,inaonekana anaroho nzuri Sana,,Kila la heri kaka mungu akubaliki

  • @sadickchakka3147
    @sadickchakka3147 Год назад +2

    V2 alvyo navyo huju mshua kama mm vile jipende mwenyewe kwnz nawengne ndo watakupenda ukiwa nacho tumi wakat ni sas maisha hayard nyuma🙏🙏🙏🙏

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar Год назад +16

    Halina tofauti sana na gari kangu Hilo.. anyway karibuni sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa ndani 🌊🏝️

    • @givembwilo141
      @givembwilo141 Год назад +1

      Nasikia mashoga kibao huko 🤣🤣

    • @NassirMohammed-p1h
      @NassirMohammed-p1h Год назад +1

      @@givembwilo141wee mwenyewe shoga

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 Год назад

      ​@@givembwilo141Wako wengi kweli kweli, kila siku wanajazana kwenye maboti kutoka Tanganyika wakifika Zanzibar hawataki kurudi unyikani.

    • @matheobaha773
      @matheobaha773 Год назад

      Utalii unacost shiling ngapi za kitanzania

    • @mirajijuma454
      @mirajijuma454 3 месяца назад

      pambana

  • @ericpeter8900
    @ericpeter8900 Год назад +5

    Hongera bro,niliona ukipita nalo hapa nyali mombsa bonge la gari

  • @rosegideon336
    @rosegideon336 Год назад +1

    Daah natamani sana Magari makubwa. Hongera kk gari ya bei kubwa mno Big up.

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 Год назад +12

    Nice interview... Upo real Sana brother... Hakika tujifunze toka kwako... Hujisifu unaongea ukweli kutoa changamoto kwa vijana.... Safi Sana bro!

  • @godfreymubumila3862
    @godfreymubumila3862 Год назад

    Hiyo kitu ni noma nyingi sana mzee GENERAL MOTOR COPERARION G M C

  • @diegomontenego5158
    @diegomontenego5158 2 месяца назад

    Hongera broo Nikichopenda Unakauli nzuri Wewe ndio kati ya matajili wakweli Sio Kina Chiffu aseee

  • @KHAMISKHAMIS-p6k
    @KHAMISKHAMIS-p6k Год назад +3

    UNCLE,Mashaaallah UNATUHESHIMISHA 👍👍👍.

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 Год назад +5

    Mtangazaji uko👍 jamaa Yuko vzr maisha mazur japo mafup , Mungu tumpe nafasi,👍

  • @babybeast473
    @babybeast473 Год назад +4

    Proud to say namjua personally

  • @DanielKanithi-n3q
    @DanielKanithi-n3q 9 месяцев назад

    Uko na roho Safi nipe at Mimi probox juu mungu amekumbariki

  • @gideon546
    @gideon546 Год назад +5

    🙏 🇰🇪➕️🇹🇿 - REAL BUSINESSMAN. Hard Working Gentleman. "GOD" BLESS YOU BRO. & Help Others. 👍 🙏🙏🙏

  • @AniriAmiri-gt8ul
    @AniriAmiri-gt8ul Год назад +1

    keep it up blo unatuwakilisha vizuri blood

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 Год назад

    Safi sana kaka mungu akuzidishie neema

  • @dottohami
    @dottohami Год назад +7

    Huyu kaka Yupo Smart sana mashaallh hajisikii kabisa 🥰

  • @collinsandrew3425
    @collinsandrew3425 Год назад +11

    Very humble ,no arrogance no issues

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo Год назад +5

    Big up boss Ramos umetoka mbali Mombasa kisauni inakutambua

  • @alibinali_
    @alibinali_ Год назад +3

    Watanzania wingi wanaishi Mombasa ❤❤❤❤❤

  • @shafiqshine3983
    @shafiqshine3983 Год назад +1

    Mchizi wangu ramaa congrats sanaa wahasbiallah

  • @masanajoseph2335
    @masanajoseph2335 Год назад +1

    Boss wangu huyo pindi Nafanya kazi regland hotel musoma jamaa mmoja mstarabu sana Tena sana boss hauna baya

  • @khalidmusa1803
    @khalidmusa1803 Год назад +2

    Huyo kaka mkarimu sana. Ma shaa Allah Mungu amuongeze zaidi

    • @aliissa2926
      @aliissa2926 Год назад

      Mozambique 🇲🇿 hipo niliwai kuona Maputo moja rangi ya yellow

  • @JensElm-k4k
    @JensElm-k4k Год назад +4

    Vido vidox!!!! Upo vizuri sana katika fani yako you know how to ask questions Tena maswali ya maana. Big up vido

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo Год назад +3

    Unatu especial sana broo ishaara mungu akuongezee.

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 9 месяцев назад

    PESA IPO IZO GARI ALIZOTAJA ALAFU HANA MOJA MKUU sio powa zote ni mapesa 🙌🙌

  • @AgnesMsomi
    @AgnesMsomi Год назад +2

    Kaka Rama ongera sana kwa kutuheshimisha Musoma kwa gari zuri Kubwa kuliko Tz.

  • @hassanramadhan3418
    @hassanramadhan3418 Год назад +6

    Napenda sana kumuona baba Kwenye TV ❤

  • @DumperClassic
    @DumperClassic 5 месяцев назад

    Dumper classic
    Nakubalii ulicho kisema jipendee

  • @ramadhanihamisi5596
    @ramadhanihamisi5596 Год назад +25

    Habari ya siku kadhaa rafiki yangu, Bila Shaka uko pouwa kabisa,leo naomba ufahamu *umuhimu wa kukanda maumbile*
    Hili ni zoezi la kuaandaa maji yenye uvugu na kitambaa laini, kisha kuukanda uume kama unauchua kutokea kwenye shina mpaka kwenye ncha kwa karudia Kwa muda kadhaa.
    *Zoezi hili husaidia sana*
    1 kuimarisha neuron transmitter ambazo husafirisha taarifa kuelekea kwenye Ubungo,hii husaidia utumwaji wa haraka wa taarifa kwahiyo humsaidia mwanaume aweze karudia tendo kwa haraka
    2 zoezi hili husaidia kurudisha uwezo wa ngozi ya uume kustahimili joto la tendo la ndoa wakati wa kwanza wa tendo,hivyo hupunguza sana Hali ya kufika kileleni mapema.
    3 kuimarisha mzunguko mzuri wa damu kwenye uume,zoezi hili husaidia sana damu kuweza kufika sehemu mbali mbali za uume mpaka kwenye ncha ya uume na kuufanya uweze kuwa na nguvu wakati wa tendo.
    4,inasaidia sana kupunguza seli mfu pamoja na mabaki ya oxygen,ambavyo vyote hivi hudhoofisha utendaji kazi wa misuli ya uume.
    *Muda mzuri wa zoezi hili ni Asubuhi unapoamka*
    Naomba nikutakie Siku njemaaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 Год назад +1

      Bro we ni mtaalam wa hayo mambo?
      Unisaidie kitu??

    • @MpajiAlisoni
      @MpajiAlisoni 10 месяцев назад

      Asante Kwa ushauli

  • @ramakiliku6029
    @ramakiliku6029 Год назад +2

    Mashaallah tabarakaallah Sheikh RAMA

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 Год назад +27

    Nimependa kajieleza kwake Yupo smart Hana kelele muwazi. Ila hizo gari hapa UAE wanazipenda Wafugaji mbuzi na ngamia kwakubebea mavyakula ya mifugo tena nyingine wanaziweka tail 4 nyuma

    • @isakatogoro4697
      @isakatogoro4697 Год назад +14

      hata huyu mwamba pia ni mgugaji, huku Musoma ana mashamba yake ana 🙄ng'ombe zaidi ya 500 na mbuzi pia ndio maana kalipenda hilo gari

    • @AliMo-i8n
      @AliMo-i8n Год назад +3

      😅😅😅😅

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Год назад +1

      ​@@isakatogoro4697😂😂😂

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 Год назад +3

      Huyu jamaa ni mfugaji mkubwa sana hapa Tz. Analisha nyama bunge zima za tanzania na nchi nzima. Pia analitumia kubebea kondoo wa sufi . Kumbe haya magari ni kwa ajili ya shughuli hizo asee. Matajiri bwana

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 Год назад +1

      Wewe unalo gari la bei gani unalomiliki?tusipende kutoa kasoro wakati wewe hata gari ya miln 10 huna

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 Год назад

    Aaaah sijui Kuna uchawi ganii kwenye hela,,watu wanawaza magari ya bei kubwaaaa,wakatii Kuna magari makarii sana na yabei yakawaida kidogo.

  • @priscillawilliam3603
    @priscillawilliam3603 10 месяцев назад

    Huna majivno wala hujikwezi hongera sana

  • @Kikikikikiki723
    @Kikikikikiki723 Год назад +11

    Kuna wanaoishi maisha bora na kuna sisi wa "heri uhai"..😎
    Now me and my friends here tunaishi exactly the opposite of what we thought our lives would turn out to be, when we were younger.😅

    • @hassancharo1496
      @hassancharo1496 Год назад +1

      Help ophans

    • @TheNdaki
      @TheNdaki Год назад

      Vuta Picha unaamka hujui kesho utakula nini, au utapata Shingapi ya kula kwanza...mengine utajua mbele kws mbele.. 😢

    • @TheNdaki
      @TheNdaki Год назад +1

      "Yote Kheri, tuzidi kupambana hatujui yajayo..... Maisha ni kama boksi, hayatabiliki kesho ukiingiza mkono utaibuka na nini"

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Год назад +1

    Jamani . tunahangaika kutafuta pesa ya kila siku tukiipata tupo taabani. Lakin MTU ana gari LA milioni mia NNE .him mungu ambariki na ampe kwa wing I amin.

  • @samirsaid2087
    @samirsaid2087 Год назад +1

    Njoo congo uku zitele hzo twabebea matofali tu yakujengea

  • @georgenyoni9879
    @georgenyoni9879 Год назад +21

    Big up Broo,all I can say you have worked really hard

  • @roytv8276
    @roytv8276 Год назад +160

    Nimeliendesha kitambo Sana kwenye GTA vice city mpaka nimelichoka

  • @swibewilliam4939
    @swibewilliam4939 Год назад +8

    Ukisha sema sio hapa tu Bali hata Nairobi..... Umemaliza .Anaye elewa ameelewa.. anajua standard ya wenzetu

  • @thomasmakala2082
    @thomasmakala2082 Год назад

    Ukiwa nacho tumia, I like that.

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 10 месяцев назад +2

    Hasaa milioni 400 ndio est africa lipo moja watu hawajaamua tu kulimiliki

  • @davidcurtis175
    @davidcurtis175 Год назад +6

    Gari hili ni zuri sana hongera bob, ila warabu huku Qatar wehu wanayapandisha juu zaidi ya hiyo na wasudani ndio hivyo tena wanabebea…

  • @bANana-yf1qm
    @bANana-yf1qm Год назад +1

    Nilikutana na hii beast Nairobi,, Weeh ni mnyama kweli.

  • @gracekisumo241
    @gracekisumo241 Год назад

    Aweee boss wangu mwenyewe huna makuu na mtu mimi nafarijika sana ukiwa na furaha na unapendeza Mungu aendelee kukuweka @RamadhanMsomiBwana

  • @reginaldmushi9784
    @reginaldmushi9784 Год назад +5

    ✨🌙🦅🤘🔥I real Aprriciety this guy

  • @willzcloh9485
    @willzcloh9485 Год назад +4

    come to Rwanda you will find more of GMC cars

  • @mosesachoka121
    @mosesachoka121 Год назад +2

    I see this car in Nairobi,kilimani area.. with another guy ..who claims to be the owner too..

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Год назад +8

    Hongera sana kaka hauna majivuna kbsa katika maongezi yako

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo Год назад +2

    Hongera broo safi sana mungu akuzidishie

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Год назад +10

    MashaAllah hongera yake gari kali saana 🇶🇦

  • @Nickojunior
    @Nickojunior Год назад +3

    Magari yote imemiliki Mpaka Bugatti😳😜

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Год назад +1

    Duuh aisee kumbe Tz hii hii kuna vijana wenye mkwanja sana aisee

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 Год назад +1

    Hii ndyo nzuri kiboko ya wezi

  • @athumanikisoka2759
    @athumanikisoka2759 Год назад +2

    Huyu jamaa katudanganya kasema kaagiza mwaka jana mwezi wa kuminamoja kalipata mwaka huu mwezi wa kwanza then kaja mwishon kusema kua lilikaa bandarini miezi nane mpaka kulichukua sijui n mimi tu ndo nimefatilia hili😂😂😂

  • @dularwambo3243
    @dularwambo3243 11 месяцев назад

    Yaan ukiligonga ilooo millard ayoo. Atauzaa mic zotee izoo mlipeee

  • @mombasaraha1502
    @mombasaraha1502 Год назад +1

    Huyu jamaa yupo simple sna na hana kibri wala majivuno ingetokea ni hawa wabongo wenye viherehere wasanii 😂 umgetajiwa vitu hata hamna humo ndani kisha kweli huyu ametulia hana .majivuno wala hajuoni kuwa amewapita wanadamunwengine homgera kwa kazi nzuri

  • @mjaruoKitonga-iy5pc
    @mjaruoKitonga-iy5pc Год назад

    Hongera sana kaka

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 Год назад

    CONGO zipo kibao

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 Год назад

    Hongera

  • @stainerwakwao5275
    @stainerwakwao5275 Год назад +2

    Kenyan plate numbers 😊😊🇰🇪🇰🇪

    • @moriz254
      @moriz254 Год назад

      Anatoka Mombasa 2:51

  • @peteradamu4081
    @peteradamu4081 Год назад +1

    Hilo la kwake tu.yaan niache kujenga gorofa ninunuwe gari la mil 400.mmh!!!😢😢😢😢

  • @mtakabiruyassin
    @mtakabiruyassin Год назад +1

    Sema jamaa hana mbambamba🙌

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 Год назад +5

    Nikiwa Musoma napenda kulala sana hotel yako,, baada ya kuiacha hotel moja yapili kwa ukubwa baada ya yako,, ni mtu pekee ambae ninakuangalia sana ili siku moja nifike hapo,, tangu siku ulifanya ile sherehe yako pale Musoma sikiacha kutafakari namna ya kufika hapo ulipo fika,,

  • @LockenMunis
    @LockenMunis Год назад +1

    Nimeliona changamwe ILO gari Mombasa pale ni zuri Sana na bonge yagari

  • @josephwairimu6222
    @josephwairimu6222 Год назад +1

    Awesome

  • @dosdosstudios2037
    @dosdosstudios2037 Год назад

    @2mbili TV fika site kama waeza

  • @suddytele3692
    @suddytele3692 4 месяца назад

    asante kaka

  • @Bob-kz2ql
    @Bob-kz2ql Год назад +1

    Hahaha mamae nafikiri mwaka kesho anakuwa nayo dah😂😂😂huyu mwamb kwel atamiliki

  • @Cyprian_infomer
    @Cyprian_infomer Год назад +18

    Kenya is the capital city of Africa 🇰🇪💪🇰🇪💪

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Год назад

    Jamaa yupo Makin Sana alaf ata aringii

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 Год назад

    TEAM ....#MONEY ...WITH ..#RESPECT... 💯💯💯💯💥💥💥💥💥🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @vokesafaris9506
    @vokesafaris9506 Год назад

    Jamaa Simple sana

  • @abuuslater9242
    @abuuslater9242 Год назад +2

    Hongera Tajili Rama wa Musoma Allah akueke kaka mkubwa🙏🙏

  • @josephwairimu6222
    @josephwairimu6222 Год назад +1

    Pesa mzuri

  • @salomeanna8426
    @salomeanna8426 11 месяцев назад

    They make GMC care in Michigan

  • @PreciousCaromathew
    @PreciousCaromathew Год назад

    But ajue ndio tulipigia campain ya hustler last year mwenzi wa 6,7, campain ya prezzo

  • @agnerapius7244
    @agnerapius7244 Год назад +2

    Umeoa baba nahitaji niwe mke wako hata nikiwa wa 100000 nimekupenda❤

  • @robertmrindoko4038
    @robertmrindoko4038 10 месяцев назад

    Sema wakuu msitaman hizo mali ni mateso tu njons wanavyo zipata na wanavyo zitumikia ni atar wakii😢😢😢

  • @ayuenmadyt
    @ayuenmadyt Год назад +2

    ati ni moja east africa. am even surprised there is one in kenya. hizi GMC zimejaa south sudan (am talking about SUV not a pickup)

    • @ruwaruwa1
      @ruwaruwa1 Год назад

      Hakuna kama hii East Africa wewe

    • @ayuenmadyt
      @ayuenmadyt Год назад

      @@ruwaruwa1 then you don’t live in Nairobi. Or if you do then you live on the outskirts of the city

  • @josephatmaruka4612
    @josephatmaruka4612 Год назад +6

    Mmmh! Kuna sehem katupiga huyu jamaa Gar aliagiza mwezi wa kumi na moja na kaanza kuimiliki January. Chakushangaza Bandarini lilikaa miezi 8. ????

    • @khadijamwenda1851
      @khadijamwenda1851 Год назад +1

      Wewe ndo hujaelewa Kasema kabisa bandari ilikaa miezi 8 kasikilize tena

    • @josephatmaruka4612
      @josephatmaruka4612 Год назад +1

      Aliagiza mwezi wa kumi na moja mwaka jana, akaimiliki January,bandari ilikaa miezi nane. Hapo ndo nimepata shida kuelewa.

    • @mosseskahemela2969
      @mosseskahemela2969 Год назад

      Kwan huyo c ni mbongo

  • @Kny-tn1mg
    @Kny-tn1mg Год назад

    Nairobi hatushangai..zipo

  • @alibinali_
    @alibinali_ Год назад +1

    Ilikuwa Nairobi hiyo gari ikaja Mombasa jamaa kanunua hiyo GMC ni noma sana

  • @ibrahkartel9778
    @ibrahkartel9778 Год назад

    Dah kuna watu wamebalikiwa bwana 😊

  • @rosewangui5340
    @rosewangui5340 Год назад +4

    Hongera kaka .am a professional driver anaweza niajiri? From Nairobi

  • @andrewkibeliveradio
    @andrewkibeliveradio Год назад +2

    Bro nasema gari limekaa bandarini for 8 months, aliagiza gari mnano mwezi wa kumi na moja. Ila, aliipata January 😮😅 sielewi

    • @tinanamalombe4444
      @tinanamalombe4444 Год назад

      😂😂 mwenyewe sijaelew

    • @kaluluu2011
      @kaluluu2011 Год назад

      Uyu bwana Hana mbambamba maana kataja mwezi tu mwaka ajasema huwezi kumuhukumu.... HAWA CYO WALE WABONGO KAMA YULE MBILI KIMO TAPTA TAPTA ANATUMIAGA MAGARI YA WATU MUONGOMUONGO.UYU PIMA MAELEZO TU UTAJUA YUKO REAL

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад +2

    Kmb yanabei nayaona tuu hapa Oman

  • @ahinyula8420
    @ahinyula8420 Год назад

    Nanukuu( wanasiasa ndo wamedeposit) kuitaka iyo GMC

  • @aladizo3530
    @aladizo3530 Год назад +4

    Oman kuna sehemu inaitwa Seeb, ukienda pale utakutana na gari kama hizo kazi zake ni kuvutia maboti tuu 😅😅

  • @HilaryKiba
    @HilaryKiba 10 месяцев назад

    nairob cmg zmejaaa

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat Год назад

    Zanzibar zipo nyingi tuu

  • @ChrissChristopher
    @ChrissChristopher 29 дней назад

    Acha uongo njoo Burundi utalikuta na Uganda

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 Год назад +2

    Masha Allah ❤

  • @abdullahsalim6508
    @abdullahsalim6508 Год назад +3

    Hlo gari ni gari la 5 kwa ubora duniani,narudia Tena GMC ni gari la 5 kwa ubora duniani

  • @coastkheed
    @coastkheed Год назад

    Mombasa Tunalo broo

  • @eugenemimbi1330
    @eugenemimbi1330 Год назад

    achen ushamba bhna zipo nyingi tu