Barnaba - Mapenzi Jeneza [official Video]- Sms SKIZA ( 7637010 ) send to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 1 тыс.

  • @charlomsanifu2660
    @charlomsanifu2660 7 лет назад +245

    Barnaba ni msanii pekee asiye toka kwa mada verse zake zina hisia zote

  • @mamaafricankenya2501
    @mamaafricankenya2501 3 года назад +8

    Tunao skiza hii ngoma aki pitieni na like, ingawa tuna majonzi😭😭😭 ya Baba etu shupavu mtetezi wawa nyonge,, magufuli lala salama my daddy

  • @wanjirundungu753
    @wanjirundungu753 Год назад +6

    nilifosi kupenda pengine eti nafsi itatulia lakini wapi...nikimpata tena ninayempenda bado ananizengua tu.. Mapenzi yanauma😭😭💔mapenzi basi

  • @abubakarshariff9583
    @abubakarshariff9583 2 года назад +27

    1st January 2023 I still listen to this guy's songs.This guy is so talented maze.

  • @tausonsamwel8736
    @tausonsamwel8736 Год назад +3

    I remember those days I had a girlfriend and she was cheating and I had to stay until midnight listening to this song and feeling how she was looking like video vixen of this video...thanks God we breakup and after few months she tested HIV positive and pregnant. I went to test and found myself negative from HIV from that days I learned not to force love... I'm safe my family is safe and somehow we're successful.

  • @timmore2400
    @timmore2400 7 лет назад +6

    Najikuta nashindwa kuna muda nawaza upumbavu (hook!) Vile ulivyonibiduwa naye unambiduwa vilivile Kisha nawaza Vile ulivyonihemea naye unamuhemea vilevile Ni mawazo tu sina plan za kurudi
    i love this song like crazy!! much love from 254 toBarnaba boi

  • @joycesinkala225
    @joycesinkala225 3 года назад +10

    Nhuu wimbo mzuli umenilenga mimi kabisa Barnaba yaani mapenzi yanauma sana kakangu 💓💓💕💕💞💞😭😭

  • @tundamanofficaly4874
    @tundamanofficaly4874 6 лет назад +51

    kama hujawahi penda sana afu ukaachwa huwezi Iielew hili goma

    • @bilihaniadriano9446
      @bilihaniadriano9446 5 лет назад +1

      😢😢

    • @janethrobert5513
      @janethrobert5513 4 года назад +2

      Tunda man officaly 😂😂😂😂😂

    • @gracemmasi2141
      @gracemmasi2141 4 года назад

      Acha tu 😭😭😭😭, tunaish kwenye dunia ambayo tunawatesa wanaotupenda na tunawapenda wanaotuumiza😭😭😭✋ mapenz yanauma acha tu 😭😭🙏

    • @Stephen-ej8fr
      @Stephen-ej8fr 4 года назад

      Sad story💯

    • @mohamedsuleiman7215
      @mohamedsuleiman7215 3 года назад

      @@gracemmasi2141 😅😅😅😅😅

  • @elishampinda4102
    @elishampinda4102 7 лет назад +20

    Bongo wanaweza sema hatupendani bigup barnaba mapenzi jeneza

  • @foibemahimbali2716
    @foibemahimbali2716 6 лет назад +1

    Daaah yatapita tu bna,, kma cio rizik bora iendee.big up barnaba..... Touching song ,, nakubar,,, gudy heat whoaa... Luv it

  • @drkaswalala
    @drkaswalala 7 лет назад +54

    Touching story!
    Big up Sana mtu mzima Barnaba
    Yatapita(tumeumbiwa kusahau)

  • @YustaOthman-jr8se
    @YustaOthman-jr8se Год назад +1

    Niliachagwa na mpnz wang nilifukuzwa kz gafla nae akaniambia tuachane yn nilipata tabu sana kumsahau. Gafla mungu akaniletea chaguo langu nampenda sana na naishi nae.nyimbo ina nikumbusha mbali sana

    • @mariamibrahj1591
      @mariamibrahj1591 Год назад

      Mie ndo napitia hii hali sahivi na nimeachwaa na mtoto,,ooh hope nami nitampata chaguo langu..

    • @YustaOthman-jr8se
      @YustaOthman-jr8se Год назад

      @@mariamibrahj1591 pole sana mungu atakupa Chaguo lako mpz

  • @marysimbeye2897
    @marysimbeye2897 7 лет назад +17

    nakupendaa sanaaa barnaba

  • @bryanjonathan6312
    @bryanjonathan6312 7 лет назад +1

    Vile ulivyonibidua naye unambidua vilvile...vile ulivyonihemea naye unamuhemea vilevile...ur the best"

  • @Minajaga
    @Minajaga 7 лет назад +55

    Mi ndomana sipendi ngoma zako, sa ndo nini unanitoa machozi jamani,,,, kupenda baaasiii heee yatakishaaaa. 👏👏👏👌

  • @evansbulali8914
    @evansbulali8914 Год назад +2

    Wapi likes za huyu msela ! Mob love from +254

  • @aminaoman7597
    @aminaoman7597 7 лет назад +13

    Nampenda sana huyu ninnomaa😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😙😙😙😙😚😚😚😚😚

  • @nattaliakhaleef1630
    @nattaliakhaleef1630 5 лет назад +1

    Yani hii wimbo ukiusikilz unakuumz kabisa dah barnaba upo juuu kaz Buti iv iv

  • @josphatkimani7419
    @josphatkimani7419 2 года назад +7

    Mapenzi inauma sana,kwanza ukipenda mtu akupendi......na ni kweli mapenzi inaeza kkupeleka jehanamu.....wenye bado tunalia 2022 juu ya mapenzi tujuane

  • @godfridamulokozi8707
    @godfridamulokozi8707 2 года назад +4

    Ni watu wachache ambao hawajatendwa kwenye mahusiano. So kila ausikilizae lazima aupende. Big up sana Barnaba.

    • @dastankomba7204
      @dastankomba7204 Год назад

      Kama yupo ambaye hajatendwa basi bado ajaingia kwenye mapenzi ila ukiingia lazima mbuluzane kwanza ndo somo lenyewe la mapenzi

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 5 лет назад +10

    Mapenzi jeneza+washa +nyang'anyang'a ___🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 umeitendea haki album....💯

  • @movie_zone254
    @movie_zone254 7 лет назад +80

    Gonga like kama unadhani afaa kufanya collabo na Alikiba.....wimbo mtamu sana

  • @caphersimba2381
    @caphersimba2381 7 лет назад +17

    Yatakwishaaaaaa. Ntampata mwingine nafsi itatulia............. Haha

  • @Zahrazahra-mc1kw
    @Zahrazahra-mc1kw 7 лет назад +46

    nimependa ngoma kareeeeeee sema woyoooooo😘😘😘😘

  • @jacquelinemwiza5929
    @jacquelinemwiza5929 6 лет назад +19

    Mapenzi yanaweza kukupeleka jehanamu 😱🤷🏻‍♀️👌❤️

  • @clausngowi5015
    @clausngowi5015 7 лет назад +238

    Inanikumbusha demu wangu flani alivyokuwa ananiringia...sasa yashapita nimepata mwingine na tumeoana na ananipendaje..yule anazeeka tu. gonga like kama kwako yamepita😂😂😂

  • @elishanoel2401
    @elishanoel2401 4 года назад +6

    Naipenda sana hii nyimbo kusema ukweli huwa nikiisikiliza nakumbuka mbali sana🙄🙄😭😭😭

  • @aminaislam934
    @aminaislam934 7 лет назад +58

    Huu wimbo unanigusa sana. Big up

  • @nasilaabdala32
    @nasilaabdala32 6 лет назад +10

    Penda sana ngoma zakoo,,, hukoseagiii👊👊

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 4 года назад +1

    huy kaka anajua kuimba kweli.. saut kali. voko kam lote

  • @karembobaya9473
    @karembobaya9473 7 лет назад +31

    Nakpenda Barnaba....kaz nzuri mkubwa wangu

  • @evelinamayenga8233
    @evelinamayenga8233 Год назад +1

    Daaah huu wimbo mpaka nimeweka wakuitia kwa sm yangu ni mwaka sas sijabadilisha love this song

    • @EvelinaMayenga
      @EvelinaMayenga 10 месяцев назад

      ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 лет назад +327

    Nani bado ana uskiza huu wimbo ulivyo mtamu gonga like ✔✔✔✔✔✔🗣🗣🗣🎧🎵🎼🎶🎸😍

  • @eaupdates4825
    @eaupdates4825 7 лет назад +90

    ntakuwa nimefanya makosa makubwaaa saan kupita bila comment bonge ya NGOMA bigg upp

  • @phiniasgewa4449
    @phiniasgewa4449 7 лет назад +53

    huuu wimbo unatoa machoz jamn hasa km ulishawah kuumizwa na mapenzii😭😭😭

  • @archkeels3753
    @archkeels3753 7 лет назад

    Nimekuwa WA 99 kukomenti kwa brother angu barnaba namkubali mgonge like wajanja WA musik all the way from Korea ya kasikazin

  • @zawadicharles4651
    @zawadicharles4651 6 лет назад +10

    honhera xn my bro, wimbo wako unanikumbusha kipindi flani hv yalinitokra yalionitokea ila yashapita nami namshukuru mungu hakuna kinachodumu milele, wimbo mzuri xn hongera my dear😍😍

  • @mwanashajayomwalimu5231
    @mwanashajayomwalimu5231 6 лет назад +1

    Haiwezi maliza wiki bila ya kuiangalia hii ngoma yaani hapa barnaba salute kwako inamgusa kila anayejua nini LOVE

  • @atwabimpindo2735
    @atwabimpindo2735 7 лет назад +39

    da! msanii anaejua siku zote mwendo wake wa kimya

  • @aloyceremmy9629
    @aloyceremmy9629 4 года назад

    Yani barnaba sijui kwanini napenda mziki wako kupita kiasi daa nakuombea mungu ufanikie na dunia ikujye

  • @marieh1125
    @marieh1125 7 лет назад +24

    Nice tune am obsessed OMG i cant get enough of it I am barnaba's number 1 fan

  • @rosset7033
    @rosset7033 2 года назад +2

    Ni mawazo tu sina plan za kurudi... Mapenzi yanauma big up. Barnaba ngoma tamu Sana hii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ilawaters708
    @ilawaters708 5 лет назад +8

    🌸☺️💋I love you Barnaba and all your music may Elohim always bless you and your family your music moves my soul l feel reborn l love this track but my favourite is 🥰Tuachane Mdogo Mdogo🥰, Thank God l found you, l am going to buy this track next week Sir, Much love from Susanne 🇬🇧

  • @shemejiwaxxl9563
    @shemejiwaxxl9563 7 лет назад +1

    au waziri mkuu wa SHILAWADU. .... we fundi toka enzi za rong number hadi sasa 👏👏👏👏

  • @hidayazil3758
    @hidayazil3758 7 лет назад +12

    Kuna muda nawaza upumbavu, vile............NI mawazo tuu Sina plan za kurudi +254

  • @Editha905
    @Editha905 7 лет назад +1

    Najikuta nashindwa kuna mda nawaza upumbavu....Holy Spirit his is singing someone heart....but sio mimi. 💕💕

  • @akhiiyahya7051
    @akhiiyahya7051 7 лет назад +6

    daaah barnaba mh mapenz jeneza kupenda kaburi

  • @teddynyagawa8581
    @teddynyagawa8581 4 года назад

    Barnaba unajua mpk unazidisha.Mungu akubariki

  • @halimamdee9611
    @halimamdee9611 7 лет назад +7

    mapenzi hayana komando na moyo wang kaubeba kwenye rambo wozaaaaaaaaaa

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 лет назад +11

    Hii ngoma inagusa hisia za wengi well done barnaba

  • @AngelKisubi
    @AngelKisubi 13 дней назад +4

    Nani yuko humu 2025 baada ya heartbreak, kuja kujifariji😢

  • @pena_tz
    @pena_tz 7 лет назад +66

    Ngoma kari sana safi brother

  • @mumbatommy1333
    @mumbatommy1333 4 года назад +17

    Boom! KIBABEEE! Heeh!
    Emma ze boy on the beat(classic!)
    Bribababeiii!!! Pull up! (Radadaa ...)
    Nilimpenda miaka tisa penzi la miezi sita likakatisha upendo
    Chuki akazidisha nakuyaanisha malengo (uouwooh!)
    Najutia muda kupoteza malengo (oooooh!)
    Kama kinywa kakitia pengo
    Mapenzi yanauma (yeee!)
    Nalala! Na moyo sio chuma (eeeeeeh!)
    Na mapenzii hayana Komando (enhe!)
    Na moyo wangu ("eheheheeeh")naubeba kwenye Rambo (eeeh!)
    Onanananaa, Niliforce kupenda pengine eti nafsi itatulia
    Ila wapii kipendacho roho hula
    Nyama mbichi (Onanananaa! aaaaah! eeeeeh!)
    Sina budi kukubaliana na uamuzi aliochukua
    Kama mpenzi ntapata mwingine na nafsi
    Itatulia 'mmmh' Onanananaa! aaaaah! eeeeeh!
    Yatakishaa
    Hizo nyodo za kupostiana Instagram, Yatapita!
    Mara Snapchat, mara Facebook na ntasahau!
    Nitaachacha kulia na mwili kubaki kaukau
    Najikuta nashindwa kuna muda nawaza upumbavu (hook!)
    Vile ulivyonibiduwa naye unambiduwa vilivile
    Kisha nawaza
    Vile ulivyonihemea naye unamuhemea vilevile
    Ni mawazo tu sina plan za kurudi
    Kwa alivyoniadhibuuuuuh, ebwana usiskie
    Mapenzi yanauma (yeee!)
    Na moyo sio chuma (eeeeeeh!)
    Na mapenzii hayana Komando
    Na moyo wangu kaubeba kwenye Rambo (Noooouoooh!! "eeeeeh")
    Yatakwisha
    Hizo nyodo napiga simu unajitia hunijui Yatapita'
    Mara unakata
    Mara unampa mpenzi wako kunitukana, na ntasahau (nooooouooooooh!)
    Mwili kubaki kaukau,
    Mwanzoni nilishindwa kwa sasa ninasema 'mapenzi basi'
    Penzi lako painkiller 'nami nasema basi'
    Penzi lako snak 'kukupenda basi'
    Kupenda basiiiiih!! noouoooh! 'mapenzi basi'
    Penzi lako painkiller 'nami nasema basi'
    Penzi lako snak 'kukupenda basi'
    Kupenda basiiiiih!! noouoooh! 'Yatakwisha!'
    Yatakwisha babee iiieeeh enheee! 'Yatapita'
    Mapenzi yanaweza kukupeleka Jehanam 'nantasahau'
    Nantasau (Noooouuuuh!)kichwani mwangu ntakutoa 'mwili kubaki kaukau'
    Mwilii, Mwilii! iiiih!
    Goes around comes around
    This is Barnaba boi Classic
    Be happy in Your Lives Baby
    Classic

  • @mawazowoodzzzmawazovert8181
    @mawazowoodzzzmawazovert8181 5 лет назад +7

    Congratulations bro this song is killing me I love it so bad ohh 🙌💖💝💞😍😍

  • @jessewhagwan.2006
    @jessewhagwan.2006 7 лет назад +8

    sooooo deep ,Barnaba ndio mkali wao

  • @hadijashabani2686
    @hadijashabani2686 6 лет назад +11

    😢😢😢daah km umenimbia mm💔🙏

  • @hadassperez494
    @hadassperez494 7 лет назад +105

    Shabiki wako miaka buku😥😥😥.

  • @tzclevistv3385
    @tzclevistv3385 7 лет назад +9

    Asante kututoaa Stress za mitandaonii CLASSIC HIMSELF. 🌟🌟🌟🌟🌟

  • @jamesdavidkawongajr4418
    @jamesdavidkawongajr4418 7 лет назад +3

    This is one of the best songs in Tanzania.... nimekuwa nikirudia rudia kuisikiliza mara zote hongera Barnaba

  • @mhando2553
    @mhando2553 7 лет назад +4

    nyimbo nzuri sema wasani wetu bwana mpaka watendwe ndio akili za utunzi zina ongezeka we need to change

    • @aminajuma1435
      @aminajuma1435 7 лет назад

      mhando255… hahahaha, mpaka waumizwe kimapenzi😀😀

  • @esterkimath7362
    @esterkimath7362 5 лет назад +4

    ❤️❤️ nyimbo nzuri sana yenye maudhui mazuri pia

  • @juniormike4428
    @juniormike4428 3 года назад +3

    Nikiwa Kama muhanga wa mapenzi big up broo nyimbo zako zinanifariji 🙌🙌

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 года назад +1

    Yaan unajua hadi unakera🔥🔥🔥

  • @robertosiemo340
    @robertosiemo340 7 лет назад +11

    Always on top

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 6 лет назад

    Kipindi hichi nimeachama na baby najifariji tuuuy mwenyew kupitia hii nyimbo asante barnaba

  • @emmaculateaokoochieng6911
    @emmaculateaokoochieng6911 4 года назад +4

    Wow,,,🎼🎼🎼🎶🎶🎶💃💃💃💃😘😘😘♥️♥️yanauma kweli 🙆‍♂️🙆‍♂️🎶💃💃💃am here 2020 july wapi likes zangu,,i just like this guy,,,barnabas nawaza upumbazu ,,,can't stop dancing 🎶🎶💃💃💃💞💞

  • @johnson1042
    @johnson1042 7 лет назад

    kazi yako naielewa sana kaka mkubwa #team barinaba mwanzo mwisho washamba wale awawezi elewa

  • @janethmabula2314
    @janethmabula2314 6 лет назад +10

    you touched my heart daah.....Nimekua n mtu kwenye mahusiano miaka kama 4 hiv lkn baada tu y kua busy n Masomo ndani y miez 2 kanisaliti daah mpk kambebesha mtu MIMBA...inaumiza sana but I hope yatakwisha. Big up bro

  • @zennawazir6413
    @zennawazir6413 7 лет назад +1

    me shabiki ako ntasimama hata ukikaa....keeping the gud music alive....salute baba steve....✌️✌️✌️✌️

  • @kidahyarevocatus8203
    @kidahyarevocatus8203 7 лет назад +5

    Album lini,sio kW melody hizi Mzee Barnaba....

  • @kiddatu7
    @kiddatu7 7 лет назад

    Huyu jamaa huwa habahatishi kabisa ....yani kwaufupi nyimbo zake miaka mia hazizimi katu

  • @madezikilonda2407
    @madezikilonda2407 7 лет назад +12

    keep the good music alive, 🙏🙏🙏🙏

  • @imaniamri1803
    @imaniamri1803 6 лет назад

    hihi nyimbo naipenda sana nimetendwa na mume wangu yaan alimwambia maisha yangu yote yule mwanamke maisha yangu na hata tukigombna anamsimlia na mwanamke alikua tunaish nae nyumba moja yule alikua rafk angu anawa anataka kuingia kwa nguv kweny ndoa yangu alinisababisha talaka 2 na sasa nipo na mume wangu lakin siwenz kumsahau yule mwanamke aliuyumbisha sana ndoa yangu

  • @alexhamis8986
    @alexhamis8986 7 лет назад +11

    Hii ni moja kati ya dhahabu chache zilizobakia katika kiwanda cha muziki "classic" hapa Tanzania ambayo bado Watanzania hawajatilia maanani thamani yake... Kazi nzuri kama kawaida yako! Endeleza vita ya muziki classic kaka

    • @josephsanga3408
      @josephsanga3408 7 лет назад

      from kibit sielewii kiswahili ila hiii ngoma mamae

    • @mauasalum5291
      @mauasalum5291 6 лет назад

      Hii ngoma naipenda joman!!!!

  • @EvaMgwala-pe9pj
    @EvaMgwala-pe9pj Год назад +1

    18 December I have still listening to this guy song,,it make me memories a certain day when the love was destroyed

  • @khadijaali4989
    @khadijaali4989 7 лет назад +4

    🤔🤔🤔yatapita Kweli kazi nzuri Sana mungu akuzidishie kipaji chako 🙏

  • @Kimba1999
    @Kimba1999 7 лет назад +1

    I really iyo ngoma nikali sana brother keep up bro 🎥📹👓

  • @catharinelazaro9710
    @catharinelazaro9710 7 лет назад +10

    You always makes us wonder....I love you

  • @dorothmalekela3974
    @dorothmalekela3974 2 года назад

    Yani umenikumbusha mbali niliachwa bila kosa ,dah niliumia sana ,yani sasa mwenzangu anaangaika mimi najilia rahaaaa nipo na wangu wa ubani

  • @catherinemgaya8498
    @catherinemgaya8498 7 лет назад +9

    daaaaaah mapenz yanauma e bwana usisikie,umenitach Sana u wimbo,BG UP Broo

  • @aminamasumamasuma9771
    @aminamasumamasuma9771 6 лет назад

    Duu point ngoma Kali sn siichoki kwa kweli kuisikiza maana ndo maisha ya kila cku duu

  • @katusiimesharllote6659
    @katusiimesharllote6659 5 лет назад +5

    Too much love from Uganda 🇺🇬 I love ur music Banarba

  • @takiesmail6808
    @takiesmail6808 7 лет назад

    Wewe ndiyo king naye kuwelewa mashairi yamenda shule voice tam yani unacfa ya uwana muziki haswa.

  • @iamviqtoriah6132
    @iamviqtoriah6132 7 лет назад +8

    loving the vibe

  • @juliaphilemon4347
    @juliaphilemon4347 7 лет назад +1

    pole mwaya jaman!! ila wimbo mzuri xna keep it up kweli yatakwisha vumilia tu😭😭

  • @mptalent2104
    @mptalent2104 4 года назад +5

    Mapenzi hayana komando na moyo wangu kauweka kwenye rambo😥😥

  • @LindaAchakulwa-sy7xw
    @LindaAchakulwa-sy7xw Год назад +2

    I can't stop listening to this song,,big up barnaba💪💪

  • @latifakassim2932
    @latifakassim2932 7 лет назад +3

    Nice video ...I love it.

  • @sharifasharif5368
    @sharifasharif5368 2 года назад

    Kiukweli jombaa B unaukosha sana moyo, salt kwako Barnb

  • @japhetshirima8697
    @japhetshirima8697 7 лет назад +3

    when i say music ,i mean this.....am always loyal to what u do brother...good music alive

  • @kelvinkaijage3275
    @kelvinkaijage3275 3 года назад

    Lakni hyu ndo msanii anaejua mambo ya mziki kuliko wote africa mashariki

  • @jackienjeri5148
    @jackienjeri5148 7 лет назад +5

    Noma sana.You nailed it Bro.I love how you sing with
    alot of passion.Soo much in love with this good job.

  • @husnangapu502
    @husnangapu502 7 лет назад

    Nimependa huo wimbo, nimependa pia huyo dada alivopendeza na hiyo sketi nyeupe na hiyo top anavotembea, nimependa sana

  • @idakid3941
    @idakid3941 7 лет назад +12

    Nakubali kaka

  • @fatumakilave5599
    @fatumakilave5599 7 лет назад +26

    I like the way u sing, you are sound make me crazy always. Good music

  • @noreenitenyo7107
    @noreenitenyo7107 7 лет назад +9

    Wow....I like this

  • @justinemico1871
    @justinemico1871 6 лет назад +8

    Nimekuja tuungane baada ya kuumizwa

  • @prettychipps9054
    @prettychipps9054 7 лет назад

    yatakwisha na ntasahau.. kudadeq bonge La ngoma hakyanani mapenz jeneza

  • @josebrownbongo9777
    @josebrownbongo9777 7 лет назад +4

    kali kinoma..mapenzi jeneza sio utani

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 6 лет назад

    Mimi na kupenda sana tu usitesekwe moyo ila kwa shariti moja mpe mungu maisha yako uone uleupendo wa kweli siku zote una sura mbili ila kwa mungu ni sura moja upendo tuuu