Barnaba feat Mbosso & Yammi - Nibusu (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 3,5 тыс.

  • @IsaacNgulimi-is6vq
    @IsaacNgulimi-is6vq 6 месяцев назад +2157

    Kama unaamini Yesu anakupenda like hapa❤

    • @PizzoBeatz
      @PizzoBeatz 6 месяцев назад +44

      Acha kulitaja jina la bwana bure ww

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 6 месяцев назад +25

      Acha kutaja jina la Bwana Mungu wako mahali pasipo husiana

    • @savage-sf4ox
      @savage-sf4ox 6 месяцев назад +11

      Haina haja ya kuandika jina la yesu huku mzee behave

    • @MarcNgendakumana
      @MarcNgendakumana 6 месяцев назад +7

      Acha umama bro😂😂😂

    • @DjsmokyUrban
      @DjsmokyUrban 6 месяцев назад +6

      ​@@yustomwaisomania2587vibaya kweli lakini kaandika Yesu...sio Mungu

  • @paulthemwalimu
    @paulthemwalimu 5 месяцев назад +112

    Marafiki wa Mbosso let's all Camp here 😭🔥
    Representing 🇰🇪

  • @MuemaMwololo
    @MuemaMwololo 23 дня назад +14

    mbosso hapo umeweza wezangu wapi likes 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kinglongoiofficial8553
    @kinglongoiofficial8553 6 месяцев назад +252

    Bwana yesu asifiwe wapendwa mungu anawapenda bado milango ipo wazi❤❤❤

    • @JoyceJackson-ti4nb
      @JoyceJackson-ti4nb 5 месяцев назад +6

      Hakika Yesu anasubili tugeuke nyuma na kutambua makosa yetu tukatubu, yupo tayar kutusamehe.

    • @Benazach
      @Benazach 5 месяцев назад +5

      Nonsense

    • @jumakwame6518
      @jumakwame6518 5 месяцев назад +3

      Amen

    • @jumakwame6518
      @jumakwame6518 5 месяцев назад +3

      Ubarikiwe❤

    • @QuincyKombe
      @QuincyKombe 3 месяца назад +1

      Haijawahi fungwa... wacha tabu wewe

  • @iteritekabenjos-xr7yv
    @iteritekabenjos-xr7yv 6 месяцев назад +362

    Kama uko hapa cause mbosso like me🎉🎉🇧🇮🇧🇮🔥🌹

  • @wambuievelynwaithira
    @wambuievelynwaithira 2 месяца назад +7

    Nimeishi kutafuta hii wimbo,the best dedication forever 🙏❤❤❤

  • @cleavededajao4673
    @cleavededajao4673 6 месяцев назад +66

    I respect Artists
    But in east Africa, Barnaba is the King
    A silent king whom is recognised by fellow musicians 🎉🎉🎉

    • @UshizooGang
      @UshizooGang 6 месяцев назад +1

      Nomaaa sanaa mzee

  • @Michaeljaja-tq9nh
    @Michaeljaja-tq9nh 6 месяцев назад +595

    Likes za Barnabas ziko wapi

  • @AlmaCisse
    @AlmaCisse 6 месяцев назад +10

    On Behalf of my Family, my Village people, my Ancestors and also my Wicked Landlord, we approve this Song #Nibusu Wana Mbosso tupatane hapa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @LSBproduction.
    @LSBproduction. 6 месяцев назад +26

    Apa unyama ni mwingi,,Yami anaupiga mwingi,,Mungu akuzidishie mamaa,,masnitch wengi wanakubonga vbaya ila unanyota mamaaa💥💥

  • @matugarecords
    @matugarecords 6 месяцев назад +532

    Tulio upande wa mbosso tujuane kwa likes hapa 🔥🔥

  • @danielmenza9263
    @danielmenza9263 6 месяцев назад +10

    Sautiiiii bro mbosso yaaann umetishaaaaa kama ww n team yake gonga like

  • @BongoVibesTV
    @BongoVibesTV 6 месяцев назад +160

    Mbosso hajawah kutuangusha, wapi likes za Mbosso 🔥🔥🔥

  • @MussaMlowe-w5g
    @MussaMlowe-w5g 6 месяцев назад +215

    Like za mboso apaa❤❤❤

  • @najmanetworks3430
    @najmanetworks3430 4 месяца назад +13

    Sauti ya barnaba hunimaliza aki❤

  • @RadjaboyKubita
    @RadjaboyKubita 6 месяцев назад +75

    Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu ✌️

  • @MakulaAamaal-uu7eu
    @MakulaAamaal-uu7eu 6 месяцев назад +53

    Ila Barnaba siku nyengine utafte dem wako yammy muachie mbosso🔥🔥❤️❤️😂😂

  • @MohamediIwodya-y7u
    @MohamediIwodya-y7u 3 месяца назад +71

    sawa wale ambao wanajua mungu ni kimbilio letu tuje kwa likes apa❤

  • @IsraelmallyaIsraelmallya
    @IsraelmallyaIsraelmallya 6 месяцев назад +541

    Kama unamkubali MBOSO naomba Likes🤲🤲🤲

  • @dennoh1028
    @dennoh1028 6 месяцев назад +19

    Barnaba always never disappoints, biggest fan from 254❤🇰🇪🇰🇪

  • @Annakileo-j8y
    @Annakileo-j8y 4 месяца назад +6

    Anaemkubali huyo dada kama anavyo jikubali ,mimi wa kwanza nani mwingine ajionge hapa tumuone mauwa yake yamfikie popote alipo....❤❤

  • @mdeeyoofficial813
    @mdeeyoofficial813 6 месяцев назад +41

    Watanzania kuliko waisuku iendee mbali ngoma Kali hii wanahangaika Navi amapiano visivyo naladha yeyote nyoko mbwa nyinyi mimi natokea uganda

    • @haidarybrown427
      @haidarybrown427 6 месяцев назад

      Sasa nyie nyimbo zenu zinasikika wapi😂😂

    • @abdulmohamed3394
      @abdulmohamed3394 6 месяцев назад

      Jifunze kuandika kwanza halafu ndo uje tena.

    • @ChrisCollins-oj2fx
      @ChrisCollins-oj2fx 6 месяцев назад

      Si ufatilie ngoma zenu. Mambwa nyie

  • @Dr.Tamim_225
    @Dr.Tamim_225 6 месяцев назад +169

    Kama unadhani "Barnaba" kafanya vizuri ebu angusha “like” kivyovyote, kwa wale wapenzi wa sauti za “chumb………” weka “like”

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 6 месяцев назад +12

    YESU ndiye kweli na njia ya uzima, kama unaamini hilo sema Amina 🙏🏻

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 месяцев назад

      Ngoma mzuri xana

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 месяцев назад +1

      Nouma xanaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 месяцев назад

      Nouma xanaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 месяцев назад

      Nouma xanaa

    • @Chibertv
      @Chibertv 6 месяцев назад

      Nouma xanaa

  • @MoreenKariuki-m9x
    @MoreenKariuki-m9x 6 месяцев назад +15

    To my future kids by force by fire mtapenda nyimbo za mbosso ama mhame kwangu

  • @BaruMasimango-zo2se
    @BaruMasimango-zo2se 6 месяцев назад +18

    Safi sana barnaba mi fan wako kutoka congo❤

  • @GraceNdunge-ng5jo
    @GraceNdunge-ng5jo 5 месяцев назад +17

    Kama mbosso anakunice nipee like❤

  • @johnndegwa67
    @johnndegwa67 6 месяцев назад +16

    Chui wasanii pumzi, Ngoma kubwa, insha'Allah 💯

  • @abigailabby9096
    @abigailabby9096 6 месяцев назад +28

    Nawapenda wote waimbaji, wimbo yawo iko mzuri sana mnipe likes nrudi please

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 6 месяцев назад +9

    Ila Yammy mwalimu kweli..Mbosso do alihitajika na shaifanya iwe bora zaidi ya ilipokuwa🎉

  • @PrincecJuma
    @PrincecJuma 6 месяцев назад +16

    Like Kwa mbosso khani muhindi WA 🇹🇿

  • @LuluMideko
    @LuluMideko 6 месяцев назад +35

    Wangapi wamesikiliza Huu wimbo zaidi ya Mara 10 tujuane hapa ❤🎉🎉😂

  • @Jofuboy
    @Jofuboy 6 месяцев назад +156

    Ila mbosso anajua kuwashika shika kama unakubalian na mm gonga like twend sawa ❤❤❤😂😂😂

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 6 месяцев назад +6

    Wimbo mzuri sana,, ile verse ya barnaba ni 🔥🔥🔥🔥mngeiweka japo pia huu ni mkali😊

  • @dr_ridhiwan
    @dr_ridhiwan 6 месяцев назад +242

    Hivi hizi LIKE mnazoomba Zina kazi Gani??? Sitaki Mtu Alike hii Comment yangu 😊

  • @SamyBoudan
    @SamyBoudan 5 месяцев назад +28

    Sapoti langu toka drc🇨🇩 ngoma kali hii hapa i say 😂 naombeni like piya

  • @reyreh
    @reyreh 6 месяцев назад +6

    mi ndege wako nitarejea niruke niende wapi❤❤❤ nibusu nami nikubusu, pambe tuuu👌🏽

  • @dhahabuwario9823
    @dhahabuwario9823 6 месяцев назад +12

    Hii ndio inabamba motoo🔥🔥❤️

  • @Spartacus-gaz12
    @Spartacus-gaz12 6 месяцев назад +2

    Doctor wa nyimbo za mapenzi 𝐌𝐛𝐨𝐬𝐬𝐨 hujawai kunihangusha ❤❤❤❤❤

    • @pascalntunda7469
      @pascalntunda7469 6 месяцев назад

      ukimsikiliza utaweza fikiria hamna shida kwenye mapenzi

  • @PeterNyolde-uc2po
    @PeterNyolde-uc2po 2 месяца назад +3

    MBOSSO NI BORA EAST AFRICA...💥💥💯 Mimi ni Natoka KENYA.

  • @NDAbrunce
    @NDAbrunce 6 месяцев назад +49

    Tunaludi kwa barnaba like nyingi kwa mbosso ❤💯

  • @MrTariQ345
    @MrTariQ345 6 месяцев назад +2

    Ah wee❤wakali watatu wamekutan hakuna kazi mbovu...fundi wa muziki barnaba

  • @daudimwanza
    @daudimwanza 6 месяцев назад +212

    Wenye wako hapa Kwa ajili ya mbosso wagonge likes hapa🔥🔥wcb

  • @GodeyTz
    @GodeyTz 6 месяцев назад +43

    Fans of mbosso tuje hapa❤

  • @allysunday8614
    @allysunday8614 6 месяцев назад +1

    ..wamekutana mafundi 3 ....safi sana... kila mmoja na uimbaji wake na melody tamu.... big up nyimbo nzuri sana kwa kumshirikisha Mbosso

  • @Mayomusic_tz
    @Mayomusic_tz 6 месяцев назад +119

    Kama unampenda yammy gonga like apa 👍❤️❤️‍🔥

  • @SaidShazir
    @SaidShazir 5 месяцев назад +111

    Kama unamkubali yami gonga like

  • @DavidJumah-ez4yw
    @DavidJumah-ez4yw 2 месяца назад +2

    From KENYA 254 Mbosso plays good music with strong message...best African talent

  • @JonathanMwendwa-j4n
    @JonathanMwendwa-j4n 5 месяцев назад +2

    Kusema ukweli napenda hawa wasanii Sana Tz congrats nawatambua sanaaa

  • @francispaul5806
    @francispaul5806 6 месяцев назад +64

    Tuliozama kwenye huu wimbo tupeane like hadharani

  • @adembeza
    @adembeza 6 месяцев назад +1

    Nimeandika hii comment kabla ya kuiangalia video. Najua ni kali tena sana. The top 3 in one song? This is most definitely VERY GOOD!

  • @shawaljuma5581
    @shawaljuma5581 3 месяца назад +3

    Kama kitanda kitalegeya tushuke kwenye busati❤❤❤ hii taaaaaaam jamanii

  • @ogatidennis6624
    @ogatidennis6624 Месяц назад +1

    Hakika huu ni utunzi umeenda skuli....jameni ❤ ii combination hathari . congratulations 🎊

  • @fandramagirl4217
    @fandramagirl4217 6 месяцев назад +36

    Kama ww umeangalia huu wimbo zaid ya mara 1 likes hapa ❤

  • @KingSummervibes
    @KingSummervibes 4 месяца назад +5

    Huyu mtoto Yammi jamani moto....Zuchu jipange vywema mama😁😁

  • @nathangeor
    @nathangeor 4 месяца назад +1

    Kwahuyu jay sio mchezo safari ipo kubwa sana his future is bright
    Jay brother keep shinning 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @savage-sf4ox
    @savage-sf4ox 6 месяцев назад +43

    Kama ngoma ni kali gonga like hapa ❤️

  • @Joan-d7e
    @Joan-d7e 6 месяцев назад +3

    Hii ni kali sana big up Kenya tunawapenda sana

  • @mosesjacob-w6d
    @mosesjacob-w6d 2 месяца назад +1

    Hii ngoma nimesikiliza siku tatu mfululizo hadi umeniingia kwenye mzunguko wa damu👊

  • @KingAlphonse-dw9zb
    @KingAlphonse-dw9zb 6 месяцев назад +8

    Wapenda kitovu cha yammi muko wapi ❤❤

  • @movingdiamonds5718
    @movingdiamonds5718 6 месяцев назад +8

    Hii video imekaa kinyama zaidi ya ile ya kwanza.......Hii imekaa kimahaba zaidi ndio video za namna hii tunazipenda.....Asante mbosso kwa kuonyesha mahaba yako hapa.Wakenya gongeni likes zenu basi

  • @BilalMjema
    @BilalMjema 16 дней назад

    Hii nyimbo ili miss kitu na hicho kitu ni mbosso .Tanzanian talent.

  • @paulgray4313
    @paulgray4313 6 месяцев назад +3

    Flow ya Barnaba is on Fire.He killed it 🔥🔥🔥

    • @farmick
      @farmick 6 месяцев назад

      I'm a song writer and I agree with you brother check my songs to

  • @Casshboy_tz
    @Casshboy_tz 6 месяцев назад +56

    Wanangu wa yammy tujuan kwenye likes apo 🔥

  • @AmedeusShayo-i9c
    @AmedeusShayo-i9c 5 месяцев назад +1

    Huyo ndio barnaba bwana kakutana na mwenye kupanda na vocali ake hahhha yami kauwaaaaaaaa😂😂😂et talk to me boy ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fadhilimbotela1049
    @fadhilimbotela1049 6 месяцев назад +20

    Baranaba, mbosso & yummy 🙌🔥🔥🔥 from Rwanda 🇷🇼 nione like zenu +255 TZ

  • @otiajohn5365
    @otiajohn5365 6 месяцев назад +17

    Yammy na mbosso tunaeza penda kazi yenu nyingine...

    • @ramladhire
      @ramladhire 6 месяцев назад

      Kabisa

    • @BarakerZeonlist
      @BarakerZeonlist 6 месяцев назад

      hahahaha ipi tena 😶‍🌫😶‍🌫😶‍🌫 connection si twiter lakin

  • @mukamiskitchen9736
    @mukamiskitchen9736 3 месяца назад

    Kiba one of the mwimbaji amboeshi,hata shows zake umboeki hata ukilipia pesa zako you enjoy his shows,si kama wasanii wengine wakipa show nyimbo tatu wanaenda zake,kiba nakutambia tena sana, last time ulikua Kenya coast malindi, started raining but you never left, people of malindi we enjoyed your show me and my friends and hubby,by the way your twin,we enjoyed, please we are looking forward to have you back in December December, guys this guy never disappoint,if he is having a show in your town or near you,buy tickets and you will enjoy his performance, also very friendly ❤❤❤❤❤❤❤❤ keep up the good work,mungu akuweke miaka mingi,endelea tu hivo✌️💥❤️

  • @PillyHemed
    @PillyHemed 6 месяцев назад +30

    Kama unamkubali Yammy gonga like hapa

    • @SaygeMagway
      @SaygeMagway 6 месяцев назад +1

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nicholasmusyoka8636
    @nicholasmusyoka8636 6 месяцев назад +10

    Kama unakubali mbosso n star nipe like ❤

  • @MutuaJulius-vq5dy
    @MutuaJulius-vq5dy 6 месяцев назад +1

    Mungu amuru nyota na mbalamwezi zimulike mchana ili watuone tunavyopendana bebi ajali ya Mapenzi mioyo imegongana na sitaki nipone nice nizike.

  • @kerrywilson9898
    @kerrywilson9898 5 месяцев назад +8

    Kama unaamini Barnaba ndo alioandika hili nyimbo npee like😂

  • @AlexWafula-dk5rt
    @AlexWafula-dk5rt 5 месяцев назад +15

    Team mboso like zenu please...WA kwanza kutoka Kenya ❤

  • @sharktusk4931
    @sharktusk4931 5 месяцев назад

    ingawaji kama wakenya tupo kwenye mawimbi ya mabomu ya vitia machozi Mboso bado ndio chaguo letu Bongo nzima❤❤❤❤🎉

  • @happytemu-sl2zt
    @happytemu-sl2zt 6 месяцев назад +10

    Namkubali mbosso Sana kama na we unamkubali gonga like hapa

  • @joshuamwanaharakari9849
    @joshuamwanaharakari9849 6 месяцев назад +14

    Like za Yammi zifike hapa, mtoto anajua huyu🖖🏿🖖🏿🖖🏿

    • @loycejames
      @loycejames 6 месяцев назад

      Sanaaaa❤

    • @DianaNelima-i5i
      @DianaNelima-i5i 10 дней назад

      Kwanza hapo kwa habibii usingizi ndio kitu nakosaaa mpenzi,,, imenifanya nirudie mara karibu ishirini

  • @juniorwakulenja
    @juniorwakulenja 15 дней назад

    Alafu unaweka mdomo kwa wa bongo kumbe album yote ngoma nzur ni wew na msani wa bongo acharoo mbaya wew fala

  • @juddykeruboisaboke-fj4yw
    @juddykeruboisaboke-fj4yw 2 месяца назад +6

    2045 mko wapi❤❤❤like moja

  • @priscusaudifas9936
    @priscusaudifas9936 6 месяцев назад +41

    Anyone from TikTok please, let's gather here🎉😁

    • @Maru-r5t
      @Maru-r5t 3 месяца назад

      Am here 😊

  • @raul7445
    @raul7445 23 дня назад

    Can't get tired of this combo❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥 all my love lyrics in one combo

  • @jumamario-vr1mw
    @jumamario-vr1mw 4 месяца назад +7

    Wapendao mboso gonga like ❤❤❤

  • @kevohdancestar
    @kevohdancestar 6 месяцев назад +7

    Hit TZ music Geniuses 🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢😢😢 Kenyans 🇰🇪 love you nyinyi ni wa bad 👏👏👏👏👏👏👏

  • @bakarichoga
    @bakarichoga 5 месяцев назад

    Barrrrrrnabas,,bravo your vocals are so nice,to yammi no comments ako ka sauti sooo nice then to the boss mr mbosso you are an indian by nature so nice .... Bakari from kenya mombasa my i need my likes down here 👍

  • @SOS_VILLA
    @SOS_VILLA 6 месяцев назад +16

    Am from 254
    Wapi likes za mbosso khan🥳🥳🥳

  • @RommyDaniford
    @RommyDaniford 6 месяцев назад +3

    Nakubl sana wazeee

  • @IvoneNasike
    @IvoneNasike 17 дней назад +1

    zuchu ataweza yammi kweli

  • @Moureen-eu8qx
    @Moureen-eu8qx 5 месяцев назад +3

    Like za yammi ziki wapi ? ❤ wadau

  • @breezyafricana3250
    @breezyafricana3250 6 месяцев назад +11

    Kutoka mombasa naombeni likes zangu Mungu awape umri mrefu nyote❤

  • @Juliethallann-ul1si
    @Juliethallann-ul1si 6 месяцев назад +2

    Wanasema mbosso ndo Star wa nyimbo za mahaba like apa❤

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 3 месяца назад +2

    Na Mimi like jamani hata 5 😢

  • @Yushimelody
    @Yushimelody 6 месяцев назад +4

    Wapi likes za mopao huku ❤❤❤

  • @RehemeAlfonce
    @RehemeAlfonce 4 месяца назад +1

    Niwakati wa kumrudia mungu bado, hatujachelewa🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @Mr_brakonofficialRPH
    @Mr_brakonofficialRPH 6 месяцев назад +6

    Hivi kwel Zina Kaz Kazi gan izo like

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 6 месяцев назад +4

    Kwaiyo Yammy ametumika kote kote..😢

    • @ASHAKHAMISMUSSA
      @ASHAKHAMISMUSSA 6 месяцев назад +1

      Yaani sio poa ila ngoma kali🎉🎉🎉

  • @WiliamuNjimbwi-yr4xu
    @WiliamuNjimbwi-yr4xu 6 месяцев назад +1

    🎉🎉Nibusu mchuchu ❤ baada ya kupita nimezama🎉🎉

    • @elizamtende
      @elizamtende 3 месяца назад

      Ndiyo kabisa mwimbo❤❤❤❤

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 6 месяцев назад +9

    Kam Unahamin Hili Goma Ni Kubwa Tujuwane Kwa Likes Hapa🎉❤🎉

  • @Saidoo254
    @Saidoo254 5 месяцев назад +4

    Sitaki mtu a like hii comment yangu,please

  • @mariamarun1023
    @mariamarun1023 Месяц назад

    Mbosso Khan mwenyewe❤

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM 5 месяцев назад

    Hapa Yami ni mtihani kwa Bilnas, Barnaba na Mbosso sitawalau kwa lolote. Nandy kazi kwako

  • @LaviegimsRamazani
    @LaviegimsRamazani 5 месяцев назад

    Mfalme uwa nasifia pakitokeya mjasili kijijini anapofanya vizuri ama kupambania kijiji chake uwa anapata sifa zake Ndohiyo kafanya Mfalme wa bongo fleva napenda Sana ulichokifanya Mfalme #SNS nawapata Sana Kutoka mother city