Mbarikiwa Mwakipesile apita mahali alipopata ajali. Akutana na wenyeji waliomsaidia.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 98

  • @majaysjrmtitu5300
    @majaysjrmtitu5300 2 года назад +5

    Asante Yesu Kristo kwa wema wako waajabu namna hii. Walinde watumishi wako hawa daima. DAMU YAKO YESU ikanene mema juu yao siku zote.

  • @eliahmhanzi6357
    @eliahmhanzi6357 2 года назад +5

    Kweli Yesu ashukuliwe sana, kwa ajali hii ilikuwa ni fundisho ya kwamba hakuna hatari asiyo weza kutuokoa hakuna lisilowezekana kwake, asante Mungu kwa kutuongezea Imani

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 2 года назад

    Kilicho nitia Moyo Sana nikwamba hamkukata tamaa kuitangaza injili kweli wewe Ni mpambanaji k atika ufalme wa Mungu bwana Yesu kristo atakusaidia kufikia hatima kubwa Sana mtumishi wa Mungu following from Geita Tanzania

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 года назад

    Mbona sehemu ipo vizuri shetani shindwa kwa jina la Yesu

  • @mkongojoomari2657
    @mkongojoomari2657 2 года назад

    Aweza kutuokoa hata asipotuokoa bado atabakia kuwa Mungu;Huwa naingia rohoni kila nikisikiliza nyimbo za Mbarikiwa;Mungu akupe vitisho na Mamlaka ktk jina la Yesu Amina!

  • @daudirubibi9601
    @daudirubibi9601 2 года назад +3

    Ninajifunza mengi kutoka kwako baba. Mimi naamini kuwa ROHO YAKO ITAKUWA JUU YANGU. Ndio maana nakaza butu kwa hali yoyote niwe na MOYO wa upendo kwa watu wengi. Sina mashaka kwa familia yangu na wazazi wangu najua hao ndio watakao kuwa wankwanza kuiamini ROHO YAKO, KWAKUWA MPAKA SASA WANAKUAMINI SANA HATAKAMA HAWAJAKUONA KWA MACHO.
    Lakini nina uhakika ULINIPONYA, UNANIPONYA NA UTANIPONYA ILI NAMIMI NIKAPONYE. NA NITAPONYA KWA NGUVU NA MSAADA WA MUNGU KUPITIA WINGI WA IBADA, MAOMBI NA MAFUNDISHO MENGI YA NENO LA MUNGU TOKA KINYWANI MWAKO, NA WATUMISHI WAKO.
    Ameeen

  • @rosenamenge7891
    @rosenamenge7891 2 года назад

    Mungu ni mkuu analinda watu wake from Kenya 🇰🇪 na penda nyimbo zako mchunganji

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 2 года назад +3

    Kilichonibariki kwa Mtumishi huyu was Bwana ni kurudi mahali pa ajari na kusoma Neno sio wengi hukumbuka kufanya hivyo.

  • @briezedngunda6704
    @briezedngunda6704 2 года назад +1

    Hakuna kama Mungu eye ndiye atendaye mambo makuu makubwa tusiyoyajua mbarikiwe sana sana

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 года назад

    Mimi nasemaka yesu akulinde mbarikiwa milele tena nikasema akuepushe n'a mitego yote adui ana tegaga kwa watumishi wa mungu yesu akupiganie munjia yote iyo ilikuwa bondé la mauti ila amezuia mauti yasifike kwako kwani alisema yesu eti nakunawale hawataonja mauti hâta milele amina

  • @davidmazengo626
    @davidmazengo626 2 года назад +1

    🙏🙏 barikiwaaa sanaa

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 2 года назад

    Hongera sana watumishi wa Mungu kwa ushindi hakika Yesu anaokoa anatulinda

  • @ahadimwakaniemba8401
    @ahadimwakaniemba8401 2 года назад +2

    HALLELUJAH, YESU NI MSHINDI HAJAWAHI KUSHINDWA, MMETUNZWA NA YESU NA NDIYE MTAKAYEKWENDA NAYE AWATANGULIE KILA MUENDAKO.

  • @igiranezablaise7087
    @igiranezablaise7087 2 года назад

    Poleni Sana kweli Mungu anaweza Mungu ataendeleya kuwa protect 🇧🇮🇧🇮🙏🇹🇿

  • @chrispincharles3616
    @chrispincharles3616 2 года назад +1

    Amina sana, hapo naamini itakuja kujengwa madhabau (hema), kuna mbegu ya wema kwa Hao ndugu. Mkono wa MUNGU ulikuwa mkubwa, huenda tungejenga makaburi hapo ila BWANA NI EBENEZA

    • @daudirubibi9601
      @daudirubibi9601 2 года назад +2

      Nikweli kabisa. Huenda tungejenga makabuli hapo. Ila kusudi la MUNGU ni kuwaokoa hao ndugu walio husika kuwatoa wazazi wetu kwenye gali hiyo. UPENDO WA HAO NDUGU HAUTAKUWA WABURE. NA SADAKA YA SUKALI ILIYO JAA SHUKRANI ALIYO TOA BABA Ikaponye na ikaokoe kwa jina LA YESU KRISTO WA NAZALETI ALIE HAI.

  • @maryjustertarimo9858
    @maryjustertarimo9858 2 года назад +1

    MUNGU ni mwema kila wakati. Atukuzwe Mungu juu Mbinguni.

  • @Mzalendo01tv
    @Mzalendo01tv 2 года назад +2

    Mzeee anakumbuku kweliii "etiii tumekufaaaa yesu tumekufaaa""
    Mzeeee hongera sana apewe kimiminika na Wokovu uingie ndani yake

  • @gabrielngoda6197
    @gabrielngoda6197 2 года назад

    Mungu aliekuokoa kwenye hiyo ajali huyohuyo akutoe kwenye bonde unalopita.

  • @thefinalwhistler2493
    @thefinalwhistler2493 2 года назад

    YESU KRISTO NI MWAMBA wetu kweli kabisa Songa mbele watu wajaziri Wa YESU KRISTO

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 года назад

    Dah! mwanao huyo mtoto tulikupenda sana Mungu akupokee

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 года назад

    Hakika ni Mungu tu twasema asante sana Mungu wetu kwakuwakoa wapendwa wetu

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 года назад

    Yesu ni mukubwa ana weza yote kwa kweli chochote kime wezekana kwake amina

  • @blandinalukole5535
    @blandinalukole5535 2 года назад +1

    Nakupenda sana Yesu kwa ajil ya watumishi hawa

  • @valerianakilumile8517
    @valerianakilumile8517 2 года назад

    Pole Sana mtumishi wa Mungu shetani kapata aibu

  • @josephlameck6609
    @josephlameck6609 2 года назад +1

    Mungu wetu tunakushukuru sana kuwaokoa wazazi wetu na ndugu zetu

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 2 года назад +1

    Mungu ni mwemwa sana

  • @remigisrenatus424
    @remigisrenatus424 2 года назад

    Mungu atusaidie tuweke madha bauhuuu ya Bwana

  • @janesemngindo4878
    @janesemngindo4878 2 года назад +1

    Hakika Yesu anaokoa amen 🙏🙏

  • @devotasanga9239
    @devotasanga9239 2 года назад +1

    Hakika hata sasa Mungu amewasaidia sana wazazi wetu.
    Kweli hapo ni mahali pa kukumbukwa sanaaaaaaaaa!

  • @honorathapaschal1523
    @honorathapaschal1523 2 года назад

    Mungu atabaki kubwa Mungu Ameen

  • @restituta5206
    @restituta5206 2 года назад +1

    Asante Yesu kwa yote.

  • @liberatusmathias211
    @liberatusmathias211 2 года назад

    Amina Asante Yesu

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 года назад

    Yesu mnazareth

  • @janesemngindo4878
    @janesemngindo4878 2 года назад +2

    Kuzuia mkoba usiporwe na vibaka hakika anayo imani kubwa.

  • @yohanachaula4399
    @yohanachaula4399 2 года назад

    Ameeen Baba Mungu anaokoa

    • @omegamwaikuju9467
      @omegamwaikuju9467 2 года назад

      Speed 100 kwa gari aina canter ni udereva usio salama kabisa, si kila tatizo ni shetani mengine chanzo ni sisi, mahubir 7:14, Hosea 4:6

  • @sofianafasi6285
    @sofianafasi6285 2 года назад

    Ameeeeeeeni hakika mwokozi hakupita nimeona mkono wake ukiokoa

  • @janesemngindo4878
    @janesemngindo4878 2 года назад

    Huyu Mzee mfanyeni kama ndugu wa damu. Mungu amemtumia pakubwa mno kuhifadhi simu yenu hadi mmerudi, kumzuia mkoba

  • @mamahasanhasan6050
    @mamahasanhasan6050 2 года назад

    Ashukuliwe mungu

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 2 года назад

    Asante Yesu uliwaokoa watu waliokutumainia na mauti ikawa haina nguvu yao.

  • @omanss268
    @omanss268 2 года назад

    Pole sana mutumishi

  • @EricksonEric-u6q
    @EricksonEric-u6q Год назад

    Mungu mwema

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 года назад

    Yesu Kristo hakika ni mwokozi wetu yupo nasi Kila wakati Kila mahali.

  • @magwaza8904
    @magwaza8904 2 года назад

    Mungu aliwainulia watu wa kuwasaidia

  • @NgomeYaUfalmeWaMungu
    @NgomeYaUfalmeWaMungu 2 года назад

    Yesu mwokozi ni mponyaji sana

  • @ev.emmanuelkawema2493
    @ev.emmanuelkawema2493 2 года назад

    Asante Mungu kwa Ukuu wako

  • @alfredbalazire
    @alfredbalazire 2 года назад

    Mungu mwema Baba

  • @danieltingide4187
    @danieltingide4187 2 года назад

    Ameneeeeni yesu amen yesu

  • @susanmshami409
    @susanmshami409 2 года назад

    Hakika mungu ni mungu tu hakuna kinacho shindikana kwake

  • @jafarikidagayo7562
    @jafarikidagayo7562 2 года назад

    Hakika huo ni mkono wa BWANA, tunakushukuru Mungu kwa matendo yako makuu.

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 года назад

    Nampalahala jmn majina mengine

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 2 года назад

    Lakini mlikuwa speed Kali Sana .
    speed +100
    Sio mchezo NI vizuri kuendesha Kwa tafadhali

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 года назад

    Aminaaaaaaa

  • @murishoaloys6327
    @murishoaloys6327 2 года назад

    Amen🙏🙏🙏🙏

  • @aengelukalula7036
    @aengelukalula7036 2 года назад

    YESU MWEMA SANA APEWE SIFA

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 2 года назад +1

    Amen 🙏🙏🙏!

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 года назад

    MUNGU si mwanadamu wala halinganishwi na kitu chochote

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 года назад

    MUNGU ni mwema !!!!!

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 2 года назад

    Hallelujah 👏

  • @elisaalbert3201
    @elisaalbert3201 2 года назад

    Songa mbele mtu wa Mungu

  • @everinasango292
    @everinasango292 2 года назад

    Amen sn

  • @christopherhando8049
    @christopherhando8049 2 года назад

    Wokovu unalipa sana

  • @Mzalendo01tv
    @Mzalendo01tv 2 года назад

    AMINAAA BABA...

  • @miriamma3063
    @miriamma3063 2 года назад

    Ameen🙏🙏

  • @tumainmwasote7004
    @tumainmwasote7004 2 года назад

    YotevyatapitA. Baba

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 года назад

    Ninampenda sana huyu yesu

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 2 года назад

    Yesu aweza Yote

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 2 года назад

    Wewe ni Baba wa wengi hakika

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 года назад

    MUNGU mkubwa polen sna lkn asifiwe BWANA YESU aliyekuwa pamoja nanyi sayan band km c MUNGU aliyekuwa nas adui wangetumeza hai

  • @amashapatrick211
    @amashapatrick211 2 года назад

    Nguruvi va UDaada Vangu Mdiimi Marikiwa Mwakipesile ndikumsaka uyo yemwene ye Agewise imivili givedzage ikyuuma mtane kudenyeka ,mtane kufuua

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah3384 2 года назад

    Vyote hivyo ni kwa utukufu wa MUNGU, shetani ameshindwa kabisa

  • @gracezunda8804
    @gracezunda8804 2 года назад

    Ameeeeeeen

  • @beatricebless2633
    @beatricebless2633 2 года назад

    Amen amen 🙏

  • @alfredbalazire
    @alfredbalazire 2 года назад

    Ameeeena

  • @gooddeeds162
    @gooddeeds162 2 года назад

    Mchungaji nimempenda sana huyu baba na familia yake, Ikikupendeza please naomba andika number yake na mimi nimtumie ya sukari kama sadaka.
    Asante sana

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm 2 года назад

    Amen

  • @gracezunda8804
    @gracezunda8804 2 года назад

    Ameeeen

  • @twendetuishi2316
    @twendetuishi2316 2 года назад

    Nina jambo mtumishi wa Mungu nataka kukuuuliza naweza kupata namba yako wapi?ubarikiwe sana.

  • @gracezunda8804
    @gracezunda8804 2 года назад

    Ameeen

  • @njiailiyonjema
    @njiailiyonjema 2 года назад

    Ebenezaaaaaaaaaa......

    • @richardkivambe8260
      @richardkivambe8260 2 года назад

      MUngu atukuzwe kwahilo wazolangu pale ilipotwatokea ajali nimependa pajengwe kanisa lauponyaji mtumishi mbalikiwa

  • @eliakisinga5360
    @eliakisinga5360 2 года назад

    Ameni

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️

  • @barakandabunganie6585
    @barakandabunganie6585 2 года назад

    Glory be to God

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 года назад

    Amen 🙏

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 2 года назад

    Lakini mlikuwa speed Kali Sana .
    speed +100
    Sio mchezo NI vizuri kuendesha Kwa tafadhali

  • @Elizabeth-777-r3p
    @Elizabeth-777-r3p 2 года назад

    Amen 🙏

  • @rosenamenge7891
    @rosenamenge7891 2 года назад

    Amen 🙏