Mbarikiwa awaka| hatutakiwi kuomba huruma ya Raisi asiye na utu bali kumtaka/kumpa Rai

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 242

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 Год назад +21

    Watu wanaojitokeza kukemea haya mambo Wanasitahili Pongezi kubwa sana.

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Год назад +1

      Sanaaaa tena sana maana kwa Tanzania yetu ilivyo wamejaa wanafiki sana bora hawa wanaojilipua hadharani🙏

  • @IbrahimuJaphet-hx2ns
    @IbrahimuJaphet-hx2ns Год назад +6

    👏👏👏Prof mbarikiwa mwakipesile hata usipo fikia kusudi la kuigeuza Tanzania lakini umejaribu kuigeuza kuishi ni kristo kufa ni faida nakuelewa baba

  • @berthatz
    @berthatz Год назад +6

    Mungu akutunze kaka yangu…Mtanganyika mwenzangu..🙏🏾🫡

  • @PeterNkilijiwa-ij3rw
    @PeterNkilijiwa-ij3rw Год назад +7

    Mtu mkubwa wa Mungu Mbarikiwa nakuombea Mungu akulinde na akuhifadhi vyema,na ukupe utiisho mbele ya hao maadui wa taifa letu,

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 Год назад +10

    Ninavyomjua Mwambukusi ana Msimamo na alisema haongeki, hayumbishwi na Wala hatetereshwi. Huyu jamaa Mungu ampe Urais tuu

  • @juliusgitonga363
    @juliusgitonga363 Год назад +14

    Kwa kweli hata mimi sikuwahi kujua kuwa,kuna kiumbe ambaye anaweza kuongea wasi wasi vile huwa unaongea, Mtumishi wewe ni Mtumishi wa kweli wa Mungu kwa kizazi hiki.

  • @imanihussein9457
    @imanihussein9457 Год назад +4

    hongera sana upo sadihi ,upo vzr unahakili

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Год назад +15

    Mbarikiwa ubarikiwe akupe nguvu mwenyezi mungu.

    • @hatibusozi622
      @hatibusozi622 Год назад

      Acha usenge we uisilam wautaja was nn mtaje anae ropoka

  • @UAMSHOTV
    @UAMSHOTV Год назад +11

    Mchungaji Mungu akubariki Sana Sana, Baba yangu uliezaa utu wangue

  • @StevenAnord
    @StevenAnord Год назад +11

    Mtumishi ongea kabisa ninaamini Mungu atakusimamia kwa magumu yote unayopitia, katika kuitafuta haki.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Год назад +7

    Mungu awe nawe mch Mwakipesile na akulinde

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Год назад +12

    Amen Amen Amen mtumishi wangu 🤝🙏🙏🫶🫶🫶

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 Год назад +22

    Kweli hata mimi sioni sababu ya kuomba hisani kwa rais .Acha tuone hii sinema itaisha vipi ,wasije wakasema ni hisani ya rais imewaokoa .Tusimtegemee mwabadamu tuendelee kumtegemea Mungu na kuendelea kumwomba Mungu

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Год назад +5

    Anaeunga mkono utawala huu ujue nayeye yumo kwenye hongo kbs ubarikiwe sana Mbarikiwa🙏

  • @AliMazrui-rg4he
    @AliMazrui-rg4he Год назад +7

    Maneno mazima kabisa hongera Sana

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh Год назад +1

    Kikosi kazi ubalikiwe kwamaubili Yako mazuli mungu akubaliki sana Tanzania imebaki Niya samia

  • @helbertsoneka2008
    @helbertsoneka2008 Год назад

    Mungu awatetee maana kinachoendelea nchini sijawahi kudhani
    Mungu akubariki sana kiongozi,
    Yaani ukiwa na mawazo tofauti na wenye mamlaka umekuwa adui duuuh

  • @MugishoMwenda-sx6xt
    @MugishoMwenda-sx6xt Год назад +5

    Mungu tusaidiye sana

  • @kaligilwa2077
    @kaligilwa2077 Год назад +2

    Mungu, simama unene na sisi watanganyika!! Hali hii haifai kabisa.

  • @JafethTully-o8r
    @JafethTully-o8r Год назад

    MUNGU akubariki Sanaa hakika naguswa na maneno yako mtumishi.....

  • @leonardmayunganyamfanka9623
    @leonardmayunganyamfanka9623 Год назад +10

    Watanzania tusinyamaze kimy juu ya Bandari

  • @linusdavis9072
    @linusdavis9072 Год назад

    Mtumishi barikiwa sana Mungu tu akulindie na hawa makali

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Год назад +5

    MUNGU akubariki sana mwamba

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 Год назад +1

    ww kweli imani unayo ndug yang mwaka leli hukomi

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 Год назад +10

    Wanaotuonea watanzania woote wako kwenye kikaango cha mungu. Woote wakamataji watakutana na mkono wa mungu na simaanishi hawa wanaopewa order hapana ni wale wanaotoa hizo order... Tusubiri siku tukisikia mtu kaanguka chini kafa, watu hawatalia kama kwa jpm ila watashangilia sana

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Год назад +1

    Penye haki nguvu za Mungu hujidhihirisha

  • @HelenaDaniel-xw9yo
    @HelenaDaniel-xw9yo Год назад +1

    Kweli baba mwe Mungu aingilie kati

  • @ramso2262
    @ramso2262 Год назад +2

    Hakuna mtu yeyote anaekuelewa zaidi yangu mimi nakuelewa kama vile upo moyoni mwangu. Ndugu mbalikiwa

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal Год назад +10

    Maneno ni mazito lakini yenye ukweli ilio dhahiri kabisa

  • @thobiasmasabile-cw9xo
    @thobiasmasabile-cw9xo Год назад

    Mungu akwatuma mpaka kwasamia masikofi na watumishi wengine, Ili wakamwambie mungu amesema uwaachie Mali yao watanganyika, kama utangaidi mungu anakupiga kwapingi Moja kubwa sana ambalo haritasahaulika mlele kwakizazi chale na hata kwajama zake

  • @piusbaruhuwundi8987
    @piusbaruhuwundi8987 Год назад +1

    Leo nimefanikiwa kukusikiliza kwa mara ya kwanza, nimeona aina ya watu ninaotaka wawepo Afrika. Mungu azidi kukutumia

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Год назад

    Samia fanya kitu kwa ajili ya mwana mke wa kiafrica, wewe ndie utakae mueshimisha au kumzaraulisha mwana mke afirica, mungu ibariki tz mungu ibariki Africa.

  • @moviesgreatdirectors3193
    @moviesgreatdirectors3193 Год назад

    Ubarikiwe. Dhuluma ya rushwa iliyopindukia ndiyo inayoitafuna nchi yetu.

  • @GabrielPetro-qj2mk
    @GabrielPetro-qj2mk Год назад +2

    MBARIKIWA UNAROHO NGUMU KAMA YA YOHANA, Uwa ukiongea naisi kama YOHANA kaongea, BABA kazana MUNGU anaona unayo pitia, hapa tulipo ni Mungu afanye jamb, yaan kufany ubaya imekua ni kama fashen

  • @Gracemima
    @Gracemima Год назад +4

    Tanzania kuna wasomi wengi, kwa nini Samia kampa Kazi Nape, mtanzania anayejifanya Tanzania ni Mali yake binafsi. Nape Alisema wazi BUNGENI wanaopinga mukataba wa bandari WASHUGULIKIWE. Leo anabadirisha kauli na kusema hawakushikwa kwa kutetea bandari bali kwa uhaini ujinga gani huo. Ni Nani atakubali kauli hiyo. Viongozi wasichukulie upole wa watanzania ni ujinga.

  • @faustinemangula8424
    @faustinemangula8424 Год назад +1

    Amina mch hongera

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 Год назад +2

    Mimi pia sioni sababu yakuomba huruma ya huyu bibi ,,,,nikupambana mpaka kieleweke

  • @angelinankuji7660
    @angelinankuji7660 Год назад

    Mbalikiwa Mungu akubalik kwa kusimama na kuwa jasili wa kupinga uovu wa nchi yetu unao taradi mchana na usku kigenge fulan kinacho tafuna kama mchwa nchi yetu mungu atalipa haya yote wafnyao

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 Год назад +8

    KWA HILI LA MWABUGUSI NI IMEONYESHA SAMIA ASIVYOKUWA NA UTU NA TAIFA LETU

  • @samsonwilson3762
    @samsonwilson3762 Год назад +2

    Mimi sion haja huruma ya raisi kesi ya nyani unaomba ruhusa ya ngedere asile mahindi ninamchikia yule dada mwenye mwanya kama uchochoro alaaaaaniwe spika na uzaoooo wako kmfunga kaka yangu mwabukusi

  • @Magufuli.
    @Magufuli. Год назад +2

    Sasa kuwakamata hao, wanadhani wengine tutaogopa,wanajaribu kutisha watu na lumande kwanza samia yeye kama nani...

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 Год назад

    Baba Mungu akulinde

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Год назад

    Wanaislaeli safari yaoilikua ngumu na yakutisha. Iakini mungu aliwaokoa ukweri utazid kuwa ukweli

  • @tedlema8105
    @tedlema8105 Год назад +2

    Sorry nimekuelewa sasa,hongera sana

  • @alicempuya5238
    @alicempuya5238 Год назад

    Mungu akupe afya njema

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 Год назад +4

    💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏AMIN AMIN BARIKIWA SAANA

  • @mwitajacob4973
    @mwitajacob4973 Год назад

    Mungu ni mhukumu wa haki pekee.

  • @denismlwati3285
    @denismlwati3285 Год назад +2

    Hawa viumbe wa serkal awamu hii mhhh wabaya San wanavita na wenye haki wote

  • @andrewmaeda5821
    @andrewmaeda5821 Год назад

    Wamebana, wameachia . Wanaona haya hao. Mwenyezi haki atabaki na haki yake mwenyezi Mungu anamlinda mwenye haki wake.

  • @nestor384
    @nestor384 Год назад +2

    wewe ni mkweli sana ubarikiwe Mbarikiwa Tupinge huu upumbavu wa kulazimisha watu wote wawe na upeo mdogo kama hao wajiitao ‘’viongozi’’

  • @VumiliaMwakamisa
    @VumiliaMwakamisa Год назад

    Hatuwezi kuwasujudia tumekataa Kama shadrak meshack na abdnego hatutasujudia Mungu hiiii kamweeeeeee🏋️zitapigwa

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Год назад +3

    Amen na jina lako la Mbarikiwa Ubarikiwe sana

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 Год назад +6

    Niko na wewe Mbarikiwa.

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb Год назад

    Mungu atusadie

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 Год назад +4

    Amen

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz Год назад

    Sio waislam wote

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 Год назад +1

    Mi naomba ninunuliwe baiskeli tu ktk pesa za bandari.
    Wengine wapeni maumivu na majuto mpaka cku yatapokuja kuyarudia wenyewe na yawatokee puwani.
    Wababe waoneni mchungaji,Roma,Nay,lisu,mboye,maude nk.
    Mi naombeni baiskeli tu.
    Nipoze maumivu kidogo.

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 Год назад

    Mtu yoyote Alie na madalaka hajawai kua na hekima za ki mungu ayupo tangu kuumbwa Kwa wanadamu adi kiama ni ushetwanitu

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 Год назад +6

    NIMEKUELEWA VIZURI PASTOR

  • @mussakiligaliga4348
    @mussakiligaliga4348 Год назад +1

    Ww umefafanua kila kitu kumbe tatizo dini waislam wa kweli mlielew hili na tuielewe kauli hii

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 Год назад +1

    Mimi Muislam kwenye ukweli kwangu Huwa hakuna dini
    Nakuunga mkono.
    Hatakama watachukia

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 Год назад

    Nakumbuka ya Doctor ulimboka,. Bila shaka raisi anasikia

  • @IvoFransis
    @IvoFransis Год назад

    Msiba Wa Rombo walikuwa wengine 22. MUNGU hachezewi. Watetez wetu MUNGU awapiganie😢😢. Inauma kwa kweli. Mungu ingilia kati. Sasa unazungumza kuhusu nini we mzee. Uchambue basi ya kusema.

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Год назад +2

    Nasikia uchungu mwingi sana kuona Nchi yetu inaongozwa kidikteta namna hii

  • @farajakwilasa471
    @farajakwilasa471 Год назад

    mtumushi uishii miaka mingi amina

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 Год назад +3

    INJILI YA KWELI...HAKUNA MFALME BILA KUHANI

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Год назад

    Ameni kweli kabisa

  • @samsonwilson3762
    @samsonwilson3762 Год назад +1

    Mwabukusi unaandaliwa kuwa mwanasheria wa serikali wengine ni wanafki tu mashetani

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Год назад

      Atakuwa amefeli sana. Akawe kibaraka wa wezi? Fikiria kuwa Mwamuzi wa mwisho katika nchi.

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 Год назад

    Mungu ingilia Kati usinyamaze juu ya Taifa letu.wanyonge,wanaumia tusaidie wewe Mungu.tu

  • @emanuelelias4695
    @emanuelelias4695 Год назад

    Hakika ni amina na kweli mtumishi unanena kweli ambayo wengi Wana ikwepa

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz Год назад

    Eeeee Allah ibatiki Tanzania

  • @WilliamTete-kj5nx
    @WilliamTete-kj5nx Год назад

    Saf sana mzee

  • @PeterNkilijiwa-ij3rw
    @PeterNkilijiwa-ij3rw Год назад

    Mbarikiwa ndiyo ni ndiyo hapana ni hapana haijarishi bunduki au mabomu ukweli utabaki ukweli hakuna mbadara wa haki.ila wajitafakari na wawatoe nje haraka iwezekanavyo.

  • @musajulias3392
    @musajulias3392 Год назад +1

    Kweli baba hiimamlaka Ina tupola

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Год назад +1

    Tanzania kwa nini huu mkataba hatuaambiwa ni muda gani ? kwa nini hawataki kusema ukweli?

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Год назад

    Mungu wetu Ingilia Kati

  • @GuntramLyassa-fb8rp
    @GuntramLyassa-fb8rp Год назад

    Wakili Madeleka anatakiwa kuachiwa huru,la sivyo wote wale waliohusika ktk pre bargaining kesi zao zirudishwe Polisi/Mahakamani.Ili isiwe Kwa Wakili Madeleka pekee.

  • @JafethTully-o8r
    @JafethTully-o8r Год назад

    Kamaaaa MUNGU huyu yupo mbarikiwa utaishi miaka bukuuuuuuuuuuuuu kwa wemaaaa WAKO na kujitoa kwako

  • @imanihussein9457
    @imanihussein9457 Год назад +2

    upo sahihi

  • @rolandnungu9590
    @rolandnungu9590 Год назад

    Kwenywe udini hapo sijapenda kabisa

  • @samwelimwalindu3735
    @samwelimwalindu3735 Год назад

    Ulimboka yuko wapi jamani

  • @imanihussein9457
    @imanihussein9457 Год назад +1

    duu hd raha mtumixhi

  • @MelckionMpeka
    @MelckionMpeka Год назад

    Sielewi Hili neno nani kama liko wapi SS kina Dr slaa wanateseka nani kama mama yupo kimiya mungu anaangalia hili

  • @erastomwakalukwa3946
    @erastomwakalukwa3946 Год назад +1

    Eti balozi naye anafanya mapinduzi😂😂

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Год назад +3

    Wanao weka mashindikizo kwa watanzania wenzetu wajue mungu yupo.Wanamzunguka mama wanafiki wakubwa wanajifanya wema.Mungu yupo.

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 Год назад

      WEWE DESDET NI MNAFIKI MKUBWA. UNADHANI MUNGU HAWEZI KUOKOA ? AU HAWEZI KITU CHOCHOTE KWA BINADAMU ? KUMBUKA ALIVYOMWANGAMIZA FARAO NA MAJESHI YAKE YOTE BAHARI YA SHAMU. KUMBUKA HERODE ALIVYOLIWA NA CHONGO KWA DAKIKA CHACHE TU HATA LEO CHANGO WAPO .AMIN AMIN

    • @JafethTully-o8r
      @JafethTully-o8r Год назад

      Tenaaaa basi TU kwa kuwa u tube ni mtandao wa kijamiiiii basiiii wewe hata hufaiiii kbsaaa kuwepo kwani unachangia matope waache watumishi wa MUNGU waelimisha watanzania taifa kubwa....

  • @godsgiftgreat4752
    @godsgiftgreat4752 Год назад

    Wanadamu Bwana

  • @GabrielPetro-qj2mk
    @GabrielPetro-qj2mk Год назад +5

    MBARIKIWA WEWE NI MASIHI WA MUNGU

    • @pendokimathi99
      @pendokimathi99 Год назад

      Tunaendelea kuwaombea viongozi wetu hawa waliowekwa ndani pasipokuwa na hatia tunaomba viongozi wa dini muendeleee kupaza sauti na kuhamasishwa kuliombea taifa letu Roman Catholic na waislam amlioni ili jambo tusifumbe macho tuombeeee na kulilia taifa letu iliiiii

  • @aphonceedward6784
    @aphonceedward6784 Год назад

    Mtumishi nimekuelewa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Год назад

    Angelikuwa shekh hapo na viongoz wangekuwq wa upande mwıngne ,Mdaaaaaa tungesıkıa Shekh amekamatwa na watu wasıojulıka au kupewa kes ya Ughaidi .
    lkn leo kıongozi wa juu anajua hakki ya raia ya kujieleza ( free of expression)
    watu waseme watakavyoo watukane serikli n.k
    lkn bado wako wanaendelea tu na maısha yao .
    Tafakali hili

  • @josephmsiri2245
    @josephmsiri2245 Год назад

    Hili gonjwa la Akili hili

  • @oscargalilwa7836
    @oscargalilwa7836 Год назад +1

    Ameni

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Год назад

    👊❤

  • @kanoa645
    @kanoa645 Год назад

    Wakili Yuko sahihi anajua kinachoendelea keshajiridhisha Kwa vipengele.
    Dini ya kiislamu huwezi kuidadavua , hoja ya wakili kuomba msamaha ni jambo jema.

  • @AdamFundikira-d7v
    @AdamFundikira-d7v Год назад +1

    Mmbarikiwa wewe Ni mtumishi wa Mungu Ni vizuri ukapata ushahidi wa kilichowafanya Hawa watu kushitakiwa Ni kweli njama zao zote ovu asingekomaa na kuona maonevu

  • @geaymartha4277
    @geaymartha4277 Год назад

    Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen Ameen

  • @RaymondAndrea-k3l
    @RaymondAndrea-k3l Год назад

    Rais wangu Dr.Samia S.Hassani. Wekeza bandari haraka Kwa maana watu wa aina hii watakamatwa wengi Kwa kauli tata.Kwa kawaida hata kwenye misiba vilio huwa vingi kabla marehemu hajazikwa.Lakini marehemu akiisha kuzikwa ghasia na vilio hukoma mara Moja.

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 Год назад

      Usimvimbishe raisi kichwa atakuja kukamata na visivyokamatika, siku atakayokuja kukamata tu anaweza kupoteza kazi na hata uhai wake.
      Watu wengine ni chanda cha Mungu(ni mtego wa Mungu)

  • @LukahLuka
    @LukahLuka Год назад

    Ivi uyu mzee anaga shida slaa mama awt

  • @kundesamtumbaya
    @kundesamtumbaya Год назад

    Du mungu ndyo akimu wayote

  • @GeoffreyShali
    @GeoffreyShali Год назад

    Hata mimi naungana nawewe hulu tumwambie mungu tu,

  • @PasakaNicholas-wm5mn
    @PasakaNicholas-wm5mn Год назад

    Hujitambui kabisa! Siku ikifika utajitambua