Ni hakika usemacho,matumizi ya mabaya mengi japo kweli za Mungu wapo watumishi.Ila shetani ni mharabu sana na hivyo naamini wengi pia wameokolewa kupitia mitandao,hivyo tunaagizwa kuitafuta kweli Kwa maandiko .Bwana akubariki sana Pr.
Amina pasto hii inaonyesha Kwa Kweli kwamba ipo siku hata Biblia na vtabu vya nyimbo watavifuta ole wao wasio na hard copy za bible na vtabu vya nyimbo
Mchungaji nimeamini kwamba ulichosema ni kweli mitandao hii inayo milikiwa na watu kuna uwezekano mkubwa wa kufutwa sasa hii iwe fundisho kwa wale ambao wanaiamini sana hii mitandao ya kijamii hasa wanao tumia biblia kwenye mitandao na programu mbalimbali za kiroho badala yake watu wa Mungu warejee biblia za kawaida ili siku mitandao ikifungwa tusipate shida ubarikiwe sana binafsi nimejifunza kitu
Hanna kitu kama hicho,kwa nn wafunge masaa 6? Huyo Dada ni yuleyule,hao watu sku zote ni wanafiki.wanaonyesha kupingana kumbe ni wamoja,hii yote ni Sera ya kuelekea the common good
Pasta mimi ni mfuatiliaji wako mzuri lkn kwenye swala la kusema dunia ilisimama mi siafiki hata kidogo!! Kwasababu mimi binafsi sigundua kama kuna jambo kama hilo na maisha yangu yaliendelea kama kawaida! Nilihadithiwa jambo hili siku ya pili!
Kwangu mimi naona kuna kitu kipya kimepandikizwa ghafla na kwa siri ili kisichukuliwe taarifa za live au kusiwepo na ushahidi wa mtu yeyote kutambua maana sasa hivi mambo yanafichuka haraka bila mtoa taarifa kuidhinisha jambo hadharani,, tayari kuna singment flani imepandikizwa
Pr ubarikiwe sanaaa. NAOMBA watu wa Mungu tutambue nyakati tunazoishi sasa na tutumie mda mwingi kujifunza neno la Mungu na kuomba.
Ni hakika usemacho,matumizi ya mabaya mengi japo kweli za Mungu wapo watumishi.Ila shetani ni mharabu sana na hivyo naamini wengi pia wameokolewa kupitia mitandao,hivyo tunaagizwa kuitafuta kweli Kwa maandiko .Bwana akubariki sana Pr.
Asante pastor kwa kutufungua hakili zetu mungu atusaidie sana
Nisipo angalia we nitakusikiliza wapi
Thx pastor for information 🙏🙏Mungu nisaidie nisitawaliwe na mitandao
Amen pastor... Mungu ni mwema atupiganie tuyashinde ya mitandao.
Asante sana pastor David...Mungu akulinde daima kwa jinsi unalitumikia kusudi..tutambue namna itupasavyo kama wana wa MUNGU.....
Amina pasto hii inaonyesha Kwa Kweli kwamba ipo siku hata Biblia na vtabu vya nyimbo watavifuta ole wao wasio na hard copy za bible na vtabu vya nyimbo
Ahsante Sana Pastor Mungu akupe zaidi hekima uzidi kuisimamia kweli ya neno la Mungu nakuokoa kizazi hiki kilichopotoka
Amen Asante Sana najifunza kujitawala Mwenyewe.
Nimekuelewa mtumishi wa Mungu ubarikiwe
Asante sana baba. Shauri toka drc goma
Asante pastor NA BWANA AKUBARIKI KWA UJUMBE HUU TUKO PAMOJA
Asante pastor ubarikiwe sana 🙏🏼
Hii ni break wame tupatia kwamba to focus kwa Mungu
Kabisa
Sauti iko chini PR
Amen pastor kwa iyo habari
Mwenyezi Mungu akupemaisha marefu
Thanks pastor for information
Asante kwataalifa hii, muhimsana, asiejua, hawezi kukuelewa, kwawenye ufaham, tayali tumepa, pointi muhim MUNGU akujenje.
Ni mpambano haswaaa. Mungu atusaidie sana
Kweli kabisa
Amen mtumishi wa Mungu
Mungu akuongezee hekima na bussra
Asante. Mungu tusaidiee
Thanks pastor Mungu akubariki sana mjungaji sana
Amen and be blessed pastor
Amina pr Mungu akubariki
Pastor hapo umenijenga sana huwa nakupenda sana kwa mafundisho ambayo kila siku matazamo wangu unabadilika na kunijengea imani
Asante Sana Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe.
Huyu mpare huwa nampenda sana. Huwa anaongea point sana
Na wewe u kabila gani.
Mungu akubariki Sana Mchungaji, Mimi nimekuelewa vizuri, nitachukua hatua zaidi, maana Kwa hakika nimekuwa mtumwa Sana wa mitandao hiyo.
Ubarikiwe
Asante sana pastor Mungu akubariki
Ukweli mtupu pastor Mmbaga David
My favorite pastor!!!
Amina sana mtumishsi wa BABA
Asante kwa kuniimarisha
Ubarikiw xan pastor mbaga mungu akulinde
Asante sana Mungu akubariki 🙏🏼🙏🏼🙏🏼💗🥰❤️
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amen.Asante Pastor
Mchungaji nimeamini kwamba ulichosema ni kweli mitandao hii inayo milikiwa na watu kuna uwezekano mkubwa wa kufutwa sasa hii iwe fundisho kwa wale ambao wanaiamini sana hii mitandao ya kijamii hasa wanao tumia biblia kwenye mitandao na programu mbalimbali za kiroho badala yake watu wa Mungu warejee biblia za kawaida ili siku mitandao ikifungwa tusipate shida ubarikiwe sana binafsi nimejifunza kitu
🙏🙏🙏Amen
Tuko katika nyakati za mwisho
Wacha tuombe bila kukoma
Ahsante Sana Pastor,
Kweli Mungu atawale akili zetu!
Amen Pastor barikiwa sana
Barikiwa sana mtumishi
Namshukuru Mungu alinipa ufahamu kuhusu mitandao mapema..
ILE VIDEO YA MTUKUF CORONA IPO KWENY CHANEL GAN MBONA SIION MTUMISH WA MUNG.... 👏
MUNGU akubariki Sana mtumshi kwa fumbo hili. Nakupenda sana
Mungu akubariki sana pastor
Barikiwa Pr. Kweli tunapaswa kujitawala na sio kutawaliwa na mitandao ya kijamii. Mungu kwanza🙏
Brikiwa pr
Asante Pastor umesema ukweli, Mungu akubariki
Ubarikiwe sana Pastor kwa kutufumbulia fumbo hili.
God bless u
Ubarikiwe pastor
Asante sana pastor
Amen Mungu atusaidie na huu utumwa wa mitandao
Hanna kitu kama hicho,kwa nn wafunge masaa 6? Huyo Dada ni yuleyule,hao watu sku zote ni wanafiki.wanaonyesha kupingana kumbe ni wamoja,hii yote ni Sera ya kuelekea the common good
Mungu akubariki PR nimepata jambo
sahihi kabisa Pr. dunia ya leo watu wengi wametawaliwa na mitandao ya kijamii
Tumetawaliwa. Tutachomokaje
Mungu akubariki mch Mmbaga
Very true serious yani tukae mbali na mitandao
Asante Pastor.
Leo dunia iwahi na kulala😂😂
Barikiwa pastor
Asante ubarikiwe mchungaji wangu
Barikiwa canaaa
Namshukuru Mungu hata sikujua tatizo lililotokea mpk hali imebadilika ndio nasikia
Mungu akubarik sana
Mungu akubariki baba
Point sana Mungu atusaidie na atuponye
Ubarikiwe mtumishi.
Daah.
Imagine nilikuwa sijui kuwa mitandao haikuwepo.
Asante sana mchungaji
Amina ubarikiwe
Pasta mimi ni mfuatiliaji wako mzuri lkn kwenye swala la kusema dunia ilisimama mi siafiki hata kidogo!! Kwasababu mimi binafsi sigundua kama kuna jambo kama hilo na maisha yangu yaliendelea kama kawaida! Nilihadithiwa jambo hili siku ya pili!
Kwasababu hutumii labda kla siku ila kweli haikuwepo mda wa masaa kadhaa
Noted ✊✊✊✊✊
Barikiwa sana Mchungaji.
Barikiwa sana mchungaji.
Ubarikiwe mchungaji
Mungu atusaidia kuelewa haya mambo
Ukweli mtupu.
title haiendani na ujumbe nilitaka kushangaa Pr. ujiingize kwenye mijadala mfu, ubarikiwe kwa ufafanuzi mzuri na sahihi
Amen its true.
Mungu atusaidie
Media ni ulevi kama vile ulevi wa drugs, tunahitaji nguvu za Mungu zituokoe na huu ulevi
Kama vile watu wanavyoabudu miungu ndivyo wengine wanavoabudu
Binafsi nakutakia Kila la kheri. Na Mwenyezi Mungu Awabariki
Mungu atusaidie kujitawal,, sio kutawliwa
Kwangu mimi naona kuna kitu kipya kimepandikizwa ghafla na kwa siri ili kisichukuliwe taarifa za live au kusiwepo na ushahidi wa mtu yeyote kutambua maana sasa hivi mambo yanafichuka haraka bila mtoa taarifa kuidhinisha jambo hadharani,, tayari kuna singment flani imepandikizwa
Nashukuru kwa maelezo ya kutufungua macho
Ubarikiwe sana
Kweli tena mwenyezi Mungu atusaidie tu,
Wanapima waone wangapi tutapata 5G ili waongeze mbinu ya Chanjo
Mmmh! Interesting 🤔
Hallelujah
Nimejifunza kitu .Barikiwa pr Mmbaga
Thank you pastor David. We need to define the limit of social media, let us use them in moderation and put God first and all will be well.
Nimejifunza kitu mchungji ubarikiwe Sana
Amen amen 🙏🏻
Shetani ndio anamiliki social media ila ukitako kupotea geza na kuamini maisha ya watu wa instangram
Amen Amen
There's something behind
Ni kweli kabisa
Social media detox....be blessed pastor 🙏.
Ansante sana balikia