MAGUFULI Amlipua MBOWE - “TUMEMPA GARI, AMENIFANYIA VITIMBWI, NILIPATA SHIDA SANA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 окт 2020
  • MAGUFULI Amlipua MBOWE - “TUMEMPA GARI, AMENIFANYIA VITIMBWI, NILIPATA SHIDA SANA”
    MGOMBEA urais (CCM) Dkt John Magufuli, amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kuomba kura kwa wananchi ili waweze kumpa tena miaka mitano ya kuwa rais wa Tanzania...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Комментарии • 320

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 3 года назад +32

    I'm from Kenya bt this is real president we admired tano tena kwake

    • @angelanaftael7965
      @angelanaftael7965 3 года назад +2

      Thank you our neighbour Kenya thank you for appreciating our lovely President.tunampenda mnooo jamani

    • @imanimbwaga7005
      @imanimbwaga7005 3 года назад +1

      Kenyan take him make him a seed for kenyani

  • @mnegaamina6085
    @mnegaamina6085 3 года назад +35

    Leo wanajaa viwanjani korona hawaitaji ila bungen wanasema korona waambie ccm hoyeee

  • @mathewvalerian792
    @mathewvalerian792 3 года назад +21

    Pamoja sana mkuu, tupo nyuma yako. Na ww ndiye rais wetu. Mungu akubariki.

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 3 года назад +17

    Hakuna upinzani wa kweli Tanzania, ila kuna wachumia tumbo tu.

  • @PastorsTz
    @PastorsTz 3 года назад +6

    MAGUFURI MUNGU AKUREHEMU SANA SANA..MANENO HAYA HAYATAKUWA YABURE KIZAZI HATA VIZAZI..MUNGU AKUOKOE SANA KWA KAZI HII..WEWE NI RAISI KWELI...

  • @barackramathan4871
    @barackramathan4871 3 года назад +22

    hii ina itwa aku anzae mmalize halibu baba magu na kuaminia

  • @ruthaloyce1012
    @ruthaloyce1012 3 года назад +24

    Baba wewe Mungu akutanguliye tu, mitano mingine tunakupa wewe! Ccm oyeeee!

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 3 года назад +1

    Mimi naona kiongozi mzuri na mwema huwa na busara, huwa mpole akikosolewa, huwa si mbinafsi, hapendi chuki, hupenda kuunganisha jamii bila kujali hali zao wala ukabila wao wala vyama vyao, hupenda kushirikiana na watu haswa maskini! Hupenda kutafuta ushauri kabla ya kuamua jambo nk. Sasa sijui viongozi wenye sifa hizo njema hapa nchini kwetu wapo au hawapo!!? ALLAH Atuongoze aaamiiinn.

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 3 года назад +20

    Mbowee akapumzike hana jipya ametuona sisi uku hai ni maboya. Time is over my friend.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 года назад +38

    MAGUFULI KAZI YA MIKONO YAKO ITAKUFUATA ITAKUPIGIA KURA UTAKUA MWENYE HERI NA BARAKA TELE

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 года назад +13

    Rais wetu wa Tanzania yetu ni John Pombe Joseph Magufuli miaka 5 Mingine

  • @festondenga4253
    @festondenga4253 3 года назад +21

    Kwa hotuba hii Mungu akuzidishie magufuli na akubariki sana wewe

  • @sifabahati2759
    @sifabahati2759 3 года назад +5

    Natamani kuwa mtanzania tariki hii 28/ 10 /2020 ninge weka ndani sauti 10000000 ili baba Magufuli aone njisi navyo mpenda hatakama me sio wa tz

  • @mathewvalerian792
    @mathewvalerian792 3 года назад +17

    Mkuu piga kazi usiogope CCM ndio mpango mzima.

  • @charlesmataba8344
    @charlesmataba8344 3 года назад +13

    Mh Raisi kutoka nje ya Bunge ilikua kisingizio cha COVID19 lakin ukweli ni kwamba walikua wameishiwa hoja tena hawajui kipi wafanye

  • @fatmarashid1843
    @fatmarashid1843 3 года назад +18

    Magu hatukuangushi
    Tunakupenda sana
    Lisu anapenda kutafuna yeye ameze tuu
    Hatumtaki

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 9 месяцев назад +1

    ndiomaana umekufa mapema kwa kujua tz umerithi kutoka kwa baba yako au mama yako mungu akupereke motoni ameni

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 года назад +4

    Utasikia Maendeleo hayana chama ila kiongozi bora atapatikana ccm 😆😆😆😆😆😂😂

  • @ramadhanmasolwa4869
    @ramadhanmasolwa4869 3 года назад +32

    Wachane Kuna mwingine alisema watu wanakufa Kama nzinge alfu leo hii anagombea urais

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 3 года назад +2

      Hahaha kasahau pesa sabuni ya Roho

    • @joelnaja9935
      @joelnaja9935 3 года назад +4

      Mpk ni ajabu kbsa hao hao waliombeza JPM et ni mshamba hajui mambo ya kisayansi et anayapleka kiroho, wakazusha kuwa watu wanazikwa usiku lkn leo hao waongo na wanafiki matapeli ndio tuwachague kweli?
      Akili ni nywele!

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад +1

      Nyie yaani hamsahau...hao ni wahuni

    • @user-un3df1sl2h
      @user-un3df1sl2h 3 года назад

      Chama kimeshakufa,haende akajinywee tu falu jonh

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 года назад +5

    Hai muamke achaneni na siasa za mihemko lazima tuamke usingizini

  • @thobiasndichaye4861
    @thobiasndichaye4861 3 года назад +23

    Lazima nikuchague

  • @commonwealthofkentucky5452
    @commonwealthofkentucky5452 3 года назад +6

    Ccm wanaeleza sera safi sana....sio kuwasema watu

  • @stellakutta6513
    @stellakutta6513 3 года назад +1

    Rais wetu Magufuli wa Tanzania. Na mgombea wetu wa Urais Tena wa Urais Tanzania. Mimi napenda Sana kusema kuwa; Mungu amekubariki na amekujalia kukupa hekima ; maarifa na akili zuri. Asante sana; Mimi nakushukuru Sana. Kwani huko alikikutoa; Mwenyezi Mungu. Alijuakabisa fika kazi zako kea Watazania; ni kuwaletea maendeo ya kweli na kuwatoa ndani ya ufukara ambao ulikuwa unawakera kwa muda marefu ; na hawakujua ni Nini Cha kuifanya ili kutoka a na Hali hiyo Kazi ya mikono yako ni nguvu za kipekee kwani imewaletea watanzania manufaa makubwa ya kimaendelekwa WaTanzania wot kuwa ujumla. Magufuli Oyeee! Kura zote jamani na tumpe Baba yetu Magufuli na Wabunge na wadiwadi ccm juu a juu zaidi. Mimi kwa jina langu ni Stella. Nami nimeamua mwenyewe binafsi kuzungumza na Mwenyezi Mungu Jehoval. Kwa maombi ya kufunga kwa siku tati kabla ya siku ya kupiga kura ya tarehe l28/10/2020. Kura zote WaTanzania wenzangu ni kumpigia Magufuli na Wabunge na Madiwani wa ccm ili Rais wetu Magufuli kuweza kurahishia kazi zake alizozifanya Tena kuwa kipindi Cha miaka mitano Tena kea WaTanzania. Ccm ndiyo jibu letu kea kuelekeza kura zetu. Kama WaTanzania tulifunga na Mungu akatuondolea corona. Na hata hivi Tena kuwa kufunga kuombea uchaguzi wetu Tanzania kumwombea Rais wetu Magufuli ili spare ushindi. Mungu ni yule yule. Atasikia matakwa yetu na kumpata Tena Magufuli kwa kura nyingi Sana ili WaTanzania tuzidi kusonga mbele. Kama Kuna wengine ambao wataniunga Mimi mkono ngani ya siku tati kabla ya kupiga kura kwa maombi rasimi ya kuomba kura kwa akili yake pomona na viongozi wake ndani ya ccm. Basi Mimi nitashukuru na kumshukuru Mungu. Kwni imeadikwa kuwa. Mkono wa Mungu si mfupi hata usikufikia. Na sikio lake si Zito Hata asisikie. Na kwa njia hii. Basi Mungu atasikia maombi yetu na Sala na dua zetu Magufuli atashinda kura ni kwa wingi mno na uchaguzi itakuwa wa huuru na amani kwa wananchi wa Tanzania. Mungu bariki Tanzania na watu wake. Amina.

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 года назад +6

    Baba Magufuli Mungu wako ni mkuu sana kamba za wasiohaki hazitakupata Mungu akulinde sana.

  • @henrymatebe1492
    @henrymatebe1492 3 года назад +1

    Kwani vipengele vya Democratic nini moja wapo si ni kukosoa ? Kipi cha ajabu ? Watu wanawakosoa hadi wazazi wao pale wanapokosea wewe ni nani usikosolewe ?

  • @yassinm69
    @yassinm69 3 года назад +2

    Magu katumwa na mungu long live magu

  • @imanimbwaga7005
    @imanimbwaga7005 3 года назад +1

    Ndiyo maana uliharibu mali zake

  • @josetarimo1768
    @josetarimo1768 3 года назад +17

    Poa mungu simama na mwenye haki

  • @danielmkama4636
    @danielmkama4636 3 года назад +13

    Mhe mbowe kwa hii hotuba una Kazi kwa wana hai

  • @amigodossantos4129
    @amigodossantos4129 3 года назад +3

    It's because of Magufuli we are free during corona disease. We should be grateful

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 3 года назад

      MUNGU WETU AMETUHURUMIA JUU YA CORONA .HATA KWENYE BIBLIA TUKISOMA TUNAONA JUU YA WAFALME WANCHI. MFALME AKIWA MNYENYEKEVU NA MCHA MUNGU. MUNGU ANAIPONYA NCHI.!

    • @kuntukuntu3424
      @kuntukuntu3424 3 года назад +1

      Maaavi Ya Kuku..

  • @barakamgina6630
    @barakamgina6630 3 года назад +2

    SUPER PRESDAAA

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 года назад

    JPM leo hii wanamyanyasa subaya JPM tunasikitika sana Tanzania yetu ulioicha kwa sasa wamekusaliti JPM baba yetu 😭😭😭😭

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 3 года назад

    Watanzania wote Ulimwengu Umoja ni ngunvu Rais J.P Magufuli baba wawanyonge Ubarikiwe Amen 💪♥️💪

  • @martinmnzava9053
    @martinmnzava9053 3 года назад +6

    Poleni watu wa jimbo LA Hai. Muligeuzwa mbuzi wa krismass.

  • @benedictoshadrack2573
    @benedictoshadrack2573 3 года назад +6

    Nilisikia kuwa maendeleo hayana chama au nilielewa vibaya jamani

    • @rosetreffert6727
      @rosetreffert6727 3 года назад +5

      Ndo hivyo!kama unapiga kila kitu utasaidikaje!mbowe anajifanya mwamba yatamshinda soon

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 3 года назад +1

      Rose umejibu vzr

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 3 года назад +3

      Ndiyo, kama Raisi mtu mzuri mchague tu ila wa chini lazima aendane na Baba

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад +2

      Maendeleo hayana Chama, ila chama ni lazima ili kuteua viongozi wenye mwelekeo fulani. Lakini hospitali ikijengwa, wanachama wote kutoka vyama tofauti hufaidi. Vyama vingine vina mwelekeo/ilani potovu.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 года назад

    JPM mama samia kasha pitisha chanjo 😭😭

  • @mbegambega9705
    @mbegambega9705 3 года назад +4

    Ila magu hata sisi tupo Mwanza kata ya luchelele lakini maji ni tizi sana ndoo moja mia 50 wakati tupo kandokando ya ziwa Sasa unavyosema maji yanatoka ziwa vikitoria kwenda tabora shinyanga napata ugummm kukuelewa na hapo usagara tu maji hamna jamani .na diwani ni cc mbuge ccm Sasa napata utata sana muda mwingine kukuelewa

    • @mbegambega9705
      @mbegambega9705 3 года назад

      Ndooo 500 sio 50

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад

      Ndio maana anahitaji miaka 5 tena. Maendeleo ya taifa hayamaliziki siku moja. Muda huu lazima mfikiwe

    • @zilpamatiko1712
      @zilpamatiko1712 3 года назад

      Pole kama ni karibu na ziwa kachote ziwani. Magu oyeeee

    • @akilimalimali253
      @akilimalimali253 3 года назад

      @@LosiokiSomoire miaka 60 ya Uhuru tar 28 tuna jambo letu

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 3 года назад

    Kama kweli mboe ni Rafiki yako kweli kama ni mzalendo basi ni kumuita na kumuelekeza sio kushawishi wananchi wamuone mbaya! Mbona nchi nyingine walifunga shughuli zao viwanda vilifungwa na hawakulaumiwa!!

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 Год назад

    Kwani akuwai kua na gar Mzee ulikua msengenyaji

  • @rashidiwhite4709
    @rashidiwhite4709 3 года назад +7

    Ndioo unapokosea baba hapo tu huk uu vijijiinii panado kidongee tsh,50/= ujuee hiloo watu wa halii ya chinii tunaumiaaa.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 3 года назад +2

      Aliyetengeneza panadol nayeye pia anatafuta pesa badirika ndugu hii Dunia mungu aliiumba hivyo lazima jasho la mikono yako litumike kwa njia hiyo yamatumizi hakuna vya bure mungu hapendi

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад +2

      Jamani Rashidi, shilingi 50 ndio ya chini sana, ikipunguzwa itakuwa hela ngapi? Anatengeneza atatoa kwa hela ngapi?

    • @kundaellyimo7523
      @kundaellyimo7523 3 года назад +1

      Wewe ndiyo walewale sh 500 una vidonge 10 ukivimaliza haujapona inabidi ukalazwe tu

    • @nicethamanonga5855
      @nicethamanonga5855 3 года назад

      Watu wanapenda vya bure at a ukiwekewa chakula mdomoni utasema umezeshwe.

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 3 года назад

      @@nicethamanonga5855 atakuambia chakula chako kibaya au kichungu😂😂😂😂

  • @maximemasinga9504
    @maximemasinga9504 Год назад

    Limebak likabur t mung ni mungu c ulilfanya ww n mungu jitu mamae

  • @piushappyness226
    @piushappyness226 3 года назад +2

    Jpm atatawala tena Hadi kieleweke

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 3 года назад +4

    Mboe sasa pumzika tulikuamini sasa basi

    • @zilpamatiko1712
      @zilpamatiko1712 3 года назад +1

      Asante hii ndo akili ya mtu mzima

    • @roymarquiz8567
      @roymarquiz8567 3 года назад

      mnazingua mbaya hamjui tu uyu magufuli analazimisha watu wachague ccm tu ili awe mungu mtu maana ccm awatomwambia kitu yy ndio raisi na mwenyekiti mzee mnafiki sana anasema mbowe rafiki yake lakini miaka yake mitano yy kamuandamiza kaharibu biashara zake kwa nguvu akataka kuua upnzani awe ka mfalme bado mnataka kumchagua kweli daa inasikitisha sana

    • @roymarquiz8567
      @roymarquiz8567 3 года назад

      mnaambiwa lissu ni kibaraka wa wazungu lakn magufuli kwa miaka mitano tu kapandisha deni la taifa mara mbili kuliko raisi yoyote kazima bunge lisionekane ili watu wasijue afu tunakuja kuambiwa tupo uchumi wa kati sasa umetusaidia nn daa uyu mzee kwaninavo muona akichaguliwa tena hata kubali lazima alazimishe awe raisi miaka kumi mingine

  • @amosimassyaga7476
    @amosimassyaga7476 3 года назад +3

    Viva. Magufuli

  • @patrickkansonso4506
    @patrickkansonso4506 3 года назад +1

    Political

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 3 года назад

    Hutaki nyama vingine sio.

  • @wapancraswapancras6955
    @wapancraswapancras6955 3 года назад +1

    Sio kwamba maendeleo hayana chama au

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 года назад +6

    Ndo wajiongeze wasipo jiongeza achana nao sie kwetu maji mlangon

  • @stevenmeshack467
    @stevenmeshack467 3 года назад +1

    Naomba uwendeleee mpaka 2030

  • @lidyamathayo8343
    @lidyamathayo8343 3 года назад

    Mbona Kodi Ni zetu na viongozi wote Ni ndugu,mbona kwenye kodi hakuna Chama ,ila Kodi zetu ndo zinanunua magari?

  • @philesongella1700
    @philesongella1700 3 года назад

    Maendeleo hayana chama mzee acha kuhaha kuua upinzani Mr president

  • @jeremiahmollel3855
    @jeremiahmollel3855 3 года назад

    Hizo ni pesa za watanzania waliomchagua ndio zimenununiwa hizo gari

  • @vanesaalberto8479
    @vanesaalberto8479 3 года назад +6

    Mbowe kazi anayo

  • @pastormatthewamabamba8990
    @pastormatthewamabamba8990 3 года назад

    Magufuri tumekuwelewa baba wataifa la Tanzania, akunamwengine niwewe tu!! Umepewa mwaka mingine 5.Mungu anakuwa upande wa wenye haki, Mungu akuongezee siku nyingi zakuishi.

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 3 года назад +4

    Kupata maendeleo hadi uwe na connection
    No connection no service

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 3 года назад

      Hasa

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад +1

      Hujakosea, raisi anashughulikia watu zaidi ya milioni 50+.
      Ndio maana kuna wawakilishi kwa Wadi na bunge, hao ndio hutafuta connection kwani rasilimali hazitoshi. Mwakilishi akipoteza miaka 5 kwa kupinga maendeleo, connection anapoteza

    • @africanboy6921
      @africanboy6921 3 года назад +1

      Kuleta maendeleo ni razima sio ombi,pesa zinazotumiwa kuleta maendeleo zinatokana na kodi zao,atuwaombi mlete maendeleo ila ni razima,chuki,chuki,za nini?kutoka nje sio lazima kuwe na sababu

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 3 года назад

      @@africanboy6921 ni lazima wangapi walipita Ikulu na Hawakuleta,?uliwaweka wapi mbona hatujasikia uliyemfungulia kesi??kila mtu ana roho yake kama Baba yako anakupenda pengine jirani hakupendi hivyo aliyeshika kilindi ndiye mwenye kisu

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 3 года назад

      Hata msaada lazma uombe

  • @iddseleman5065
    @iddseleman5065 3 года назад +3

    Kz ipo

  • @petersgodwin7200
    @petersgodwin7200 3 года назад

    Mkuu umepotosha kidogo,hela sio ccm bali niza walipa kodi

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 3 года назад

    Katiba inaruhusu apewe gari

  • @estermichael1322
    @estermichael1322 3 года назад

    Ndo mjiongeze Wana Hai sisi kwetu Sasa maji tunaoga bomba la mvuwa na umeme Sasa tunakunywa maji baridi huko kijijini Hospital tumepata na tunatibiwa Wana Hai jiongezeni

  • @jambia4515
    @jambia4515 3 года назад +1

    Hongera sana mh Magufuli piga kazi

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 3 года назад

    Rais ni magufuli kwa miaka 10 ijayo

  • @dianamaro3445
    @dianamaro3445 3 года назад +1

    Hakuna kitu

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 3 года назад

    Hayo maji Arisha mbona hatuoni jmn sisi tengeru tunashida ya maji

  • @johnawe2194
    @johnawe2194 3 года назад

    Jaman kwan rais kaz anafanya kwa vyama au kwa watanzania sielewi??.

  • @salumjonas7636
    @salumjonas7636 3 года назад

    TANZANIA bila Upinzani mzee haufiki popote, Watanzania wanajua hilo, juhudi zako za kuuondoa Upinzani umefeli ulivyoanza, Bila upinzani hata Magu usingekuwa rais wetu, angekuwa Lowasa, koo nashauri IMARISHA upinzani kwa faida siyako Rais bali ya Watanzania wote, hatuwezi kuwa na Tanzania ambayo kila nafasi ni SISIEMU haitatufaa hatufaa hata kidogo

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 года назад

      Ndugu ni sahihi kabisa ulichoongea ikiwa wote ni CCM wakikosea nani atakaekuwa jasiri kumkosoa mwenzake!!? Wakati wengine waliiba pesa za walipa kodi hadi leo hawakuchukuliwa hatua yeyote ile na CCM wote wanalijua hilo! Ila wangefanya viongozi wa upinzani naona taarifa ingekuwa magazeti yote kwamba wapinzani ni wezi!! Ila hawa Ccm hawafungwi!!

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 года назад

    Ubaguzi tu majimbo ya upinzani hampeleki maendeleo ya CCM mnapeleka kanakwamba wapinzani hawatoi kodi

  • @andrewmwangonda6704
    @andrewmwangonda6704 3 года назад +1

    Gari kapewa kwa mujibu wa katiba yetu sio hisani lile

  • @twevegodfrey8
    @twevegodfrey8 3 года назад +2

    Mbona kwenye connection hatujaona maendeleo mfano jimboni kwetu mafinga mji

  • @imanimbwaga7005
    @imanimbwaga7005 3 года назад

    Yaani kama saizi wewe ni raisi umefungwa mikono? Je akiwa raisi yeye

  • @dianamaro3445
    @dianamaro3445 3 года назад +1

    Kila siku unasema maendeleo hayana chama ugumu unatoka wapi

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад

      Hayana Chama, lakini, utamfanya vipi mbunge ambaye amebadilisha malengo ya uongozi na kuzua mazihara tu, ukichaguliwa wakilisha wapiga kura sio kukimbia bunge

    • @barikilinus5274
      @barikilinus5274 3 года назад

      Tafsiri ya hy kauli ni pana na chukulia anamwambia anaye ng'ang'ana na chama pinzani ahamie chama tawala kuunga juhudi jitihada zake badala ya kukomaa na chama kinacho mcheleweshea maendeleo yake mwenyewe kwa kupinga kila jambo.

  • @charlesmataba8344
    @charlesmataba8344 3 года назад +1

    Mbowe Bunge Goodbye

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 3 года назад +4

    Mbowe oyee!

  • @yasintmushi8249
    @yasintmushi8249 3 года назад +3

    ndo maana hata shule za hai hazikupewa fedha za elimu bure kukosa mbunge wa ccm

    • @mosimba467
      @mosimba467 3 года назад

      Wewe mbona liongo sana

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 3 года назад

      Utampaje mtoto wa jirani wakati wanao wanalala njaa??

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад

      Hakuwepo bungeni kuwatetea wanaHai, ikadhaniwa wako sawa

    • @priscambunda1552
      @priscambunda1552 3 года назад +1

      Danganyweni muchague wabunge wote wa ccm mtajua hamjui mwenzenu anapambana wabaki wenyewe ili wazidi kufanya madudu cos wapinzani wanawabana na wanafichua maovu yao Sasa nyie shabikieni ndio mtaelewa baada ya uchaguzi kwamba alikua na nia gani.

    • @jimmyjammasmunuo5125
      @jimmyjammasmunuo5125 3 года назад

      C maendeleo hayana chama ujue mm apo cwaelewi swala lamaendeleo na chama linatoka wap

  • @zainachiwanga9153
    @zainachiwanga9153 3 года назад

    Upo sahihi Magu korona ziiii

  • @barakacrispin9600
    @barakacrispin9600 3 года назад

    Hongera sana JPM

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 3 года назад +4

    Wanaompinga Raisi wetu wana shida, Magufuli baba songa mbele. Tatizo mtu anakuwa mbunge haangalii wananchi wake, hata viongozi wa ngazi za chini hawawajibiki baadhi ya sehemu, mvua ikinyesha madaraja ndo usisema na magari hapiti, Baba mitano mingine ila tusaidie huku vijijn hamna maji pia

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 года назад

      Sasa ikiwa bungeni mswaada haukupitishwa wewe unataka afanyeje!!? Na pia kuwa mpinzani kwani ni tatizo mbona viongozi wengi tuu wa CCM hawapeleki maendeleo kwenye majimbo yao ! Na pesa wanapata!!?

    • @mariavianeypeter2991
      @mariavianeypeter2991 3 года назад

      @@professamuddy5407 ndo shida yaan

  • @julianamasanja8301
    @julianamasanja8301 3 года назад

    Ccm oyeeeeeeeeeee Magufuli no 1

  • @ramakisasa8944
    @ramakisasa8944 3 года назад

    Uweni"upinzani Mbaki wenyewe"ili mtuibiye vizuri ninaamini hayo"magari ni kodi"za walalahoi huo ni ubaguzi tunaupigiya makofii

    • @morandraymond8602
      @morandraymond8602 3 года назад

      sasa kiongozi tumempa gari alafu corona imengia anakimbia huyo anafaa kweli baba kuikimbia familia yake wakati wa ziki we unaona anafaa kuwa tena baba wa familia tuliambiwa tufungiwe ndani mara rais kajificha chato sijuwi ipo kenya kwaiyo hawafai kutuongoza kiongozi anakuwa mstali wa mbele kwenye tatizo siyo kukimbia

  • @emanuelinno631
    @emanuelinno631 3 года назад

    Huna sera

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 3 года назад +3

    Mungu peke yake ndio atasimama na Mboe we mwanadamu tu mwenye haki ataishi kwa Imani kushindwa kwake labda Mungu awe ameenda safari lakini kama tupo na kweli Mungu andika maumivu

    • @eyumededu2948
      @eyumededu2948 3 года назад +1

      Sijui mko na akili gani mnahitaji msaada ila hamkosekani tararibu mtaelewa

    • @kasindejonathan978
      @kasindejonathan978 3 года назад +1

      @@eyumededu2948 kweli hawakosekani hao hata Kama unalipa Kodi inatoka kwa mgao Kama mbunge hajasema shida Rais au waziri atajuaje shida za hai bila mbunge kusema ?? Ila SEMA wabunge na madiwani wachache wachumia tumbo wanalipa lawama serikali ndo maana Rais anaamua kutembea na kutatua matatizo palepale mwenyewe

    • @eyumededu2948
      @eyumededu2948 3 года назад

      @@kasindejonathan978 huwa nasema kama mtu anafuatilia nchi yake kipindi cha kampeni hawezi elewa kitu atabebwa na upepo wa Lissu

    • @mangeleoporod2704
      @mangeleoporod2704 3 года назад

      @@kasindejonathan978 umeongea kitu cha ukwel hapo kwatumbo jamn

    • @zilpamatiko1712
      @zilpamatiko1712 3 года назад

      Sasa ndo mtamwona Mungu akienda safari na alishaenda mboye yuko peke yake

  • @elianko8575
    @elianko8575 3 года назад

    Auna jipia wew

  • @damianmorishokimti6298
    @damianmorishokimti6298 3 года назад

    CCM acheni kuwaongopea watz kila miaka ccm mpo madarakani tangu 77 hayo matazo ya maji niyakila miaka mbona mnatufanya kama watz ni mazezeta kwa maneno makali yasio na maendleo ya jamii kiukweli ccm mmelisahau taifa na wanachi wake mmekuwa ni washutuma kila siku ccm mmekuwa ni wakulaumu bila kujali na kusukuma maendeleo ya wanachi ccm kubwa mnalo lifanya ni uongo madhambi ya kuliibia taifa kuifuga rushwa uzembe ubahirifu ulio kithiri ktk serekali za CCM ccm inashindwa kuijenga nchi bali ccm viongozi wake mmebaki kujitajirisha binafsi mijitu mingi ndani ya serekali inanenepa kwa rushwa na ufisadi ulio wa madhambi kwa taifa hili lilo jaa rushwa hakuna haki kwa watu wa maisha ya chini ktk nchi iliyo huru hii ni dhambi kwa utawala wa ccm hamuoni hayo jeshi limejaa rushwa mahakama imelindima kwa rushwa mahospital rushaw maji na umeme hauja mfikia kila mtanzania wanafunzi bado wamjazana ktk vyumba vya shule za msingi huduma za jamii ni hoi taaban vijijini wilayani bado kuna magofu alio yaacha mkoloni ila la ajabu watu wakuu wa serekali watawala na maofisa kwa ufisadi uliopo ktk miaka ya utawala wa ccm unawaona watu hao walivyo endelea kimaisha yao binafsi na mafamiilia yao wanaishi kifalme maisha ya kifahari matajiri wao na familia zao ila masikini maisha ya mtz yanazidi kuwa duni kwa kuwa serekali ya ccm inawajali hao walio ktk nyadhifa mbalil mbali nchi zima wao wanajali wizi wizi kila kukicha rushwa rushwa kila kukicha uzembe na ubathirifu ndio kama muongozo wa utendaji ktk nchi nzima ila tu hayo ipo siku mtalipa kuna mijitu kwa rushwa wiki tu ukimpa akipewa sehem amesha kuwa tajiri yani serekali ya ccm ni ukipewa nafasi basi uuanze kuvuna mapesa na hili watz wanalijua wote aibu dhambi kuzaa Au kuishi ktk familia hizo zote mnajiona ni matajiri mnaisji kifahari ila mnakula usaha ulio oza mnakula jasho la mkulima na mfanyakazi mnakunywa vilio vya masikini wa taz mtambue wote mnao jaza magunia ya fedha ktk sehem mlizopo mnadhambi za mileleie hamsameheki daima mnaliibia taifa mnawaibia watz zaidi milion60 mna laana kubwa kwa rushwa hizo na mtambue mtalipa tu hata kwa vizazi vyenu vya 20 historia ipo kumbumbu zipo kila anae jaza na ajaze tu kwa kuwa mnafikiria taz n8 lnchi ya kifalme kwamba ccm itaitawala taz milele ipo siku hamtasikilizwa mtazomewa nchi nzima kwa kutuongopea eti ni nchi ya amani huku mkielea ktk utajiri na kuwaacha walio wengi wakiwa hata maji safi ya kunywa ni taabu kulala ni taabu kula ni taabu huduma za afya ni taabu huduma za mkulima na mvuvi na mfanya vi uchuuzi mfanyakazi wa kima cha chini wote ni taaabu maisha ya maumivu kila siku ila nyie watawala ndani ya maisha yenu ni raha tu mna magari na watumishi wa kila jambo watoto wenu wanasoma katilka mashule bora duniani hamjui tatizo la maji na umeme ni nini maana yake hamuoni kama mahospita ya kiserekali na mahakanini vituo vya polisi magereza kumejaa uonevu hakuna haki kote huko na hayo yote ni ya mtu masikini mtaz wa chini alafu mnasimama majukwaani mnatuletea hadithi za juma na roza hamzungumzii uozo wa miundo ya uongozi hamtuambii ni lini rushwa Tanzania itakuwa mwisho kwa mtu wa hali ya chini ni lini usumbufu na ukiritimba utatokomezwa mtaz wa hali ya chini nae avune uhuru wa kuwa ktk nchi huru na ya amani ole wenu ccm

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 3 года назад

      Spich ni sahihi kabisa ndugu watu walivuna pesa za walipa kodi hadi wengine wakasema million 10 ni pesa ya mboga tuu lakini wala hawakuhukumiwa kwakuwa ni wa CCM ila wangekuwa wapinzani wagefunguliwa kesi hadi wananchi wangeambiwa hawa ni wezi. Gawaneni tu kodi zetu hakuna tabu ila haki ya mtu hailiwi ipo siku mutailipa tu kwenye mahakama ya kweli ya MUUMBA WETU MTUKUKUFU .

  • @hegatz2263
    @hegatz2263 3 года назад

    Habari ndugu yangu unaesoma hii comment naomba unisaidie kusubscribe account yangu kwa kugusa picha yangu Apo juu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 new project coming soon

  • @rev.josephatmagori7209
    @rev.josephatmagori7209 3 года назад

    Sema kweli mtumishi wa Mungu!

  • @petercat7417
    @petercat7417 3 года назад

    Zile pesa ambazo angeomba zipo? Na Kama hazipo zimeenda wapi?na huko zilikoenda zimefanya nn?

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 3 года назад

    MAGU HUNA MPINZANI.

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 3 года назад +2

    Wachaga mmefilisika kisiasa mnawekaje Wamasai kuwaongoza warudi makwao. Gari ni haki yake maana ni kiongizi na pia mlipa kodi.

  • @maritinjacobo1771
    @maritinjacobo1771 3 года назад +2

    Sisi tungeona hayo yakutoka nje kupitia television ip ilorusha bunge live?. Magu leo unaongea uloandikiwa wakat siyo kawaida, ama kweli Magu ukimsikia lissu unatepeta Sana

  • @user-qv2hj9rc3f
    @user-qv2hj9rc3f 3 года назад

    Mmh

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 3 года назад +2

    Hawadanganyiki hao ni wakizazi kipya

  • @lenardimagida5330
    @lenardimagida5330 3 года назад

    Umeongea vema Mzee, kama wana hai watarudia makosa shauri yao.

  • @barakafinda491
    @barakafinda491 3 года назад

    wapiga waelewe

  • @orgeneslema9464
    @orgeneslema9464 3 года назад +1

    Uchaguzi ni raha sana. Yaani wa TZ tunashushwa wote kuwa omba omba . Is this the future of TZ we want really?

  • @emanueldalali7184
    @emanueldalali7184 3 года назад +2

    Wasema kwenda bungeni kuna korona leo wakusanya watu hawakumbuki korona hilo ni kipimo cha kiongozi bora wanahai Mbowe hafai kabisa kuwa kiongozi

  • @nicodemusngwala2079
    @nicodemusngwala2079 3 года назад +3

    Acha hila ...ndugu ....

  • @peteremanuel1016
    @peteremanuel1016 3 года назад

    Mjomba magu anatosha

  • @ronnie1425
    @ronnie1425 3 года назад +1

    Amepewa gari na sisi siyo wewe

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 года назад

    Mimi hata nimekaa nikafikiria sipati jibu wai sioni msaada pegeni kura tu nimejitoa huko sina mda was kupoteza kisa matumbo ya watu

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад

      Naomba usikose kupiga kura. Tz iko safi ndio maana umetulia. Chagua CCM

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 3 года назад

      @@LosiokiSomoire labda kama nimerogwa miaka mia kuishangilia ccm iyo ni kitu sitoweza kabisa

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад +1

      @@emanuelmwanga4 Kupiga kura ni haki yako, wala hulipishwi kodi kupiga kura. Unaona kama serikali ya awamu ya 5 haijakufaa, ila mtandao unaotumia sasa katika mataifa ya Afrika Mashariki, ndio bei nafuu sana. Serikali hata siku moja haitagawa hela kwa wananchi, bali itafanya miundo-mbinu ambayo itakufaidi. Umewahi kwenda hospitali ukakosa dawa? Shule Sasa Ni bure, usidanganywe na Lissu au Rugwe eti utapewa mlo....mataifa tajiri Kama marekani hwafanyi hivyo, asiyefanya kazi na asile, tupige kura tulinde amani yetu

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 3 года назад +2

      @@LosiokiSomoire yap sawa sawa mkuu

    • @LosiokiSomoire
      @LosiokiSomoire 3 года назад

      @@emanuelmwanga4 Tuko pamoja ndugu! Muhimu ni kulinda amani.

  • @estermtitu7205
    @estermtitu7205 3 года назад +5

    Mfumo wa vyama vingi ni katiba

  • @mwitamanyingamwitamarwa2110
    @mwitamanyingamwitamarwa2110 3 года назад +1

    Zeroo breini is speek

    • @mwitamanyingamwitamarwa2110
      @mwitamanyingamwitamarwa2110 3 года назад

      Acheni hii nchi miaka 50 ccm imetuchosha acha ipumuzike hata wamezeeka akili mungu wetu tusaidie kuwaondoa hawa mashetani wamengangania vya kutosha acha nguvu yako ishuke itusaidie tunakushukuru yesu amina

    • @benedictoryona4504
      @benedictoryona4504 3 года назад

      Wew ndo zero brain,Ndo manaa badoo unaishii kwa mama ako mpkaaa leo

    • @benmbughi8426
      @benmbughi8426 3 года назад

      @@mwitamanyingamwitamarwa2110 acha kukaa kwa kakayako,tafta vyako binafsi utakomboka,sawa boy!!kutumia smart fone ya shemwako ndo madhara yanayokukuta

    • @benmbughi8426
      @benmbughi8426 3 года назад +1

      Kingereza chenywe kama kinakusumbua, u nonsense idioty!!we love MAGU