Ndio maana watumishi wapo aina.tatu wateule waliofundishwa waliotamani kuwa watumishi chuo kinapokea wote watatu na ndio maana wengine hawaoni shida la kanisa kwamba lina wakati gani saizi kanisa linavaa linavotaka linakula linavotaka linakunywa linavotaka mikopo ya liba imejaa makanisani.mwote hii inaonyesha jinsi vyuo vya biblia vilivosomesha watumishi wateule wamezuiliwa kuhudumu.Mungu awapenyeze wateule walihurumie kanisa
Na swali Je ninani mwalimu sahihi ambaye ana uwezo wakulifundisha neno la Mungu kwa usahihi,mpaka kuamini ukweli wake wa biblia unavomanisha ndo huu ,kama Mungu anavyo taka?
Ndio hata mimi naamini chuo tosha duniani ukitaka kujua habari za MUNGU mkuu bibilia nitopu, ndomaana ukisoma kitabu chochote cha habari za MUNGU lazima upate uharali wahayo unayosoma unarudishwa kwenye bibilia .
Ambaye haujapotosha Biblia una maisha matakatifu? Au unasubiri vipande vilivyokatwakatwa kisha vika editiwa ili upate pa kutukania. Sawa tunda ni apple AU parachichi lakini je, wewe ambaye ulikula parachichi unaishi maisha yasiyo na uovu?
Ni sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu Bila roho wa Mungu sio rahisi
❤❤Ameen amen baba🙏🙏🇹🇿🇹🇿
Aminaaa
Let the truth be .....
Kupata cheti cha kusomea Biblia ni Ushetani Tu.
Ni kwali kabisa mtumishi, mahana yesu amesema atatupelekea roho atakae tufundisha inamana roho ndio mwalimu wa biblia
Naomba namba zenu ili Nami nijifunze
Nikweliii wanalewa sanaa
Sio vyuo vyote vina shida, ni kweli vipo vyenye shida lakini ni baadhi siyo vyote.
Why can't people attend Jesus Christ's school according to the book of Luke chapter 6:40.
Ndio maana watumishi wapo aina.tatu wateule waliofundishwa waliotamani kuwa watumishi chuo kinapokea wote watatu na ndio maana wengine hawaoni shida la kanisa kwamba lina wakati gani saizi kanisa linavaa linavotaka linakula linavotaka linakunywa linavotaka mikopo ya liba imejaa makanisani.mwote hii inaonyesha jinsi vyuo vya biblia vilivosomesha watumishi wateule wamezuiliwa kuhudumu.Mungu awapenyeze wateule walihurumie kanisa
Na swali Je ninani mwalimu sahihi ambaye ana uwezo wakulifundisha neno la Mungu kwa usahihi,mpaka kuamini ukweli wake wa biblia unavomanisha ndo huu ,kama Mungu anavyo taka?
Ndio hata mimi naamini chuo tosha duniani ukitaka kujua habari za MUNGU mkuu bibilia nitopu, ndomaana ukisoma kitabu chochote cha habari za MUNGU lazima upate uharali wahayo unayosoma unarudishwa kwenye bibilia .
Wewe mbarikiwa hutaki kusoma ndiyo maana unapotosha biblia ,nyoka aliyemdanganya Eva ni nini?.Toa majibu.
Ambaye haujapotosha Biblia una maisha matakatifu? Au unasubiri vipande vilivyokatwakatwa kisha vika editiwa ili upate pa kutukania. Sawa tunda ni apple AU parachichi lakini je, wewe ambaye ulikula parachichi unaishi maisha yasiyo na uovu?
Vyuo vya biblia havitengenezi watu wasumbufu, ila usumbufu wanatoka nao huko kwao.
Ila vinatengeneza Mafarisayo
Shida yako ni kwamba unamsikiliza mbarikiwa ila humwelewi,, ukitaka umwelewe magembe na mbarikiwa ni mpaka uache ushabiki