Mbarikiwa amuulize Mtokambali; HIZI NI "SWAGA" au malalamiko? Nani ayasimamie? unajikosha?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 105

  • @jacklinejagali7561
    @jacklinejagali7561 День назад

    Mungu ana watu wengi na anao uwezo wa kumtumia mtu,na kitu chochote Kwa wakati husika,simama na msimamo wako sio Kila kitu kukosoa kosoa watumishi wa Mungu,Mungu amewaamin na kuwasimamisha mahali hapo

  • @MichaelMaduhu-y6e
    @MichaelMaduhu-y6e 16 дней назад +1

    Acha kushindanisha wa tumishi wa Mungu kama hivyo , anaongea kweli , Kaz Yako kukosoa TU.

  • @leticiamakoye4871
    @leticiamakoye4871 14 дней назад +1

    Ubarikiwe mtumishi tag hawana jipya tulikuwemo tukawaacha. Angalia mapambo ya yezeberi knsn vimini na denge je YESU na mitime walikiwa na muonekeno huo?

  • @richardkiula7522
    @richardkiula7522 13 дней назад

    Unatumia muda mwingi kutafuta makosa ya watumishi wa Mungu badala ya kutumia muda huo kufundisha na kuhubiri unavyoona wewe kubwa ni sahihi. Kila siku wewe ni kwenye mitandao kutafuta makosa, huo sio utumishi. Labda utumishi wa shetani.
    Mwenye hekima yake hawezi kubishana na wewe. Ninajifunza jambo hili kuwa elimu nayo husaidia sana kwa watumishi wa Mungu. Yaani wewe unafikiri kukosoa sana ndio kuwa una Mungu wa kweli. Na mara nyingi wewe ukikosolewa, hao unaowaita watoto wake wanavyotoa matusi ambayo hata wapagani hawawezi kutoa maneno kama hayo. Anatambulika kwa matunda yenu.
    Mungu akusamehe.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  13 дней назад

      Kuhubiri kokote lazima useme makosa ya watu. Situmii muda mwingi ILA MUDA WOTE. soma ISAYA 58 :1, YEREMIA 7. Kila siku napatikana mitandaoni kwa sababu na wewe unapatikana mtandaoni kuona mimi nimeongea nini. Na kuonyesha kuwa haya ndiyo unayoyataka sioni comment zako katika hicho ujuacho kuwa ni kuwahubiria waumini. Kwani kila siku kuna mahubiri kwenye section ya live katika chanel hii ila unapenda kutazama hivi vipande maalum.

  • @GetrudaMwakipesile
    @GetrudaMwakipesile 16 дней назад

    Mbalikiwa mimi nakushauli tu kafanye kazi ya mungu au au na wewe talanta ulizopewa na mungu zimeisha kama haxijsisha hachana na hao watumishi wenzio kahubiri kule kanisani kwako unachelewa kufanya kazi ya mungu watu hawakuelewi mbalikiwa

  • @fraydaiyisiwavula3894
    @fraydaiyisiwavula3894 16 дней назад +1

    Wengi mmemtukana sana MBARIKIWA ila kumbukeni uyoofu machoni pawanadamu ni ujinga machoni pa MUNGU na unyoofu uliodhamiriwa na MUNGU ni ujinga machoni pa wanadamu. Kanuni simple FUATA NJIA INAYOKATALIWA NA WENGI NDIO UZIMA maana njia ya upotevuni inawatu wengi sana.

  • @GodfridMbele-sb1ks
    @GodfridMbele-sb1ks 15 дней назад +1

    Huyu mtumishi anatakiea apate muda wa utulivu na roho mtakatifu, naona yeye anajihesabia haki sana, hakuna mtu ambaye hana mapungufu, a

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 15 дней назад

    Mbarikiwa usiwe unatafuta tafuta makosa ya watumishi wa Mungu na kuwasema vibaya kila saa, unakosea, tena viongozi wakubwa kama hawa. Jifunze basi kuchuja mambo.

  • @FelicianTarimo-g5q
    @FelicianTarimo-g5q 16 дней назад +2

    Askofu wetu mtokambali Yuko vizuri sana Tena mwacheni atimize majukumu yake

  • @lyelulameck
    @lyelulameck 14 дней назад

    Hakuna mbarikiwa wala nani sahizi tusha choka injiri za kuchambuana kila siku mchambo tyu wote hamna jipya mimi naona yesu anatenda katikati ya maisha yangu basiii tumchola mambo yenu kila siku kuchambuana ty ,,sjui ndio yesu amewatuma mchambuane ,,

  • @leticiamakoye4871
    @leticiamakoye4871 14 дней назад +1

    Tunawajua walisali j. Mosi ili wampigie lowasa kura .wanafiki aliposhinda magu wakamwalika kwenye uzinduzi wa chuo chao Dodoma. Haya mahembe analijua hilo .wakahairisha sk kawaida ya ibada yao kwa ajili ya siasa .hawana jipya kanisa lao limekuwaa Kama. Kama baa watu waangalie uvaaji wao

  • @WiliamMoro
    @WiliamMoro 16 дней назад +1

    Magembe ni mwanadam taa ni yesu mizani ya kipimo ni mungu wote ni wanadam tumepungukiwa na utukufu wa mungu yesu tusaidie watumishi wa nyakati hizi ni changamoto

  • @emmanuelmwalembe-yd1cz
    @emmanuelmwalembe-yd1cz 16 дней назад +2

    Lakin mkutano wa Cpct mbona ulifanyika kabla ata kabla ya magembe
    Sasa shida iko wapi kwa uyo mzee apo?

  • @PatrickAdam-q8y
    @PatrickAdam-q8y 16 дней назад +1

    Mbarikiwa fanya kazi ya Mungu acha kelele ,acha kiki unaongea sana alafu huna cha maana

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад +1

      Wote wanaotukana ni dini moja. Wote wanatetea dini yao. Kwani hapa Mbarikiwa kasema wazi kuwa hajui Mtokambali alisema kabla au baada. Ila vyovyote vile swali ni je, hayo ni malalamiko, ni vipaumbele vyake au ni SWAGA? TUKANENE KWA USHIRIKIANO WA KILA AINA ILA SWALI HILO LIMEBAKI HIVYO.
      BAADA YA MATUSI YOTE HAYO MTAKAYOTUKA KILA MTU ATAVUNA.

    • @emmanuelmwalembe-yd1cz
      @emmanuelmwalembe-yd1cz 16 дней назад

      😂😂😂😂😂😂​@@Mbarikiwa_Mwakipesile

  • @JeremiahJuliet-r7p
    @JeremiahJuliet-r7p 16 дней назад +1

    Huyu jamaa mwakipesile kichaa kinamsumbua kichwani hayuko sawa kabisa ivi kwanini uwe mtu tu kuongealea watu tu hicho tunaita kiburi cha kiloho lohoni nawewe umeharibika blaza hauko sawa kabisa nende kahubiri injili achana na hicho kijue cha umbea achana na hicho kijue cha kupandikiza chuki kwa watu wanze kuchukiana unakiburi cha kishetani mwakipesile

  • @GodsonMwasha
    @GodsonMwasha 16 дней назад

    Jamaa anaiogopa TAG sana. Badala ya kuikuza huduma yake anabakia akiiponda TAG.

  • @GeorgeTweve-p3s
    @GeorgeTweve-p3s 15 дней назад

    Ivi mnataka kusema watu. Wote ndani TAG niwa bovo? Wewe ni Mwimbaji uko sawa?

  • @desderiusntondero9588
    @desderiusntondero9588 12 дней назад

    Sisi wa TAG tunamuona umechizika

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 15 дней назад

    Kila mtu anaupungufu wake. Ata wewe mbona unakasoro nyingi. Kazan kufanya kazi ya Bwana kwa uimarisha huduma yako na sii haya

  • @fraydaiyisiwavula3894
    @fraydaiyisiwavula3894 16 дней назад +4

    ONDOENI MIPAKA VICHWANI MWENU FIKIRINI MARA 10,10 HUYU MBARIKIWA NI ZAWADI KWA WATEULE WACHACHE WALIOSALIA FIKIRI..FIKIRI..FIKIRI TENA

    • @JosephzakayoPius
      @JosephzakayoPius 16 дней назад

      Zawad ya wasio jielewa kama wewe kwanini asijadili yanayo husu kanisa lake

    • @JosephzakayoPius
      @JosephzakayoPius 16 дней назад

      Huna ishu mbalikiwa Jenga yanayo husu kanisa lako kwani wewe una utumishi wako endeleza yanayo kuhusu

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 12 дней назад

    DHAMBI YAO IMEANDIKWA KWA KALAMU YA CHUMA .WALIO WA YESU WOTE BWANA ATAWAAMBIA TOKA HAPO NENDA PALE

  • @davidmdadila4080
    @davidmdadila4080 16 дней назад

    Hata hajui ASKOFU aliongea lini shauli yako mbarikiwa unapoteza muda wako

  • @stanleysamuel906
    @stanleysamuel906 16 дней назад

    Wewe huna jipya komaa na kanisa lako achana na TAG

  • @bonifacemwakyoma511
    @bonifacemwakyoma511 14 дней назад

    Na wewe mbarikiwa siku zako zimehesabiwa maana siku si nyingi unaenda kuwa kichaa

  • @fredymbilinyi6323
    @fredymbilinyi6323 16 дней назад

    🤔

  • @HamzaKabuye-u6n
    @HamzaKabuye-u6n 16 дней назад +7

    KUMBE HUWA MNAONGEA BILA UHAKIKA MNAPOTOSHA WATU,MAHUBIRI HAYO NI YA MDA SANA ACHA KUFANYA VISIVYOFAA,MAGEMBE NI MTUMISHI WA MUNGU NA ASKOFU NI MTUMISHI WA MUNGU SIJUWI WEWE

    • @barakamwasenga-n5v
      @barakamwasenga-n5v 16 дней назад

      Mungu ni mmoja tu

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад +4

      Sikiliza maelezo hata Mbarikiwa amesema kwamba hajui kasema sasa au kabla. Ila iwe sasa au zamani swali liko pale pale; Haya ni malalamiko, ni vipaumbele au ni "swaga"? Kwani iwe kauli ya zamani au ya sasa inahitaji utekelezaji

    • @joshuadwende3047
      @joshuadwende3047 15 дней назад

      ​@@Mbarikiwa_Mwakipesilekwani ujumbe haujauelewa

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  15 дней назад

      @joshuadwende3047 wewe ndio nikuulize kwani nilichoongea haujaelewa?

    • @ELIREHEMANAWE
      @ELIREHEMANAWE 15 дней назад

      Nimeipenda comment yako

  • @MwaminiKifyasi
    @MwaminiKifyasi 12 дней назад

    Hiyo nguvu itumie kuhubiri tafadhali sioni kama uko sawa

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  12 дней назад

      Uliye sawa hivi ndio umehubiri? Huko kuhubiri ungehubiri wewe kwenye page yako tuje tujifunze. Ila likiwa domo tu

  • @ShauriBeda
    @ShauriBeda 16 дней назад

    Yaani huyu Askf huu ni ujumbe wakee toka 2012 kumi na 3 ni mtu anae wiwa na kazii ya mitumee ,

    • @ShauriBeda
      @ShauriBeda 16 дней назад

      Sio kwelii , hekima ni muhimu sana Mbele ya watalaa ktk Kila unalo lisemaaa je unakumbuka habari za David

    • @ShauriBeda
      @ShauriBeda 16 дней назад

      Ujihesbie hakii kupitaa kiasii , We Fanya kaziii ya Bwana kulingana na kusudii la mwito wakoo

    • @ShauriBeda
      @ShauriBeda 16 дней назад

      Kinginee nenda shulee jifunzee Kuna vitu ni shulee tu inakusumbua , hata katika biblia Kuna mambo walimuachia Luku ashughulike nayoo

    • @ShauriBeda
      @ShauriBeda 16 дней назад

      Sasa kama sadaka ni jambo la mtu na Mungu , kulingana na ufahamu wa mtu juu ya Mungu wakee

  • @FelicianTarimo-g5q
    @FelicianTarimo-g5q 16 дней назад

    Wewe unae jiita mbarikiwa ulipambana na serekali ukashindwa Sasa umegeukia viongozi wa kanisa huna hata utukufu wowote

  • @JesusisLord-j4o
    @JesusisLord-j4o 16 дней назад

    😂😂.. kwahiyo Askofu lazima aseme makosa ya watawala hadharani,yani mitandaoni? Kumueleza mtu alichokosa mpaka wengine wafahamu?
    ● Umesema anamahusiano mazuri na watawala, unauhakika gani kuwa hawaelezi makosa moja kwa moja?? Et mpendwa🤔

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 16 дней назад

    TAG wanagombania uaskofu balaa,fuatilia uchaguzi wa mwaka huu

    • @emmanuelmwalembe-yd1cz
      @emmanuelmwalembe-yd1cz 16 дней назад

      😂😂😂😂😂😂
      Kivip an

    • @BenjaminVicent
      @BenjaminVicent 16 дней назад

      Kwani ulikuwaje huo uchaguzi, hivi ninyi hizi story huwa mnazitoa wapi? Maana sisi wahusika huwa hatuoni hayo mnayoyasema, sasa najihuliza haya mnayatoa wapi?

  • @davidmdadila4080
    @davidmdadila4080 16 дней назад

    Mbona unaongea hata hueleweki

  • @YueniWilingtonnsyukwe
    @YueniWilingtonnsyukwe 14 дней назад

    Mubalikiwa amepoteana na biblia ila amebaki kukosoa.
    Sasa wewe haya haya unayoyaongea yanaupako gani?
    We unaumwa kiakili ila hujui tu.

  • @davidmdadila4080
    @davidmdadila4080 16 дней назад

    Sasa ASKOFU amekosa Nini wewe una matatizo najua unamtafuta yeye yupo kazini

  • @NehemiahKimaro
    @NehemiahKimaro 16 дней назад

    We jamaa unazngua

  • @andrewgeorge4749
    @andrewgeorge4749 16 дней назад

    Kwahili alisema kabla ktk vikao vya CPCT

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Wote wanaotukana ni dini moja. Wote wanatetea dini yao. Kwani hapa Mbarikiwa kasema wazi kuwa hajui Mtokambali alisema kabla au baada. Ila vyovyote vile swali ni je, hayo ni malalamiko, ni vipaumbele vyake au ni SWAGA? TUKANENE KWA USHIRIKIANO WA KILA AINA ILA SWALI HILO LIMEBAKI HIVYO.
      BAADA YA MATUSI YOTE HAYO MTAKAYOTUKA KILA MTU ATAVUNA.

  • @fideliskipilipili8305
    @fideliskipilipili8305 16 дней назад

    HUNA AKILI NZURI JAMAA WEWE

  • @JohnEliakim-g5n
    @JohnEliakim-g5n 16 дней назад

    We naye

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Wote wanaotukana ni dini moja. Wote wanatetea dini yao. Kwani hapa Mbarikiwa kasema wazi kuwa hajui Mtokambali alisema kabla au baada. Ila vyovyote vile swali ni je, hayo ni malalamiko, ni vipaumbele vyake au ni SWAGA? TUKANENE KWA USHIRIKIANO WA KILA AINA ILA SWALI HILO LIMEBAKI HIVYO.
      BAADA YA MATUSI YOTE HAYO MTAKAYOTUKA KILA MTU ATAVUNA.

  • @MsetiStationery
    @MsetiStationery 16 дней назад

    Kumbe najua adui anakutumia au unafanya makusudi. Hii kauli aliongea muda sana

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Sikiliza maelezo hata Mbarikiwa amesema kwamba hajui kasema sasa au kabla. Ila iwe sasa au zamani swali liko pale pale; Haya ni malalamiko, ni vipaumbele au ni "swaga"? Kwani iwe kauli ya zamani au ya sasa inahitaji utekelezaji

  • @TrialAccount-lo6hw
    @TrialAccount-lo6hw 16 дней назад +1

    Ninashukuru watu wanaanza kumwelewa huyu anayejiita mbarikiwa kuwa hana jipya zaidi ya kuwa mpinzani wa kila kitu bila hata kuf❤anya kautafiti kidogo ili aseme kwa uhakika. Muda utasema; lakini kwa kifupi hausaidii kuujenga ufalme wa Mungu bali unaufitinisha. Kukaa kimya kwa pale ambapo huna uhakika na unachokisema tena juu ya kiongozi/askofu aliyechaguliwa kihalali na watu wake na wanampenda; hmmm

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Wote wanaotukana ni dini moja. Wote wanatetea dini yao. Kwani hapa Mbarikiwa kasema wazi kuwa hajui Mtokambali alisema kabla au baada. Ila vyovyote vile swali ni je, hayo ni malalamiko, ni vipaumbele vyake au ni SWAGA? TUKANENE KWA USHIRIKIANO WA KILA AINA ILA SWALI HILO LIMEBAKI HIVYO.
      BAADA YA MATUSI YOTE HAYO MTAKAYOTUKA KILA MTU ATAVUNA.

    • @AnaniaKyando
      @AnaniaKyando 16 дней назад

      Mm Kwa upande wangu mbalikiwa namuelewa sana sijui ww kama humuelewi TAG mnajijua wenyewe

    • @DanielMwakanyuma
      @DanielMwakanyuma 16 дней назад

      Unapochambuwa ujuwe na wewe unchambuliwa pia unapoteza mvuto kwa wale waliokwamini kwa kumlenga mtu na kumsema nikushauli fumba kinywa angalia maisha ya utumishi ulioitiwa.

    • @emmanuelmwalembe-yd1cz
      @emmanuelmwalembe-yd1cz 16 дней назад

      ​@@AnaniaKyando😂😂😂😂😂 kaz Bado ipo
      Hiv kuwa mweny haki peke Ako
      Na kuwaona wengine wote wamekosa
      Kanisa la kizazi hiki linaenda wapi?

  • @AlfredMlaki
    @AlfredMlaki 16 дней назад

    ruclips.net/video/oqHL6blgZr4/видео.htmlsi=kwOwAUACGp_6c-xO

  • @FikiliKulikuamotela
    @FikiliKulikuamotela 16 дней назад +1

    Mchungaji ivi kazi yako ni ipi? maana sasa tunaona kila siku wewe umeacha kuwahubili wasiokoka ili waokoke bali kila kuitwapo leo nikuwafuatili tu watumishi wenzako. Umesahau kazi alio kuitia mungu ya kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wa yesu. wewe nikuwachafua watumishi wa mungu. hakika umepoteza sifa yako kabisa, ikikupendeza ni heli ubadilike tu yaani unatukela !!!! ❤

    • @ombendaud5938
      @ombendaud5938 16 дней назад

      @Fikili Kazi yake nikuwaambia watu makosa yao.Na hapo yupo kutimiza kazi ya kuhubiri

    • @eliudinjoka8698
      @eliudinjoka8698 16 дней назад

      Wewe mbarikiwa una matatizo sana kwani Magembe nani unashida ssna

    • @JaneChissawilo-dr7nn
      @JaneChissawilo-dr7nn 16 дней назад

      Soma warumi 12

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 16 дней назад

    Ww unaejiita mbarikiwa deal na mambo ya Kanisa lako, haya ya kwetu tuachie sisi wenyewe. Na Askofu alikuwa anaongea na sisi na sio ww.

    • @anyosisyedaniel1790
      @anyosisyedaniel1790 16 дней назад

      Kanisa sio lenu wala lako, kanisa ni la Kristo, ondoka kwenye uwete wa ufahamu kiroho

    • @michaelrweyemamu1068
      @michaelrweyemamu1068 16 дней назад

      Kumbe la Kristo sasa ww na mbarikiwa wako mbona mnashoboka kipumbavu. Si mumuachie Kristo Mwenyewe. Kwani Kristo amewatuma mliongelee Mtandaoni

    • @desderiusntondero9588
      @desderiusntondero9588 12 дней назад +1

      TAG tunayo na tunatambua nayo

  • @jeremiahkigao5304
    @jeremiahkigao5304 16 дней назад

    Hueleweki na wewe unabwabwaja sana

  • @LAMECKRWIZA-du2qh
    @LAMECKRWIZA-du2qh 16 дней назад

    Wewe nawe umezidi sasa

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Wote wanaotukana ni dini moja. Wote wanatetea dini yao. Kwani hapa Mbarikiwa kasema wazi kuwa hajui Mtokambali alisema kabla au baada. Ila vyovyote vile swali ni je, hayo ni malalamiko, ni vipaumbele vyake au ni SWAGA? TUKANENE KWA USHIRIKIANO WA KILA AINA ILA SWALI HILO LIMEBAKI HIVYO.
      BAADA YA MATUSI YOTE HAYO MTAKAYOTUKA KILA MTU ATAVUNA.

    • @AnaniaKyando
      @AnaniaKyando 16 дней назад

      Hata wewe umezidi sana kumfatilia sana mbalikiwa lkn hiyo ni dozi inakuingia

  • @princejoshuamushi8396
    @princejoshuamushi8396 16 дней назад

    Nilijuwa wewe ni mtu mzima kumbe umeshakuwa kichaa....
    Unahitaji rehema za Mungu wewe...
    Yaani unajiona wewe umeokoka kuliko Askfu Mtokambali kweli huu ni ulimbukeni mkubwa sana....
    Nikuambie ukweli unajizalilisha brother jitahidi kujiheshimu hata kidogo basi

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Kipimo chako cha kuokoka ni nini mwambalaga! Kwa hiyo we ndio unajiheshimisha kwa comment hii?

    • @omuze1290
      @omuze1290 16 дней назад +3

      @princejoshuamushi8396, maaskofu wako ukiwapima na viongozi wa kanisa la kwanza la mitume, wana-match kisawasawa? Mch. Mbarikiwa ameainisha jinsi lilivyokuwa kanisa la kwanza la mitume kisha kum-challenge askofu wenu mkuu ajipime. Kosa liko wapi kwa mch. Mbarikiwa?

    • @NeemaMathias2021
      @NeemaMathias2021 16 дней назад

      prine joshua mushi kwako kuokoka nikuwa askofu nini? pole sana hapo alipozungumza mbarikiwa kakosea wapi ? yeye amejaribu kutazamisha kwamba kama yeye mtokambali ni askf yeye ndo anamalaka ya kusimamia kanisa lielekeee welekeo fulan anaotaka sasa inakuwaje yeye ndo nikama analalamika badala ya kutoa welekeo na kuusimamamia?

    • @princejoshuamushi8396
      @princejoshuamushi8396 15 дней назад

      Muhubiri Yesu acha majungu...
      Mwache Askofu wetu apige kazi yake....​@@Mbarikiwa_Mwakipesile

  • @enocklugwe513
    @enocklugwe513 16 дней назад

    Tumekuchoka, wewe unatumiwa

  • @SonOfJesus-w2l
    @SonOfJesus-w2l 16 дней назад

    Unatafta umaarufu kweliyani, mbna we nimpumbavu ivyo. TAG inakuhusu kwavyovyot kwani??. TAG inayesu halisi kuwamakini utazkwa mapemaa oh

    • @JacksonRamadhanMchakila
      @JacksonRamadhanMchakila 16 дней назад

      Hahahahhaha acha utotoo unamtishia maiti kaburii

    • @NeemaMathias2021
      @NeemaMathias2021 16 дней назад

      we "Son of God" huyu ndo askof mkuu je kama anaona kizazi cha tatu wanapambania udunia sasa kwanini yeye kama kiongozi asitoe tamko na mwelekeo ila analalama tu ?,harafu unapo sema utampoteza mbarikiwa unavyodhani wewe nikama na kikundi chako mnajambo zaidi mtamumiza ten kama mlivyo muumiza hasa kwa habari ya mtoto ?wewe tu ndo unadhani utaishi milele ila saaa yaja naww sio wa milele ! wewe mwana wa jokaaaa saaa yaja juuu yako na kizazi na familia yko ulipandalo utalipwa tu

    • @brendajulius2995
      @brendajulius2995 16 дней назад

      Yesu halisi ni yupi?? Na wapi alipo Yesu asiye halisi???

    • @omuze1290
      @omuze1290 16 дней назад

      @@SonOfJesus-w2l kwa mliyomfanyia mc. Magembe ni dhahiri mna Bar-Yesu. Mtu ambaye amelitumikia kanisa kwa miaka 56 halafu mmemwacha aondoke mikono mitupu, ni ushetani wa hali ya juu. Serikali za dunia huwapa viinua mgongo wastaafu wao, ni ajabu sana ninyi mnaosema mnamtumikia Mungu kuzidiwa wema na watawala wa dunia.
      Mch. Magembe aliwakabidhi hadi vijiko mkapokea. Mmetia aibu kweli kweli.

    • @josephkinanda3848
      @josephkinanda3848 15 дней назад

      Hahaha watu wenye yesu wanatishia maisha ya watu duuui😅

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 16 дней назад

    KWA HIYO WEWE UNADHANI T.A.G. MWENYE UPAKO NI MAGEMBE TU? HALAFU MAGEMBE BADO YUPO KWENYE MWILI WA KRISTO. NA MICHANGO WAKE KWA KANISA BADO UPO

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Wote wanaotukana ni dini moja. Wote wanatetea dini yao. Kwani hapa Mbarikiwa kasema wazi kuwa hajui Mtokambali alisema kabla au baada. Ila vyovyote vile swali ni je, hayo ni malalamiko, ni vipaumbele vyake au ni SWAGA? TUKANENE KWA USHIRIKIANO WA KILA AINA ILA SWALI HILO LIMEBAKI HIVYO.
      BAADA YA MATUSI YOTE HAYO MTAKAYOTUKA KILA MTU ATAVUNA.

    • @janecosta857
      @janecosta857 16 дней назад

      Upako alionao Magembe hauna kipimo wewe, Yule Mzee nimeshuhudia watu wakiongea, watu wakiona…fika kwenye ibada zake uone nguvu ya MUNGU inavyoshuka

  • @JoelJotham-f5o
    @JoelJotham-f5o 16 дней назад

    Yani wewe ni kukosoa tu! Kukosoa tu! Kukosoa tu!

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Wote wanaotukana ni dini moja. Wote wanatetea dini yao. Kwani hapa Mbarikiwa kasema wazi kuwa hajui Mtokambali alisema kabla au baada. Ila vyovyote vile swali ni je, hayo ni malalamiko, ni vipaumbele vyake au ni SWAGA? TUKANENE KWA USHIRIKIANO WA KILA AINA ILA SWALI HILO LIMEBAKI HIVYO.
      BAADA YA MATUSI YOTE HAYO MTAKAYOTUKA KILA MTU ATAVUNA.

    • @MercyMwita-wx8hb
      @MercyMwita-wx8hb 16 дней назад

      Yaani wewe uakurupuka tu Kaa tulia baba yetu anasonga mbele

  • @ernestmass9199
    @ernestmass9199 16 дней назад

    Mbarikiwa hebu onyeaha ulicho nacho huyo
    Sio saizi yako.
    Harafu hulijui kanisa la TAG, habu shindana na shetani usishindane na Watumishi wa Mungu, Kosa la huyo mzee ni lipi. Kama unadukuduku na TAG na basi sema shida yako.
    Na uelewe uaskofu wa TAG sio kama wa dhehebu lako
    Wacha tukuache maana hata sijui hata kama umeitwa wewe

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  16 дней назад

      Wote wanaotukana ni dini moja. Wote wanatetea dini yao. Kwani hapa Mbarikiwa kasema wazi kuwa hajui Mtokambali alisema kabla au baada. Ila vyovyote vile swali ni je, hayo ni malalamiko, ni vipaumbele vyake au ni SWAGA? TUKANENE KWA USHIRIKIANO WA KILA AINA ILA SWALI HILO LIMEBAKI HIVYO.
      BAADA YA MATUSI YOTE HAYO MTAKAYOTUKA KILA MTU ATAVUNA.

    • @ShauriBeda
      @ShauriBeda 16 дней назад

      Hebu angalia hitimisho lakoo ,