Yohana 3:16 Ilimbidi YESU mwana pekee wa Mungu Afe kwa ajili ya kuikombowa Dunia.. Na Shujaa wokovu Alitamani Atangulie kabla ya babà,na kumbe amewafia wengi, Du ramani ya Mungu ni ngum
Dunia ni Mahali salama kwa wenye haki ikiwa tu kiongozi wao ataisafisha kwa kutenga ngano na magugu ,,, Mapigo ya wadhalimu yatatoka kwa Bwana Hata kama unamchukia mtu haipaswi kufikia kutoa uhai wa mtu Mtu anathamani kubwa sana Machoni pa Mungu alie hai
Poleni sana waumini wote.pamoja.na.pastor..na.mke.wake.inahuzunisha.sana.huzuni isiyo farijika.na.mwanadam yoyote mungu mwenyewe.awafariji awape mioyo.ya ujasiri.kukubali kilichotokea sote. Tumetoka kwake na.kwake tutarudi mungu akujalie kupata wana wengine kama.ayubu. maana njia za mwanadam sio za mungu mungu awajalie .kushinda jaribu.hilo muweze kupita salama pamoja.na kanisa
@@dorisfabian4776 huyu mtu ni mwehu kabisa, Kwanza amekosa adabu, mbarikiwa ni kijitu kisichokuwa na adabu hata kidogo, Kwanza mdomo wake ni mchafu, uwa anatukana watu bila kuogopa, kwa jumla ni kwamba huyu kijana Hana adabu, yupo Kama Teja mvuta bangi,
Siyo akili ya kawaida Yaani Mwanao anaumia kisa wewe mwenyewe halafu unasingizia watu, Sasa Kiongozi wa Dini na MUUNGANO wapi kwa wapi?? Kina Tundulisu nao wasemeje??! " Rohombaya haijengi" Viongozi wa Dini tupeni NENO LITUPONYE MSITUPANDIKIZE CHUKI ZENU BINAFSI HATUWEZI WENZENU TANZANIA 🇹🇿 YETU AMANI ❤
Pamoja Na magumu haya yote Mungu atabaki kuwa Mungu,Mungu awe faraja kwen
Pole sana kaka
Mungu anawatafuta watu wenye imani kama wewe mchungaji mwakipesile ingawa roho inauma lakini Bado Mungu atabaki kuwa Mungu tu,
Yohana 3:16
Ilimbidi YESU mwana pekee wa Mungu Afe kwa ajili ya kuikombowa Dunia..
Na Shujaa wokovu Alitamani Atangulie kabla ya babà,na kumbe amewafia wengi, Du ramani ya Mungu ni ngum
poleni sana mungu awatie nguvu
Yaan maisha siwez kila mtu anajaribu lake
Dunia ni Mahali salama kwa wenye haki ikiwa tu kiongozi wao ataisafisha kwa kutenga ngano na magugu ,,,
Mapigo ya wadhalimu yatatoka kwa Bwana
Hata kama unamchukia mtu haipaswi kufikia kutoa uhai wa mtu
Mtu anathamani kubwa sana Machoni pa Mungu alie hai
Nimejijuta nalia..pole sana🙏🙏😢
Poleni sana Mungu atabaki kuwa Mungu
Poleni sana kwa majonzi makubwa mwenyezi mungu ammpumuzishe kwa amani
Uwiii...isyesye...umemeza ndugu zetu pumziken wapendwa wetu tupo nyuma😭😭
Poleni saana MUNGU awatie nguvu
poleni sana familiya ya baba mwakipesile
Pole kw msiba Bishop mungu akupe faraja kw wakti mgumu huu
Pole sana
Kwa kumpoteza mpendwa wetyu wokovu mwenyezi Mungu akutie nguvu Kwa kipindi hiki kigumu👏👏😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭imeniumaa sanaa
Mungu wangu ata kufuta machozi mtumishi wa mungu
Yuko mfariji wa kweli awafariji
Poleni sana waumini wote.pamoja.na.pastor..na.mke.wake.inahuzunisha.sana.huzuni isiyo farijika.na.mwanadam yoyote mungu mwenyewe.awafariji awape mioyo.ya ujasiri.kukubali kilichotokea sote. Tumetoka kwake na.kwake tutarudi mungu akujalie kupata wana wengine kama.ayubu. maana njia za mwanadam sio za mungu mungu awajalie .kushinda jaribu.hilo muweze kupita salama pamoja.na kanisa
Duh jmn kifo ni fumboo la imani uwiii😭😭😭😭 tukeshee tukiombaa maana hatujui siku wa la saa
Aliugua au, ni mdogo jamani
Poleni wapendwa Mungu awape faraja ktk magumu haya
Pole dada nimelia Kama nipo karibu inauma Sana dunia tunapita poleni sana
Haki poleni sana
Matha mdg wangu pole kwa msiba wa mdg wako pia hongora kwa kazi nzur
Aliugua nini huyo mtoto wa Mungu Jamani daah nimelia
Nenda shujaa, umeondoka kwa heshima.
Aliugua au ilikuwaje jamani...
Bwana awatie nguvu katika hili pito ninacho fahamu ipo siku tutaonana na wapendwa wetu waliyo lala katika kristo yesu jipeni moyo ndugu zangu.
Pole Sana 😌😭
Poleni sana
Pumzika kwa amani wokovu
Poleni
Twende mbele.
Huyu mtoto hawakumuaga mara ya mwisho au alkua amearibika jamn
😭😭😭😭😭
😭😭
Mimi hata uniambie Nini, siamini Kama huyu mbarikiwa ni mzima, Mimi naamini huyu jamaa ni mwehu
Jamani kwani ana matatizo gani huyu mtumishi?
@@dorisfabian4776 huyu mtu ni mwehu kabisa, Kwanza amekosa adabu, mbarikiwa ni kijitu kisichokuwa na adabu hata kidogo, Kwanza mdomo wake ni mchafu, uwa anatukana watu bila kuogopa, kwa jumla ni kwamba huyu kijana Hana adabu, yupo Kama Teja mvuta bangi,
Siyo akili ya kawaida Yaani Mwanao anaumia kisa wewe mwenyewe halafu unasingizia watu, Sasa Kiongozi wa Dini na MUUNGANO wapi kwa wapi?? Kina Tundulisu nao wasemeje??! " Rohombaya haijengi" Viongozi wa Dini tupeni NENO LITUPONYE MSITUPANDIKIZE CHUKI ZENU BINAFSI HATUWEZI WENZENU TANZANIA 🇹🇿 YETU AMANI ❤
Polen
Poleni sana wafiwa, mungu awatie nguvi
Kipimo cha iman mungu akutie nguvu
Maumivu ayaelezeki mungu watie nguvu
Alikuwa mdogo jamani, Mwendo umeumaliza mtumishi wa Mungu Wokovu
Sasa hao waombolezaji wanapiga picha za nini? Hawatulii na hizo simu.
hayajawafika hao wapo msibani kuchukua matukio
Poleni sana
Polen
😭😭😭