Robert Robert
Robert Robert
  • Видео 399
  • Просмотров 694 595

Видео

🔴UMEACHA ALAMA KWENYE MAISHA YETU🎶🎵 New song; By Robert robert. GOD HAS LEFT US A MARK ON OUR LIVES.
Просмотров 3186 месяцев назад
🔴UMEACHA ALAMA KWENYE MAISHA YETU🎶🎵 New song; By Robert robert. GOD HAS LEFT US A MARK ON OUR LIVES.
#Video_Music…Tenzi mpya; NI TABIBU WAKARIBU. By Robert Robert.
Просмотров 1456 месяцев назад
#Video_Music…Tenzi mpya; NI TABIBU WAKARIBU. By Robert Robert.
#video_music; WENGI WAMEFIA HAPO😭😭 By Robert robert.
Просмотров 2186 месяцев назад
#video_music; WENGI WAMEFIA HAPO😭😭 By Robert robert.
NEW SONG FROM ROBERT ROBERT
Просмотров 946 месяцев назад
NEW SONG FROM ROBERT ROBERT
NEW SONG FROM ADONAI ASTONI
Просмотров 1266 месяцев назад
NEW SONG FROM ADONAI ASTONI
HAIKUWA NDOTO YANGU KUWA HIVI😭😭😭 WIMBO #MPYA; POKEA SIFA.
Просмотров 1886 месяцев назад
HAIKUWA NDOTO YANGU KUWA HIVI😭😭😭 WIMBO #MPYA; POKEA SIFA.
#newvideo IMANUEL WEWE NI MUNGU WA SIFA. By Robert
Просмотров 1517 месяцев назад
#video #mpya
ZIJUE SIRI ZA UTAJILI WA KWELI DUNIANI
Просмотров 249Год назад
ZIJUE SIRI ZA UTAJILI WA KWELI DUNIANI
MATESO YA DUBAI HAKUNA MAFANIKIO YA BAHATI
Просмотров 381Год назад
MATESO YA DUBAI HAKUNA MAFANIKIO YA BAHATI
Wimbo mpya | Hukumu ya Mbarikiwa Sio Sawa
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
Wimbo mpya | Hukumu ya Mbarikiwa Sio Sawa
ROBERT ROBERT ATOA NYIMBO MPYA AKIWA DUBAI
Просмотров 707Год назад
ROBERT ROBERT ATOA NYIMBO MPYA AKIWA DUBAI
Nataka kwenda nawewe (Yesu) video~songs. By Robert Robert.
Просмотров 631Год назад
Nataka kwenda nawewe (Yesu) video~songs. By Robert Robert.
Tenzi No:92 NATAKA NIMJUE YESU by Robert robert.
Просмотров 387Год назад
Tenzi No:92 NATAKA NIMJUE YESU by Robert robert.
Video mpya Ulinitafuta Mungu tokea mbali na Robert Robert
Просмотров 529Год назад
Video mpya Ulinitafuta Mungu tokea mbali na Robert Robert
(Masikitiko) Wimbo; Mwanadau unsjivunia nini? Wewe ni Mavumni tu.
Просмотров 495Год назад
(Masikitiko) Wimbo; Mwanadau unsjivunia nini? Wewe ni Mavumni tu.
Video Song - Ninarudi Nilipotea Mbali by Robert Robert
Просмотров 869Год назад
Video Song - Ninarudi Nilipotea Mbali by Robert Robert
Video songs; MAPENZI YAKO MUNGU. na Mt. Majariwa
Просмотров 561Год назад
Video songs; MAPENZI YAKO MUNGU. na Mt. Majariwa
New Video Song. TENZI No 5 JINA LAKE YESU TAMU by ROBERT ROBERT & ALUNE KYUSA
Просмотров 3,1 тыс.Год назад
New Video Song. TENZI No 5 JINA LAKE YESU TAMU by ROBERT ROBERT & ALUNE KYUSA
KIJANA WA MBARIKIWA MWAKIPESILE AKIWA KWENYEDENGE ASIKITISHA SANA NAMABAYA
Просмотров 678Год назад
KIJANA WA MBARIKIWA MWAKIPESILE AKIWA KWENYEDENGE ASIKITISHA SANA NAMABAYA
VIDEO_ SONG. KAMA SI HUYUVYESU by ROBERT ROBERT.
Просмотров 706Год назад
VIDEO_ SONG. KAMA SI HUYUVYESU by ROBERT ROBERT.
VIJANA WAITAKA SELIKALI IMSAPOTI MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE KWA KUSAIDIA MAJAMBAZI NA MAKAHABA
Просмотров 397Год назад
VIJANA WAITAKA SELIKALI IMSAPOTI MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE KWA KUSAIDIA MAJAMBAZI NA MAKAHABA
ROBERT ROBERT KUNASILI KUBWA KWENYE UHAI KWANINI? WEMA WANAKUFA MAJABAZI WANABAKI VIDEO YENYEWE INKJ
Просмотров 238Год назад
ROBERT ROBERT KUNASILI KUBWA KWENYE UHAI KWANINI? WEMA WANAKUFA MAJABAZI WANABAKI VIDEO YENYEWE INKJ
Mtoto wa mbarikiwa mwakipesile akemea ushonga kwa masikitiko makubwa
Просмотров 148Год назад
Mtoto wa mbarikiwa mwakipesile akemea ushonga kwa masikitiko makubwa
Vijue vituko virivyopo mbeya
Просмотров 333Год назад
Vijue vituko virivyopo mbeya
MCH mbarikiwa mwakipesile atokea mahakama mahakama yetetemeka sana
Просмотров 1 тыс.Год назад
MCH mbarikiwa mwakipesile atokea mahakama mahakama yetetemeka sana
Robert Robert asimulia mapito ya maisha yake
Просмотров 257Год назад
Robert Robert asimulia mapito ya maisha yake
Mch mbarikiwa mwakipesile kawashukia serikari
Просмотров 312Год назад
Mch mbarikiwa mwakipesile kawashukia serikari
Watoto wakiume waupinga ushonga kwa ukari
Просмотров 195Год назад
Watoto wakiume waupinga ushonga kwa ukari
DAMU IMEBUBUJIKA || Tenzi za Rohoni,no;86. || 0764684915.
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
DAMU IMEBUBUJIKA || Tenzi za Rohoni,no;86. || 0764684915.

Комментарии

  • @rosemaryngowo2327
    @rosemaryngowo2327 2 дня назад

    Nmeumia jamanii

  • @SafiMasemo-x3n
    @SafiMasemo-x3n 6 дней назад

    Mungu nizaidi ya yote duniani

  • @Yumbopaul
    @Yumbopaul 8 дней назад

    😭😭😭

  • @davidkea5701
    @davidkea5701 18 дней назад

    Have never seen such person,,its take alot of the LORD grace😢

  • @ConsolataNgatunga-fb1yn
    @ConsolataNgatunga-fb1yn 24 дня назад

    Mtoto tutaonana siku moja mbinguni kwa baba

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 Месяц назад

    MWe wokovu jamani ulikuwa na Sauti nzuri sana

  • @sautiyawatu1703
    @sautiyawatu1703 Месяц назад

    Ameen hakika tuko karibu na mwisho

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 Месяц назад

    Mungu atusaidie hata kwa akili ya kawaida inajua huyu ni anatabia za kuzimu

  • @Janetjanet-ke9fv
    @Janetjanet-ke9fv Месяц назад

    ooooh my God 😢

  • @sautiyawatu1703
    @sautiyawatu1703 Месяц назад

    Ameen Ameen baba

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 Месяц назад

    Mwenye haki ana mateso mengi,lakini Bwana humshindia yote

  • @NeemaDotto-d1b
    @NeemaDotto-d1b Месяц назад

    Akika ninyi ndo watumishi wa mungu awe aduhi wa adui.zenu

  • @JenifaMahanga
    @JenifaMahanga Месяц назад

    Inauma ila

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 2 месяца назад

    Mpole sana familia R i p dada yetu kipenz

  • @TumainiAbeli
    @TumainiAbeli 2 месяца назад

    Jamani MUNGU Anaeish ndani ya mioyo yetu atasema juu ya mbalikwa

  • @TumainiAbeli
    @TumainiAbeli 2 месяца назад

    Hapo robath mtumishi wimbo mzuri sana ..umeimba vizuri MUNGU awabariki.

  • @ElimwemaSarwat-nb2fg
    @ElimwemaSarwat-nb2fg 3 месяца назад

    Sijui nani kakerwa kama mm jmn kanisa zima limeshika simu kurekodi duuuh

  • @RichardMpuya
    @RichardMpuya 3 месяца назад

    Baraka ziende kwako na mke wako Mrs mwakipesile msimamo mwema katika ukiristo

  • @danielyabesy877
    @danielyabesy877 3 месяца назад

    Ukiwa Una itaji musada wa pesa katika huduma. Unaweza nitafuta

  • @danielyabesy877
    @danielyabesy877 3 месяца назад

    Kwakweli Katinka kikosikazi. Huwa. Una nibariki sana.

  • @WilberforceLikhaya
    @WilberforceLikhaya 3 месяца назад

    1:46 1:46 ❤❤

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf 3 месяца назад

    Kweli maisha ayana mwenyewe kutoka kuzungusha viatu

  • @monicagerald6676
    @monicagerald6676 4 месяца назад

    Hii ni Imani kuu mno kwa Mungu, wenye imani thabiti ndiyo wanaoweza kufanya hivi.

  • @JuhudiMisitoni
    @JuhudiMisitoni 4 месяца назад

    Mungu atakuonyesha

  • @SaumuLugogo
    @SaumuLugogo 4 месяца назад

    Kuishi na kristo kufa ni faida

  • @SaumuLugogo
    @SaumuLugogo 4 месяца назад

    Ameni

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 4 месяца назад

    Yaan maisha siwez kila mtu anajaribu lake

  • @jimani4529
    @jimani4529 4 месяца назад

    Nzuri sana , naipenda ❤

  • @noahpaulo3845
    @noahpaulo3845 4 месяца назад

    Duuuuh huyu ndio nabii wa kwer

  • @aberydanny9608
    @aberydanny9608 5 месяцев назад

    Huyu ndugu ana kifua kipana sana

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 месяцев назад

    😭😭😭🙏🙏🙏

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 5 месяцев назад

    IT'S 🆗 MR AND MRS MBARIKIWA!!!""IT'S 🆗 "🙏🙏🙏

  • @EzekielCharles-j8x
    @EzekielCharles-j8x 5 месяцев назад

    Umefiwa unacheza namna hiyo ulimpenda kweli mnao?

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 5 месяцев назад

    MUNGU ANA TISHA SANA NIMEKUWA NIMSIKIA MBARIKIWA MWAKIPESILE ANALIA NA MWANAE ILA LEO NA MIMI NIMELIA BAADA YA KUMUONA NA KUMFWATILIA NIKUPE POLE SANA MBARIKIWA NA FAMILIA YAKO PAMOJA NA KIKOSI KAZI INAUMA ILA KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA

  • @anethjackson512
    @anethjackson512 5 месяцев назад

    Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu😭😭

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 5 месяцев назад

    Mwenyezi mungu awatie nguvu family yote da niuchungu sana

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 5 месяцев назад

    Pole sana kaka

  • @JoyceJulius-r6g
    @JoyceJulius-r6g 5 месяцев назад

    Aisee yataka ujasili mkubwa sana na nguvu ya mungu

  • @JoyceJulius-r6g
    @JoyceJulius-r6g 5 месяцев назад

    Mungu ndie mtenda yote wale wote waliofanya hivi mungu atalipa polen sana

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 5 месяцев назад

    MUNGU NI MUNGU MWENYE WIVU ni VIZURI KUIPISHA GHADHABU YA MUNGU juu ya ALIYEMUUA MTOTO WA MWAKIPESILE MPAKWA MAFUTA WA YESU KRISTO WA NAZARETI.Najiuliza KAMA ASINGEKUWA YESU KUWA MTETEZI WETU TUNGEKUWA WAPI ?

  • @JoyFull-w1l
    @JoyFull-w1l 5 месяцев назад

    Aisee... sijawah ona iman ya namna hij😢

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 5 месяцев назад

    Hakika mtumishi kweli kweli 😢😢😢 lakini jehova mungu anasababu ya haya yatendeke🎉🎉lala kwa amani

  • @JanethRobati-s2k
    @JanethRobati-s2k 5 месяцев назад

    Hakuna anaeweza hilo baba unaushujaa wakutosha basi ivoivo mungu akushindie vita hiyo we nyamaza aseme baba pole sana mungu akutie nguvu

  • @HannahHenry-ox9be
    @HannahHenry-ox9be 5 месяцев назад

    Nyimbo inaitwa jamani

  • @RoseEdisonngusi
    @RoseEdisonngusi 5 месяцев назад

    Utalipwa na Mungu

  • @micpaul3542
    @micpaul3542 6 месяцев назад

    Dunia ni Mahali salama kwa wenye haki ikiwa tu kiongozi wao ataisafisha kwa kutenga ngano na magugu ,,, Mapigo ya wadhalimu yatatoka kwa Bwana Hata kama unamchukia mtu haipaswi kufikia kutoa uhai wa mtu Mtu anathamani kubwa sana Machoni pa Mungu alie hai

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 6 месяцев назад

    Huyu ni mtumishi wa mungu kweli kweli ❤

  • @ShangweWaziry
    @ShangweWaziry 6 месяцев назад

    😭😭😭😭kama duh ningum sana bila msaada wa MUNGU ni jambo gum sana Hilo Mungu awape nguvu🙏🎂

  • @zawadikwalazi6213
    @zawadikwalazi6213 6 месяцев назад

    Nimejijuta nalia..pole sana🙏🙏😢

  • @zawadikwalazi6213
    @zawadikwalazi6213 6 месяцев назад

    😢😢😢polen sana..❤❤❤