Breaking. MBARIKIWA AANZA KUFILISIWA. Je wabunge wote wako nyuma ya mateso anayoyapitia Mch huyu?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025
  • Edited by VideoGuru:videoguru.page...

Комментарии • 53

  • @Veni584
    @Veni584 Год назад +9

    Hatimaye kwa maombi yako mbarikiwa Sabaya yuko huru, hata wewe haki itatendeka

  • @christopherbainga1920
    @christopherbainga1920 Год назад +1

    Bible inasema KUTOKA 12:13👉👉 Na Ile Damu Ya Yesu itakuwa ishara.....

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 Год назад +4

    Ulokole kabisa kabisa Tumeuona kwako mbarikiwa,Ulokole usio na Mawaaa lakini Unaopambana na uovu na Ukandamizaji kwenye jamii,haijalishi watakuletea vikwazo gani tumejuwa Ulokole wa kwenye biblia unawezekana

  • @emmanuelmtumishi9454
    @emmanuelmtumishi9454 Год назад +1

    Mtumishi wa Mungu unapita kwenye wakati mgumu sana

  • @AngelSwila-dd8nu
    @AngelSwila-dd8nu Год назад

    Mungu akutie nguvu Baba tunakuombea

  • @AdelaJohn-n5v
    @AdelaJohn-n5v Год назад +1

    Hicho ni kipimo Cha imani mungu akupiganie
    mina

  • @davidikakombole8833
    @davidikakombole8833 Год назад +1

    Eeeeeeeeeee Yesuuuuu tunakungoja Wewe utuokoe na mashetani hawa

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 Год назад +1

    Ikiwa mti mbichi unafanyiwa hivi itakuaje kwa mti mkavu ? Ee Mungu tusaidie.

  • @robertkatole3910
    @robertkatole3910 Год назад

    Pole sana mtumishi MUNGU azidi kukupa ujasili

  • @muganyiziluharara9668
    @muganyiziluharara9668 Год назад +1

    Mungu wambinguni atajibu

  • @titonsimbazi5532
    @titonsimbazi5532 Год назад +1

    Kwani ninyi selikali ni kina nani? Nyie kukemewa uovu wenu hamtaki, si mche kutenda uovu.

  • @johnmnana-cg8go
    @johnmnana-cg8go Год назад

    Mbarikiwa,,umenena dini iliyoletwa na WAzungu,,umemaanisha ukiristu ni ushetani Kwa ujumla wake ama ulilenga nn,,

  • @ruthsawida8507
    @ruthsawida8507 Год назад +1

    Duuu mungu tusaidie watumishi wako hiii ni zoruba yesu Rudi Sasa mwenyewe maana hata watumishi uliowaita wanakataliwa Rudi mwenyewe sasa

  • @miriamwangari7417
    @miriamwangari7417 Год назад

    Wakorintho wa pili sura ya 4 mstari wa 17.

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Год назад

    Mungu atakusimamia kwa hili.
    Usikate tamaa ni jaribu.

  • @mwaminifungo4665
    @mwaminifungo4665 Год назад

    Mbalikiwa Mungu wa Mbinguni ni zaidi ya hao wanao kuandama ila Mungu yupo na hajanyamaza juu yako najua anataka ajitwalie utukufu kupitia wewe

  • @fabianmihale3715
    @fabianmihale3715 Год назад

    Ubarikiwe na barikiws Kama kina lako lilivyo,Jambo hili na Vita hivi vinavyoendelea wanakuongezea mafuta na hao bila kijua Aina ya mafuta wanayokuongezea yatakapodaka Moto ndipo watakapojua, wataushuhudia kwa macho yao.

  • @ngendakuriyotriphose8109
    @ngendakuriyotriphose8109 Год назад

    Hahaha mimi niliwaambia hilo ni genge la wahuni na wezi. Mungu yupo na akulinde mtumishi. Malipo yao ni hapa hapa na watayaona kwa macho yao.

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk Год назад

    Kwenye hili Bwana asimame na wewe Nimekuelewa vzr

  • @sofiakimvula4168
    @sofiakimvula4168 Год назад +1

    MUNGU atakulipia tu

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn Год назад

    Kuna wakati binadamu Inafika hatu Unamkubalia Mtu/Binadamu ili kutimiza lengo Lake alilokusudiwa ili kuhifurahisha nafsi yake ili avune alichokusudia na atakachovuna hicho nayeye pia kitavunwa kwa MZEE WA SIKU NYINGI,Amina.

  • @EliasLetema-s7l
    @EliasLetema-s7l Год назад

    Mungu tu atusadiye tu kwa serikali hiii ya cccm 😭😭😭

  • @evangelistpetropiason6202
    @evangelistpetropiason6202 Год назад

    Dunia simama nishuke
    Mambo haya yananistahajabisha mno!
    Mungu akutie nguvu kwakweli.

  • @yanawezekana9429
    @yanawezekana9429 Год назад +1

    WATU WANGEKUWA HAWACHIMBI VISIMA KWA KODI HIYO. WAMEAMUA TU KUKUSHUKIA. NI MWENDELEZO WA UOVU WAO.

  • @leticiageorge
    @leticiageorge Год назад

    Duuu,,inasikitisha sana ,,Kwa serikari hii na viongozi waliopo tutalipia hewa,,ila Mungu hashindwi ipo siku watajuta wanao fanya uovu Kwa mtu wa haki

  • @peterboaz3592
    @peterboaz3592 Год назад

    Mungu hadhihakiwi mtumishi hakika hakuna chini ya mbingu ambayo Mungu hawezi kutatua. Na hili litapita ipo siku.

  • @adammalima3408
    @adammalima3408 Год назад

    Mtumishi pole sana lakini nikushauri kitu,wewe lipa tu hizo bill zao huo ni mtego wanataka wapate kisingizio,wewe walipe tu MUNGU atakutendea

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 Год назад

    Kizungu kilikuja na ndege kaka

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Год назад

    Mshamba huyu .hujui hata Mungu wewe

  • @johnsonjohn-qz7cq
    @johnsonjohn-qz7cq Год назад

    Mungu atusaidie sana sana atukumbuke watoto wake

  • @nostusmwachilo6743
    @nostusmwachilo6743 Год назад

    Hata kama umeonewa kaa kimya hapo unaongeza tatizo utashindana nawahuni hao utaishia pabaya

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Год назад

      Nikikaa kimya mtaendelea kuua wengi. Miuaji mikubwa ninyi. Lakini swali ni je kweli wazuri hamfi?

    • @nostusmwachilo6743
      @nostusmwachilo6743 Год назад

      Hawa watu niweng wana mtandao mkubwa mtashindana nao mutaweza kaeni kimya

    • @nostusmwachilo6743
      @nostusmwachilo6743 Год назад

      Tundulisu alikuwa anatetea wanyonge leo kilema kip chakufia nyinyi

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika Год назад

    Kisima kachimba nani?. Maji ni haya ya Mungu mkuu au niya binadamu?. Tumwangalie Mungu mkuu wote tuitwao wanadamu maana yupo na anaona yote. Amen.

  • @emmanuelmtumishi9454
    @emmanuelmtumishi9454 Год назад

    Dunia unataka tuendeleze uovu hautaki haki kabisa

  • @chrispincharles3616
    @chrispincharles3616 Год назад

    Kwanza, maji ni uhai wa watu na si mali ya serikali.
    Pili, kama wanatoa ni huduma ya maji, wasifosi mtu kutumia huduma yao. Ndio maana taasisi nyingi za serikali nje na ubabe lazima zife sababu hazina creativity kuzalisha mambo yawe.
    Tatu, hapa linafanyika kichuki tu, sababu sio mara ya kwanza kuweka figisu kama hizi, walisema kisima kina sulphur content 40+ pc, wakati mwenzao mwenye UTU akapima akaona yako safi kuliko maji yoyote yaliyowahi kupimwa. Ni wazi baadhi ya watendaji wa JUU wa idara hiyo wanatumika ili kumdhoofisha MCHUNGAJI MBARIKIWA.

  • @fabianmihale3715
    @fabianmihale3715 Год назад

    Haiingi akilini taasisi ya dini kulipishwa galama Kama hizo mbona taasisi za kiislamu haxichangii Wala hazina hata usajili wanaanzisha tu lakini mwisho upo

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 Год назад

      why taasisi isilipie mbona hakuna vya bule sasa

    • @fideliskipilipili8305
      @fideliskipilipili8305 Год назад

      Ni kweli kwa malezo hayo unaonewa, lakini unadhani kuongea haya mtandaoni kunasaidia?
      Kwanini usitafute njia nyingine, I think ungepigana zaidi rohoni ndg umezidi makelele brother

    • @martinesulley8074
      @martinesulley8074 Год назад

      ​​@@fideliskipilipili8305 chawa wewe,mbona umejibu wewe mtandaoni kwanini usimalize rohoni mwenyewe brother

    • @fideliskipilipili8305
      @fideliskipilipili8305 Год назад

      @@martinesulley8074 jiangalie sana kijana, usije ukajikwaa kwenye igneous rock, usidhan kila mtu wa kumparamia ... u shall compact!!

    • @martinesulley8074
      @martinesulley8074 Год назад

      Katishie wanaomaliza mambo rohoni,nachojua ulimwengu wa roho ni maficho ya wanafiki na waoga ukiwemo

  • @nostusmwachilo6743
    @nostusmwachilo6743 Год назад

    Lipumbavu wewe shida unajifanya mjuaji sana

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  Год назад

      Wewe sio lipumbavu na una akili. Lakini je mpumbavu ndio mnaua mwanae. Kweli wewe ni mzuri. Lakini swali ni je kweli wazuri hamfi?

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 Год назад

    MBARIKIWA. ACHA KUPOTEZA MUDA KUPAMBANA ÑA SERIKALI

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿.

    • @tausiomary8239
      @tausiomary8239 Год назад +1

      Malipo yapo hapa hapa duniani mbinguni tutahesabiwa.muogope sana mtu anaemlilia mungu kila wakati narudia muogope sana.subira ni ngumu ila ukifanikiwa kufaulu kuwa na uvumilivu wallah malipo yapo hapa duniani.utateseka sana lkn utashinda.mbarikiwa pole sana.