MATIKO AMBANANISHA WAZIRI KAIRUKI SAKATA LA AJIRA, SPIKA AINGILIA KATI KUKAZIA - "WEKENI UTARATIBU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 51

  • @nduwimanaelias
    @nduwimanaelias Год назад +2

    Ungekuwa karibu waziri ningekupa Soda kubwa. Mungu akupe maisha marefu. Achana na wakina tulia wasiojua shida. Uko vzr sana Mungu akuinue kabisaa

  • @estherdominic1673
    @estherdominic1673 Год назад

    Hasanteni viongozi na waheshimiwa kazi yenu ni nzuri wachukueni wazoefu kwaza mzoefu ni muhimu kwanza alafu ni mvumilivu hasante sana mama samia suluhu hasani mungu akutunze

  • @tediusmwachipindi6123
    @tediusmwachipindi6123 Год назад +2

    Ester matiko hana hoja,ndio maana hatuta wachagua 2025
    Waziri kairuki anaakili mno,maana aliye maliza chuo 2015 huu mwaka wa 9,analea familia unataka akajitolee, alafu mtoto wa headmaster au doctor mkuu kahitimu 2022 Yuko pale kwa mgongo wa kujitolea ,then apate afu Huyu mtoto wa mkulima wa 2015 abaki nyumbani.
    Tujitafakari kama taifa

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 Год назад +2

    Wanawake mnaweza

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Год назад

    Spika hapana.familia zimetofautiana.akijitolea familia itakufa njaa.bora akauze nyanya.waziri wa Tamisemi yupo vizuri. Ssnaa.

  • @mbushimtela8654
    @mbushimtela8654 Год назад +3

    Jamani yaani tukajitolee alafu tutakuwa tunakula uko kujitolea, angalie kigezo cha mwaka wakuhitimu wengine tangu tumalize tunamiaka saba mtaani alafu mnasema leo hii tukaanze kujitolea ndipo mtupe ajira daaa hii nikuumizana tu

  • @DianaShayo-io1pz
    @DianaShayo-io1pz Год назад

    Safi sana tulia Mungu akubariki mara mia

  • @franciskalistus6987
    @franciskalistus6987 Год назад +3

    Nimefuatilia sana sijui mhe. Spika huwa anakuwa na shida gani anapenda sana kuwakatisha sana wabunge wanavyokuwa wanawasilisha hoja au kuhoji jambo fulani bungeni. Napata shida sana kumwelewa spika mtindo anaotumia naona kama ni wa kibabe sana. Hivi huwa anasoma comments za watu au ndo walewale?. Hebu tumwombe spika awe na subira kuwasikiliza wabunge wanapokuwa aidha wanatoa hoja au wanawasilisha jambo au kuuliza swali kwa sbb yote yanalenga kujenga.

    • @harrisonmachange5050
      @harrisonmachange5050 Год назад

      anaongozwa nakanuni za bunge mkuuu,kikubwa mtoa maada ndo anapaswa kuunda hoja iandane na muda na sio stori

    • @luhanyamipawantobi6888
      @luhanyamipawantobi6888 Год назад

      Time management bro...lazma ulinde muda

  • @neemakawonga9544
    @neemakawonga9544 Год назад

    Safi Sana waziri, hakuna mtu mwenye uwezo wa kujitolea zaidi ya miaka mitatu, na ana familia inamtegemea sio kweli, Kuna udanganyifu mkubwa Sana huko

  • @LucasNtalima-wq6ok
    @LucasNtalima-wq6ok Год назад

    Waziri Yuko sawa sana mfumo wa kujitolea hauko wazi.

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 Год назад +1

    Well done speaker🔥🔥🔥

  • @chrispinboniface3329
    @chrispinboniface3329 Год назад +4

    dunia ya sasa kujitolea ni kujichosha tu ,,,bora uuze hata machungwa utakuta mtu ananeng'eneka eti jitoleeni mpate uzoefu alaf mtu huyo hata hajui kujitolea kunafanyikaje😺😺😺😺😺😺😺

  • @tiffanyakramJr814
    @tiffanyakramJr814 Год назад +3

    Ko kujitolea ni upuuzi kwenye hii nchi, daaah inauma 🤔😳

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 Год назад +2

    Jenesta mhagama waziri wa hovyo kuwai

  • @LinahBenjamin-xg8ui
    @LinahBenjamin-xg8ui Год назад

    Nyimbo za marlow

  • @omaryonga1776
    @omaryonga1776 Год назад +2

    Hawa mawaziri wa elimu wa namna hii hatufiki mbali..

  • @gloriaachiula5622
    @gloriaachiula5622 Год назад

    Kweli mh madame spika, wanaojitolea wako wengi sana, na sidhani kama Kuna mkuu wa shule anayefanya hivyo! SI mhakikishe, taarifa mtaipata.

  • @yasrkhan
    @yasrkhan Год назад +3

    We waziri huna hoja kujitolea ndonin

  • @zalfahashimu9393
    @zalfahashimu9393 Год назад

    Sio huko tu jamani tumsaidie na utumishi jamani ajira zitoke kwa mwaka wa kuhitimi rusaidieni

  • @TichaMwalim-gv7ne
    @TichaMwalim-gv7ne Год назад

    Kujitolea ni vyema ila vijana tunapoteza umri wetu kujitolea wakati nyuma yetu tuma majukumu ya kifamilia jamani watakula nini watoto ikiwa tutajitolea na asiejitolea ajira itampita

  • @dr.sarahosima8066
    @dr.sarahosima8066 Год назад

    Wafanyakazi wanaojitolea wakumbukwe. Kweli wanafanya kazi nzuri sana

  • @adeodatusludan
    @adeodatusludan Год назад

    Legitimacy ni kitu muhimu sana 😂😂😂

  • @RwegereleRwebilumi-kb9ms
    @RwegereleRwebilumi-kb9ms Год назад

    Mhhhhhh,waziri kailuki mpola kazilo

  • @AlliChibwana-xp3xw
    @AlliChibwana-xp3xw Год назад

    Waziri Aondolewe hawezi kusimamia wizara

  • @whajavfsb5154
    @whajavfsb5154 Год назад

    Wabunge wengi wanapiga tu makofi bila hat kukielewa wanachopigia kelele waandae mazingira mazuri ya watu kujitolea af Wayne kama watu hawatojitolea na pia mtu hawez jitole buree for years bila kuwa na means ya kujikim wabunge nyie mnaweza kujitolea miaka miwili bila kulipwa mkakubali au mnahic wengine hawana Familia, yan mtu aache kutafuta chakula asubiri ajira wakati anajitolea si atakufa njaa ..ila wabunge bhana sema mnafikiria hivo kwa sababu mmeshiba, kikubwa pambaneni kuhakikisha kila kijana anayehitim anapata ajira sio kupigania watu wajitolee ili waajiriwe.

  • @paschalurassa6648
    @paschalurassa6648 Год назад +2

    kwa namna hii hata kujitolea inakuwa deal na ndio ilivyo yaan daah hii ndio bongoland ujinga ni mwingiiii

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 Год назад

    Ndo maana kuna mdaa nawaza kupambana zaidi mtoto wang ajue kusoma na kuandika tuu hasifikirie ajiraa za serikali, afikirie kazi ya baba ake namna ya kuziendeleza

  • @prospermango6526
    @prospermango6526 Год назад

    Kwa hyo wale aa HISTORY na Kiswahili wakajiue au?

  • @AkswaZo
    @AkswaZo Год назад

    Unajitolea bure wakati watu wanaiba mabilioni, mimi siwezi kujitolea

  • @gloriaachiula5622
    @gloriaachiula5622 Год назад

    Je watoto wa arts muda kwao haupiti?

  • @nduwimanaelias
    @nduwimanaelias Год назад +4

    Huyu wiziri anaakili Kubwa mno. Hawa ndio waliosoma na Elimu zao zinawasaidia kupambanua vyema.
    Kuna rafikiangu ameomba kijitolea zaidi ya hospital mbili Ametumia nauli zaidi ya laki 2 kwenda kufanya interview na akafaulu akaambiwa ata itwa kwa njia ya simu now anakaribia miaka 3 mtaani bila sikia simu. Na chakushangaza Kuna vijana ata hawakwenda kwenye interview written alikutana nao Kwenye Oral
    Wanajitolea ndugu zao kama huna ndugu yoyote hupati.

    • @whajavfsb5154
      @whajavfsb5154 Год назад

      Ni kweli kabisa wao wanafikiri wasiojitolea wanapenda kama wanataka hicho kigezo kitumike waandae mazingira ya kila mtu kupata nafasi na wapewe frdha ya kujikim sio wanakuwa wanapiga tu makofi bila kufanya tafiti big up to kairuki.

  • @Switielie
    @Switielie Год назад +2

    Kujitolea ni upuuzi, wapewe tu kipaumbele

  • @StellaJames-z3e
    @StellaJames-z3e 7 месяцев назад

    Mimi nimejitilea hosp miaka 7 nabado sjawahi pata nafasi kila ninapoaplai. Naninaexpriensi miaka 11 nakazi ya afya. Umesoma kazi hakuna bado eti serikali inatupenda?

  • @RwegereleRwebilumi-kb9ms
    @RwegereleRwebilumi-kb9ms Год назад

    Hili bunge lipo tu iweje kila kitu mnapiga makofi???

  • @JP-lx1le
    @JP-lx1le Год назад +1

    Kuna mabunge humu hayana hakili kazi yao ni kupiga tu makofi,kama hayo mawili hapo hayana hakili 😂😂😂

  • @khajiussi6588
    @khajiussi6588 Год назад

    Serekali kwa nn isione haja ya kuondoa masomo ya art maana kuna vijana mpaka wamesau kua wamesoma mtaani

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 Год назад +1

    Tatizo hili

  • @gloriaachiula5622
    @gloriaachiula5622 Год назад

    Watoto wetu walosoma masomo ya arts waendelee kusota nyumbani maana naona wao kwenye ajira hawapo!😢😢

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 Год назад

      Hivi neno kujitolea limetoka wapi.Kumbuka kuna mtoto wa maskini amesoma kwa shida kwao hawajui watakulanini.Alafu mnazungumzia kujitolea.Wengi ukiangalia kujitolea panahitaji nauli panahitaji kula.Ukiangalia sana hii kujitolea kuna sababu.Kwa nini iwe kigezo cha ajira?Simamieni Utaratibu wa sheria ya Akira acheni kuyumbishayumbisha.

  • @JP-lx1le
    @JP-lx1le Год назад

    Spika aongoze miaka 650

  • @mateipascaly6955
    @mateipascaly6955 Год назад +1

    Kwakweli kumbe mpo bungeni tu lakini amfikiriii kabisa nina mke na Nina watoto nijitolee wale chaki kama chakula na wino kama chai shame on you woooote

  • @bensonsanga3471
    @bensonsanga3471 Год назад

    Mmeharibu mchakato wa ajira mbwa nyie, mnataka watu wangapi tujitolee

  • @olivermbawala2055
    @olivermbawala2055 Год назад

    Kwa kweli inauma sana watoto wapo nyumbani wengine toka mwaka 2016 sasa nini maana yake?

  • @MusaMalungula-ju3dv
    @MusaMalungula-ju3dv Год назад

    Vip waliosoma masomo ya art Hawa wakaombe ajira nchi Gani mbona hatuwaelewi nyiee mbona mnatukatisha tamaa tuliosomo masomo ya arts daa sawa

    • @MusaMalungula-ju3dv
      @MusaMalungula-ju3dv Год назад

      Àcheni ubaguzi sisi sote ñi watanzania harafu sote tumemaliza vyuo kama hào wa masomo ya sayansi , kamà vipaumbele ñi masomo ya sayansi basi ayo masomo ya geography, history, kiswahili, civic,yanafaida Gani basi

  • @mumukinga8327
    @mumukinga8327 Год назад

    nyie mnataka 2jtolee miaka yte ili familia ze2 ziendelee kua maskin