Suala la Ushoga Latawala Bungeni I Wabunge Kupimwa I Wanaume kwa Wanawake I Katani Ahmadi Alikomalia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 апр 2023
  • Mbunge wa Tandahimba Mhe. Katani Ahmadi Katani, ikiwa anachangia bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, amesema kutokana na suala la kimaadili kupungua/kutoweka mtaani hivyo wao ni wawakilishi wa wananchi ni Kioo cha Jamii lazima wapimwe kama ulivyo utaratibu wa Jeshini ukienda lazima upimwe.
    Mhe. Katani, amendelea kukazia suala hilo na kumtaka Waziri mwenye dhamana na Afya kuwa jambo hilo halitakiwi kusubiriwa kama kuna wataalamu wapo waje wapime Wabunge.
    Stori zaidi za Bungeni tumekuweka kwenye akaunti yetu ya RUclips “Clouds Media”.
    #7bisha
    #MoyoWaMawingu
    #KutokaBungeni

Комментарии • 36

  • @SumiraMengi-tu1hs
    @SumiraMengi-tu1hs Год назад

    Mheshimiwa katani umenifurahisha sana mungu akubariki kwamaono mazuri

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 2 месяца назад

    Baba umeongea vizuri,, watu wapimwe hadi huku mitaani wapimwe

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 27 дней назад

    Yes umesema vyema sheria ni muhimu. SHERIA IWE KUNYONGWA TU.

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Год назад

    Safi sana katani natamani ungekuwa raisi

  • @stephaniahaule691
    @stephaniahaule691 Год назад

    Oooh jmn sio waovyo nijambo la msingi tujue chanzo ninini ushoga kuongezeka kwa speed ya ajabu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 27 дней назад

    Hili jambo haliwahusu CCM nanyi hili Bunge ni CCM tupu kama mnaliona kuwa ni janga basi kutungwe sheria ya kunyongwa wote bila kigugumizi cho chote.

  • @user-cw3ku7ww3l
    @user-cw3ku7ww3l Год назад

    Inatakiwa kutungwa sera ya upimaji wa afya mtaa Kwa mtaka atakaejulikana anafanya huwo mchezo Sheria ifuate mkondo

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Год назад

    Mm nakuunga mkono wekeni shelia yakuwanyonga2 nasio shelia nyingine

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 Год назад

    Taarifa zingine hazina maana mumuache aongee

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 2 месяца назад

    Huyo msukuma Kuna Nini mbona anapinga ?

  • @kassimrajabu56
    @kassimrajabu56 Год назад

    Msukuma bhana eti “Wasenge”😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Год назад

    Hamna kazi ya kufanya.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Год назад

    Tungeni. Sheria munyimwe hizo pesa kwani nani anufaika nazo kama siyo nyinyi sisi tutafurahi sana tufanane.

  • @wisdomsingersbanana
    @wisdomsingersbanana Год назад

    Waache kutuzuga, Kamakweli wanalichukia wapitishe Sheria kama Uganda tuwaone, wapime kwa gharama ya nani? Alafu wakikutwa watafanywa nini? Hiyo nguvu watumie kwakupitisha sheria then wapimwe🙄🙄

    • @emanuelsinyinza
      @emanuelsinyinza Год назад

      Mumeshidwa kutunga sheria madereva wanatunyonga kila kuchapo. Lipi baya zaidi mimeshidwa kutunga sheria wachawi wafanyabiashsra wamefuga misukure wengine humo bungeni mumekariamahirizi bira hivyo msingekuwepo.

  • @justerclement6437
    @justerclement6437 Год назад

    TENA HIYO KAZI YA KUWANYONGA NIPENI MIMI HATA BILA MALIPO FRESH

  • @allymohamed4065
    @allymohamed4065 Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @karthala6676
    @karthala6676 Год назад

    Watcheni halo. Kuna mambo muhimu yakufanya

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Год назад +4

    Madaktar waje wawapime, na unakuta madaktari wenyewe wanapelekewa moto😂😂

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 Год назад

      Halafu kweli🤣🤣🤣, Kuna hospital moja hapa ninapoishi kunamuhudumu mmoja ni shoga kabisaa

    • @vibetz9991
      @vibetz9991 Год назад

      @@leticiachunga9118 🤣🤣

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 Год назад

      ​@@leticiachunga9118 😂😂😂🤭🤭🙌

  • @harrybanks-qy5qq
    @harrybanks-qy5qq Год назад

    Wabunge wa hovyo haijawai kutokea

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 Год назад +1

      Wache waongee maana Serikali iko kimya na hili janga. Au wewe unaogopa kupimwa?

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 Год назад +1

      Wewe ni basha au shoga? Mbona hutaki hili swala lizungumziwe na wakati hadi vita u vya dini vimezungumzia hujawahi kusoma nini? Hapo bunge linasisitiza tu, itabidi tuwatilie shaka na nyie ambao hataki hili swala kuzungumzia

  • @harrybanks-qy5qq
    @harrybanks-qy5qq Год назад

    Yaani wanaacha kujadili mambo ya msingi Leo wanajadili wasenge

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 Год назад +2

      Hili ni janga au na wewe unaogopa kupimwa usije umbuka ?

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 Год назад

      Ngoja mtoto wako aje avunjwe au wewe uje utaitishwe na basha ulawitiwe ndio utajua umuhimu wa hiyo kitu

    • @nassirhamad9407
      @nassirhamad9407 Год назад +1

      Kwa hiyo kwako hili si jambo la msingi kwa taifa kujadiliwa???
      Watanzania tunafikiri vipi??