ESTER BULAYA AMVAA SIRRO AZITAPIKE BIL4 ZILIZOPOTEA-''ARUDISHWE ABEBE MZIGO WAKE, ALIWAPA WASHKAJI''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 41

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 10 месяцев назад +1

    Mungu Ampe.makazi mema Hayati magufuli.

  • @RichardJonathan-rc6df
    @RichardJonathan-rc6df Год назад +1

    Ester bulaya unaongea point sana mungu akubaliki sana Kwa kututetea askari❤❤

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 Год назад +8

    Hongera Sana mwana wa bulaya ila kuchukuliwa hatua ndiyo mziki

  • @danielmichael3908
    @danielmichael3908 Год назад

    Safi Sana Dada yetu mungu akurinde

  • @johnfrankmputa9915
    @johnfrankmputa9915 Год назад +1

    Mh Esther Bulaya balikiwa sana mtumishi wa mungu kwa kile ambacho unakisema sio wewe ni Roho Mtakatifu ambaye anakuongoza sio wewe soma 2 petro 1:21

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 Год назад +5

    Siku hizi Nchi ukiwa kiongozi unafanya yako sio ya serikali tena ,, in short nchi hii iko mahali pabaya😢😢😢

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Год назад +2

    Wa Tanganyika hatujielewi Tatizo shule bila katiba hutaona haki Mtakula Tozo sana mtajijeijei,

  • @goodlucknnko5493
    @goodlucknnko5493 9 месяцев назад

    Hongera best

  • @samwelpaul2439
    @samwelpaul2439 Год назад

    Leo taifa hili, naogopa hata kusema langu, like na umri wa miaka 62 tangu uhuru!!! Ni aibu kuzungumzia suala la viongozi kula tozo za Serikal, ni sawa na baba kuvua mbele ya watoto, wale tuu tozo zote,, mnaoongea mnaumiza vichwa bure,,, tumezoea sasa, kuliko aibu

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 Год назад +3

    Nchi imeoza sana,binafsi nimeweka nadhir askar yeyote akinionea nahakikisha nakufa maybe ao tuganawane pa kuishi

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 Год назад +3

    Hizo ni hela kiduchu sana kulingana na mabillion ya SGR

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Год назад +1

    Bila katiba ujue haki hakuna,hakamatwi wa Tanganyika hatujielewi Tatizo shule mtajijeijei, Mtakula Tozo sana, mtaipata fresh,wa Tanganyika,

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Год назад +1

    Wa Tanganyika hatujielewi Tatizo shule bila katiba hutaona haki, Mtakula Tozo sana

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro Год назад

    Kulindana kumezidi, eeee Mungu tusaidie kuondosha hilo pepo

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 7 месяцев назад

    Tunakuombea ulinzi wa mwenyezi Mungu ili wasije wakakumaliza kama Magufuli. Na wewe uwekaribu na Mungu ili awapofushe maadui wenu.

  • @ChuchuBaby-e7x
    @ChuchuBaby-e7x Год назад

    Duu nikumuomba mungu

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc Год назад +2

    Duh jamani kuweni na huruma na polisi mishahara ni midogo sana Sasa hivi wawe chini ya binge maana wanahangaika sana mitaan kukimbizana na wauza vidumu vya diseli

  • @AbubakarKumbwani-yq5vg
    @AbubakarKumbwani-yq5vg Год назад

    Mimi binafsi kitambo Sana nilishajua kuwa Sirro ni MWIZI

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 Год назад

    Hi inchi Ni ya kifucken
    Huku unit 1 ya idara maji Ni 1900... Serious CCM wanafaa wauwawe wote.....

  • @Masoya-r8h
    @Masoya-r8h Год назад

    Wambie wabunge wa mama siyo wawananchi

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 Год назад +1

    NYINYI SIMLIPIGWA HADI MKALALA HOSPITOL MARAHII MTAPOTEZWA NAMA KONDA FUNGUWENI MDOMO 2

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 Год назад

    Hatuna nchi hapa, polisi nao majambazi. Nani tumuamini kwma wao wanaibiana

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d Год назад

    Yasivumiliwe hayo

  • @hafidhiabdalla5813
    @hafidhiabdalla5813 Год назад

    🔨

  • @Hawa-ed2hg
    @Hawa-ed2hg Год назад

    Usije kuuwawa hayo maneno maana nnchi hii pesa iko mbere

  • @bhmeela
    @bhmeela Год назад

    Ivi ngaz za juu nafasi zinapatikana Kwa vyeo, elimu, kujuana, au umaarufu? Ili na sisi tulioko chini tupambane tufike huko,😂😂

  • @SarapionMulisa
    @SarapionMulisa Год назад

    Eti kwenye kampeni alicheza ngoma mbele mgombea anateuliwa kuwa mkurugenzi wafanye mitihani

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 Год назад +2

    Dada kwa tz yetu hii wakichukuliwa hatua niite boya nimekaa hapaa. Hiyo imeishaa bcz hajala mwenyewe hapo kuna cheni ya kufaa mtuuu hahahaaha

  • @augustinochimtunga2391
    @augustinochimtunga2391 Год назад

    We Bulaya unauchadema unatetea Askari wetu lakini wenyewe hawataki kututetea.sijui tunaelekea wapi.

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro Год назад

    Ole wao wageuzao Uovu kuwa haki

  • @Masoya-r8h
    @Masoya-r8h Год назад

    Fatieni wizi huo siyo kuwashusha wakuu wa shule kwajili ya mambo mziki

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d Год назад

    Toboa dada wanyonge wengi yupo ktk nchi hii

  • @kazoletv9991
    @kazoletv9991 11 месяцев назад

    Hııı ımeenda

  • @ssam3385
    @ssam3385 Год назад

    Kwn kipindi cha nyerere na karumekulikuwa na kariba??nauliza

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 Год назад

    Kwanza wabunge wa chadema kesi yenu imeishia wapi wasagaji nyie,mmeingia kimchongo

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 Год назад +1

    Igp siro labda pesa kaitumia vizuri ila aitwe tu atoe maelezo yake

  • @MussaSongo-fd1ex
    @MussaSongo-fd1ex Год назад +1

    Bunge la wahuni wezi majambazi maharamia....pumbavu zenu kabisa

  • @SarapionMulisa
    @SarapionMulisa Год назад

    Hata nyie wabunge achana na kutoa mawazo toa tamko simamia maamuzi yenu yatakelezwe Kila mwaka tunaziona salakasi zenu mwaka mwingine tena tutawaona tena na salakasi zenu tena

  • @ahazinelson6351
    @ahazinelson6351 Год назад

    Ukidhulumu na wewe utadhulumiwa.