dah hii ninecheka sana wallah joti noma sana,hasa pale baada ya kujua body ni mtt wa bimkubwa sasa kubadilisha maelezo ya matusi kuwa kama ni ya kistara yaan kupoza ukali wa maneno ili apate msamaha
Joti kazi nzuri, mama na abiria ...wamevaa husika ila mama kwa sababu wengi hatujamzoea kacheza vizuri sana .....haya ndio maisha yaliyopo kuna watu wanategemea polisi kusumbua wengine..... Hongera sana kaka nakumbuka tulikuwa wote makongo juu kwenye msiba wa masogange mpka msibani watu walikuwa wanakufurahia Mungu akupe maisha marefu......!!! @ mzee majuto alisema wewe ndio anayekukubali endeleza kijiti kaka .....kazi nzuri na hongera kwa kuinua wengine....
Mmetisha!
Mama kavaa uhusika vizuri sana
Jamani hata kama una bondia nyuma yako ndo uwakosee wengine adabu,,, joti amegusa uhalisia wa maisha yetu
Kabisaaaa😂😂😂😂
❤️❤️❤️ Tanzania tunaweza Sanaa tn saaana 🤓🤓🤓
Hata Kama joti kajibu utumbo lakin mama nae mkorofi
This is one the best comed clip uliyowahi kuzifanya mzee JoTi 😄😄😄
Nakubali
For sure ..ni among the best
@@AziziMsuya Bonyeza utizame hii 👇...
ruclips.net/video/_Hh_-rtaF64/видео.html
Unaijua Pedi cure?
Sema maza nae kazingua mdomo sana
Sema huyu Maza anajua Sana😄😄🔥
Daaaaah JOTI 🔥 nakukbaliii sanaaaaaaaa tenaaa sanaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 et kumb broza upo naee
Huyu Mama naye anajua sana, anachekesha sana 😂, kapatia sana vurugu za kwenye madala dala 😂.
Sana
Miwan kama 🐢
🤣🤣🤣
Mpo
Uuu i i i uj. m m m m m m m m
.
. .
. m . m m
Matembele kabisa dah...! noma sana
Sema kimeumana😅😅😅sema huyu mama ndo mkorofi🤣
Nitakuweka, Ntakuweka Oohoooo....!! 😂😂😂
"Mama, mimi sio tu MCHICHA MWIBA. Ni matembele kabisa."
We msenge tutauana kwa kucheka!
Huyu mama ni mimi kabisa kwenye vituo kusubiria abiria 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaha kuropokwaropokwa kuropokea watu wazima noma hHH
😂😂😂😂😂😂 joti unajua kaka so mchicha mwiba ni matembere kabisa😂
Bonyeza utizame hii 👇...
ruclips.net/video/_Hh_-rtaF64/видео.html
Hii inatufudisha kunyamaza kunavyokuepusha na shari za walimwengu... Ila mama nae kwa gubu hodari 🤣🤣🤣
We mama watafuta bwana nn 😂😂😂😂😂joti love 💘
Hahahaaa et mwanang kaopoaaaaa
dah hii ninecheka sana wallah joti noma sana,hasa pale baada ya kujua body ni mtt wa bimkubwa sasa kubadilisha maelezo ya matusi kuwa kama ni ya kistara yaan kupoza ukali wa maneno ili apate msamaha
Hahahahhaha hahahaha hahahah kuna wamama wepimda et mwanae kaopoa
Eti mwanangu kaopoa,😃😃
Kuna mtu yuko nyuma kanichekesha eti kimeumana
Mama mm sio mchicha mwiba ni matembele kabisa😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo nimewahi jamani plz like za jot😂😂
Ila huyu mama ni mkorofi khaaa🤣🤣🤣🤣🤣anatukana watu makusudi anajua kuna mtoto🤣
My all time comedian😂😂😂watching from kenya💝✊
Bonyeza utizame hii 👇...
ruclips.net/video/_Hh_-rtaF64/видео.html
et me nakuwekaaa nakuwekaaaaa hahahahaha joti unajua sana
😂😂😂😂mama ako mstaarabu sana alafu mama ni Mungu wapili🤣🤣 kazi nzuri joti
Bonyeza utizame hii 👇...
ruclips.net/video/_Hh_-rtaF64/видео.html
Heee jot huwa unanipa amani sana
ila hapo mwisho mmeharibu... Mwamba kaopoa kivipi Yaani sio poa
Big up my bro!! Uki translate itakusaidia kung'ala zaidi,love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Aratwika sanaaaa msaza
It's chris from USA 🇺🇸 we love you so much here, keep it up brother.
Kofia kama kizoleo cha taka😆😆😆😆😆😆
Yule jamaa wa nyuma kanichekesha 😂😂😂😂KIMEUMANA
Mama mkorof mwenyew kisa mwanae bondia
He didn't see it coming 😂😂😂
Joti noma, the more I watch these shows the more am enjoying and getting addicted 🤣🤣🤣
Daah nmecheka kama boya ani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂🤣dah et mwanangu kaopoa
Eti mwanangu kaopoa😂😅😅😅
Mama wa kiswahili , eti 'mwanao kaopoa'
Dah mmetisha sana joti. Mko vizuri sana. Hahaha mwisho huku nimecheka sana.
Bonyeza utizame hii 👇...
ruclips.net/video/_Hh_-rtaF64/видео.html
Huyo mama anajua hatari mpaka basi
Kipindi unasubiri huruma ya Mama mama mwenyew sasa "heheeee mwana kukitafuta mwana kulipata Utajua hujui Mwanangu haopoa🙆♂️😂😂😂😂😂"
Afu huyu nampenda saaana kutoka comoros
Comoros sehemu gani
Hii ni moja wapo ya miongoni mwa video comedy Bora ulizowahi kufanya aiseh hii ni kiboko. Ila umeonewa tu Huyu bimkubwa mnoko sana 😂😂😂
From Donesk Ukraine 🇺🇦 , watching your comedy even if we are fighting, salute!
🤣🤣🤣🤣
😂😂😁putin anasemaj uko
Broh hapo rwanda ndio pamekua ukrein
Kanyinyi mnafiki 🤣🤣🤣😂😂🤣 KIMEUMANAAA
Hahaaaa eti Mama Mstaaabuuu...eti mm matembele kabisa😄😄😄😄
🤣😂😂😂😂🤣🤣😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣 sema kimeumana bana
😉🤣😁😁kiumemanaa
Hahahaaaaah!!!! "Mwanangu kaopoa " hatari Sana hiyo
Huyo mama katisha sana😂😂
Daah mam anamalaniiii hatariii
Joti always never disapoiting😁.keep going dude.from 🇰🇪
Bonyeza utizame hii 👇...
ruclips.net/video/_Hh_-rtaF64/видео.html
Brother Joti , Kazi zako nazikubali toka long
Bonyeza utizame hii 👇...
ruclips.net/video/_Hh_-rtaF64/видео.html
Ndo Maana Mama Alikuwa Anavimba Sana Kumbe Kuna Bodgad
Daaah funzo kubwa sana "mdomo umeponza kichwa"
Ila leo NISHAI Leo umeonewa..mama alilianzisha mda tuu sema hakumpata mkunaji😂😂😂😂
Kama na wew unampend joti like hapa
Joti mungu akupe maisha malefi unatuchekesha sana
Nalipia watu watatu tunashuka sehemu moja
Crazy stuff , love your skits Bwana Nishai 🤣🤣🤣🤣.
Mad Love from 254 🇰🇪🇰🇪
Jot uyo mama kwenye Costa anajua sanaaa
Hatar good work
Ndo Mana mama alkua anajiamin😆😆😆😆😆
😊 mooooo oke
Siyo tu kutuchekesha ila umetufunza jambo sometimes unaweza kuwa upo unabishana hata na mwanajeshi pasipo kujua
Iko vizuri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dah et mwanangu kaopoa
Huhuu kama ningekuepo umo manapenda izo burudan
hahahah ,ila hapa nishai wamemuonea , huyu mama ndo mkrofi dahhh
Haha 😂😅 mchicha mwiba..
Daah nice. 😢
🤣🤣🤣🤣🤣 da umetisha kamanda kitombagile kitwango🤣🤣🤣
Mama kafurai kapata mkwe duu 😂😂😂
Leo jot leo jot kimeumana jina la mchicha mwiba ulilikata sasa umelikubali mpaka unajita matembele hhhhhhhh
Ah huyu maza anaongea ... hahahahaha daaaah
all the way from 🇺🇦🇺🇦🇺🇦
Ya kabla ya kumsifia Joti,naomba nimpe pongezi sana huyu mama anajua sana kiukweli ,yaani Joti kapata partnership sana kwenye kazi yake
Ametisha
Asante dada yangu mama kibibi unayaweza
Mama huyo nilishai alimpatiaga sana
Ila leo joti kaonewa uyo mama sio mstarabu...lakin all in all Kaz nzur
ni kweli wanawake wanaofuga makucha wananuka..
Hii video naipenda sana hahahaha
We mama nitakueka ohoooh
Hhhhhhhhhhhhhh haki ya mungu ww joti ujengewe tu mnaraa.nimeipenda hii kali sn
Joti kazi nzuri, mama na abiria ...wamevaa husika ila mama kwa sababu wengi hatujamzoea kacheza vizuri sana .....haya ndio maisha yaliyopo kuna watu wanategemea polisi kusumbua wengine..... Hongera sana kaka nakumbuka tulikuwa wote makongo juu kwenye msiba wa masogange mpka msibani watu walikuwa wanakufurahia Mungu akupe maisha marefu......!!! @ mzee majuto alisema wewe ndio anayekukubali endeleza kijiti kaka .....kazi nzuri na hongera kwa kuinua wengine....
Ungenunua lako liende🤣🤣🤣🤣🤣
Bonyeza utizame hii 👇...
ruclips.net/video/_Hh_-rtaF64/видео.html
Tunajivunia kuwa mastaa Kama Awa . Tanzania one😂
Kumbea watu wana vipaji vyao vya kuongea
Frm urus am waching
Mama umecheza vzr sana
the other guy. Eti kimeumanaaaa hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 this is funny af
Eti mwanang kaopoa 😀😀
BONGR LA IDEA..NICE SANA
Nimeangalia tena baada ya kufariki huyu bi mkubwa... Apumzike kwa amani
Huyu mama Ana gubuuuu
Joti umeshindikana kabisa
Hilo jamaa lililovaa jez ya utopolo hajiamin kama ataonekana nn Kayla runinga🤣🤣😀😀😀
Mama anaongea tangu mwanzo wa safari mpaka .wisho , non stop
Hiki nacho ni kipaji kwakweli .
🤣🤣🤣