Wengii Wapo Ivyooo Hahahha Uwawanawaonyaga Madogo waache wizi ,Tabia zaajabu Wapige kazi ,kuna kijana mmoja alishikwa mwiz kapigwa sanaa sas wenzie wakakimbiloa maskani Akakutana na mkubwa wao kama Mwamba Hahaha Aka watembezea Kicha po sanaa 😂😂😂😂😂Mwishoe Akawaambia Niliwaakataza Acheni wiz fanyen kazi token 😂😂😂 Walilud namaumivu
Huyu Anduje huyu, mushenzi kweli kweli., Afadhali ba mdogo kampiga kabisa, tena ungeliongeza viboko kweli kweli., Kanajifanya kanjanja, hapo ba mdogo kapatiya kabisa
Du! joti umenikumbusha mbali Sana, nami nishawahi kumpelekaga mwamba shule(respect to a.k.a mwamba, Makala Shani na basile baggio) lakini hawakunichenchia kama huyu😂😂😂
Andujnje bwege hajampa induction
Ila mwamba nimemuelewa halei ujinga maskani
Big up kwa sanaa kubwa
Hapo lazima ucheke
Wengii Wapo Ivyooo Hahahha Uwawanawaonyaga Madogo waache wizi ,Tabia zaajabu Wapige kazi ,kuna kijana mmoja alishikwa mwiz kapigwa sanaa sas wenzie wakakimbiloa maskani Akakutana na mkubwa wao kama Mwamba Hahaha Aka watembezea Kicha po sanaa 😂😂😂😂😂Mwishoe Akawaambia Niliwaakataza Acheni wiz fanyen kazi token 😂😂😂 Walilud namaumivu
Huyo ni mimi kipindi nko form two, wale mlio pitia io gonga like tujuane
Km umemkubali baba mdg tukutane kweny like😂😂😂😂
Nimemuelewa
Yuko VIZURI Sana
Baba mdogo katisha mpaka katisha tena ,ataua walai🤣
Joti noma
😂😂😂😂😂😂
Legendary and the king of comedy of afrika
Eks
X
😁
Daaaah this is what we called comedy.. unacheka mpka kifua kinabana. Joti ni moto aisee
Èeh😂 Mwenyezi Mungu nisaidie mimi
Kwani tulikubaliana ivyo😂😂😂😂joti we ni king of comedian
ruclips.net/video/-RgvpV4lHwc/видео.html
Wale wenzangu wanao comment bila kuangaria picha kwanza like zenu please 😂
Shule mambo ya kiserikali jamaa anaogopa🤣😂😂😂🙌
Safi sana broo kazi nzuri mkuu
Eeeeh mwenyezi Mungu nisaidie mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 joti bonge la mbunifu aiseeee
Naomba pitieni na kwangu basi Kabla sijawaitisha mzazi
Uko wapi
🤣🤣🤣🤣
Alfu wakina Mwalimu Suzy shule ya msingi huwaga hawakosi.
ee mwenzi mungu nisaidie mim😂😂😂😂😂
Ohhhh el pequeñitooo🤗🤗🤗🇹🇿🇹🇿🇹🇿cuánta espontaneidad ..un abrazo gente alma hermosa 🇹🇿🇹🇿💖💖💖🧉🧉🧉🇦🇷🇦🇷 buenas tardes
Thank you very much
@@mrinjamwanga1423 hola buenas tardes 😀💐💐💐muy amable gracias 🙏🏾🙏🏾 bendiciones 💕
@@noordndmn2443 Hola! Buenas tardes amigo,,Como tu telamas !!?
@@mrinjamwanga1423 hola buen día 🌧️🌧️ María Celeste 🌹
@@mrinjamwanga1423 😀no soy amigo ...doy amiga soy mujer 💐
🤣 🤣 🤣 🤣 We sio babangu, naenda ita mzazi 🤣🤣kesi itakuwa imenoga nasubiri part 3 hapa 🤣🤣Huyu andunje atakufa sahi 🤣🤣
Baba mdogo wa michongo😂😂mbn km alikua na kisasi na andunje🤣🤣
Mwamba wee noma umeweza big up
from 🇶🇦🇶🇦 huyu Joti hua namkubali 2 sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hamna kitu kigumu shuleni kama kuambiwa kamlete mzazi..
Haahahaha nimecheka sana asubuhi hii dah thank you joti 😀😀😀😀
Hata mimi ndiyo nimeingalia sasa hivi nimecheka sana asubuhi yetu imekuwa nzuri joti safi sana
Heee mwenyezi mungu nisaidie mimi 🤣
😂😂😂
Uwiiii Jamani Unanikubusha Zamani shuleni nilipigwa hivyo 🤣😂🤣😂
Daaaaah Tanzania tuna kijana mwenye kipaji jmn daah🤣🤣🤣🤣joti namwambahataeee
Eee mwenyezi ni zaidie....🤸🔥🤣🤣🤣
Aunogi kabisa machoni pangu aunogi andunje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwamba kamaliza yoteeee!!! 😂😭😂😂
ruclips.net/video/-RgvpV4lHwc/видео.html
Subir nkamwite mzazi wangu😆😆😆
Eti eeh Mungu nisaidie mim 🤣🤣🤣
Nimempenda huyo bamdogo kacheza vizur san...siku nyingine hurudii 🤣
Yuko vizur
Jot hadi katoa siri uwii duuu kimemkuta kitu jot nimecheka Sana😁😁😂😂😂
Mama yanguuu weeeeee jamaniiii joti weeeee ww nimekojoaleoo mwezune mtuuu mzimaaaaaa mie leo jotiii wwwww mamaeeee machoziiii yantoka mwzenu na mkojo juuuu jot mpaka mbavu zina umaa mamaee kweli wenyokko moka nimekojoa kitandani jot msenge sana wweeeeew🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤩🤩🤩🤩🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kikojozi😂
🤣🤣🤣🤣
Andunje ktk ubora ,
Ita mvua andunje
Baada Baamdogo Kupitiliza Andunje Aomba Dua. Eee M'MUNGU Nisaidie Mimi.
😂😂😂😂😂
"Chomekea, chomekea basi wakuone kama mzazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️ Joti!Joti!! Utaniua😂😂😂😂😂😂
Kilichomkuta maskin🤣🤣🤣🤣🤣
Wanasemaga kimenukaaa😊😊😊😂😂😂
Jamani anajuta 🤣🤣🤣bora angemuita mzazi anaesemaaa hata
Bamdogo bange zishapanda kichwani humwambii kitu. 😂😂😂😂😂😂😂kiranga komo
One love pamoza Sana nice comedy from Australia 🙌
ruclips.net/video/-RgvpV4lHwc/видео.html
daah!! joti mbona kama kesi imekuvaa upya bro..?? 🤣🤣🤣💪🏿
Nikipewa ela za mapupu mabandama me nakupoza😅😅😅
hahaaaaa nimecheka hatari aliye rudia kama anipe like tujuane
Sasa ndio naenda kumwita mzazi wangu
Huyu Anduje huyu, mushenzi kweli kweli., Afadhali ba mdogo kampiga kabisa, tena ungeliongeza viboko kweli kweli., Kanajifanya kanjanja, hapo ba mdogo kapatiya kabisa
Ba mdogo hataki ujinga safii Sanaaa 😂🤣
Sema mwamba anajua 😂😂😂
Nakukubali sana michongo yako ya move
Hahahahahaaha joti bwana hongera upo vzt
Du! joti umenikumbusha mbali Sana, nami nishawahi kumpelekaga mwamba shule(respect to a.k.a mwamba, Makala Shani na basile baggio) lakini hawakunichenchia kama huyu😂😂😂
Makala Shani wa Kiomboi?
I'm from Ukraine , I don't understand Swahili but this guy is underrated
Ukraine????
Aaaaaah mbona ukraine
Poleni uko jamani
kumekucha😂😂
Stop lying
Your just in TANZANIA
And u know very well swahili
Hongera sana mwamba😀😀😀😀
Mwamba mbona umegeuka mzazi kweli sasa😂😂😂😂😂😂😂 ...hadi Mwalimu kachiz anamuita Baba Mdogo mwalimu...
Ungekuw vizur ungefanya series ingependeza saanaa
nipo urusi.. sielewi kiswahili... nzuri sana
😁😁😁😁 eeh mwenyez mungu nisaidie mimi hahahah
Daaah bongeee la kaziiiiii........ hongeren sanaaaa
🤣🤣🤣🤣mwamba kakuweza 🤣🤣sio kwa viboko hivyo mpaka umetema cheche
Andunje kajuta kumleta jilayake 🤣🤣🤣🤣
kWANZA we unavuta bangi 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka peke yangu ad nkatoa sauti jotiiii🤣🤣🤣 sio baba anguuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
oya Mimi niseme ukweli sijawahi kuchaka Kama leo wewe ni King wa Tanzania
😇😇❤️😂😂😂😂😂King of comedy east africa waah!
E mwenyezimungu nisaidie mimi🤣🤣
Nimecheka sana ba mdogo alivyo wapita walimu halafu joti eti "eee mungu nisaidie".... the best comedy ever.
Yaani katika zote hii ndiyo umeua zaidi😄☺
Jamani natamani kuigiza na joti wallah ipo siku inshallah
Zile fimbo nizaukweli ujuwe🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🤩
Unatuuwa mbavuu andunjeee 😂😂😂😂
Baba Mdogo aisee kaplay part yake vizur sana
Joti we muhuni sana umepitia meng umenikubsh secondry
Bangi zimelipukia shuleni kawa baba ake kweli hahahaha
Andunje hatakaa arudie kumchukua mwanga😂😂😂🤣🤣😃
Amekunya afu anaingiza mzazi chakani 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 ND tumekubaliana ivyo
King of comedy 😍😍
😃😃😃😃😃😃😃
Joti ulistahili kupata tuzo🤣🤣🤣
King of comedy 🤣 😂 😆 🙌
Sema Mwamba ni Mwamba Kweli.
Nimecheka Jamani dah!! Andunje Noma wa comedy
Do re mi fa so la ti doooooooooo🤗🤗
😂😂😂 aaah joti una tagi hawa watu usiwaache mzee mwàmbaa kaz kaz
Ehh mwenyezi mungu
Nisaidie mimi
Napenda Kazi zako bro
Ngoja nikamwite mzazi wangu🤪🤪🤪
🤣🤣🤣fimbo zimekubali hadi umeomba poo mwenyewe 😆😆
Wesio baba yangu kwanza ww unavuta Bangi😄😄😄
Huyu baba mdogo wa mchongo nimemkubali sn sn🔥
Mzazi huyu wa kukodi mzuri hahaaaaa nmecheka kakomesha mnaokodiwa mje km huyu kwa maskuli yetu
Kisago imekua kali kijn kaona chakufia nn ety 😂😂😂😂 big up bro keep it up
Mpaka mwalimu Kanyinyi kachanganya kamwita Mwamba MWALIMUUU
🤣🤣🤣🤣🤣eee Mwenyez mungu nisaidie mimi!!
hhaahahaahaha sa we andunje siurudi orijino comedy bwana
Hahahahahaha yaan jot dahaaa ila Mwamba safi sn🤣🤣🤣
Nkipewa hela za mapupu na mabandama mi nakupooza😂😂😂😂
Kazi nzur sana mumetisha 🤣🤣🤣🤣
Jamani joti mbavu zangu mie 😃😃😃😃
Andunje bakora zimemkolea kasema kweli😄😄😄
So hilarious👏👏😂👏😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani nimenoga mpaka Mwalimu Kanyinyi anachanganyikiwa, anaanza kumuita Mwamba "mwalimu" @08:10 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hahahaha fimbo zime mvulugaaa🤣🤣🤣🤣🤣
You made ma day🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ruclips.net/video/-RgvpV4lHwc/видео.html